CHEMICAL - MTOTO WA MTAA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 517

  • @Chemical_Tz
    @Chemical_Tz  6 ปีที่แล้ว +175

    Shukrani sana kwa wote mnaosuppurt mziki wangu. Tafadhali acha comment yako hapo chini, like na share link kwa wengine. Stay blessed

  • @kubangaizamkundavi9676
    @kubangaizamkundavi9676 6 ปีที่แล้ว +44

    Sijachelewa kumbe.
    Mwenye likes chache ni mimi tu?

  • @azimoniyengelo9466
    @azimoniyengelo9466 5 ปีที่แล้ว +1

    aaaahaa huyu chamical sio m2 mzur binafsi m namkubal . kama unamkubal gonga like

  • @g.p.ubandusa7564
    @g.p.ubandusa7564 6 ปีที่แล้ว +23

    Gonga like kama unamkubali chemical kama ndo queen wa hip hop tz

  • @thomasteryo5141
    @thomasteryo5141 6 ปีที่แล้ว +25

    Kama una mkubali chemical gonga like twende poa 🔥🔥

  • @karixacharoh3800
    @karixacharoh3800 6 ปีที่แล้ว +78

    Hao masista do wana nn zaidi ya chini gonga like

  • @joysho9869
    @joysho9869 6 ปีที่แล้ว +117

    Hebu mpeni like huyu dem namkubali wah

    • @padonluvanda3942
      @padonluvanda3942 6 ปีที่แล้ว +2

      Chemikà nimekubali we nizaid

    • @kitabwana9741
      @kitabwana9741 6 ปีที่แล้ว +1

      Masita du munanini zaidi ya chini chemical ninoma

    • @kidduhcrown8946
      @kidduhcrown8946 6 ปีที่แล้ว

      Maniga hii ngoma umenikosha wallah nicwe mnafk mwnng

    • @joysho9869
      @joysho9869 6 ปีที่แล้ว +1

      @@kidduhcrown8946kbs

    • @kidduhcrown8946
      @kidduhcrown8946 6 ปีที่แล้ว

      @@joysho9869 yeah

  • @هلااهليني
    @هلااهليني 6 ปีที่แล้ว

    😏😏😏😏Awa wasenge wananiboa wanao omba like kuma nina zenu imbeni nyimbo tuwalaiki konk

  • @singinowelnel4656
    @singinowelnel4656 6 ปีที่แล้ว +51

    Walio kupandisha Jana,,,,,kama umesikia hichi kipande basi ngonga like twende sawaaa

  • @angellamwamlima1498
    @angellamwamlima1498 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwaheshima yako mavazi yako yamenivutia wengne wanavaa nusu uchi yaan niaibu TUP.Hongera mwanamke unayetambua samani ya mwanamke na kuitunza. kwakweli Mung akuzidishie neema uendelee hivyo hivyo.

  • @nestorykakatv7526
    @nestorykakatv7526 6 ปีที่แล้ว +45

    Ka unamkubal chemical like na coment kw wing twende sawa

  • @bradsonnie4445
    @bradsonnie4445 6 ปีที่แล้ว

    Mambulula hamuezi jua, mtajua mkishaga kua.....254 mpo ama npo peke yangu??? gonga like

  • @lassabalemele7179
    @lassabalemele7179 6 ปีที่แล้ว +21

    Hakika chemical hujawahi niangusha ngoma kali san hongera dada angu niependa zaid

  • @zulekhamnyaturu6341
    @zulekhamnyaturu6341 6 ปีที่แล้ว +44

    Chemical nakupa like km zote

  • @ditricknyamika1361
    @ditricknyamika1361 6 ปีที่แล้ว +35

    Like ziko Wap jaman @ngoma qalii sanaaa 💪💪

    • @williamyahaya8916
      @williamyahaya8916 6 ปีที่แล้ว

      kama umeikubali vidio ii ila langi aijatendewa aki like apa

  • @shamilaayub9377
    @shamilaayub9377 6 ปีที่แล้ว +20

    Kweli miguu wazi haitoshi kufika huku🙆🏽‍♀️🔥#mtotowamtaa

  • @featurebillionaire5464
    @featurebillionaire5464 6 ปีที่แล้ว +2

    Wa nn hao masister du Zaid ya chini like nying kwa chemical

  • @SantaFlavoulOFFICIAL
    @SantaFlavoulOFFICIAL 6 ปีที่แล้ว +37

    unamkubali chemical dondoaha like yako apa

  • @celinelawrence5266
    @celinelawrence5266 6 ปีที่แล้ว +18

    kama umerudia kuingalia maratatu kama mimi gonga like twende sawa na kama unaamini bando yako haijaenda bure kama mm basi twende sawa

