Jameni muache jokes...this song is a HIT and it's supposed to be at 5M views plus bana I love ❤️ it soo much it blesses me all times...... I've been searching for the tittle all this time thanks for TikTok i foundit there and feel at home.......
Ivyo ndo ilitakiwa uimbe sasa umeona ilivyo kaa Poa achana na mambo ya kurap Dada ngoma tam saana umejitahd kunadilika kama unamkubali chemical like hapa
Aisee unajua tunaangalia nyimbo TH-cam kwa mazoea nilikuwa napita kwenye hii nyimbo maana nishazoea kuwaona wenye Kik zao kumbe huku watu wanatoa vitu vikali, nyimbo nzuri haki we mdada umeimba poa hii,the best one hongera sana
Woooow ! Yani Chemical wewe utaniua haki ya mungu! Umenifanya goose bumps zinitoke kabisa! Kila kitu unachokifanya kina nifurahisha! Maana unakifanya vizuri Sana! Unajuwa zaidi yakujuwa mpaka unakera kabisa! Ok Basi tuu mungu akupe maisha malefu,ili uendeleye kutuburudisha! Love from (Michigan,Marekani+1616) iwafikiye! Original love I was born with from Burundi +257. Ivi chemical wewe nikufanyeje? Kuigiza unajua Sana hata kulia Kama Mercy Johnson was Nigeria unaweza. Mziki pia wewe ni noma! Sasa nikufanyeje? We ni 🔥🔥🔥🔥 tuu! God bless u more for me!!! Replay time mpaka so shibi kutazama na kusikiriza!!!????
Chemical hii Ngoma Nimeielewa Sana Umeimba Vitu Ambavyo kila Mwanadamu Anapitia Hasa Kwa Mtu Unaempenda then mkaachana Pasi na Sababu Ya Msingi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
wwouuuuuuuu mamaaaa you kill it haki natamani wakuelewe kama nnavyokuelewa mamaamamaaeeeee, chemical shenzy kabisa, mambo gani kunifanya kila SAA namaliza mb kuangali
Hii nyimbo nikiisikiriza Uaga nakumbuka nilivyoumiza moyo Wang kwa Mapenzi daaaaaaah, Mapenzi Aya Achana tu Chemical unatoaga Ujumbe Clarity kabisaaa unagusa hisia za watu penda sana wewe
Optionnelle de sommeil dans les deux asoa jaomo de sommeil dans les alentours de la Rochelle et des siècles de sommeil dans les deux ans à la république a annoncé
Dada imba to achana hip hop pamojq kwamb ndo imekutambulisha kwenye gem kiukweli nilikuwa sikukubali kwa baadh ya ngoma ila kwa hapa nimetia mashambulizi........ Love u more
Kiuhalisia mi ni shabiki wako siku zote hujawahi kuniangusha dt y ua best mc female. umenikosha kwa kubadilika kulingana na soko la muziki linavyokwenda ni lazima kipawa chako ulichopewa na Mungu kikulipe, we bora zaidi kwa kuwa unaweza kuimba na kurap. Mungu akujalie ufanikiwe zaidi ktk muziki wako ufike mbali zaidi na ubunifu we ndo ramani yako.
Mziki siku zote lazma ukamilike katika MELODY,, LYRICS,,FLOW na beat. Hapo lazima mtu aikubali,, kwa hii hapa nakupa 100% mwanadada kemikali. KEEP GOING
i have a talent to discover stars when they start and this girl she will bring challnege to this game be ready all stars from tz this lady she is another level
Chemical ...Naona umetungia hi nyimbo kama vile unanijua make ina nihusu mie mwanzo mwisho mungu akujalie maisha marefu mpenzi nakupenda Sana. Kwanza your my role model, umenitoa macho na huu wmbo,
Asanteni sana kwa wote mnaoendelea kuitazama hii Video..Tafadhari Usisahau kuSUBSCRIBE Kuweka Comment yako na kushare link kwa wengine,
Gud music
Chemical nipe namba yako
Uko poa nakupenda mpaka bas
Love you chemical
nice song
Jameni muache jokes...this song is a HIT and it's supposed to be at 5M views plus bana I love ❤️ it soo much it blesses me all times...... I've been searching for the tittle all this time thanks for TikTok i foundit there and feel at home.......
