Dr. Chris Mauki: Mambo 8 ya Kukusaidia Kuishinda Hofu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 118

  • @letticierjohnson6402
    @letticierjohnson6402 ปีที่แล้ว +6

    Mda mrefu nimesumbukiwa nahofu yamambo fulan, yamenitesa sana, Nashukuru leo nimepona naanza kuishi upya. Somo hili nilangu mimi kabisa Daah! Mungu azidi kukufungulia nayawengine Ubarikiwe Dk Chris

    • @DuliKasim
      @DuliKasim 3 หลายเดือนก่อน

      na mm natak dawa ya kuondowa hofu ina nitesa sanaa

  • @EdwardJoseph-g1u
    @EdwardJoseph-g1u 16 วันที่ผ่านมา

    Asante sana kwa mafunzo yenye kurejesha tumaini, ubarikiwe

  • @meryezekiel-b6r
    @meryezekiel-b6r หลายเดือนก่อน +1

    Hakika ww doctor umenitibu Asante mungu akubariki sana

  • @NeemaKabila-gd3nu
    @NeemaKabila-gd3nu หลายเดือนก่อน

    Hof yangu ilikua ni kuumizwa kwenye mahusiano, na nmeumizwa kwel! Dah nashukur na nimeimalika sas kuptia wew Dr, ntaanza maisha mapya na ntafrahia zaid, ubarikiwe

  • @ibrahimimu4161
    @ibrahimimu4161 หลายเดือนก่อน +1

    Asant sana kaka kwa ushaur wako

  • @zawadiwambura9188
    @zawadiwambura9188 ปีที่แล้ว +1

    Nilisaidiwa msaada nikasemezewa Sana naomba mungu niishinde hofu ya msaada

  • @AishaThabit-yr4mn
    @AishaThabit-yr4mn 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nasumbuliwa sana nahofu nakupataje

  • @AnnickNdikumana
    @AnnickNdikumana ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana kwaimafundisho kwamana nilikuwa nahofu yakuwacwa nimejifunza kabisa

  • @PatriciaMahendeka-cw1ls
    @PatriciaMahendeka-cw1ls ปีที่แล้ว

    Asante sana Mr umenifunzaa na umenisaidia sanaa sana,maana maisha hayaa duuh,Mungu akutie nguvu na akubariki,siku moja nataman kuwa kama wewe😊

  • @LuluIssa-v8e
    @LuluIssa-v8e หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏mungu akubarik

  • @rebeccqhnyqngoso3772
    @rebeccqhnyqngoso3772 4 หลายเดือนก่อน

    Asante ssna Dr charis mauki nashukuru mungu sana nakupinga asante kira jombo

  • @DAZIZUbeàutysalon
    @DAZIZUbeàutysalon หลายเดือนก่อน

    umenitibu sehem kubwa sana Mungu akuzidishe😊

  • @veroodeni2162
    @veroodeni2162 3 ปีที่แล้ว +2

    Asant sana Dr umenisaidia Jambo🙏🙏

  • @muhammedkhamis2566
    @muhammedkhamis2566 ปีที่แล้ว

    Asantee sana daktari Mungu akubariki

  • @RashidiDiana
    @RashidiDiana 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi nakuwa nahofu sana Hadi muda mwingine moyo unaenda Kasi sana

  • @EdwardJoseph-g1u
    @EdwardJoseph-g1u 16 วันที่ผ่านมา

    Hakika umenisaidia ubarikiwe

  • @diannesebastian557
    @diannesebastian557 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante baba kwa fundisho

  • @JacquelineJack-w6z
    @JacquelineJack-w6z 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika umenisaidia sana Mungu akubariki

  • @josephtesha872
    @josephtesha872 4 หลายเดือนก่อน

    Asantee Dr najifunza kila siku

  • @emanuelykandola6584
    @emanuelykandola6584 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa kaka

  • @alisburundi9657
    @alisburundi9657 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwaushauli

  • @hadijaMussa-sc1tk
    @hadijaMussa-sc1tk ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe na mwenyezi mungu

  • @aikaabdala6366
    @aikaabdala6366 10 หลายเดือนก่อน

    Dah mungu hutuma watu kwaajili ya watu ashukiriwe yeye kukuleta hapa na mawazo yako mungu anatupenda sana

  • @monikaben9248
    @monikaben9248 2 ปีที่แล้ว

    Dr ubalikiwe sana leo nimepona hofu imenitesa sana

  • @hamisiselemani4927
    @hamisiselemani4927 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana aise maana mie nipo na hofu kila wakati

  • @treeza0015
    @treeza0015 ปีที่แล้ว

    Hapo kwa Meli umenilenga kabisa nashukuru kwa kunisaidia

  • @theresialucian7002
    @theresialucian7002 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa somo zuri

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 ปีที่แล้ว

    Amina,kweli hofu aiu kile unachokilia ,inakuusu wewe,

  • @Joh_WRLD
    @Joh_WRLD 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante saana kuna jambo kubwa sana umenisaidia.

