Founder TZ - Nitatokaje (Official Music Video )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8K

  • @FounderTz
    @FounderTz  ปีที่แล้ว +2545

    Shukrani sana kwenu maana sina cha kuwalipa 🙏🙏🙏🙏

    • @alfayotumaini
      @alfayotumaini ปีที่แล้ว +79

      Dogo uko fiti sana kila la kheri katika safari yako ya mziki usikate tamaa dogo

    • @muhugokandiga5757
      @muhugokandiga5757 ปีที่แล้ว +55

      Pambana mdogo wangu tumeshaona kipaji unacho Huwa napost mpaka Whatsapp kazi zako mfano Ile ya mnisapoti kusaport tu japo sikujui

    • @TITOtz
      @TITOtz ปีที่แล้ว +40

      Dogo inakuwaje trending haupo una 103k for 1day na ommy dimpoz ana 73k for 1 day yupo trending how? Jitahidi uijaze account yako ya youtube yaani founder tz ni nani zaidi kama jina lako la kiserikal kama Diamond platinumz alivyo jaza na mitandao mingine uliyonayo kama Spotify etc.

    • @ElizaZaina
      @ElizaZaina ปีที่แล้ว +22

      ​@@TITOtzcomment mzuri sana iyo nikweli kabisa kama hajawa basata ajitaidi sana kwasababu upanda wa views Yuko powa sana

    • @yprincetzofficial
      @yprincetzofficial ปีที่แล้ว +15

      Lets go hit song

  • @CheedMk
    @CheedMk ปีที่แล้ว +462

    Kama unamkubali founder naomba likes yako pleas 🙌🙌 mungu akubariki sana mdogo wangu tupo nyuma yako

    • @majaliwaramadhan
      @majaliwaramadhan ปีที่แล้ว +6

      Sisi wengine tuna hangalia kazi za ma director sio mpaka wasanii tu 😁😁

    • @CheedMk
      @CheedMk ปีที่แล้ว

      @@majaliwaramadhan Kojoa ulale

    • @gabrielkipamba4740
      @gabrielkipamba4740 ปีที่แล้ว +2

      Umeshatoka mdogo wangu Mungu akulinde uliko good job

    • @alhamdullilla5108
      @alhamdullilla5108 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah namkubali dogoooo Mashaallah

    • @HawaTito-bl9sd
      @HawaTito-bl9sd ปีที่แล้ว +1

      Nakubali dogo

  • @husnaarafat2725
    @husnaarafat2725 ปีที่แล้ว +201

    Walio msuppoort mdogo wetu Mungu awabariki sana, much love from Kenya 🇰🇪

    • @DolpheeQT-sl6mk
      @DolpheeQT-sl6mk หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/myKy-OVWuVw/w-d-xo.htmlsi=XCRMuoD7QtbK8-48

  • @MsMarry2023
    @MsMarry2023 9 หลายเดือนก่อน +115

    Kama huna mkubali huyu dogo kwa mziki wake weka like

    • @JOAKIMKIFARU
      @JOAKIMKIFARU 5 หลายเดือนก่อน

      haha 😂😂

    • @DolpheeQT-sl6mk
      @DolpheeQT-sl6mk หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/myKy-OVWuVw/w-d-xo.htmlsi=XCRMuoD7QtbK8-48

  • @hydratz9750
    @hydratz9750 ปีที่แล้ว +361

    Wakati wasanii wengine wanahangaika na Amapiano,
    Dogo katuletea bongofleva Safi kabisa, embu tumsapoti🔥🔥🔥🔥

  • @skmwenyewe07
    @skmwenyewe07 ปีที่แล้ว +2827

    Team gulf wenye tumekuja ku support huyu Dogo juu ana kipaji piteni na likes jameni🇰🇪🇶🇦

  • @KravitzKenya
    @KravitzKenya ปีที่แล้ว +463

    Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ikishaitikia brother count yourself a celebrity already.guys let's support this massive talent 💥🏆

    • @TeresiaWanjiru-jz5vh
      @TeresiaWanjiru-jz5vh ปีที่แล้ว +6

      That's a must

    • @shazardmahrezwalulaca211
      @shazardmahrezwalulaca211 ปีที่แล้ว +8

      Ndo ina zidi ku sambaa🇰🇪

    • @damascusshady6954
      @damascusshady6954 ปีที่แล้ว +5

      WHo lied to you...kenya hamjui kuimba so why should we need approval from yourl...lol

