3 SEHEMU YA MSALABA WA YESU KUKUONDOA KATIKA UMASKINI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || TANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2024
  • Semina ya Neno la Mungu Tanga Mjini || Day 3 || Tarehe 05 JULAI 2024
    .................................................................................................................
    Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
    M-PESA 0754 211 633
    TIGO-PESA 0715 511 633
    AIRTEL MONEY 0682 657 080
    HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
    WEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
    CRDB BANK
    ACC: 01J2032214400
    JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE

ความคิดเห็น • 39

  • @zawadipaul304
    @zawadipaul304 2 วันที่ผ่านมา +11

    Please make this go viral, we need more people to watch and learn this profound message.
    Please like, subscribe and share.
    Copy this link and send it to groups and individuals. Its a timely message for God’s people🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @LiberathaMwashiuya
    @LiberathaMwashiuya 2 วันที่ผ่านมา +13

    Tanzania hakuna mwalimu wa Neno la Mungu kwa viwango vya juu kama Mwakasege Kwel Mungu ana vyombo

    • @gloriachodota7470
      @gloriachodota7470 2 วันที่ผ่านมา +1

      Utukufu kwa Mungu

    • @salomengowi3383
      @salomengowi3383 วันที่ผ่านมา

      Kabisa huyu ni Mungu aliye juu Bwana wa mabwana anamtumia kabisaa👏💯🙏

    • @samuellodrick3625
      @samuellodrick3625 วันที่ผ่านมา

      Kweli kbsa

  • @christarbarakajfdgorr138
    @christarbarakajfdgorr138 2 วันที่ผ่านมา +5

    MUNGU azidi kukuwekea wakfu mwalimu na timu yako ya huduma ya mana mbarikiwe sana

  • @WinfredJulius-r2z
    @WinfredJulius-r2z 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu akubariki na kukupa miaka mingi hapa duniani

  • @mkamimachage
    @mkamimachage วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe Sana mwalimu Mwakasege, Mungu akutunze wewe na Timu nzima ya huduma ya mana, mzidi kutuhudumia ili tuyaishi mapenzi ya Mungu hapa Duniani, tupate Baraka na mwisho tuurithi uzima wa milele. Amina.

  • @JaneNaibala
    @JaneNaibala 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu mbariki mtumishi wako na huduma mzima ya mana

  • @annatoliraphael1686
    @annatoliraphael1686 2 วันที่ผ่านมา +3

    Amen ubalikiwe Mwl Mungu akutumze.

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu akubariki sana Kwa mafundisho haya mazuri yaliyojaa uweza wa Mungu.

  • @JanethMhina-ro1kf
    @JanethMhina-ro1kf 2 วันที่ผ่านมา +2

    Roho mtakatifu badilisha mfumo katika maisha yangu

  • @mselledamas9078
    @mselledamas9078 2 วันที่ผ่านมา +2

    Ameen damu ya YESU ikasimame kwenye udhamini wa maisha yangu mifumo ikabdadilishwe

  • @prisilaikumbio5342
    @prisilaikumbio5342 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hili ndilo Neno la ukweli, kuchagua kusuka au kunyoa,ufalme wa mungu utatekwa na wenye nguvu

  • @anthonygondwe1608
    @anthonygondwe1608 2 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi Mungu anakutumia vema, tunapata shauku ya kumjua BWANA kwa urefu upana kimo na kina, inuliwa juu zaidi baba

  • @lucymwinuka3541
    @lucymwinuka3541 2 วันที่ผ่านมา +5

    Ameen

  • @ruthgreen3274
    @ruthgreen3274 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki Mwl, SoMo Zuri sana

  • @user-de9gf2wi9o
    @user-de9gf2wi9o 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mabadiliko yafanyike sasa kabla YESU hajaja kulichukua kanisa lake

