MAZURI YA YUDA KATIKA BIBLIA WENGI WANAMJUA YUDA WA MAPOKEO HWAMJUI WA BIBLIA "PASTOR MGOGO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 มี.ค. 2024
- Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
TH-cam : Pastor Daniel Mgogo th-cam.com/channels/eNr.html...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
I have got the message: Amen pastor mgogo.
Pasta mgogo wewe nimutumishi wa mungu kweli nami na kubaliki sana apa ni kasedemba toka butembo Nord Kivu
Jambo mwalimu tunashukuru kwamafundisho
Ubarikiwe mushungaji tunakufuata toka Congo bkv
Asate baba mchungaji huku Congo tunakufwata vema❤
Amen yuda alikuwa kwenye mpango kazi wa Mungu
Pastor Mungu akubariki kwa ujasiri wako
Ubarikiwe kabisa
Ujumbe mzuri sana
Uko vizuri sana Pastor Wengi Hatujui Tufundishe
Ubarikiwe sana
Mungu akubariki mtumishi
Yuda ni shujaa ilikuwa lazima neno litimie yesu asurubiwe had kufa ili na kufufuka kwake ni ni uzima wa milele kwa ajili ya sisi wanadam
Hongera sana mgogo
Mgogo unatsha past❤
Unafikir bila yuda nan angemsaliti Yesu.bila Shaka katika mpango wa wokovu Yuda alikua muhim sana ili neno litimie🎉🎉
Biblia alisema ole wake
Yuda ni mwanaume alimsindikiza Yesu kwa mpango wake wa ukombonzi
Amen amen 🙏
Asante Baba twambie maana na Mimi huwa nikiwaambia watu huwa wanamchukia sana Yuda lakini vitu vingine huwa ni purpose hata angeruka Kiasi gani ilikwisha kutabiriwa.
Amina mchungaji nimejifunza kitu.
may God protect uy
barikiwa sana
mtumishi mwanaume nawanawake kula chuma hicho
much love from DRC Goma
Ur very right pastor
Nabarikiwa nikiwa saudi pastor
Nimekuelewa pasta
Amen
Tuna barikiwa baba uku Lubumbashi
Ninakushukuru Baba kwa haya mahubiri ukisema kuhusu Yuda nimejengwa sana kiroho
Uko sahihi mtumishi. Yuda aliwezesha (facilitate) utambuzi (identification) ya Yesu. Na nia yake yuda alitaka Yesu akatendewe haki - akajitetee mbele ya Pilato, akiwa anajua hana kosa kwa hiyo, kama Pilato atahukumu kwa haki, Yesu angeahiwa huru. Na hiyo fedha hakuwa amepewa kabla, bali baada ya kufika kwa pilato - "takrima"; na aliikana fedha hiyo; na ikachukuliwa na hao walafi wa fedha.
Nyie watetezi na mawakili wa Yuda, kama ndivyo mbaona Yesu mwenyewe alimlaumu Yuda?
Yuda hakutubu usihubiri uzushi
Muchungaji ubarike sana tunakufwata hapa Kenya saika Estate
Nambarikiwa nikiwa kenya
Pia mm
God bless you
Glory to God 🙏
Nabarikiwa nikiwa Malawi ila mimi ni mukongomani.
