Hahahahahahaha nimefurahishwa na hiiii ngoma sijatarajia kama ningekuwa na ngoma kama hii kwenye simu yangu ila cemical umefanya niwe na hii nyimbo hongera sana dada kama kweli unampenda chemical gonga like moja hapo
Unaweza vist channel yangu na ukani support kwa ku subscribe. Jina la channel Kimlaslyrics ( natengeneza lyrics za nyimbo zote) th-cam.com/video/yVTpAdlgarg/w-d-xo.html
Hahahahahahaha nimefurahishwa na hiiii ngoma sijatarajia kama ningekuwa na ngoma kama hii kwenye simu yangu ila cemical umefanya niwe na hii nyimbo hongera sana dada kama kweli unampenda chemical gonga like moja hapo
Sio wew tu bali tupo wengi mtu mwenye akili zake timamu hawez kuweka sukari kwenye simu yake 😂😂😂 ila chemical daaah ameweza kutushawishi
Ah! Noma kwel me pia kanifanya niwe nayo
Chemical we Jini aiseee ,nipe like 500 tu nikiwa hapa Marekani
Kwan mpaka utaje sehem unayoish uko apo dar fala ww
@@nissarhussein4887 watanzania kumbe Hamnazo eeeh!!!!🤣🤣🤣🤣
@@nissarhussein4887 Yani ww sister upo vizuri mrembo ile mbaya
😢😢😢@@fordthegreat684
chemical ndio best female rapper hapa bongo kama unakubaliana na mimi gonga like
Mziki umekupita pemben wewe haujui mziki best rapper gani......huy
@@abdulahtifumsafiri6937 unaroho mbaya
Chemical yupo vizuri, ila mkumbuke hata Rosa Ree yupo vizuri yuke dem 🔥
Ukiona huna likes ni kumanisha fans wa Rosa Ree wamekasirika na wewe
Chemical umeuwaaa dada yan nimeirudia mara 3 na bado naendelea kuirudia daaaah,,!!!eee bhn eeee nakukubali
Yaani uyu chemical akiamua kuwaa kama mwanamke akuna demu wowote anamfikia#nakupendra buree
Duuh😲😲😲 Chemical Mungu anakuona......nimeirudia nyimbo hii hadi nimeunguza nyama yangu
nipo nairudia apa namzoom tu huyu mtoto...anataka kunichocha
@@innocentsimika1937 🤣🤣🤣
@@sofialinus8241 mambo
😂😂😂😂😂
Yan huyu demu anajua kutembea na beat mpk anakera na mistari mitamu km sukariiiiii😋😋😋🔥🔥🔥
Yaaaaani anatiririka kama kazariwa na mziki
@@fatmaally7252 kabisaaa
Ni hatari
Alaf bonge LA msomi na hadangi yeye bamabize yake tu. Ndio maana anapendwa na watu na Mungu anazidi kimlinda kwelikweli
Kama umekikubali kiuno Cha Chemical anavokata Basi like Mya comment
Mkn
Pale chemical inapoongezewa sukari mambo huwa ni 🔥🔥 keep it up kipenzi
Umetisha sanaaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘 nimekupenda bureeeeeee daaaaah yaaaaan mmeuwa vibaya sana
chemical uko poa nice nyimbo iko on fireeeee like jamani basi heshima kwake
Ivi mbona mlikuwa hamjanitag....
Huyu Mwanalubalo ananipagawisha na uimbaji wake. @Chemical woyooooooo🔥🔥🔥🔥
Mi ndio maana nalipendaga hili li mtu linakoleza kweli kwenye rap zake ." MWANA LUBAO"
No.9 sio masihara mjue kbs,Sukari ya Zuchu nyoko
Dope sana youv killed it kipaji unacho from now on am your big fan from kenya
Mwanarubah chemical uko vzr mdad kwa kiunooo
Wale wanaosikiliza huku wanapitia comments like 👍 hapa
😘😘😘
@@marygracemsigwa5757 ᴷᴵᴹᴱᵁᴹᴬᴺᴬ 😹😉😘
@@CAPTAIN_GALAXY13 😂😀
@@marygracemsigwa5757 ᴸᴬᴸᴬ ᵂᴱ ᴹᵀᴼᵀᴼ😹
😂😂
Chemicali wangu utaniuma mkali wangu nakupenda sana akuna mkali zaidi yako
Mm chemical nampenda sana huyu dada, kwa hii umenipa sukari moyoni pangu kwa kweli,congratulation chemical forever.
