Chemical ft Centano - I’m Sorry Mama (Official video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @kanengojidisha7987
    @kanengojidisha7987 7 หลายเดือนก่อน +59

    2024 kama bado unaikubali hii ngoma gonga like😊

  • @Tujifunzekusali
    @Tujifunzekusali 10 หลายเดือนก่อน +40

    Its 2024 and am still listening to it right now still my fav song nyimbo kali sana hii🔥🔥🔥

  • @MusaAkili-f4b
    @MusaAkili-f4b 11 หลายเดือนก่อน +13

    We still watch it 2024🎉

  • @razansalim532
    @razansalim532 6 ปีที่แล้ว +181

    Kama unaikubali hii ngoma gonga like tusonge mbele

  • @halimaochu7882
    @halimaochu7882 4 ปีที่แล้ว +112

    Kama bdo unaangalia ngoma hii 2020 like hapa

    • @naimakaguo8860
      @naimakaguo8860 3 ปีที่แล้ว +3

      Mm 2021

    • @hdjr4785
      @hdjr4785 3 ปีที่แล้ว +5

      Mim naangalia 2021 naomba like yangu 😀😀

    • @nurumushi9015
      @nurumushi9015 3 ปีที่แล้ว +2

      2021

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 3 ปีที่แล้ว

      @@nurumushi9015 😜😜

    • @lemisokibiwott2005
      @lemisokibiwott2005 2 ปีที่แล้ว

      It's 2022 and still loving it.....

  • @chazyteshakimaro4659
    @chazyteshakimaro4659 4 ปีที่แล้ว +43

    2020 Kama bado unaipenda hii gonga like ya kushato tuwe pamoja

  • @ignasbenedict485
    @ignasbenedict485 6 ปีที่แล้ว +62

    one love Napenda nyimbo zako zote chemical

  • @jeniphasteven5588
    @jeniphasteven5588 6 ปีที่แล้ว +28

    Penda sana chemical utafika mbali mumy endelea kukaza buti😘😘

  • @shaziranassoro
    @shaziranassoro 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nampenda sana uyu dada mungu akupe maisha malefu

  • @mercyshakyz8707
    @mercyshakyz8707 6 ปีที่แล้ว +14

    Iv uyu alikuaga wapi mbona naskiaga kizungu zungu.. Lv u biiig @chemical🔥🔥🔥

  • @potiyowatz836
    @potiyowatz836 4 ปีที่แล้ว +50

    Kama unapenda kuirudiarudia kuisikiliza na kuingaria kupitia TH-cam gonga like

  • @soritakim9419
    @soritakim9419 3 ปีที่แล้ว +7

    This lady really kills ma vibe ako sawa Sana kenya tunampenda sana

  • @العبريالعبري-ف4ه
    @العبريالعبري-ف4ه 6 ปีที่แล้ว +27

    Jmn nakpnd ww Chemical daah upo juu xana mdada mungu azd kukupa umri mrefu jmn😘

  • @venancezebedayovenance6103
    @venancezebedayovenance6103 6 ปีที่แล้ว +26

    Napenda nyimbo zako zote chemical

  • @najmahasan779
    @najmahasan779 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah....huyo sister ako sawa mashaa Allah....endeleeni na moyo huwo huwo.... insha Allah mtafanikiwa tu ....🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AishaNestor
    @AishaNestor 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jamniiii kama unamubali chemicl lake 🌹

  • @siringijandi2952
    @siringijandi2952 6 ปีที่แล้ว +10

    fiiiiiiiiiiiiiiree chemical uko juuu sanaaa Rosa ree hayupo

  • @abdulkareemlupepa7185
    @abdulkareemlupepa7185 ปีที่แล้ว +1

    Centano saa hii ndio nagundua kama niww ssa 😅😅😅 uliyeimba pesa na hakili

  • @mejubaraza8787
    @mejubaraza8787 6 ปีที่แล้ว +8

    Huyu dada yuko swa penda ww sana

  • @ibrahimalexander4653
    @ibrahimalexander4653 3 ปีที่แล้ว +3

    Kuna wasanii bongo hii wako so underrated, huyu ni mmoja wao. Keep it up young sister, subscribed