Kali sana
Kwa kumbali chemical gongo like twende sawa
Patience Joselyne big up
Nyimbo Kali
Ronado
aisee hiii nyimbo nzur sana unapumzi kubwa sana ww mdada gonga like kubwa hapa kama wamkubali chemical
SUBSCRIBE MY CHANNEL PLEASEth-cam.com/video/yXmSy5cfz7o/w-d-xo.html
Ivyo ndo ilitakiwa uimbe sasa umeona ilivyo kaa Poa achana na mambo ya kurap Dada ngoma tam saana umejitahd kunadilika kama unamkubali chemical like hapa
Sawasawa
Nakukubari sana chemical
ALmass Official amtulia nae sana huu wimbo
ALmass Official 😂
Dah kwa hii ngoma Chemical kanigusa sana, kama kaniona vile
nililewa tila lila uliposema hunitak tens🔥🔥🔥🔥kama unaikubar ngoma hii gonga like twende sawa yaaan
Mkenya wakwanza kumkubali Chemical😍😍😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakupenda bure chemical aki😍😍😍
Kama nawewe umemkubali chemical gonga lyk
Safi San Dada umetsha👏❤️
Nakukubali sana tena sana hakuna Hata kazi yako moja naeza sema inaboesha SALUTE Sana chemical
chemical I noma
th-cam.com/video/f01trDS7M8g/w-d-xo.html
Itz Muzick big up sana chemical
Aisee unajua tunaangalia nyimbo TH-cam kwa mazoea nilikuwa napita kwenye hii nyimbo maana nishazoea kuwaona wenye Kik zao kumbe huku watu wanatoa vitu vikali, nyimbo nzuri haki we mdada umeimba poa hii,the best one hongera sana
Woooow ! Yani Chemical wewe utaniua haki ya mungu! Umenifanya goose bumps zinitoke kabisa! Kila kitu unachokifanya kina nifurahisha! Maana unakifanya vizuri Sana! Unajuwa zaidi yakujuwa mpaka unakera kabisa! Ok Basi tuu mungu akupe maisha malefu,ili uendeleye kutuburudisha! Love from (Michigan,Marekani+1616) iwafikiye! Original love I was born with from Burundi +257. Ivi chemical wewe nikufanyeje? Kuigiza unajua Sana hata kulia Kama Mercy Johnson was Nigeria unaweza. Mziki pia wewe ni noma! Sasa nikufanyeje? We ni 🔥🔥🔥🔥 tuu! God bless u more for me!!! Replay time mpaka so shibi kutazama na kusikiriza!!!????
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNELth-cam.com/video/yXmSy5cfz7o/w-d-xo.html
Kuna wakt ukiskiliza nyimbo utahisi umetungiwa ww 😢😢, unaongelea maisha halisi yanayonisibu kwa sasa.. Big up kwako
Zxcve❤
Chemical hii Ngoma Nimeielewa Sana Umeimba Vitu Ambavyo kila Mwanadamu Anapitia Hasa Kwa Mtu Unaempenda then mkaachana Pasi na Sababu Ya Msingi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ngomaaa nimeielewa kabcaaaa kichupa fresh yaaniii
Dah hiii mbn kali sana chemical..... Big up sn miaka mia nneee inakuhusu
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA SUBSCRIBE CHANNELth-cam.com/video/yXmSy5cfz7o/w-d-xo.html
Mimi kote chemical namkubal alapu au aimbe vyote yupo powa
Nilitaka Sema best Leo umevaa sket umependeza
Hata nguo Zako zile unapendezaga
Hapa mbona ameimba na kulapu umesema ameimba. Kama kaka yangu anaimba na kulapu
Nakubali sana. ❤️❤️❤️ Hujawahi kuniangusha💪💪💪
wwouuuuuuuu mamaaaa you kill it haki natamani wakuelewe kama nnavyokuelewa mamaamamaaeeeee, chemical shenzy kabisa, mambo gani kunifanya kila SAA namaliza mb kuangali
😂😂😂😂😂😂
Hii nyimbo nikiisikiriza Uaga nakumbuka nilivyoumiza moyo Wang kwa Mapenzi daaaaaaah, Mapenzi Aya Achana tu Chemical unatoaga Ujumbe Clarity kabisaaa unagusa hisia za watu penda sana wewe
Ngoma kali sana nimependa stor na ulivyo badirka we ni noma sana mamy
Mustapha Assanal yan n nzr mnoo anasaut nzr
Ok Allo par la république a été le cas en route pour les enfants sont pas
Optionnelle de sommeil dans les deux asoa jaomo de sommeil dans les alentours de la Rochelle et des siècles de sommeil dans les deux ans à la république a annoncé
Optionnelle le monde de 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Salute Sana my ccy qali Hyo hujawai kosea blood love you sna nangojea nyngne tu
Dada imba to achana hip hop pamojq kwamb ndo imekutambulisha kwenye gem kiukweli nilikuwa sikukubali kwa baadh ya ngoma ila kwa hapa nimetia mashambulizi........ Love u more
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNELth-cam.com/video/yXmSy5cfz7o/w-d-xo.html
Naikubali sana hii nyimbo na chemical kwa ujumla
dah yanii hii ngoma inanifanya nimuone sister chemical mbaliiiiiiiiii hujawahi niangusha love mingimingi yani upendo kama woteeeeee 👌👌👌😘😘😘😘🔥🔥
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNELth-cam.com/video/yXmSy5cfz7o/w-d-xo.html
From 254 yaani uko juu kote duniani,,,God azidi kukubless
big big big tune...keep the fire burning chemical....mad love from Nairobi kenya🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
Huwa nakubar ngoma zako kila ukitoa
I love you sweetheart you're the best mwaaaaah mungu akuzidishie kipaji
Nilimpenda kwa dhati Shahid yngu ni mapigo (taaaaaaaaaaam)
wow can't stop watching and listening to this beautiful song repeat mode activated, iko safi sana, love from Malawi.