We dada uwa namkubali sana
Well done#chemical floor Of puch za kutosha sema uyo zuchu nae angekuja kwenye kideo umeshindwa kumpiga swagger hahahha 🤣🤣🤣juxt jokes
All the way from KE🇰🇪...tuko pamoja Chemical.
Mziki mzur unajiuza wenyw aseeh 🤔 collabo imetiki❤️ maneno ya chemical n zaid ya chemical kweny hii nyimbo..
chemical sio rapper tu bali bonge la rapper haswa ......i love this from 254
Nomaaa sanaaaa.......... Cha muhimu afanye kolabo na MACHEEBOY
Yesss nakubali chemical keep on ...ukoseii###
Chemi kumbe unamiuno😛😛😍😍ila umeuwa sana kwenye hii cover💥💥
Yaan step by step much love u❤❤
Nimeielewa hii🔥🔥🔥 gonga Like kama tuko pamoja👏👏
Chemical unajua bwana saruti kwako , ungekuwa WCB hipapu ingekuwa next level kabisa
Nlikua nmengoja sanaaaaaa chemical welcome back🔥🔥🔥🔥🔥
Chemical chemical acha kujichukulia POA wewe ninlevel nyingine ! It is about time rappers waanze kukuogopa!unatisha kuliko hofu yenyewe
Hio wimbo iko lit🔥🔥 n qweli n sukari
Unapenda mjegeje... chemical nikupe Nini mke wangu 💗
Umemaliza kila kitu mtu wangu Kemiiiii❤️
That's the chemical I know. 💪💪💪
Big up hujawahi niangusha ngoja nivimbe mtaani.
😂😂😂😂😂😂 Chemical alisema akijipodoa anasepa na madanga ya mademu wooote sasa namuhurumia demu wangu tu kwa kiuno nilichokiona humu umhhhhh
Atakama umeweza kupiga rmx ya awawasani wasio juwa kuimba wewe chemical nakuwaga nakukubali tena unakiuno kikali sana apa nisehemu ya congo uvira
Zuchu huyu dem kaitendea haki hii beat,, inshort kakukimbiz sio kdg...
nakubali Chemical kumbe anaweza kua romantic ivi nimekubali ni atareee
ahaaahaaaahaaaa wanaoelew mistak konki ya chemical gonga likes nyingi
Duuuu chakuku kweli much love sister ake Tz pamoko sanaa
Kumbe chemical ni demu ..ako na mwonekano wa boy ..but nampenda sanaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥
Yan chemical akiimba me Sina wasiwasi na hiyo song,, we ni noma aisee
Zuchu on fire😍💥💥 hongera sana chemical kwa cover nzuri kwa wimbo wa dunia #sukari🇺🇸
We mbongo unayumba tu
🔥🔥🙌🇲🇿
Shabiki wa sadala 🤔🤣🤣🤣hua unazurura khaa🤔🤔🙄kila kona ya youtube naonaga comment zako😂😂
#@chemical umekill mtu wanguuuuu hiii ngomaaa hatar sanaaa🎇🌞🌞☀️
Kama unamkubali chemical gonga like apa🔥🔥🔥🔥🔥
umeipendezesha sana hii nyimbo kiukweli chemical umeuwaaaaaa balaaaa km hii ndo original
Hii ngomaa ni kati ya nyimbo zako boraa hii is best
Nafurahi Sana kuona maendeleo ya chemical kaka mind fanya umsain WCB mtauwa sana
Chemical umetisha like za sukari cover kaz nzuri
Daaaaaaaaaaaah Noma Sana
Yeeeeehyaaaah my self n i since day one congratulations for good idea1️⃣ on trending in my hear
Unaweza vist channel yangu na ukani support kwa ku subscribe. Jina la channel Kimlaslyrics ( natengeneza lyrics za nyimbo zote)
