MWAKINYO ATAPELIWA/ PAMBANO LAKE LAOTA MBAWA/ PROMOTA TAPELI HAJATOA PESA/ TPBRC YAFUNGUKA MAZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 89

  • @abdulazizgossage7349
    @abdulazizgossage7349 6 หลายเดือนก่อน +2

    TBPRC mnafnya kazi nzuri kulinda maslahi ya mabondia ..wengi hawajui wanacho ongea

  • @MATESO-sk7hu
    @MATESO-sk7hu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Champz asjali izo changamototu

  • @aminidogori
    @aminidogori 6 หลายเดือนก่อน

    Kumbukeni kuwa meakinyo antangaza ngumu vizuri sana huko nje jinsi anavowachapa au mnamuonea wivu

  • @pancrasmalamla9799
    @pancrasmalamla9799 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimesikiliza Kwa Makini sana nilichogundua nikwamba Mabondia wengi inawezekana kiwango wanachokubaliana na wanachopewa haviendani na wengine inawezekana hawapewi hata shilingi wakitisgiwa kutokupewa mapambano au kupandishwa Hadhi hili lipo hata Kwa wachezaji mpira inawezekana watakuwa wanasaidiwa Kwa Hela tofauti na wanayopewa inabidi Selikali kupitia takukuru ihakiki mkataba wa Kila mchezaki

    • @saidothman4527
      @saidothman4527 6 หลายเดือนก่อน

      Kilicho nifurahisha ni hii taarifa kamili maana wengi walikuwa hawajui kinachoendelea wakimuona hasani ni mbabaishaji kumbe anatetea maslai y mabondia wengi, bílá kuelewa wanapayukwa tu na kumtukana bílá kujielewa.

  • @IddyDaruweshi-jv1fu
    @IddyDaruweshi-jv1fu 6 หลายเดือนก่อน +9

    KWA STAILI HIYO WENYE AKILI TUNAJUWA NI FITINA KUMHARIBIA CHAMPEZ MWAKINYO . NI WIVU NA CHUKI NIMELIPIA KINGAMUZI KWA AJILI YA PAMBANO INAUMA SANA. POPOTE PALE ULIPO CHAMPEZ MWAKINYO USIKATE TAMAA MSENA WANGU NI UBORA WAKO

    • @philipomapundaa6801
      @philipomapundaa6801 6 หลายเดือนก่อน

      Nafikili ukisikiliza wanacho kiongea usilaumu bila kujua wanacho kisema kinamlinda bondia na wenzake kinachotakiwa ujanja ujanja autakiwi na wanacho kisema viongozi wamwanzo awafati aki za wapiganaji safi sana viongozi wa mpito

    • @IgarandaIgaranda
      @IgarandaIgaranda 6 หลายเดือนก่อน

      Hakika kabisa

  • @sidebraizoy2070
    @sidebraizoy2070 6 หลายเดือนก่อน +3

    Na mnatuabisha nchi kama nchi nje wakisikia hili mtadharaulika sana

  • @SaleemASalim
    @SaleemASalim 6 หลายเดือนก่อน

    Daaaah
    Kiukweli viongozi hawa Mungu awasimamie maana wamekuja KUFANYA maboresho ya ngumi kwenye nyanja muhimu ya maokoto

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 6 หลายเดือนก่อน +2

    Siku moja kabla ya tukio mlikuwa wapi Viongozi?
    Huu ni udhaifu.

  • @allyfleva7668
    @allyfleva7668 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mnauwa ngumi nyinyi hapo hamkomeshi mwakinyo ila mnatukatisha tamaa ya kusheza ngumi

  • @rahimhemed3370
    @rahimhemed3370 6 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo cc erazetu zakiingilio inakuwaje

  • @MartinPeter-ie5oc
    @MartinPeter-ie5oc 6 หลายเดือนก่อน

    Ongereni

  • @EmmanuelyElisha
    @EmmanuelyElisha 6 หลายเดือนก่อน

    Wanafel hao wanmfelisha sana champez

  • @abuayman8184
    @abuayman8184 6 หลายเดือนก่อน

    Mama kiswahili chako cha nchi gani??