    • @Theuniverse318
      @Theuniverse318 ปีที่แล้ว +1

      ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @chiroshow-ri2nd
      @chiroshow-ri2nd ปีที่แล้ว +5

      ​@damascusshady6954 we don't know but without us ,akuna mtaenda tu

  • @charlesmwai5002
    @charlesmwai5002 11 หลายเดือนก่อน +34

    Kila siku Bongo flava Ina wakuiendeleza much love for TZ

    • @MRJ1308
      @MRJ1308 10 หลายเดือนก่อน

      Haki

  • @marthanyabuto8634
    @marthanyabuto8634 ปีที่แล้ว +491

    This is another LION in Tanzania, keep going my son much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @pitohtheeG
      @pitohtheeG ปีที่แล้ว +3

      See what other countries are doing 😢😢😢😢...hope kenya watasaidiana hivo

    • @NicodemusKithi-xe7mg
      @NicodemusKithi-xe7mg ปีที่แล้ว +2

      Dogo Dua tu

    • @Milanfyv-official
      @Milanfyv-official ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/PRbkT-CKvd8/w-d-xo.htmlsi=_pNBuJ5aq2xbSteD

    • @BULANGAMC
      @BULANGAMC ปีที่แล้ว

      youtube.com/@bulangathedon2604?si=czfv91098qCLBCZV

    • @mshamhemedy8567
      @mshamhemedy8567 ปีที่แล้ว +2

      Kweli

  • @Jofuboy
    @Jofuboy ปีที่แล้ว +90

    Nimewahi sana tupite na like kwa mdogo wetu founder tz ili twend sawa❤❤❤❤

  • @robertsimba5081
    @robertsimba5081 ปีที่แล้ว +28

    Ushatoka bro ...niko Kenya nasubiri🇰🇪#2023

    • @DolpheeQT-sl6mk
      @DolpheeQT-sl6mk หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/myKy-OVWuVw/w-d-xo.htmlsi=XCRMuoD7QtbK8-48

  • @WALLENYMwasenga-jw6iu
    @WALLENYMwasenga-jw6iu 11 หลายเดือนก่อน +104

    Mimi mwenyewe nimejikuta kumuelewa dogo naombeni like ata mia tu jamani

  • @wilaslupson
    @wilaslupson ปีที่แล้ว +62

    Mpeni mauwa yake huyu dogo jamani,wimbo mzuri mno!Mungu akutangulie kwa kila atuw ya kazi yako dogo🙏🙏 ,this is a natural Talent 👌

    • @mwanaashahamisi554
      @mwanaashahamisi554 ปีที่แล้ว

      👑👑👑👑👑💯💯💯💯🥀🥀🥀🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

    • @montanahamad6974
      @montanahamad6974 ปีที่แล้ว

      Daaah guy's tumpeleke trending huyu dogo hii nyimbo kalisana

  • @urugendorwubuzima6095
    @urugendorwubuzima6095 ปีที่แล้ว +29

    Wanaobaki muda Kwa muda kusukia hii ngoma tujuwane love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @ramadhanallygwajil2520
    @ramadhanallygwajil2520 ปีที่แล้ว +9

    Nakubali Mdogo wangu, Shabiki yako namba 1 nakubali sana kazi nzuri endelea kupambana mafanikio ya Mziki yapo mbali Sana

  • @ShamsaDavid
    @ShamsaDavid 2 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤ founder tz mungu akubaliki na akujalie uweze kuwa kama diamond kabisa yaan

    • @ShamsaDavid
      @ShamsaDavid 2 หลายเดือนก่อน

      Kigoma one👏👏🙌🙌♥️♥️♥️

  • @josephamakobe8404
    @josephamakobe8404 ปีที่แล้ว +515

    Ukishakubalika Kenya mziki wako ushapenya 🇰🇪

  • @shadyarif653
    @shadyarif653 ปีที่แล้ว +40

    254..Kenya.. tunarudia mara isiyohesabika...ebu wakenya leteni likes hapa🎉

  • @ESTHERMUTHONI1234
    @ESTHERMUTHONI1234 ปีที่แล้ว +45

    Simba plus konde boy pamoja,,,much love from Kenya,,, congrats younger BT talented,, keep it up 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mwanangu ushauri tu unakubalika na wakubwa kwa wadogo nyimbo zako zinasikilizika na rika zote.angalizo usipotoshwe au kuiga mashairi yasio na maadili nenda namwendo wako kama vile nitoke vp.we nimwanamuziki mzuri mungu azid kukuinulia kipaji chako.