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @mrsmtiulempwembwe8938
    @mrsmtiulempwembwe8938 2 ปีที่แล้ว +1

    Hbr dokta

  • @joxeesety2616
    @joxeesety2616 11 หลายเดือนก่อน

    ASANT Sana Dr

  • @purityrehema543
    @purityrehema543 ปีที่แล้ว

    Asante barikiwa sana

  • @JacklineHope-y1m
    @JacklineHope-y1m 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli baba ubarikiwe

  • @KhadijaRhasid
    @KhadijaRhasid 3 หลายเดือนก่อน

    Da ubarikiw san

  • @kenyanbae2476
    @kenyanbae2476 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana umenipa moyo kakangu sana I say

  • @agnesstuart6755
    @agnesstuart6755 3 ปีที่แล้ว +1

    Asant kwa somo zur

  • @ErnestMoyo
    @ErnestMoyo 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana dr

  • @RosemaryMusa-eb2gp
    @RosemaryMusa-eb2gp 8 หลายเดือนก่อน

    Thank you so much, stay blessed.

  • @gdazaki
    @gdazaki 2 หลายเดือนก่อน

    thanks mkuu

  • @beatricemabula4783
    @beatricemabula4783 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana dk.mauki. jaman nabarikiwa na nahimarika haswa. Hofu tupa kule.

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @salumkikoti2443
      @salumkikoti2443 3 ปีที่แล้ว

      @@ChrisMauki1 kaka angu m Sina amuna mume wng hi Hali ilianzag kama wk mbl adi niforse kusex nae

    • @thedon8467
      @thedon8467 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅

  • @mankamushi
    @mankamushi 11 หลายเดือนก่อน

    Asante😢

  • @mankamushi
    @mankamushi 11 หลายเดือนก่อน

    Asante🙏

  • @suzankawishe6154
    @suzankawishe6154 3 ปีที่แล้ว +1

    asante sana dr umenisaidia jambo

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว +1

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @iluminathambulwa7054
    @iluminathambulwa7054 2 ปีที่แล้ว

    Your very true in sense of understanding keep it up doctor

  • @BakariAbdalla-f4j
    @BakariAbdalla-f4j 3 หลายเดือนก่อน

    Dah mimi inanitesa sana iyohal ni

  • @MohamedyAthuman-kn8ly
    @MohamedyAthuman-kn8ly 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤asanteee Sana kaka

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana,i will became this fear in the name of Jesus.I had a lot of setbacks because of fear.

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  8 หลายเดือนก่อน +1

      please deal with that and God help you

    • @godfreydavid6996
      @godfreydavid6996 8 หลายเดือนก่อน

      @@ChrisMauki1 It's about my marriage brother, countless times I thought about ending my life because I see no light.

  • @iddyabdul9898
    @iddyabdul9898 2 ปีที่แล้ว

    thank you my brother

  • @sufoorembo5925
    @sufoorembo5925 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique 🇲🇿

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  8 หลายเดือนก่อน

      yes tunaweza kuarrange session, check us via whatsap 0713407182 or 0658996262

  • @eleganthomesolutions
    @eleganthomesolutions 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante Dr Chris

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว +1

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @eleganthomesolutions
      @eleganthomesolutions 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ChrisMauki1 tayari mkuu

  • @abachadeboytz1693
    @abachadeboytz1693 3 ปีที่แล้ว

    Nashukur sana, kwa kipind hicho

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @marianamichael5406
    @marianamichael5406 7 หลายเดือนก่อน

    Thankyou

  • @wafelawafela6672
    @wafelawafela6672 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen 🙏

  • @queenbundala6188
    @queenbundala6188 3 ปีที่แล้ว +4

    Asante doctor masomo yako yanatubariki sana , pia doctor naitaji namba yako ninashida