Pale naye IKO Congo butembo
hapo apana mjungaji kutubu kwa yuda ni kwakujudia si kwakutoka ndani yake huyo hawezi
Mtumishu tupe madini tusio kua tunayajua tukae chini tunyooshe miguu tule chuma
Ijapo nyekundu kama damu ukitubu zinasameheka tumsifu yesu kristo wapendwa
Yuda kumsarity yesu kristo ulikuwa mpango wa mungu ili neno litimie damu ya yesu ilikuwa lazima imwagike ili tutakaswe kwa damu yake yesu iliyomwagika kwa hiyo mimi namuona yuda ni shujaa
Uyu mtumishi bwana hacha nipite
Love from USA
Asante sana baba
Kweli yuda alitubu ila ana ole
😅😅😅nimecheka sana MM APA BIBI YA JUDA'S 😅
Pastor napeda sana kukusikiliza hata nikiwa na mawazo yanaisha kabisa hasa hasa kule kwa kupokea magari mashamba na hauna hera na unapokea tu barikiwa pastor unaodoaga stress mtu akisikiliza mahubiri yako hawezi boeka
Ame
Neno ili na lipenda sana niko Congo Lubumbashi
Tangu Mwanzo MUNGU Ali andaa Wokovu Kabula ya Misingi ya Dunia Ali andaa Hata Yuda Aliandaliwa kwa ajiri ya Wokovu
Mimi naponywa na furaha iliyojaa mafundisho
🙏🙏
Hao ulionipa nimewalinda isipokua mwana wa upotevu
Much love from Nairobi Kenya
Yuda alitimiza mandiko,alafu alikuwa sawa muhigizaji
Yuda hakutubu
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kapisa
Tuiache biblia iseme kama neno la Mungu...hakika Yuda alikufa bila toba kwa sababu kujiua ni dhambi...
Dhambi ya kujiua hakutubu ila ya kuchukua hela ili amsaliti Yesu alitubu
Yuda alifanya hivyo ili sis tupate wokovo
@@tuitangazeinjiliyakweli8180😅
Toba sio kutubu hadi ujinyonge,toba nikutubu ukawa MZIMA soma hapa
(Kwa maana huzuni ya kimungu huleta toba iletayo wokovu na wala haina majuto. Lakini huzuni ya kidunia husababisha mauti.)
| 2Wakoritho 7:10 |
Mwanampotevu,Daudi nk ni mfano wao
Kujinyonga hukimbii matatizo,unajitia kwenye point ya no return....
Guys,hata uwe na stress kiasi gani,usijinyonge tafadhari sio suluhu...
❤❤❤
Shalom Mtumishi wa Mungu, haburi maandiko tuu, acha kuhubiri mawazo. Maandiko ndo yako nauzima Yohana 6:63.
Mawazo yanaleta kifo
Roho mbaya wewe. Angalia pande zote mbili.
nakufa toka bukavu
Usife katika jina la Yesu alie hai....amen
Yuda mbona alijinyonga
Yesu alisema heri huyo mwennye kumusaliti atajuda na heri asijezaliwa nimelewa hivo na hio neno na inasema tu hivo heri agezaliwa
Yuda alijinyonga.. Akapasuka matumbo yake yakaliwa na mumbwa
Yuda Alikua Njia ya kutupatia Wokovu
@wanjiku Judas was the devil personfied
!!
Amina
Wenoma
Nafulahitu ila samahani Pasta kama inawezekana nipate nambayako ya WhatsApp Asante Sana.
Hafadhali yuda kapata mtetezi
Katetewa au kasimuliwa !?
Jambo Mzee wa mawe Mara hii nimesikia uko hapa kwetu butembo uko upande gani hapa mjini kwa kanisa gani? Tafazali mcungaji niambie nikuje kukuona Mzee wangu nakufatilia sana tangu Siku nyingi mtandaoni
Yuda hatskwenda mbinguni arikuwa
Mwekupenda feza hakuokoka
Mbona hakuzitumia kama alikuwa anapenda fedha?
Unaongea na mimi kabisa jamani 😂
Mark 14:21
[21]
Kwa maana Mwana wa Adamu aenda zake kama alivyoandikiwa; lakini ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu; ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa. PASTA MANENO YA YESU KWA YUDA NI HAYO!!!!
Sasa kutokana na maandiko haya nauliza uzuri wa yuda ni upi! Sunaona amepoteza muda bure kuleta ufunuo usiofaa?
@@kalimbachristopher8410 ndugu Yangu,,,, siku izi kwakuwa biblia imeandikwa kwa kiswahili basi kila mmoja anajifanya kuijua!!!! 😅😅😅😅
Hakika kila jambo ni mpango wa mungu lakini kwakua tukio lilifanyikia kwa yuda isiwe kikwazo lilipngwa hivo kwa ondoleo la Dhabi ili mimi na wewe tuokolewe lakini
Chang'ombe
Kila kibaya kumbe kina uzuri wake!
🎉
Mze wakurusha mawe
Poor exegis leads to speculative theology.