  • @EddyEdgard-q8d
    @EddyEdgard-q8d ปีที่แล้ว +54

    Wa kenya kumbe ninyi ni wapenda maedeleo,, toka Congo DRC 🇨🇩 nime wa kubali, sapoti yenu kwa mdogo wetu ni nyingi sana ,gonga Link apa wa kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @ronniebertin3563
      @ronniebertin3563 ปีที่แล้ว +1

      Mkimbizi toka congo anaishi Tanzania sio kenya

    • @EddyEdgard-q8d
      @EddyEdgard-q8d ปีที่แล้ว

      @@Thekidp3702 mimi comenti yangu, bahada ya ku ona wa kenya wana ji tokeza kwa uwingi ku msapoti dogo, ndo happy nikawa nime sema kuwa wa kenya ni wapenda maeneleo, ku sema kweli dogo, ni mkimbizi toka congo, ambae ana ishi Tanzania, na anaye sapotiwa na WA kenya, bonjour my dada

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 ปีที่แล้ว

      @@EddyEdgard-q8d Saw a😊 ila dogo si mkimbizi tena kashakuwa raia wa Tz ,Na kuhusu wakenya ku support Tz hiyo ni kawaida

    • @mujahidibnimrani3058
      @mujahidibnimrani3058 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kiukweli mm mwenyewe nmewakubali wakenya hawana husuda bali wanaombea kila mtu mafanikio hilo nmeliona kwa kila komenti

  • @farajalongo4528
    @farajalongo4528 ปีที่แล้ว +37

    Kutoka kambini mpaka duniani. Mungu hana mshirika 💪💪💪💪 #Nitatokaje 🙌🙌

  • @laurentwilson-db4ir
    @laurentwilson-db4ir ปีที่แล้ว +93

    Songs Kally sana kama unakubali gonga like apa ✊🙄😒❤❤❤❤

  • @iam_masasila
    @iam_masasila ปีที่แล้ว +35

    Talent from the street camp! MUNGU Hamtupi mja wake Mimi binafsi namuombea Sana huyu kijana MUNGU amuinue kipaji chake

  • @sheilarehema1035
    @sheilarehema1035 ปีที่แล้ว +16

    Mombasa Kenya ndio daraja la kwanza la musiki wako mdogo wetu uko vizuri imepenya na bado chupa lina pasua anga Keep it up GOD bless your efforts kijana wetu EAST AFRICA to the world

  • @catherinemukami4190
    @catherinemukami4190 ปีที่แล้ว +13

    Mtoto yuko vizuri sanaa Mungu akusaidia umeshatoka tayari

  • @TitusMutemi-y4b
    @TitusMutemi-y4b 6 หลายเดือนก่อน +7

    UNYAMA ni Mwingi Dogo ..jipe kwa mola utatoka Dogo inshallah 🙏🙏big love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kenya

  • @masoudathumani620
    @masoudathumani620 ปีที่แล้ว +22

    Nyimbo ni kari sana dogo anajua mwenyezi mungu ampe nguvu atimize malengo yake

  • @lewymbuba
    @lewymbuba ปีที่แล้ว +74

    Kenya 🇰🇪🇰🇪... love the vibe of this young talented man.