  • @lukambilinyi584
    @lukambilinyi584 6 ปีที่แล้ว +1

    Uwa chemical umetilia tuli kama unamkubaly chemical gonga like tuondoke tusubirie nyingine
    Lete mzgo chemical

  • @begaca
    @begaca 6 ปีที่แล้ว +165

    Gonga Like Kwa Sana Kama Unamkubali Chemical Kwa Sana

  • @tickabdulkhadija9859
    @tickabdulkhadija9859 6 ปีที่แล้ว +6

    Always following Tanzania🇹🇿🇹🇿 music no matter what I'll be with Tanzania music🎵🎵🎶

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 6 ปีที่แล้ว +15

    Good song kazi nzuri my

  • @paulostanley6934
    @paulostanley6934 6 ปีที่แล้ว +2

    kwani Ma sister duu wanaringia nn zaidi ya Chini hahaha? True Chemical!!

  • @gabriellyimo409
    @gabriellyimo409 6 ปีที่แล้ว +11

    duuuh!! video bomba real reflects audio... nice nice nice

  • @Ronald-Oundo-Gospel-Music
    @Ronald-Oundo-Gospel-Music 4 ปีที่แล้ว

    Achia like ya chemical usilete hapa Rosa Lee ni mtoi tusongeee mbele

  • @rehemasaambili844
    @rehemasaambili844 6 ปีที่แล้ว

    Wa Dada wew utatuuwa upo vizuri sana usitowe nyimbo ingine adi tutakapoikinai kwa kweli hapa sijiwezi nakupenda buree

  • @hilarygodfrey5862
    @hilarygodfrey5862 6 ปีที่แล้ว +3

    Mm hata ningekuwa karibu yake ninge mtongoza shujaa mwana mke uyo

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 5 ปีที่แล้ว

    Hivi Chemi haujaona ukimbaa ndio wat2 wako ndio wanafurahazaidi hangaria ngoma kama Tilarila iripendwa .we vip

  • @senimashauri6696
    @senimashauri6696 4 ปีที่แล้ว +2

    Tanzanian girl is so talented much, am so proud of her

  • @JGAMING254
    @JGAMING254 6 ปีที่แล้ว +6

    This girl is toooooooo.... Muuch.. keep them coming mkali wetu.. #kenya

  • @manallove1
    @manallove1 5 ปีที่แล้ว

    Mtu hajalelewa mtaa hawezi elewa hii..!
    Watoto wa fence ma mbulula hamuwezi jua mtajua mkishaga kua.

  • @leonardngamba6926
    @leonardngamba6926 6 ปีที่แล้ว

    Daaa kama unaelewa Kaz ya mdada gonga like

  • @wadewadex8747
    @wadewadex8747 5 ปีที่แล้ว

    Kwa huyu mwanamke huniambiii chochote namkubali hatakama hanikubali 🎵🎤🎶💪💪

  • @maikomgwao4906
    @maikomgwao4906 6 ปีที่แล้ว +1

    Weeeeeh!!!! Ebana umekua mzuri atari nicheki mwanangu umenibamba

  • @hassanmaalim6608
    @hassanmaalim6608 3 ปีที่แล้ว +1

    Ayoo baba na kukubali sn broo
    UKO BOZURI Snaa broo

  • @ubwabwa1790
    @ubwabwa1790 6 ปีที่แล้ว +30

    like 100 kwa chemical please

  • @francismsami2169
    @francismsami2169 6 ปีที่แล้ว

    chemical kwa ngoma kama hii huwez shindana na kina rosa ree....fanya ngoma kali bhana ...hii ngoma local sanaaaa

  • @msanzyahamisstv6184
    @msanzyahamisstv6184 6 ปีที่แล้ว +7

    huwa napenda sana unavyo rap nakukubali sana chemical

  • @faxmusic8567
    @faxmusic8567 6 ปีที่แล้ว +7

    Haaa noumaaa tunauwa wangaaaa wallah umeua

  • @sandratumaini1549
    @sandratumaini1549 6 ปีที่แล้ว +2

    One of the best female rappers in Tz..................umeumiza sana humu #respect

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 6 ปีที่แล้ว +1

    Dah noma Sana my sister nakuaminiaga kinomaaaaaaaa 🔥 🔥

  • @هارونالسامرائي-ي2ذ
    @هارونالسامرائي-ي2ذ 6 ปีที่แล้ว

    ningetaka kukuona chemical one day 💃💃💃tutoe one song nawewe😍😍😍mwaaa a

  • @jumaibrahim7605
    @jumaibrahim7605 6 ปีที่แล้ว

    Nakuelewaga sana cemico hasa manzi Wangu anakupenda sana ule wimbo wache nimfate

  • @rockyaminiemp
    @rockyaminiemp 6 ปีที่แล้ว +4

    Chemical you are the best and thanks for keeep supporting my young talented artist to reach their goals in this industry of Music. Mtoto wa mtaa ngoma kali sana, keep moving chemical