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว +1

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @nelyrugabo9913
    @nelyrugabo9913 3 ปีที่แล้ว

    Thank you so much

  • @MaryMarylyanga
    @MaryMarylyanga ปีที่แล้ว +1

    Nilipata tatizo nimekuwa nahofu sana mpaka nashindwa kuwa na. Amani

  • @agnesstuart6755
    @agnesstuart6755 3 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri nimevutiw nalo

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @KhadijaYusuph-n9z
    @KhadijaYusuph-n9z 9 หลายเดือนก่อน

    nimechelewa sana kukufahamu

  • @neemapeter6278
    @neemapeter6278 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @tabithasamwel3408
      @tabithasamwel3408 3 ปีที่แล้ว

      Ahsante doctor nimejifunza kitu mungu akubariki sana.

  • @BeataAlexander-n4d
    @BeataAlexander-n4d 15 วันที่ผ่านมา

    Naomba ushauri mimi nimejenga baada ya kuhamia kwenye nyumba naambiwa ntarogwa nimezungukwa na wachawi watauwa watoto wangu wote nifanyeje na ninaogopa usiku ukiingia kulala naogopa sana

  • @MuasitiAboBakri-ew5mu
    @MuasitiAboBakri-ew5mu หลายเดือนก่อน

    Nimepata kujua hofu yangu ni kumpoteza baba yangu 😢 na ndugu wa kalibu😢😢😢😢😢nawezaje kusahau na kuludi kama awali maana inanipa hofu na wasiwasi imepelekea mapigo ya moyo huenda kasi mno hali imeanza gafla tuu

  • @bongotrending2255
    @bongotrending2255 2 ปีที่แล้ว

    Asante doctor

    • @anneokoth3466
      @anneokoth3466 9 หลายเดือนก่อน

      Dr kwanza nishukuru maan mie hofu imenitawal san ktk maisha yangu.lkn nadhani kuanzia leo nipo huru kwani nimekuwa nikijihisia magonjwa nisio nayo kisa naumwa miguu inawak moto pia mgogo pia unawak moto na shingo kuumwa na kiuno na chini ya miguu yan hunyao kuwash😊

  • @samiahmsuya3605
    @samiahmsuya3605 ปีที่แล้ว +1

    Msaada ntatesek hofu na wasi wasi uliopitiliz unanimaliz

  • @ZulfaOmary-n6y
    @ZulfaOmary-n6y หลายเดือนก่อน

    Nina hofu Sana naitaji msaada

  • @bediabahati7700
    @bediabahati7700 ปีที่แล้ว +1

    ❤🙏🏽

  • @BakariAbdalla-f4j
    @BakariAbdalla-f4j 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi linatesa sana yan nisaidie nitakupataje

  • @MarthaGao-t5f
    @MarthaGao-t5f หลายเดือนก่อน

    Hofu hata Mimi inanisumbua sana nisaidie

  • @LeylaEyes
    @LeylaEyes หลายเดือนก่อน

    Nina hofu ya kifoo nawaza sana hadi naogopa na naliwaza mara kwa mara😢😢

  • @DenisKamugisha-zn3ub
    @DenisKamugisha-zn3ub ปีที่แล้ว +1

    Dr naomba unishaur nimefiwa na mume wangu mwaka juz gafra nimekaa nae kwa mwaka mmoja nimeogopa mno nikampata mtu aliyenifuta machoz bt chakushangaza nae ameenda Yan fikra zangu zimevurugika naomba ushaur

  • @salvinaedward7950
    @salvinaedward7950 ปีที่แล้ว

    Asnte doctor hofu na aibu Leo ndio mwsho wake ninakipaji chakusuka Niko nymbn tuu naogpa kujarbu ata kuandika Bango getini ila Leo ndio mwsho wake naamka asaiv naweka bango nimejiamin mm naweza hofu kwangu Leo inakwsha mungu nisaidie mungu wangu🙏

  • @HasaniSalumu-rc6zg
    @HasaniSalumu-rc6zg 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi kila nikikutana na mwamke naingiwa nahofu na shindwa kuendelea dr msahada pls🙏

  • @mariamdaniel2051
    @mariamdaniel2051 2 ปีที่แล้ว

    Ahsantee sana dokta

  • @khadijarajab8383
    @khadijarajab8383 3 ปีที่แล้ว

    🥺jambo la 5 jamani me kabisa

  • @FatmaFatma-r2l
    @FatmaFatma-r2l 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli hata mimi pia hofu hunijia pale nikimkumbuka mume wangu hadi naogopa