  • @bakariharry2229
    @bakariharry2229 ปีที่แล้ว +26

    Founder tz tuko pamoja 🎉🎉🎉 na kazi yako twaikubali n tutaipeperusha kila kono watu wazidi kusubscribe your channel

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 หลายเดือนก่อน +2

    Founder tz .mshukuru mama kwa kulea ucjali maisha umnayoipitia kwan mungu anampango wewe kwa kipaji chako

  • @barberyoung2543
    @barberyoung2543 ปีที่แล้ว +44

    400k plus viewa in 4 days,,, thats really amazing and nyota ya dogo inangaa ni vigumu sana kupata views hivyo kwa siku chache maze.... Wish you all the best kwenye kioaji chako,, nitafurahi sana nikiona unapiga 1 million plus in two weeks... Kama unatambua dogo piga like tukisonga❤❤

    • @LocsbyBasha
      @LocsbyBasha ปีที่แล้ว +2

      100k kila siku....
      In 10 days 1M... 🎉

  • @VinaboyOfficial
    @VinaboyOfficial ปีที่แล้ว +43

    Una kipaji kikubwa sana dogo. We as Kenyans are praying for you that may God lift you up all the days of your life 🙏🙏

  • @danielbyenda501
    @danielbyenda501 ปีที่แล้ว +82

    Félicitations mon frère. En RDC nous sommes fiers de toi. Congo 🇨🇩🇨🇩na tanzania🇹🇿🇹🇿 tuko familia.

    • @ImeldaMpulule-x3y
      @ImeldaMpulule-x3y ปีที่แล้ว +2

      Unakipaji kaza mwanangu

    • @JoybCraq
      @JoybCraq ปีที่แล้ว +4

      Merci

    • @JoybCraq
      @JoybCraq ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/7VeIH6_JdXE/w-d-xo.htmlsi=XxtIhdb7GDxBI3je

    • @JoybCraq
      @JoybCraq ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/CgcgivdVJmo/w-d-xo.htmlsi=-SZe68yHLNeJx_cU

  • @EmmanuelKishiwa
    @EmmanuelKishiwa 8 หลายเดือนก่อน +30

    Mdgo angu nipo pamoja nawe usisite kuwa mpambanaji utafika mbali sana kusema kweli MUNGU awe nawe kila SIKU na azidi kukupaisha see you at the top 🎉🎉🎉

  • @ashleyandeka
    @ashleyandeka ปีที่แล้ว +22

    Watching from kenya 🇰🇪 we love you Founder na our prayers to you ni God akuzidishie kipaji zaidi..tuko apa kwajili yako sisi kama team strong 💪🏼

  • @zachariamwita3926
    @zachariamwita3926 ปีที่แล้ว +31

    Tanzania Kuanzia Mtoto Hadi Watu wa umri Mkubwa wana Vipaji Ilove My Motherland

  • @ntiranyibagiradeo-y4y
    @ntiranyibagiradeo-y4y ปีที่แล้ว +13

    Founder Tz anaweza kabixa❤.anashangaza kweli,mtoto wa miaka 15❤❤❤❤❤

  • @sammymuigai4367
    @sammymuigai4367 ปีที่แล้ว +1

    Ama kweli dogo ana kipaji...nampasuppoti 💯...naona kwamba ni kama Aslay kipimdi kile akitoka...ama Sam wa ukweli karidi tena..bigup#dogo waenda mbali...#simba#chui#tembo...sasa huyu hapa mamba wenyewe aja kuzirarua hema za mipaka ya kimuziki...au ndio vile Tai #foundertz pepea kakadogo

  • @BonMaro
    @BonMaro ปีที่แล้ว +36

    Thanks,God 🙏 kwakumpa kipaji mdogo wetu naeaikomboe family yake naiman Mdogo wangu Founder Tupo nyuma yako nenda nenda Mdogo wangu Nyimbo kali sanaaaa unaweza namwnyzi Mungu akupe Maisha marefu sanaa nadhan waTanzania tumekuona tupo kutimiza ndotozako nausimwache Mungu ktk Maisha naiman atakutendea wakati sahihi my blood❤✍️🎶🎵🙏🇹🇿

  • @AlexWilondjaAlexandre
    @AlexWilondjaAlexandre ปีที่แล้ว +16

    Mungu ambariki sana kijana wetu,kwakuwakilisha wacongo wote,tunafurahi sana

  • @Gapchojiga.
    @Gapchojiga. ปีที่แล้ว +51

    Ninajua kuwa tasnia ya muziki inaweza kuwa ngumu, lakini ninakuamini. Una kile kinachohitajika ili kufanikiwa. Endelea kuandika nyimbo zako, endelea kufanya mazoezi ya ufundi wako kimuziki, na usikate tamaa katika ndoto zako.

