Hunywi pombe wakati mezani kuna chupa ya wine ila wabongo bhna😂😂😂hv kwann linapofika suala la kunywa pombe mnaruka distance kubwa sana why passing around
Host jifunze ustaarabu usiwe too comfortable nyumbani kwa mtu. Unaingia moja kwa moja unapandisha miguu juu ya kochi muhusika mwenyewe hajafanya hivyo..hovyo kabisa
@joailynetoto2147 0 seconds ago Congrats wii….Kweli unapambana sana, ni mfano wa kuigwa na inspiration kwa wengi hasa kwa sisi tulioshuhudia hustle zako tangu enzi hzo❤️Keep pushing
huo ni wivu dada, marangi mengi...nyumbani kwenu mmezingatia rangi gan kwa mfano, dada wa watu kachagua zake theme nzuri af we unaropoka ropoka tu, wivu na ushamba tu
@@hildagabriel1003 mapambo yake ni mazuri ila yamekua mengi mno analafu langi aijaendana na sofa na mapazia kwaiyo ayapo kwenye mpangilio mzuri sebule aija pendeza🙏🏻
Kajitahidi saaaaana kwa age yake na misha ya bongo congratulations mamii.. Hay Da zama tuletee dada director please guy's like km yes
mbona wakawaida tu
@@kautharjay5868 acha roho mbaya ww
Eti kawaida kaaa🙌🙌
@@kautharjay5868 unacheza wewe ebu tuoneshe yako uwenda mbk. Leo unasubilia ugali wa kengengele hapo kwenye
Zuuu collection ndio habari ya mjini sasa hivi, product zake zote zipo poa,,, Hongera sana zuuu ❤
Uyu ni mkarimu always mashaaalah ❤❤❤
Kweli wabongo maneno mengi....dada anaongea khaa😂😂😂😂
Nimejifunza kitu kikubwa sana leo,hongera sana Zuu Mungu azidi kukubariki 🙏
Saleh ukiwa unawahoji sana wafanya biashara Yani wajasiriamal inapendeza sana maana tunajifunz jins ya kupamban
Kweli kabisa
Saleh tunataka tupaone pia kwako
Mchangamfu sana nampenda zuu collection😅
Salehe please usimuulize mtu kwanini huna mtoto? Sio swali zuri
Ni swali la kawaida sana kwa siku hizi kuna wengi hana mtoro for her choice kwanini asiulize mxiuu
@@tanzcanmediatv4473wanaojielewa Tu ndio wataelewa comment yangu
@@tanzcanmediatv4473 mh hii sio kawaida
Pazur sana nimependa maintenance ya color ❤
Salehe Ukija kwangu makochi yangu hupandishi miguu hivyo ntakutimua shenzi kabisa ukaaji gn kwa watu huo
She's genius ❤
Mashahallah zuu collection ongera cn dada mrembo ❤❤❤❤❤ nakupenda cn
Hiv huyu kaka
Mbona hana hay jmn😂😂 khaaa sijawahii ona ajifunze hata ustarab wallah😢
Hunywi pombe wakati mezani kuna chupa ya wine ila wabongo bhna😂😂😂hv kwann linapofika suala la kunywa pombe mnaruka distance kubwa sana why passing around
Si kila chupa za design hiyo ni wine my dear.
Kuna chupa za mafuta ya zaituni zinafanana hivyo mimi pia natumia zaituni kama hiyo
Na amesema anaishi na ndugu zake wa5 so inaweza kua ya hao ndugu zake, watu bana@@WinWilly4162
Mwadishi waabari kua msataarabu ikienda mtu. Unakaa kama kwako. Miguu juu ya kochi 😊
Lipuuzi sanaa
Hana maaadili Ana relax sana saleh inabd awe na nidham akishafika kwa mtu hasa kugusa kitu cha mtu bila woga
Adi kwingine kitandani anapanda😢
Host jifunze ustaarabu usiwe too comfortable nyumbani kwa mtu. Unaingia moja kwa moja unapandisha miguu juu ya kochi muhusika mwenyewe hajafanya hivyo..hovyo kabisa
yan, Kuna wengine hatupendi
True
Sure.