  • @sherylcarlos2580
    @sherylcarlos2580 6 ปีที่แล้ว

    Woyooooooooooooooooooooo,Atar mwana Nakukubar sana

  • @agnesmakande1253
    @agnesmakande1253 6 ปีที่แล้ว

    Chemical ni msichana wa pekee Sana ktk wasanii wote wa kike Kwanza hana mashauz congratulations chemical

  • @khadijamsita8874
    @khadijamsita8874 6 ปีที่แล้ว

    Nendaneda Kipz chuma hatugeukiiiii piga kaziii acha tunaokuelewa tuzidiii injoy mzik mzuriiiiii

  • @nordinebaraca4788
    @nordinebaraca4788 6 ปีที่แล้ว +6

    veja essa moça, ela muito talentosa, segue afrente com a tua carreira musical!🇲🇿

  • @lazaqiterere2171
    @lazaqiterere2171 5 ปีที่แล้ว

    chemical nakukubali sana tena sana wakimbize hakuna cha roza ree wala pinki hapo kaza kaza upo vizur

  • @deborahjm8890
    @deborahjm8890 6 ปีที่แล้ว +4

    Nakukubali sana #chemical 🔥🔥 ❤️❤️

  • @richardkwayson7202
    @richardkwayson7202 6 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mkubwa huu kilasiku unazidi kwenda juu safi sasa dada

  • @abuubatz3142
    @abuubatz3142 6 ปีที่แล้ว

    Ww huyu ni ster bwana weka dala tumpe righit
    Like

  • @philiposhilingi7288
    @philiposhilingi7288 6 ปีที่แล้ว

    hiii ngoma alikuwa anafaa ney wa mitego apitemo jamani nani anataka remix ya hii ngoma chemical ft Mr ney

  • @dominicokaru7465
    @dominicokaru7465 4 ปีที่แล้ว

    akh Toto umeiva Sana kimziki keep on my sister woooow Maulana You na ww

  • @manallove1
    @manallove1 5 ปีที่แล้ว

    Yaani nime repeat hii nyimbo sijui mara ngapi...chemical conc!!!!
    #usijfanyewanijua
    #mtotowamtaa
    #ghettokid

  • @aikamassawe5942
    @aikamassawe5942 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda chemical kati ya wanawake wanaoimbia wewe umenikamataaa

  • @paulostanley6934
    @paulostanley6934 6 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana wewe kichaa,Bonge la ngoma hatari sana Mwanarubao

  • @siwemaking8321
    @siwemaking8321 5 ปีที่แล้ว +2

    nakupenda mwanamke mwenzangu upo vizuri

  • @bintigodwin2218
    @bintigodwin2218 6 ปีที่แล้ว

    nyimbo yako ya kwanza kuikubaliii hiii ni motoooo

  • @jamesgabriel851
    @jamesgabriel851 6 ปีที่แล้ว

    Dah sikuwah kuwaza kua chemical anauwezo kias hiki work hard my sister unaweza

  • @misalabacharles2728
    @misalabacharles2728 6 ปีที่แล้ว

    Daah umebadirika siku hizi yaani unaenda na soko kabisa uko vizuri

  • @Jordan23Eboma-rc3md
    @Jordan23Eboma-rc3md 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤ j'aime beaucoup chemical la musicienne selon mon cœur, je te suis depuis 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 RDC

  • @exsaverymachaninga6138
    @exsaverymachaninga6138 6 ปีที่แล้ว

    Chemical mkali Unaandika Lakn Beat Zinakufelisha Aiseee Iyo kazi Ingegongwa midundo ya hiphop hatar Aiseeee cpimii Mzigo Ungetengenezwa tongwe na Bin Laden Alafu Uchane......... Fresh Kibongo fleva kazi nzur ila kwa wagumu wenzio kwenye beat zko unatuangusha

  • @eugenekimutai8786
    @eugenekimutai8786 6 ปีที่แล้ว

    cjawahi jua chemical in dem another big thing I love you much na nyimbo zako

  • @rahelmilami1271
    @rahelmilami1271 5 ปีที่แล้ว

    penda sana Wewe Mdogo Wangu chemical😘😘🙌🙌

  • @thenextmvp8568
    @thenextmvp8568 6 ปีที่แล้ว

    Mkalisana huyu kaka anajua mpaka kukera

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 6 ปีที่แล้ว

    Umetisha mbayaaaa,kweli waliokupandisha jana leo wanakushusha haohao

  • @lenatiusdaiwaisheiyomzeeba3589
    @lenatiusdaiwaisheiyomzeeba3589 5 ปีที่แล้ว

    dah we dem naukubalga kinyama bigap sana💪💪💪

  • @josephkapinga652
    @josephkapinga652 6 ปีที่แล้ว

    Yereuhwiiiiiiiiiiiii mtoto wa ktaa umeua kchzee#chemical# hatatak kubatro batro na batoi