  • @BensonKabaghe
    @BensonKabaghe 6 หลายเดือนก่อน +15

    From Zambia for the first time to hear the song of this young boy congratulations 💐💐💐🎉🎉🎉🎉🎉

    • @BensonKabaghe
      @BensonKabaghe 6 หลายเดือนก่อน +1

      Thank God ❤🎉❤❤🎉

  • @annefridakisesa4910
    @annefridakisesa4910 ปีที่แล้ว +20

    Utatoka Dogo, unayo talent kubwa aisee! Hongera sana. Hayo yote usifanye, piga kazi na muziki tu! Big up! Na usiingie macontract kichwa kichwa mwanangu.

  • @isayamzaliwa9253
    @isayamzaliwa9253 ปีที่แล้ว +31

    Ambaho tumerudia Mara 10 gonga tujuane❤❤

  • @dominicmkombolewa7945
    @dominicmkombolewa7945 ปีที่แล้ว +21

    Nimekubali.Acha tumwombe Mungu siku moja tupige kolabo ya gospel pamoja🙏🙏🙏🙏

  • @bernadetaemmanuel1824
    @bernadetaemmanuel1824 6 หลายเดือนก่อน +8

    Kwa wanaamin dogo anaenda kuipeperusha bendera ya Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ulimwenguni kote likes ❤❤hapa

  • @BARAKASIMKOKO-o5k
    @BARAKASIMKOKO-o5k ปีที่แล้ว +34

    Very very hit song, mond wa badae keep it up 🔥

  • @dianakemmylifestyle5227
    @dianakemmylifestyle5227 ปีที่แล้ว +245

    USA 🇺🇸 well represented 🇰🇪 🇹🇿 we love you, Founder TZ💞💞

  • @HEAVEANDEALS
    @HEAVEANDEALS ปีที่แล้ว +71

    THIS KID IS THE NEXT BIG THING IN TZ... WATCHING FROM ZAMBIA 🇿🇲. YOU WILL ALL WITNESS.

  • @MarthaTabindi
    @MarthaTabindi 6 หลายเดือนก่อน +1

    This little Boe Jamaniiii He Makes Me feel free the Moment Nackiliza Ngoma zake, Any way Well done ✅, Kazania Pia Na Masomo Mungu Hatokuacha Kaka Mdogo" ❤❤ We Much Appreciate You Moreeee

  • @exploregalorekenya
    @exploregalorekenya ปีที่แล้ว +17

    Mimi si fan wa Bongo na I've never been a fan of any bongo artist, but kwako natangaza kuwa fan wako mkubwa hapa Kenya. I wanna grow with you to your greater heights

    • @allykhamisi647
      @allykhamisi647 ปีที่แล้ว

      He has talent wallah may allah help him amen let's support this young boy please world wide please

  • @isaiahndiwa4373
    @isaiahndiwa4373 ปีที่แล้ว +51

    Kenyans loves good music sisi ndo judge ....let's gang up na liles Kama tuko kimoja🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 ปีที่แล้ว +15

    Tuliorudia ngoma hii mara nyingi tujuane apa❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SophiaRichard-nq5gq
    @SophiaRichard-nq5gq 6 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU akufikishe mbali mdgoang,unajua MUNGU abarik kipaji alichokupa kifike mbali❤❤

  • @weecoclea9273
    @weecoclea9273 ปีที่แล้ว +26

    I was suggested here while listening to the song “Dupe - Dost” 😅😅

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 ปีที่แล้ว +70

    One of the purest talents virgin vocals smart mind!! God bless you so much my son walio karibu na huyu chalii msaidieni zaidi na zaidi kipaji chake kiishi umri mrefu zaidi. Mungu akulinde na husda matumizi ya vitu visovyofaa na shetani mwovu kwa ujumla

    • @mosescharles1921
      @mosescharles1921 ปีที่แล้ว +1

      Na iwe kwako piah

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 ปีที่แล้ว +1

      @@mosescharles1921 amen son

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 ปีที่แล้ว +1

      Eti virgin vocals hmmm

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 ปีที่แล้ว +1

      @@Thekidp3702 Yes sweetheart bado sauti yake haijanajisiwa na kemikali vilevi na mimoshi ya either sigara au mihadarati "marijuana"