  • @CatherineNelson-zn1oc
    @CatherineNelson-zn1oc 7 หลายเดือนก่อน

    Docter nitakupataje Nina Hilo tatizo natamani kupona

  • @rukayyanabahani6754
    @rukayyanabahani6754 ปีที่แล้ว

    Minina shida na namba yakoo

  • @AnnahKamene-zm5lf
    @AnnahKamene-zm5lf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kinacho ni maliza naona kama nime wekewa sumu juu mwili una uma kila mahali naona niko nauoga sana ata silali

  • @emmanuelallen4430
    @emmanuelallen4430 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante KWA masomo manzuri yanayojenga familia.
    Tunaomba no zako za simu ambapo waweza Patikana KWA whasssup.
    Mungu akubariki

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว +2

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
      0713407182

    • @allymressa5588
      @allymressa5588 ปีที่แล้ว

      ​@@ChrisMauki1 mwanasaikolojia

  • @bethfrorambashaagabo4171
    @bethfrorambashaagabo4171 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaan kam mm ninahofu mpk nahisi ndoa yangu itavunjika 😭😭😭😭

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 2 ปีที่แล้ว +1

      ucwaze utakaaa poa tu

  • @JaphetSimba
    @JaphetSimba 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika kunatatizo la hofu .
    Nikitaka kufnya jambo ...hofu huja nikushndwa

  • @JenithaAlistidesy
    @JenithaAlistidesy 2 หลายเดือนก่อน

    Ninatamani nijue uwa unafundiha wp live

  • @haythamabdallah158
    @haythamabdallah158 8 หลายเดือนก่อน

    Alf pia nlikuw n mawaz sn wkt w kjfngua krbu n kujfngua yn mawaz y ndow

  • @RebekaArfonce-mz5bg
    @RebekaArfonce-mz5bg ปีที่แล้ว

    Doctor ninapitia kipindi kigumu sana imefikia nakosa usingizi usiku kwa mchana nahitaji msaada zaidi private....nimefikia hatua natak kujifanyia kitu kibaya...naomba nijue jinsi yakukupata japo kwa simu..😭

  • @AshaIddy-pz1qz
    @AshaIddy-pz1qz 8 หลายเดือนก่อน

    Unanisaidiaje dokta mimi nashida hiyo ya hof na waswas

  • @KhadijaYusuph-n9z
    @KhadijaYusuph-n9z 9 หลายเดือนก่อน

    mm mahusiano yana nipa hofu naogopa kumpoteza ninaye mpenda na kunamigogoro ya hapa na pale sasa napata hofu mno hasa nikiwa mwenyewe

  • @frebrickmwamburi5279
    @frebrickmwamburi5279 2 ปีที่แล้ว

    Nikitaka kukupata nitakupata vipi

  • @rahimmassawe7023
    @rahimmassawe7023 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba ushauli kwanza nnampenz mmoja ila na mtoto moja babake tumeachana mpenz wangu alinitongoza na kuniambia nitakua krash ila mm nilimpenda tu na alisema ana relation sasa kasafir kaenda kuchukua chet ila anapoenda kuna mtu wake ila anasema nimuamun maana hana furaha nae maana anamdharau

  • @festamwaibabile2190
    @festamwaibabile2190 3 หลายเดือนก่อน

    Naitaji kuongea na wewe nipo dar

  • @meeklovett7808
    @meeklovett7808 ปีที่แล้ว

    Jamni nataka kuoona na huyu dct nitampata wap

  • @haythamabdallah158
    @haythamabdallah158 8 หลายเดือนก่อน

    Mm nsmbliw n wasws tng nijfngue nlipt km mshtk hv saiv bd n miez9 tng nijfngue inantes nabnw n kfua moy wapg pg tu nshmlz kil kipimo jmn nin ttz gn n spon nshmlz hd gaw z ges bkzan ges

    • @samiahmsuya3605
      @samiahmsuya3605 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wew ni mwenzang jaman kifua wasi was

  • @sufoorembo5925
    @sufoorembo5925 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique 🇲🇿

  • @ramadhanidolle1952
    @ramadhanidolle1952 2 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @AliyaAley
    @AliyaAley ปีที่แล้ว

    Asante