  • @tanzaliyaoman471
    @tanzaliyaoman471 6 ปีที่แล้ว +15

    Uko vizur camiko

  • @principal20
    @principal20 7 หลายเดือนก่อน +1

    2024 mwezi wa 6 huu Bado Narudia cade hiiii ya maaana kabisa👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @miss-s3w
    @miss-s3w 6 วันที่ผ่านมา

    Malaa yangu yakwanza kumsikiza huyu mdada mukali kabisa mnyama mwingi big up sis ♥️ 👌 ❤❤❤❤❤😂🎉❤❤❤❤

  • @marrymathiass3974
    @marrymathiass3974 4 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nampenda huyu kaka jaman sijui ntampataje kama unanionea huruma au unaweza kunisaidia naomba like yako au koment chochote 2020 😘😍

  • @rukiamboya6978
    @rukiamboya6978 5 ปีที่แล้ว +1

    Khaaa uyu mtoto ni mnyamwez kinyamaaaaa

  • @janethkilonzi4260
    @janethkilonzi4260 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaaa hi wimbo naipenda mno

  • @jumannekizewe3115
    @jumannekizewe3115 6 ปีที่แล้ว +8

    mtt mxuli ngoma. Xuuli

  • @박위니
    @박위니 6 ปีที่แล้ว +9

    Nakukubl san uko vzr

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 3 หลายเดือนก่อน

    ii ngoma alitembea sana uyu dada sio Poa narudia Tena ii nyimbo imeimbwa 2024 I watch

  • @syliviabaruti4660
    @syliviabaruti4660 หลายเดือนก่อน

    chemical naomba urudi bana this song iko story ya maisha yangu kwenye love ❤❤

  • @pendogeorge2710
    @pendogeorge2710 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah uk vzr mungu akujalie ufike mbl

  • @barassonjy9388
    @barassonjy9388 3 ปีที่แล้ว +1

    Poa sana

  • @daudipowani7627
    @daudipowani7627 6 ปีที่แล้ว +6

    Nakukubal sana🔥🍒🙌🔥🔥🔥

  • @athumansaidy5070
    @athumansaidy5070 4 ปีที่แล้ว +1

    Bonge la ngoma uwaga kila nkifungua data naingi you Tobe nacheki hiingoma kwanza alafu mengine yana fata... Ability camicaliiiiiii 👍👍👍

  • @AliciannaKiyao
    @AliciannaKiyao 4 หลายเดือนก่อน

    Specia song Kwa my love wangu mume wangu nakumbuka mbali sana heshima kwako chemical ❤

  • @rehemajuliusoman7372
    @rehemajuliusoman7372 6 ปีที่แล้ว +2

    Swfi sana tisha ile mbaya chemical

  • @jontezmuzik
    @jontezmuzik 6 ปีที่แล้ว +14

    Noma sana chemical,. Centano ako poa from 254 apa

  • @Nickojunior
    @Nickojunior 6 ปีที่แล้ว +32

    Nimeipenda kishenzi 🔥❤️

    • @wanenetv9672
      @wanenetv9672 6 ปีที่แล้ว

      DAWA ZA ASILI/TIBA ZA ASILI/: th-cam.com/play/PL_DSXHfkoymz_mON4Y4rJ7Tu9HulfT8W7.html

    • @angelbenward4244
      @angelbenward4244 6 ปีที่แล้ว

      ilove it

    • @jackumeme2156
      @jackumeme2156 4 ปีที่แล้ว

      Nakuerewaga xan

  • @kondwanimwangobora7696
    @kondwanimwangobora7696 ปีที่แล้ว +6

    The song never gets old,they killed it#My all time favorite 🔥🔥🙌🙌😢❤️

  • @stephanozibe2740
    @stephanozibe2740 6 ปีที่แล้ว +14

    umwaaaaaa chemical u make what I love

  • @abethkasasila
    @abethkasasila ปีที่แล้ว +3

    This song really touched me I can't tired to watch it I appreciate chemical

  • @pendolucas2462
    @pendolucas2462 4 ปีที่แล้ว +1

    Uko vzr nakpenda bule chemical

  • @janethkilonzi4260
    @janethkilonzi4260 4 ปีที่แล้ว

    Mimi na huu wimbo sijiwez kabisa iyo sut nyeupe imeniuwa kabisa

  • @hassanabdybaruti8271
    @hassanabdybaruti8271 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana mdau tuachie ngoma mpya tena tuna kukubali sana