    • @KelvinChengo-sv4zr
      @KelvinChengo-sv4zr ปีที่แล้ว

      Dogo mkali sana nimependa mashairi yake big up like ❤❤❤ zake mpeeni

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no ปีที่แล้ว +11

    Daah huyu wimbo mkali sana ukipiga collaboration na SIMBA inaweza kiwa tishio EA kabisa❤❤❤

  • @JamalNjopeka
    @JamalNjopeka 3 หลายเดือนก่อน +1

    😮dogo anaimba jamani tumuombee duwa Ila kumbuka na maxomo mungu atajalia❤

  • @Ziki-wrld
    @Ziki-wrld ปีที่แล้ว +52

    Hongera sana Founder Tz kwa safi unayoifanya nyimbo nzuri naipenda hii..pia hongara kwa speed beat na director wa video hi ni kali sana aisee dogo utafika mbali twakuombea sana ufike level za juu 💖💖💖

  • @WooWoo-t2e
    @WooWoo-t2e ปีที่แล้ว +78

    True talented boy more love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @devontndauka8268
      @devontndauka8268 ปีที่แล้ว

      🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰

    • @Sheriann-pg5hq
      @Sheriann-pg5hq 6 หลายเดือนก่อน +1

      ❤Maisha hayana araka dogo .ukiwa na mungu. Tuna kupenda sana sisi wakenya mungu akubariki na Miaka mingi mizuri naomba endelea na kipaji chako❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @peacy026
    @peacy026 ปีที่แล้ว +36

    🇰🇪🇰🇪 tushamkubali dogo 🎉🎉🎉🎉 bonge la hit ❤❤ asiyopenda na akajiuwe na mbali maana kijani anafaa taji kwa hakika❤❤

  • @bakarbeka8391
    @bakarbeka8391 ปีที่แล้ว +5

    As long as waKenya wamekutambua ndio ushatoka ivyoo @Founder Tz....God Bless you Boy,make Tz proud make Africa proud

  • @dinabilemanga1703
    @dinabilemanga1703 ปีที่แล้ว +6

    Waweza sana dogo pambana sana utafika mbali sana kweli napenda sana wimbo wako

  • @DrEvarist
    @DrEvarist ปีที่แล้ว +18

    I Hope itafika 1M soon 🔥🔥🔥✅✅
    Tukutane kwa like wanao amini ilo 👍👍

  • @ChristinaPetro-ot1gs
    @ChristinaPetro-ot1gs 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejikuta namuerewa sana huyu dogo,mungu akuxaidie ufike mbari

  • @shabanihussein7163
    @shabanihussein7163 ปีที่แล้ว +16

    I love you more my young blood ❤
    Mwenyezimungu akujalie 😢 ufikie ndoto zako , mdogo wangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
    All the love from South Africa 🇿🇦 ❤

    • @IsmailFaraj
      @IsmailFaraj ปีที่แล้ว

      Umeuwa sana bwana mdogo , huo ndo mziki wa kibongo big up.

  • @Nairi-h2q
    @Nairi-h2q ปีที่แล้ว +12

    Watu wakenya mm na wakubaligi sana yani amnaga ubaguzi big up sana wanangu tu msapoty dogo

  • @gmdavidotz
    @gmdavidotz ปีที่แล้ว +14

    Kama una mkubali dogo ni shida yani ni moto 🔥🔥🔥 wakuotea mbali Founder tz gonga like apa

    • @aaminaasljbgbvf745
      @aaminaasljbgbvf745 10 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉🎉🇹🇿🇹🇿

  • @aminapili2978
    @aminapili2978 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amwepushe na wabaya ili asaaidie mamake na mandugu zake maana waaah mashallah kipaji mungu kamjali

  • @peacy026
    @peacy026 ปีที่แล้ว +10

    Bonge la hit..... keep shining dogo wangu ...let's sapoti kadri ya uwezo wetu❤❤❤

  • @DinahDavid-i5h
    @DinahDavid-i5h ปีที่แล้ว +6

    Kazana mdogo wangu Mungu azidi kukuinua viwango vya juu❤❤❤🙏🙏🔥

  • @TitusWanjala-mg6tu
    @TitusWanjala-mg6tu ปีที่แล้ว +13

    Namkubalia sana mtoto huyu. Sauti yake ina mvuto kweli kweli. Mwenyezi Mungu ampandishe na kumvusha kwenye ng'ambo ya fanaka. Hongera mashabiki wa bongo.