Kiuhalisia mi ni shabiki wako siku zote hujawahi kuniangusha dt y ua best mc female. umenikosha kwa kubadilika kulingana na soko la muziki linavyokwenda ni lazima kipawa chako ulichopewa na Mungu kikulipe, we bora zaidi kwa kuwa unaweza kuimba na kurap. Mungu akujalie ufanikiwe zaidi ktk muziki wako ufike mbali zaidi na ubunifu we ndo ramani yako.
hujawai kuniangusha dada angu. Tilalila ngoma kal big up🔭👏👏👏
yaani uwe unaimba hivi unasauti nzuri sana rap kidogo vocal kwa sana maana ndio ugonjwa wetu waliowengi
chemical narudia kila saa sichoki yan nimeipenda sana
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBEth-cam.com/video/yXmSy5cfz7o/w-d-xo.html
yaaah nyimbo nzuriiii safisanaa
Loving this jam.....team 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 here
th-cam.com/video/yXmSy5cfz7o/w-d-xo.html
Naipenda Sana hii ngoma hadi nalia nikiisikiliza ww mungu akubariki kwa ufanyalo love chemical
Umepiga Dada yangu congrat!!!
Ww ni shidaaaa
Mziki siku zote lazma ukamilike katika MELODY,, LYRICS,,FLOW na beat. Hapo lazima mtu aikubali,, kwa hii hapa nakupa 100% mwanadada kemikali. KEEP GOING
wangapi tungari tunaona tilalila🇧🇮🇧🇮
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNELth-cam.com/video/yXmSy5cfz7o/w-d-xo.html
@@smgfamilygroup2414 Asanteee san nkiuskilza unanitoa machozi kwa mpzi wangu Bray tne
sijawai ku comment ngoma ila hii inaniusu ukovizur chemical acha urap mbona unaimba vizur nimependa hii
stay blessed sster by kigoma Boy(centano young bro!!!
Chemical nakukubal mama unajua ile mbaya nenda wcb utawika ile mia mai
i have a talent to discover stars when they start and this girl she will bring challnege to this game be ready all stars from tz this lady she is another level
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA th-cam.com/video/yXmSy5cfz7o/w-d-xo.html CHANNEL
JOZZ KIBAL gospel artist in kenya amekubali hiyo tune ...big up chemical
Nouma sana chemical,keep the fire burn'ng.
Chemical hii ngoma Kalii sanaa
Wow l lv it ma sister uko juu tu kwa sana
Haki tena napenda sauti yako nyimbo zako pamoja sura yako...umenituliza kwa moyo
Nice and sweet song....Keep up the good work
sichoki kuiangalia wallahi! much love my sister chemical mungu akupe nguvu uzidi kutuburudisha! kenya twakukubali our beloved sister
Chemical unajua sana sister! Nice hit
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNELth-cam.com/video/yXmSy5cfz7o/w-d-xo.html
Dada hii ngoma inanikumbusha mbali sana
yaani daaah!!