Nice zuu, Mungu akusimamie.❤❤❤❤❤❤
HONGERA SANA ZUU. TUNASHUKURU KWA USHAURI
Kwanza hongera your house is well organized na ipo clean
Hongera dada
Yan hapo kweny ilala boma hapo nmekubali sana maana ilala boma saa 10 uwe ushafk kuchukua mzgo aisee
Ila salehe anakera mno sio mstaarabu
Mnakosaga vya kuhoji..😂😂😂😂
NYUMBA KALI. KUBWA...UNASHNDWA KUMWAGA ZEGE APO NJE UKATOA AYO MAJI TAKA UPITE VIZURI NA GARI LAKO??...AU NDO USWAZI..
Mbona unakipele ww .Aya onyesha ya kwako yenye zege..
😂😂😂😂😂@@user-xc1vv5ut3l
Mwaga kwako
@@user-xc1vv5ut3l anakwake basi au chumba kimoja kama stoo
Anaonekana ni mkarimu sana dada zubeda au zuu collection
Mashallah kijumba kizuri
Congleshen my sister zuuh
Zuu n tajiri walah nimependa
Amefanana zaylissa kabisa ety adi uref
ata me ndo nilijua hivyo mwanzo
Miguu juu ya makochi sio poa kabisa
Nyumb zuri ila mavitu mengi marangi kha
kma dampooo 😆😆😆
@@praisesteven7774 🤣🤣🤣
Uyo boya nawekaje mguu kwenye kochi ustaarabu wake wa hovyo
Naomba no unitumie hyo pakeg nzima tuwasiliane
Mpole sana
@joailynetoto2147
0 seconds ago
Congrats wii….Kweli unapambana sana, ni mfano wa kuigwa na inspiration kwa wengi hasa kwa sisi tulioshuhudia hustle zako tangu enzi hzo❤️Keep pushing
Zuu your very smart, I like the way you express yourself
Sema anaongea sana mpka mtu anaye muhoji ampi chance ya kumuuliza maswali
Akkiwa mpole napo huto acha kukoment maskini bwana
Anaongea kama jasinta😂❤
Kabsaaa 😂 lakn nawapenda
Swaleh hapo hamna kula😂😂
Dada mkalimu sana
Mkarimu si "mkalimu"
@@Brunn-mh2bq mwishowe amwite mkulima 🤣🤣🤣🤣
Ila anaongea sana yna hat ajaulizwa mda wt mdomo unachez tyu
Nampenda sana huyu dada
Swaleh ni mroho jamn kila nyumba lazim ule😂
Dio uroho inaitwa hospitality labda kama wewe mkongo watanzania kula kwa mtu ni baraka
Yani swaleh unapenda kula kaka
Ukaaji wa kochi la watu mwandishi wewe😂😂
Nice life enjoying
Jmn c kasema mabinti ndo wamepika 😄saizi yeye ndo kampikia bwana swalehe
ANA HEMA SANA AKIONGEA NA YY NI MWEMBAMBA KWANN?😂😂KUHEMA TUACHIE SIE VIBONGE
Huyu dada nimempendaa ni mkarimu sanaaa halafu ana sifa za u-wife materials
Mimi naijua zuu collection ila owner ndio Leo namuona😮
Wee sarehee utanenepa😂😂😂
SALEHE NA GABI MTANZANIA MNAPENDA KULA KWA WATU😂😂😂😂 YAANI MMEONA MUEKEE SINI YA KULA KABISA 😮
😂😂😂😂😂😂
Hata ukaaji piya siwakisitarabu
Sipendi tabia ya kujiachia kwenye sofa za MTU miguu juu ya kochi
Mashaallah wallah ni mkalim sana wewe dada zuuu Allah azid kukuweka acha nije Instagram nikufollow
Mngeta sio morogoro😂Ila zuu bhana ndio morogoro yenyewe ila nivijijini
Et wanaume wa small planet😂😂
Daa zuuuu nitakutafuta
Jamaa anaboa
Aise kumbe nimesoma naye bila kumjua nadhani anamjua mwalimu lyandamaa
Huyu dada mafuta yake yanaonekana manzuri sana tukitaka dada mafuta tunafanyaje tuko mikoaan
Anatuma mpka mikoani
Salee unahekaheka mwisho utamwaga hiyo wahini😂
Nimependa ukarimu wa huyu dada
MUNGU AKUBARIKI HONGERA
ila umejichubuaaa saan 😂😂😂😂
Yani ujui unaishi wangaoi adi uwafikilie wadogo zako ila bongo
😂😂😂ila harmonize
Zuu uko wapi ninahatsi nataka hizo prodakt salehe nisaidie
Camera man pole yako 😂
Natamani ningekuwa natembea na salehe 😅 kila nyumba msosii
Ebhanee 😂😂
NDINGA???