th-cam.com/video/yVTpAdlgarg/w-d-xo.html
dahh Chemical umeitendea haki kabisa umh big up
Kiuno chako kweli ni Sukari.. oG..100%😜💋💞💕❤💯
Sikuzote nakukubali sasa sijui ilikuwa wapi ahsante hiii ngoma 💥💣
Macho yangu muda wote yapo hapo kifuani kwako 😋😋😋
Kumbe upo vzur chuchu saa 6 😍😍😍
Hahahaha mngese kweli wewe
Jamani kasainiwe wcb....darling uko lit 🥰
Imekaa poaaaah 💯💯💯
Jamn hi ngoma ckuiyona daaaah bonge la ngoma
Jamani hata like 50 tu plz wadau
Sema nin huyu anajuwa sana
Alafu mlisema eti akupaswa kuchukua tunzo,,,sikieni mistari ake keep it up chemical✌️🔥
Yeah.!my Favourite Female rapper❤ #HATUTAKI-KU-BATTLE-BATTLE-NA-WATOTO✌
Hataleee mtoto wa lubao kapita na sukari zu kabakisha chumvi fundi huyu hafai
Nakubali
Anabalaa lake chemical
Mara paaap imeisha,nikajua kanyimbo kafuup kumbe kako moto🔥🔥 sana
Bora umerudi nilikuwa nakusubiri It's chemically💕💕💕💕💕💕💕💞💞
uko vizuri mdada ngoma kali sana📌📌📌
Gonga like kwa chemical @zuchu kz nzr chemical kauaa ukuu🔨
Leo umeharibu kinouuuumaaaaaaaa miss ma chemocal 🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊👊👊👊👊
Ni mimi tu au kun mwengin kaskiz zaid ya mara 2 🤔 but linajua kunata na biti 🙌🏿
Hahahaha eti linajua
Nambie lulu nipo dar nichek 0655030714
Kweli wewe ni kemikali.we love you from kenya
Daaadeki.. Next level.. Fireeeeee 🔥
Leo kwa Mara ya kwanza na nusurika kuona chuchu Ila tumbo nimeona na kiuno haaaaaaaa cha chemical
In love with you Chemical 🇲🇼
Aaa ww ni noma sio poa nimeielewa kuliko yenyewe
They just poured chemical in the sugar 🔥🔥
Yaaanii! Imekuwa bomb💣
Safi sana chemical. Lyrix nzuri kinyama
Navyompenda hyu dada bas tu ❤️❤️
Hello
Nampenda piya sana asee
Daah alikua sijaiskia hii ngoma, kali sana aisee
Kazi kuntu mama 💯💥💢
Daaahh,,Chemical wallah unajua sana I say,,keep up Dear
Unajuasana Tena Sana
Nakubali kila unacho fanya since ever and till I die
Chemica nakuelewa sana nakupenda sana pia
Daaaah next level ❤️❤️you kill it ma best female rappar
Nomaaa kweli kazi Kwanzaa
Chemical zaidi ya kkubali nakupendaga sana 🔥🔥
Fireeeeeee hii kichwa inajua balaaa😜😜😜😜😜
Chemical baby ❤️❤️❤️🔥🔥
Mbona unaweza sana
Unataka vya haramu kuninyonya mpa damu. Hataleee ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🎶🎵🎵🎶🎶🎵🎶
Yaani nimeloop tu hii video👈hatari mwana lubao❤
Nakubali San chemical big up
Aseee mwana lubao unajua❤
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
1
Nimeipenda jmn mungu akuongoze my 😘😘
Wapi likes za Chemical bila chuki
Cjui kwa nn nampenda sana chemical
It's a different solution when mixing two solvents, just imagine the solution here from Chemical reaction towards Sugar 💪🥂❣️
Daaah unaua ni mbayaaa Chemical Much Respect to u
Always Chemical killin it
Kiukwelihua unamalizakiuyangu yaburudani napokusikiliza nahisi nimefika💯💯😍