  • @razansalim532
    @razansalim532 5 ปีที่แล้ว

    Nice song kama unamkubali chemical acha comment tusonge mbele

  • @divanny3324
    @divanny3324 3 ปีที่แล้ว

    Chemical I real appriciate u nawish tufanye collabo

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 6 ปีที่แล้ว

    WAGUMU WOTE TUTAJIOA TU......(utani)
    Kazi nzuri chemical.....

  • @yonarobert8361
    @yonarobert8361 6 ปีที่แล้ว

    daaa! umetishasana chemicall

  • @ADTZ-wk9rt
    @ADTZ-wk9rt 6 ปีที่แล้ว

    aise chemical mi nakuelewa sana mami unajuwa

  • @damarisnyaribo6617
    @damarisnyaribo6617 4 ปีที่แล้ว

    Mtoto imeweza🤝🤝🤝much love from +254

  • @cccfff8845
    @cccfff8845 5 ปีที่แล้ว

    chemical my sister upojuu yani hadi raha

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 ปีที่แล้ว

    ❤mm nakupenda sana hata mavazi yako

  • @Meeknego
    @Meeknego 6 ปีที่แล้ว

    Baada ya Mary Mary, hii ni ya pili kuua zaidi ya zote!
    Big up. Kimbizana na soko

  • @dominicmwale339
    @dominicmwale339 6 ปีที่แล้ว

    Hii ngoma chemical umetembea vzur

  • @fatmafaridy5422
    @fatmafaridy5422 6 ปีที่แล้ว

    gooood sana kama umeusikiliza zaid ya Mara tano gonga like hapa

  • @kabalegajames798
    @kabalegajames798 6 ปีที่แล้ว

    hao masister duu wana non zaidi ya chini heheheee

  • @lazaromussa8472
    @lazaromussa8472 6 ปีที่แล้ว

    Umetishaaa nakukubali Leo kesho

  • @saulikinahi6703
    @saulikinahi6703 6 ปีที่แล้ว

    Nice job, KAZA MAMAMAAA wataelewa tuuu

  • @Mrhb25
    @Mrhb25 3 ปีที่แล้ว

    Ebwna nimekumbuka saaana Hil gomaa

  • @thomasphilimonmolel8855
    @thomasphilimonmolel8855 3 ปีที่แล้ว

    Umetisha sana mwanangu 👍👍👍👍

  • @allyngao307
    @allyngao307 6 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni dumu yao dada umedamshi vibaya big up

  • @markallan2878
    @markallan2878 5 หลายเดือนก่อน

    Bonge la ngoma toka mtoto kali

  • @mofficialtz6936
    @mofficialtz6936 3 ปีที่แล้ว

    kama bado unawatch hii video kali sana ya chemical mpee like kama zote 2021

  • @uwesusaid9764
    @uwesusaid9764 6 ปีที่แล้ว

    Hivi Kweli Wew Kunamwanaume Anayekutongoza

  • @leatitialea4734
    @leatitialea4734 5 ปีที่แล้ว

    je t'aime bcp chemical , na penda namna yako ya ku imba dada love you

  • @khadijamsita8874
    @khadijamsita8874 6 ปีที่แล้ว +2

    Huwa unaufanyia hakiii mzikiii chemical

  • @yohanaevaristi4131
    @yohanaevaristi4131 6 ปีที่แล้ว

    aisee usije ukanagushamaana nakukubali sana

  • @sofialinus2944
    @sofialinus2944 5 ปีที่แล้ว

    Chemical Kama unakunywa maji mengi saivi

  • @losiborand90
    @losiborand90 5 ปีที่แล้ว

    safi sana dada napenda unavyo vaa

  • @GevinhitiraGevinboy
    @GevinhitiraGevinboy 9 หลายเดือนก่อน

    Hiigoma inanixhikaga sana good ❤❤

  • @IdiKilawa
    @IdiKilawa หลายเดือนก่อน

    Aisee unaeza chemical

  • @cvgqdxhv5690
    @cvgqdxhv5690 5 ปีที่แล้ว

    music wa bien sana kaza kazi tuna sifia kaza

  • @rahmakhassani4148
    @rahmakhassani4148 6 ปีที่แล้ว +2

    Bonge la ngoma namkubali chemical hakoseagi

  • @manonthemoon6935
    @manonthemoon6935 6 ปีที่แล้ว

    jaman mbona sipati video yenye 720p