  • @PauloMasai-b1z
    @PauloMasai-b1z 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo ni bos wa mafia ndo anajaribu sana kumaliza uwezo wa mwakinyo bifu hizo

  • @janejoel2465
    @janejoel2465 6 หลายเดือนก่อน +7

    Mwakinyo asikate tamaa walipata shida wakina tyson yeye nan. Nina iman ipo siku yata isha

  • @AsadunMashaka
    @AsadunMashaka 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mna zingua sana nyie 😂😂 duh bongo jau sana iv mnamchukuliaj mwakiny0

  • @MazengoDeo
    @MazengoDeo 6 หลายเดือนก่อน

    Je hao waliyo piganga mapambano ya utangulizi wamelipwa?????

  • @HassanIddi-vz3sf
    @HassanIddi-vz3sf 6 หลายเดือนก่อน

    Kwli kaka

  • @jumannemagawa5095
    @jumannemagawa5095 6 หลายเดือนก่อน

    Huu ni ubabaishaji kabla ya kutangaza pambano mngemkagua kwaza poromota kama ametimiza viegezo ndo mruhusu kutangaza pambano, tofauti na hapo ubovu unaazia kwenu viongozi. Watu wanalipa pesa zao za viingilio halafu ninyi viongozi wakwaza kuvuluga huu mchezo wa ngumi.

  • @aminidogori
    @aminidogori 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa staili hyo wekeni viongozi waliocheza ngumu ili kusapoti Sheria za mabondia sbb mnawaangusha Sana na mnawakatisha tamaa mabondia wetu

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 6 หลายเดือนก่อน

    Nnchi Hii pote ujanja ujanja, ukisema unyoshe unakufa masikini

  • @rahimhemed3370
    @rahimhemed3370 6 หลายเดือนก่อน

    Cc atutajal tutaenderea kumsaport mchizi adiuzeen
    Ata wafanye nn

  • @LovelyGecko-so6ry
    @LovelyGecko-so6ry 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shomari kimbau hua ni mshenzi na muhuni cku zote

  • @khalidmyaule6187
    @khalidmyaule6187 6 หลายเดือนก่อน

    Mumetumia vibaya jina lake kutangaza Ili kukipatia fedha.
    Si mgehairisha mapemaa!!!

  • @rahimhemed3370
    @rahimhemed3370 6 หลายเดือนก่อน

    Inatakiwa afunguliwe kes bn maanayake uyo n mwizi n afungiwe

  • @PauloMasai-b1z
    @PauloMasai-b1z 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania tuko nyuma sanaaa, kiufupi waifungie boxing maana wanatuzalilisha sis wapenzi wa boxing

  • @Herijuma-
    @Herijuma- 6 หลายเดือนก่อน

    maneno mengi tu mlikuwa wp mwz mzima

  • @rahimhemed3370
    @rahimhemed3370 6 หลายเดือนก่อน

    Iv jamboili kwer serekali inakaa. Kimya daaaa

  • @rahimhemed3370
    @rahimhemed3370 6 หลายเดือนก่อน

    Nchi serekali yetu inatuangalia2 magumu tunayo pitia vjn

  • @hishamally4846
    @hishamally4846 6 หลายเดือนก่อน

    Hapa kuna kitu sio bure kuna mtu kawacha manyoa mwenzi mzima kabla mlikuwa wapi 😂

  • @ramadhanmalick4312
    @ramadhanmalick4312 6 หลายเดือนก่อน

    Anavo ongea tu unajua kwamba kuna uongo" nanii nanii" ndio nini

  • @jimmyjigar1468
    @jimmyjigar1468 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo wadau wa ngumi wakinunua ticket mnawasaidieje? Haki zao.bado hamjaweka Mambo sawa.mala nyingi wadau wakinunua ticket hamshughuliki nao mnatukosea Sana.

  • @jumannemagawa5095
    @jumannemagawa5095 6 หลายเดือนก่อน

    Na kwanini mkamkubaliya huyo poromota kama haja kidhi viegezo? Kama ninyi ni wasimamizi?

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 6 หลายเดือนก่อน

    Kila siku mwakinyooo..huyu Ni tapel mchongooo

  • @aminidogori
    @aminidogori 6 หลายเดือนก่อน

    Mkamateni hyo promota awalipe nusu hasara hao mabondia

  • @mirajikawimba8648
    @mirajikawimba8648 6 หลายเดือนก่อน

    Uyo plomoter kamata tia ndani..na bakola juuu mzemba anaichafua Tanzania .mwakinyo sio bondia wakubustiii.