Hdhsg❤
You can't find Yuda in the heaven
Huyu sio Mchungaji
Hiyu ni mtu wa taarabu
Good good good
Tunamhukumu yuda kwa dhambi zile zinatawala kanisani
Hiyo ili kuwa introduction changa moto ,
acha ku danganya watu n'a injili ya uongo, yesu mwenyewe anasema, ninyi nyote mumekwisha kua Safi ila si nyote isipokua huyo mwana wa upotevu, sasa unasemaje kwamba yuda alitubu? na aka tubu kwa Nani? Wewe ni muongo,yohana8:44
Kama Yuda akuwa na hatiya angejinyonga? Sai n wangapi wanatenda dhambi hadi wanawauwa watoto wao lakini hawatubu. So usilalamike bure
Matthew 27:3-4
Sikiza mahubiri ila lugha huielewi
Kama mahubiri ya mchungaji yanakukwaza tafadhali jitoe nauache kuogea matope
Jiulize kwanini huhubibili
Yuda hakutubu, Alijinyonga, Sawa na Pilato nae alijua kuwa Yesu hakuwa na hatia, ila hakuamini.
Alitubu. Kasome vzur neno
Biblia haisomwi kama gazeti la udaku. Tulia kwanza kabla ya kutoa hoja.
Ubarikiwe baba
Kwani kutubu maana yake ni nini,kutubu maana yake ni kujutia kosa,alijutia kosa ndio maana akajinyonga.
Mbona ameeleza mathayo 27:3 Yuda alitubu ila alichokosea ni kujiua
😂 😂😂😂
Duhhhh hii sasa ni commedified bible.... 😂😂😂
Na kujinyonga aliitubia wapi?
Mada iliyopo siyo uiulizayo.
Unapotuambia tutaweza kupokelewa na yuda mbinguni ndo ninapakataa .
BAADA YA KUFA MTU NI HUKUMU
@Elizabeth learn to respect people, you don't disrespect people like that . you were not forced to listen to his preaching.his our pastor and we love him,we love listen to him we can not standing people like you talking nonsence about him.
😂😂😂😂 usitishe watu kwa sauti bwana, mazuri ya mutu yaonekana mwisho wake bwana hakuna mazuri kutoka huko kwa yuda. Siyo wewe utamfanya kuuwa mzuri.😅
WE COMEDIAN, MKRISTO HATAKIWI KUWA NA MSIMANO WAKE BALI WA KRISTO.
JIANGALIE UMELEWA SIFA.
,😂😂😂😂😂😂😂
Yuda iskarioti hata patikana mbinguni kabisaa 😢
Wewe Usimhukumu Yuda, Kwanza Ana Kitabu Kitakatifu Kwenye Biblia Takatifu Ya Mungu, Pili Alikuwa Mtumishi Wa Kuhubiri Injili Ya Yesu, Tatu Alikuwa Mwema, Ndiyo Maana Alikubali Kutubu Na Kujutia, Wewe Umewahi Kuwa Mtumishi, Mwenye Moyo Huo?
Bila yuda labda tungechelwa kuupata wokovu
.@@luggagecouriertz9238
Yuda labda kaenda mbinguni zamani, ukimlinganisha na ukristo wa sasa.
Kwahiyo wewe ndo unayebeba hukumu yake sio ??
acha kupotosha watu mjinga ww
Did you just abuse him😢
Usitukane wa tumishi wa Mungu..wala usihukumu utakuja kuhukumiwa
@Elizabeth learn to respect people, you don't disrespect people like that. you were not forced to listen to his preaching.his our pastor and we love him,we love listen to him we can not standing people like you talking nonsence about him.
Andiko umelisoma haliendani kabisa na hadithi unazopiga.
ACHA COMEDY WE COMEDIAN. ACHA KUFUNDISHA MAWAZO YAKO POTOFU. FUNDISHA BIBLIA.
NDUGU TUSIWE WALIMU WENGI.
Hebu hubiri wew tukuone
Nimependezwa na comment yako...biblia inasema siku za mwisho yatatokea makristo ya uongo
You are the great comedian but not a preacher
Amen
Kapisa