nakukubali sana chemical
Upo juu sister chemical
Chemical ni mwana music ninaye mkubali sana mungu akupe nguvu na ujasiri katika kazi zako za sanaa hii nyimbo bora sana kwa upande wangu
Wooow she can sing ...this is the definition of a real artist
Honger zak uk vzri xana
safi sana sister
nakupenda sana chemical ❤❤❤
Mm ni shabiki wako no 1 nawakilisha kutoka matongo nyamongo tarime mara Tanzania nazipenda ngoma zako hadi nisha kuwa chizi chemical
am your number one die hard fun ! salute kwa mziki mtamu
Yaani wewe mkali mpaka basi kona zote unakava chimami love you Chemical💏💖💖💗
Ila chemical ngoma zur story ya nyimbo zur sana kama ishawahi kukutokea sema chemical mbona kama mm pia imenigusa hii😘😘😘😘
ally chalagwe video channel nimeipenda vibay😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Nimeipenda😘😘😘
Yea😘😘😘😘
nmeipenda
uyo dem ako sawa ii ngoma nimerudia mchana mzima endelea vivyo ivyo dada dada kali sana
Ila we dem nami umenilewesha #TilaLila yani kumbe kuimba una vocal kama zote dah ama kweli #tilalia
This song Issa life chemical. Keep the good music alive ankoo. So proud of you
Chemical ...Naona umetungia hi nyimbo kama vile unanijua make ina nihusu mie mwanzo mwisho mungu akujalie maisha marefu mpenzi nakupenda Sana. Kwanza your my role model, umenitoa macho na huu wmbo,
nimekuwa wa 117 kuangalia ii video
Aslay
Me nilikuwa wa pili
👏👏👏
middle young nimefata nyuma yako
Iko poa ila nakuomba usiaje kuigiza uliecheza vizuri kwenye marymary love you sana #254penda sana girl
Nakuelewa xanaaaaaaaaaaaaa kuliko waxani ote
we dada unstisha yaan utafikili mmeimba wa wili kumbe mtu mmoja we ni motoooooooooò
One of the best musicians in tz
Chemikali mtoto wa kishuaaa
Bonge la xong 🎧🎤👏👏👏
big up chemical u kill,,,,,,, yatakuwa sawa mbona,nakuelewa sana toka nyimbo ya sielew,v,I,p,na zngne be blessed
2024 I'm here❤
2025 i'm here
Sisi watu wa jamuhuri ya watu wa mwanza tunakuomba uje hata siku Moja tukuonyeshe how we love you.... unazaidi ya fans from here
Yeah chemical let me say you just droping the classical material on planet tho, shout out from Atlanta,ga
Yani hii ngoma moto sana, sichoki kuitazama. Ina ladha fulani ivi isiyoisha kukolea
3/7/2020 still watching ur talented keep GOD for everything you will go far gal
Upo vizuri mama nakukubali hatari big up my dear nailudia kila saa
Kemikali hujawahi kutoa ngoma kali zaidi ya hii
hamis jay တဏ၏၎ ရ်မဘ
yaan huyu dada ni hatar najikuta nackiliza ngoma yko Mara mbili2 big up sana
Chemical... Tesa tu collabo yako na Mr Blue... Hii ni safi tu Sana...
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNELth-cam.com/video/yXmSy5cfz7o/w-d-xo.html
chemical 💃💃💃💃unakuanga 2sawa 💃💃💃
Woow i always blv on u chemical hujawai tuangusha.... Big up sis..... Hii ngoma ni moore🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪🙌🙌🙌🙌🙌🙌
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNELth-cam.com/video/yXmSy5cfz7o/w-d-xo.html
Katika nyimbo ambazo imegusa mtima wangu ni huu wimbo yaan mule mule kabisaa 👏🙏🙏🙏🙏😄😄😄
I like this one, big up much lov fr. Denmark
nakukubali kwa michano ,kumbe ata kuimba dah we dada unatisha 100%
Niece baby girl let's give support to chemical
Like hii comment ili twend sawa
Daah!!! Kemical Umenibamba Vya Kutosha na Hii Ngoma ya Tila lila Safi Sana Hongera Kwa Ngoma Hii Tuko Pamoja Brother Kemical Siwezi Kukuangusha.
Song kal bidada
Fanya reaction zako #nakukubal
mzee baba Ngoma poasana
Wasanii wanatakiwa kuwa kama wewe kila kitu uko poa.ukiimba uko poa,ukirap uko poa nakupenda sana chemical.
Umeua Sana😎
Ahsante mmnyama yani nakukubali kikuma hakuna mtu ninae muelewa katika uandishi kama wewe
Gusa picha kushoto kwako ucheki video zangu mpya #Siwezi
#Maumivu
#Ilove
#620 on comments
Unaua sana.. big up
#TilaLila
#MOFAYA
Kazi nzuri chemical
Kazi nzuli kamic
nakukubali sana dada
Mungu wangu nakupenda chemical wewe hunaujinga unajitambua wewe 👌
Love chemicalaaaa gong like hpaaaa
Mimi naendelea kukupongeza hadi mwisho siyo siri Dada unajua kuimba vizuri muziki Wako sichoki kuusikiliza
Kzi nzuri
tila Lila imenifanya niwe membaako,bigaap sana chemia girl tuko pamoja
Ushatukimbia kwa hiphop😂😂😂