  • @ernestbutagalala
    @ernestbutagalala 2 วันที่ผ่านมา

    Aminaa mtumishi wa mungu ubarikiwe kwa neno

  • @sarahkaminyoge3197
    @sarahkaminyoge3197 วันที่ผ่านมา

    Damu ya yesu ipite kwenye mwili wangu inisafishe na kuniosha na kuwa safi

  • @ernestbutagalala
    @ernestbutagalala 2 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe baba unahubiri injiri iliyo ya kweli

  • @christarbarakajfdgorr138
    @christarbarakajfdgorr138 2 วันที่ผ่านมา +2

    Yani somo la Leo mwalimu umenigusa Yani nikama ulikua unanizungumzia Mimi hakika MUNGU wetu anatenda ninashuhuda kubwa mno juu ya somo la Leo

  • @reginajohn8797
    @reginajohn8797 2 วันที่ผ่านมา

    Nakubariki Bwana umenifundisha leo sadaka ya mbegu najua unaenda kunipeleka viwango vingine. Kwa sadaka hiyo juu ya biashara yangu ya duka la dawa Mana mpenyo ulikuwa mgumu Ila now uwe mdhamini wangu Bwana.

  • @damasigregory
    @damasigregory 2 วันที่ผ่านมา +1

    Nimebarikiwa sana mwalimu mungu akulinde sana

  • @JanethMhina-ro1kf
    @JanethMhina-ro1kf 2 วันที่ผ่านมา

    Asante Yesu kwa somo zuri

  • @fabianenock1276
    @fabianenock1276 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana Mtumishi tunakupata vizuri

  • @elyhillary2000
    @elyhillary2000 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ameeeeniii

  • @lizpallangyo8057
    @lizpallangyo8057 2 วันที่ผ่านมา +3

    Ameeeeen Mungu ikumbuke sadaka yangu ya mbegu ukaipe kibali ikazae

  • @justinembwilo
    @justinembwilo 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ameni!

  • @medsonmichael755
    @medsonmichael755 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana, ombi langu naomba mruhusu tuweze kudownload video hiz ili iwe rahisi kuendelea kusikiliza mara kwa mara

  • @audreysmart12
    @audreysmart12 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @LightnessShee
    @LightnessShee 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Plz turuhusuni kudownload haya masomo tunataman kujifunza kila siku siku moja haitoshi kuelewa kila kitu

  • @LaurianGabriel-y9b
    @LaurianGabriel-y9b 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mwl,Shalom nauliza nihali kuwa na mabaunsa muhubili wa injili? Linanisumbua Sana akilini

    • @kinanantimi5901
      @kinanantimi5901 2 วันที่ผ่านมา

      Ni sawa kabisaa hata mimi ilinisumbua sana ni muhimu mnoo..(protocol)

    • @Kakuyu-Wakakilana-47
      @Kakuyu-Wakakilana-47 2 วันที่ผ่านมา

      Wacha kuwaza mambo ya mabaunsa. Fikiria namna ya kupata nguvu za kiroho na sio ubaunsa maana hata wewe kama mwananchi waweza kuweka mabaunsa wakakuzunguka hapo nyuma.

  • @danielwandwi1784
    @danielwandwi1784 2 วันที่ผ่านมา +1

    BWANA YESU ASIFIWE...
    Technical team ya semina naomba mruhusu hii video tuwe na uwezo wa kudownload Kwa TH-cam without purchase recommendations😢🙇🏾‍♂️

    • @ernestbutagalala
      @ernestbutagalala 2 วันที่ผ่านมา

      Na mm nimejarbu kumbe na ww imekata

    • @ernestbutagalala
      @ernestbutagalala 2 วันที่ผ่านมา

      Kwakwel wafanye marekebisho tupate kuidanilody

  • @samsonjohn2631
    @samsonjohn2631 2 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU wangu nakuomba kumbuka sadaka zangu na ujibu maombi yangu kupitia madhabahu yako matakatifu MUNGU nakuomba