1. Aina ya vyakula unavyokula - Kipaumbele ni vyakula vya mboga mboga pamoja na matunda. 2. Kufanya mazoezi mara kwa mara. 3. Kujua na kuyatumikia madhumuni na makusudio maalum katika maisha yako. 4. Kuwa na mahusiano chanya ndani ya jamii unayoishi.
Kwa mm mwenyewe nakushauri ifuatavyo. Usipende kulipa kipaumbele tatizo lako; mfano, Kama unashida yeyote ya kimaisha, kimahusiano kiuchumi nk. Usiyape kipaumbele kwamba siwez kitu fulani. Jipe focus kwamba naweza, na ondoa hof sana ya kuweza kufanya hicho kitu.
1. Aina ya vyakula unavyokula - Kipaumbele ni vyakula vya mboga mboga pamoja na matunda.
2. Kufanya mazoezi mara kwa mara.
3. Kujua na kuyatumikia madhumuni na makusudio maalum katika maisha yako.
4. Kuwa na mahusiano chanya ndani ya jamii unayoishi.
Nimefurahiaa mafundisho yakoo munguu akupe maisha marefuu
Thank-you soo much kwa mafuzo mazuri
Somo zuri sana nakubaliana na wewe Kwa asilimia zote
Leo umekiwasha kwenye maada nzuri Sana nimejikuta Niko na furaha Asante kwa kupewa kipawa Cha kutumegea mungu akubariki kukupa marifa.
Mwl.nashukuru kwa somo zuri! Hapo kwenye life expectancy wakati wa utambulisho haijakaa sawa.
A great advice, agreed 💯
Asante san kaka mungu akubariki sana
Ujumbe mzuri kwa kweli! Ahsante Doctor
Thanks doctor ubarikiwe sana.
Tunasubiri hapaa
SOMO LA MOTO SANAAA
Doctor Mimi huwa nasumbuliwa na wasiwasi na woga naomba mbinu za kuepukana na tatizo jili linaninyima raha sana jamani
Kwa mm mwenyewe nakushauri ifuatavyo.
Usipende kulipa kipaumbele tatizo lako; mfano,
Kama unashida yeyote ya kimaisha, kimahusiano kiuchumi nk.
Usiyape kipaumbele kwamba siwez kitu fulani.
Jipe focus kwamba naweza, na ondoa hof sana ya kuweza kufanya hicho kitu.
@@Dannny690 Asante nshkuru sana kaka angu.
Ubarikiwe sana naomba namba ya Whatsapp nna maswali please