  • @graceshikungu4829
    @graceshikungu4829 3 ปีที่แล้ว +22

    2021 still my favorite

  • @asashiamrima2098
    @asashiamrima2098 6 ปีที่แล้ว +3

    💗💗👌👍umetisha kinoma chemical

  • @classicman2978
    @classicman2978 ปีที่แล้ว

    Song iyi ina itaji views 1M...kama una ikubali mpaka,gonga like tuendelee.

  • @gwakonemwel5770
    @gwakonemwel5770 4 ปีที่แล้ว +8

    Chemical ...dah.. I like the way you twist your words!!!

  • @millenmichael2669
    @millenmichael2669 ปีที่แล้ว +3

    Who's still here in 2023 I woke up today and this jam was playing in my head I had to come watch this video again I love you Chemmy.🤗
    P.S The video king is hottt AF😍😱🔥🔥🔥

  • @SarahAmosi-r4y
    @SarahAmosi-r4y 3 หลายเดือนก่อน

    Jaman nakapenda xana haka kadada daah xijui kamepotelea wap aiseee

  • @shahadamdee1933
    @shahadamdee1933 2 ปีที่แล้ว

    Hii ngoma naikubali kupita maelezo kanyoosha mstr

  • @aliihemba3
    @aliihemba3 6 ปีที่แล้ว +5

    Daah..nomaa sana nakukubar

  • @saidymakanaki4877
    @saidymakanaki4877 3 ปีที่แล้ว +2

    My best female rapper of all time

  • @yasintamartin4465
    @yasintamartin4465 2 ปีที่แล้ว

    Me sichoki kuitazama hiii nyimbo ❤️❤️❤️

  • @DayanaSospeter-sy8wl
    @DayanaSospeter-sy8wl 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤chemical l love u and your song❤🎉

  • @esterjoseph6075
    @esterjoseph6075 3 ปีที่แล้ว

    😘😘I sorry mama dah chemical jmn umepotelea wap

  • @emanyamhanga2767
    @emanyamhanga2767 4 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma kari sanaaaaaa

  • @hassanhamudy6639
    @hassanhamudy6639 4 ปีที่แล้ว +8

    It takes me way back in Canada 🎤🎤🎤😎😎

  • @hassanmaalim6608
    @hassanmaalim6608 3 ปีที่แล้ว

    Umeweza bro it's cemicali uko vizurii

  • @OmaryRamadan-m8v
    @OmaryRamadan-m8v หลายเดือนก่อน

    Chemical kapotelea wapi jamani nipo Apa 2024

  • @honorinaabwe9745
    @honorinaabwe9745 4 ปีที่แล้ว +5

    I love you Chemical

  • @rabiaselemane2555
    @rabiaselemane2555 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana

  • @chani_tayra_official1860
    @chani_tayra_official1860 2 ปีที่แล้ว +4

    My favorite all the time🥺🥺🥺y'all killed it🥺🥺❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AlanKimaro
    @AlanKimaro หลายเดือนก่อน

    Ngoma kali sana.........❤❤❤❤❤

  • @JosephMayombya
    @JosephMayombya 24 วันที่ผ่านมา

    Umepotea sana kweny mziki

  • @andrewkazungu6542
    @andrewkazungu6542 2 ปีที่แล้ว

    Iingima ime Bamba kinoma Sana.

  • @joiceelimu7818
    @joiceelimu7818 4 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo unaniua mm hongera ddyke

  • @duncanpenza2297
    @duncanpenza2297 6 ปีที่แล้ว +8

    Good luck Chemical I have subscribed...!

  • @NashanAlly
    @NashanAlly ปีที่แล้ว

    Huu wimbo nakumbuka arusha

  • @HoseaMakas
    @HoseaMakas ปีที่แล้ว

    Hii Ngoma aliua sana

  • @abubakarayoub2287
    @abubakarayoub2287 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa mzur kuliko huyo chemical mwenyewe,
    But bonge la nyimbo.