  • @universitylink
    @universitylink 6 หลายเดือนก่อน

    Before one month or three weeks you should announced that failure of what should be done it will lead to the cancellation of the fighting

  • @starfordmasebo5306
    @starfordmasebo5306 6 หลายเดือนก่อน

    Mnatuaibisha bwana acheni usanii kuleni vyenu mstani vya wapiganaji

  • @wilsonbenard94
    @wilsonbenard94 6 หลายเดือนก่อน

    Mlikua wapi mwezi mzima pambano kesho Leo mnasema mkataba mbovu

  • @universitylink
    @universitylink 6 หลายเดือนก่อน

    Serikali fungueni hawa viongozi wa juu na boxing kwa muda wakitia akili watakaa sawa

  • @SimoniShirima
    @SimoniShirima 6 หลายเดือนก่อน +1

    Inaboa sana jamani bora niache kushabikia ngumi

  • @Omariisimaili
    @Omariisimaili 6 หลายเดือนก่อน

    mnao husika na ngumi wote mashogatu kwanini mtangaze talehe ya mchezo wakati maswala ya msingi haja kamilika wasengee je Alie lipia tiketi yake Ina kuaje wasenge nynyi

  • @rashiedmasoud1324
    @rashiedmasoud1324 6 หลายเดือนก่อน

    Ushauri wangu nikwamba serikali ingeingilia kati hili suala zima la uandaaji na udhamini kwa ujumla hasa kwa mabondia wakubwa nchini manake hizi figisu zipo mda mrefu dunia kwa sasa ipo kisasa zaidi mapromota bado wana mambo yakizamani ubabaishaji mwingi!

  • @saidisheshangai
    @saidisheshangai 6 หลายเดือนก่อน

    Wote wasenge plomota ambaye halipi nimwakinyo akipiganatu wanataka kumpoteza mwakinyo na haitowezekana kwasababu mwakinyo ndie aliye fufua ngumi za tanzania

  • @Omariisimaili
    @Omariisimaili 6 หลายเดือนก่อน

    mnao husika na kumi wote niwezi na mna jua mnacho kifanya machizi nyinyi

  • @khamis_zimbwe
    @khamis_zimbwe 6 หลายเดือนก่อน

    DAAH BONGO BHANA

  • @EddySempay-qf1on
    @EddySempay-qf1on 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanini huyu jamaa mnamfitini kila siku muacheni basi

  • @universitylink
    @universitylink 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani mngeshasema haya matatizo kabla ya mwezi.moja au wiki tatu mkatokea kwenye press conference na kutahadharisha Kila upande wakamilishe mahitaji yao la sivyo hamna pambno

  • @MwinyiShomar
    @MwinyiShomar 6 หลายเดือนก่อน

    Tanzania story nyingi wanarudisha watu nyuma

  • @allandavid752
    @allandavid752 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wengi wanaona kama mwakinyo anaonewa ila...duniani hapa huezi kutoboa kwa kutokua na nidhamu na zarau

    • @ramadhanihamadi6304
      @ramadhanihamadi6304 6 หลายเดือนก่อน

      Kwaio mwakinyo hajatoboa?

    • @allandavid752
      @allandavid752 6 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanihamadi6304 katoboa kwenye nn

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 6 หลายเดือนก่อน

      nidhamu ipi ambayo wewe unataka kwani mwakinyo apo kosa lake lipi kwaiyo unataka watu wambanie hewa akipata athali ambazo hazita mrudisha tena ulingoni familia yake utailisha wewe acheni ushamba wa kizamani

    • @allandavid752
      @allandavid752 6 หลายเดือนก่อน

      @@shubebunyesi542 hivi ww umesikiliza vizur?? Au umesoma kichwa cha habari tu?? Sikiliza upya hadi mwisho

  • @AbdallahYanga
    @AbdallahYanga 6 หลายเดือนก่อน

    Apa ndio namkumbuka makonda Kwa kupambania watu maslai Yao jamaaa ananyosha ktk mambo mengi sip huu utopolo waziri wamichezo awa jamaaa pija nachini uhu ni upuuz mkubwa

  • @abdulazizgossage7349
    @abdulazizgossage7349 6 หลายเดือนก่อน

    Mapromota wengi matapeli

  • @rashiedmasoud1324
    @rashiedmasoud1324 6 หลายเดือนก่อน

    Mwakinyo anatoa elimu kuanzia kwa mabondia hadi TPBRC kuhusu kujua haki zao ndio maana wanasisitiza sana haki ya bondia lakini cha kuhoji kwa nini isiwe wanayarekebisha haya huko nyuma kabla ya tukio? Na ni kwanini hutokea vitu vya namna hii na vingine mfano wake wakati wa mapambano ya mwakinyo tu!??