Mmmmmmh ajatueleza ukweli wote anaongea kama anajaba
Kwahyo jaman camera man Hali jamni
😂😂Saleh 😂
Camera man unarekodi vibaya unatuonesha ceiling unakata miguu. Si uweke camera vizuri ichukue parts zote tatu juu katikati na chini🤔🙄
Kheee😂😂
mafuta ya huyu mdada ni mazuri jamn yani mazuriii mnooo niliwahi jipaka natamani kuyarudiaa kila mtu aliniuliza napaka nn
Ulipaka full package au mafuta tu dear
Sh ngap
Show room hakuna gari ya bei hiyo,sema yard za magari mitumba
Wewe miaka hiyo mimi nilinunua gari show room ya laki nane.wewe umewaza v8 au nini acha ujuaji usiokuwa na research
Watu wako wa small planet
Hyu zuu 40 na usheeee kikubwaa hiki kimwili tu😂😂😂😂 watu wembamba kwa kuongea
🤙
Mm nataka nambar yake jamn
Mbona kelele😂 NAUZA MAGODORO MAPYA NA VITU USED KARIBUN
Ivi saleheeee ukiendaga kufanya interview Huwa unawaambia wakupikie kabisa au???? 😅
Watanzania mgeni anapo fika nyumbani lazima umpe chakula ukikosa soda ,matunda,ata maji 🙏🏻
Ulikuwa unafanya KAZI benki gani? Congrats Mungu akuzidishie
Hebu punguzeni ku judge watu 😮😮 hata kama anaongea sanaa it doesn't harm any of you here 😮😮
Ila anaongea duuuu.
Ameshakwambia mtu wa marketing amefanya sana,kwa hyo anakuwa muongeaji sana.
Banzuri
Mkubwa huyo
Marangi mengi mavitu mengi sofa za kiutu za kizee shida muuska anajisifia sana anaongea sana bila kuulizwa
Wivu tu
huo ni wivu dada, marangi mengi...nyumbani kwenu mmezingatia rangi gan kwa mfano, dada wa watu kachagua zake theme nzuri af we unaropoka ropoka tu, wivu na ushamba tu
Show dizz mumtafufe madame wema
viatu vibayaaaa😂😂😂😂🫠
Punguza uroho wewe😂😂😂😂
Ameonyesha nyumba yake vizury hivyo ndo star ndo atakiwa awe❤❤sio kina zuchu kuonyesha kitanda😅
Salehe jmn nii mmbeyaaa
Kajaz vitu seating room na rangi nyingi mpk hapa vutii
Dah! Ila wabongo, yeye ndie kapenda kuwe ivyoo kila mtu na choice yake
Ukweli lakini japo sijui sana mambo ya mapambo😂
Ww kwako kupoje
@@hildagabriel1003 mapambo yake ni mazuri ila yamekua mengi mno analafu langi aijaendana na sofa na mapazia kwaiyo ayapo kwenye mpangilio mzuri sebule aija pendeza🙏🏻
Wivu kitu kibaya mno
Ila hamna mtu anapitia kipindi kigum kama cameraman wa Saleh😂💔
Yani mm namfikiliaga
Y jmn@@Neemajames-jo6vw
Huo sio ustaarabu kuweka miguu kwenye sofa ukiwa mpeni fanya kwako hinyo
Tabia za ajabu sana watu wamezizoea siku hizi . Ati ndio uzungu😊
@@Brunn-mh2bqsio uzungu kabisa.
@@Brunn-mh2bqmtu alizoea Sana kukaa kwenye busati ndo tatizo
Salehe apunguziwe mshahara maana hana ratiba yakununua chakula😂