  • @ahmerdmohamed7789
    @ahmerdmohamed7789 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana chemical na kazi zko pia

  • @FrancisMororo
    @FrancisMororo ปีที่แล้ว

    Ngoma ilitesa weng 🔥

  • @mariamurobson435
    @mariamurobson435 4 ปีที่แล้ว +3

    2020 hii ngoma uwa sichoki kiusikiliza tamu sana

  • @bonifacejunior2926
    @bonifacejunior2926 3 ปีที่แล้ว +4

    Chemical 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @aikamassawe7001
    @aikamassawe7001 3 ปีที่แล้ว

    Naipenda hi nyimbo jamani kha

  • @jamesmgimba7403
    @jamesmgimba7403 3 ปีที่แล้ว

    Sijiweeezi mwenziooo

  • @siwemaking8321
    @siwemaking8321 6 ปีที่แล้ว +13

    asante

  • @mgenibakari501
    @mgenibakari501 2 ปีที่แล้ว +8

    2022 am here 🥰my favorite song 😘😘😘

  • @abrahamkasian7024
    @abrahamkasian7024 4 ปีที่แล้ว

    Hii nyimbo ilikuwa inamtaka Centamo kwenye collabo ndio maana ni hit song

  • @bonifasiasajile1763
    @bonifasiasajile1763 4 ปีที่แล้ว

    Unaweza dada

  • @kuolnhialruot504
    @kuolnhialruot504 2 ปีที่แล้ว +5

    She's a talented young lady

  • @juliusonyancha3681
    @juliusonyancha3681 3 ปีที่แล้ว

    Mtu akicheki vibaya chem anakaa tboy

  • @alfredmarua9178
    @alfredmarua9178 ปีที่แล้ว

    Mbona uliacha kuimba nampe nyimboso

  • @SuleiyumSuleyman
    @SuleiyumSuleyman 12 วันที่ผ่านมา

    Mm najua basi mwenzangu

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda bule chemical

  • @bestmedia_tz
    @bestmedia_tz 4 ปีที่แล้ว

    Nooma sana hii ngoma nisha icheki kama Mara 100 nimoja kati ya heat zisizochuja aminia sana #Chamical ft #Centano like zenu wadau

  • @aminasinze8500
    @aminasinze8500 2 ปีที่แล้ว

    Naipenda sana huu wimbo

  • @ChadrackNiragira-gc8ug
    @ChadrackNiragira-gc8ug ปีที่แล้ว

    Ngoma kali🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮tuko pamoja 5/5

  • @madamglory1409
    @madamglory1409 4 ปีที่แล้ว

    Umekaa kiume kweli ila mkali Tena sana

  • @juliusonyancha3681
    @juliusonyancha3681 3 ปีที่แล้ว

    Bhana mi nmekam back Kea hii nyimbo 2021 i am very proud of chemical

  • @aliihemba3
    @aliihemba3 6 ปีที่แล้ว +14

    Kuna cku utateka mioyo ya weng

  • @nizarymunry1503
    @nizarymunry1503 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo mzur sna

  • @aishamwalembe8451
    @aishamwalembe8451 4 ปีที่แล้ว +1

    Duu m najuaga chemical n wakiume

  • @pendopascal1899
    @pendopascal1899 ปีที่แล้ว

    Namoenda sana huyu dada

  • @AliciannaKiyao
    @AliciannaKiyao 4 หลายเดือนก่อน

    Chemical ❤❤❤❤unajua unajua tena

  • @arymixologyservice9899
    @arymixologyservice9899 5 ปีที่แล้ว

    Mzigo umesimama mbaya

  • @mariamsaidi5348
    @mariamsaidi5348 6 ปีที่แล้ว +15

    I like this song much 😍😍😍

    • @jeffmburu6111
      @jeffmburu6111 5 ปีที่แล้ว +1

      mziki hu na pia anachafua lhuga

  • @dorcasmbagga4931
    @dorcasmbagga4931 ปีที่แล้ว

    Wanakujaga na kupotea

  • @bellajayofficial3711
    @bellajayofficial3711 5 ปีที่แล้ว

    Uko juu tena sana big up