  • @MwinyiShomar
    @MwinyiShomar 6 หลายเดือนก่อน

    Shida unafiki mwinyi

  • @juliusmalecela2705
    @juliusmalecela2705 6 หลายเดือนก่อน

    Serikali iko wap watu wanaongaza boxing wanatuaibisha kwa uongo

  • @sidebraizoy2070
    @sidebraizoy2070 6 หลายเดือนก่อน

    Miezi miwili mda wote huo hamjamjua km ni tapeli

  • @AbdulIsmail-ie4hp
    @AbdulIsmail-ie4hp 6 หลายเดือนก่อน

    Yani UJINGA MWINGINE NI WA KIWANGO CHA RAMI!!!!!!

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 6 หลายเดือนก่อน

    Kwann kila siku ni mwakinyo tu,hatujaona likitokea tatizo kwa ibrah class,kiduku,mfaume na wengineo kwann iwe mwakinyo tu

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 6 หลายเดือนก่อน +1

    watu wengne wanafrahiya matatzo ya binadamu mwingne mmh mchaw syo ad akuloge atakkatisha mambo yako yasiende nae ni mchawi kwako

  • @RamadhaniBendera-j1s
    @RamadhaniBendera-j1s 6 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa anaonekana muongo muongo sana ata uongeaji wake anaonekana amefurai

  • @DonCarlos-dv7mg
    @DonCarlos-dv7mg 6 หลายเดือนก่อน

    Promoter ana maokoto

  • @mohamedmzuzu
    @mohamedmzuzu 6 หลายเดือนก่อน

    Mnachokifanya akijui kwa garama zenu au kwa garama za poromota😂mtakuwa mmeteuliwa kuangusha ngumi nyie.

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 6 หลายเดือนก่อน

    Mdigo ana nyoroshwa kwelikweli.

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 6 หลายเดือนก่อน

      kwaiyo kwako furaha wivu mbaya sana

  • @HamisiSalumu-i4y
    @HamisiSalumu-i4y 6 หลายเดือนก่อน

    Uyoo bromota.
    Uwezo wapesa hana kwamaana nitapeli2
    Kwaiyo kama uwezekano upo
    Muizamini nyie2

  • @Omariisimaili
    @Omariisimaili 6 หลายเดือนก่อน

    nyie kumatu MSI tangaze tangaze usenge wenu tena mahanisitu wote

  • @michanoboy8948
    @michanoboy8948 6 หลายเดือนก่อน

    Ngumi zinsuma nyie ongeeni tu

  • @directorsong
    @directorsong 6 หลายเดือนก่อน +5

    TPBRC Wajinga sanaaaa

  • @DokiSadoki
    @DokiSadoki 6 หลายเดือนก่อน

    Uo usenge

  • @Pangani1
    @Pangani1 6 หลายเดือนก่อน

    Mnazinguatu

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c 6 หลายเดือนก่อน

    Nonsensical

  • @jacobmwalituke8981
    @jacobmwalituke8981 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwakinyo ana laana,anajiona sana,acha wamnyooshe

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 6 หลายเดือนก่อน

      unafrahiya kufel kwa binadamu mwenzio uwo ni uchawi

    • @onesmothimos2635
      @onesmothimos2635 6 หลายเดือนก่อน +1

      Una laana wewe na kizazi chako

    • @IddyDaruweshi-jv1fu
      @IddyDaruweshi-jv1fu 6 หลายเดือนก่อน +1

      UNAJUWA LAANA MAANA YAKE ACHA UJINGA

    • @komboruga4271
      @komboruga4271 6 หลายเดือนก่อน

      Hankook wewe unaffiliated nn? HASAD

    • @AwadhiAlfani-bd5pj
      @AwadhiAlfani-bd5pj 6 หลายเดือนก่อน +1

      kwani mwakinyo ame kukosea niniwewe usimukumu binadamu mwenzio nizambi kubwasana

  • @farishfarish258
    @farishfarish258 6 หลายเดือนก่อน

    Hizo ni fitina tu wacheni fitina mtu aonyeshe kipaji