  • @MkalaNzaka
    @MkalaNzaka 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu dogo, mambo mbaya naomba Diamond usimuache huyu dogo,atapeleka WCB to the next level,lo❤ from 254

  • @HistoriTv
    @HistoriTv ปีที่แล้ว +43

    From Kenya,
    This boy has a huge talent, may God see him through 🙏

  • @carolmwangi6223
    @carolmwangi6223 ปีที่แล้ว +13

    Wenye tunarundi kuuona huu wimbo mala kwa mala kujeni hapa na like zenu. Kenya hoyeeeeeeee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💃💃💃💃💃💃💃💃💃

    • @MaimunaNazline
      @MaimunaNazline 5 หลายเดือนก่อน

      Dogonamkubali n mzima

  • @chrisman4727
    @chrisman4727 ปีที่แล้ว +7

    Ajulikane popote mtoto Ana kipaji
    Burundi tukopamoja mtoto wetu mungu akupe nguvu usonge mbele❤

  • @mititokevin6878
    @mititokevin6878 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hii hapa ndio ufunguo kwa young founder .yarabi akiipanga mola hata wachawi wajumuike kilingeni hawazezi

  • @rodneychidemmamukiza5204
    @rodneychidemmamukiza5204 ปีที่แล้ว +20

    Check this comment after 10 yrs. This talent is going far. The next diamond of his time. May God help you lil bro❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @chidimstaarabu254
    @chidimstaarabu254 ปีที่แล้ว +10

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. ❤️❤️❤️ Kazi nzuri hii, utaenda mbali

  • @antoinebakevya8911
    @antoinebakevya8911 ปีที่แล้ว +13

    Oooooh my God, I can't stop dropping my tears. Those who can do it, don't let down this dogo, keep it up!!!

  • @Ali-gk5mv
    @Ali-gk5mv 8 หลายเดือนก่อน

    Wallahy We Dogo Ni Genius Akili Nyingi Amujakosea Kujiita Wabongo Mana Mnajua Mpka Mnakera Maa shaa Allah...Nakuombea Kila la Kheri Mdogo Wangu Founder TZ Una Kipaji Kikubwa Sanaaaa tena Sanaaaa....PAmbania Kipaji Chako

  • @mikedon254
    @mikedon254 ปีที่แล้ว +20

    Ushaatoka kaka❤
    🇰🇪😎🙏
    Kama unakubali vaibu ya huyu ndogo gonga like tumtoe❤...🇰🇪

  • @stanomusicofficial
    @stanomusicofficial ปีที่แล้ว +48

    It's good to spot such talents at a young age like this..oee dogo mwenyezi mungu akujaliee brazaa 🙏goma Kali sana 🔥 Uganda 🇺🇬💯 twakukaribisha sana

  • @keywinsofficial3023
    @keywinsofficial3023 ปีที่แล้ว +34

    Daaa dogo anaeneza on million views ndani ya siku kumi daa majabu kweri ebu nipeni like kama 1000 kama ww nishabiki yake

  • @Levisshima
    @Levisshima 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kipaji unacho, tena nyimbo ni nzuri, from Burundi ,I'm watching for🇧🇮

  • @ahmedmumbo8860
    @ahmedmumbo8860 ปีที่แล้ว +7

    young boy big talent Keep going one day yes 🎉🎉❤❤

  • @EzzyK438
    @EzzyK438 ปีที่แล้ว +10

    Kama unaamini dogo huyu tayari katoka weka likes hapa tumsupport

  • @ashraff_tz
    @ashraff_tz ปีที่แล้ว +8

    Sio Kwa huruma labda kwasababu ya maisha anayopitia huyu kijana, LAKINI nampa sofa kwasababu anakipaji kikubwa sana, melody nzuri. Hii sio huruma lakini KIJANA ANAJUA ANATAKIWA KUANGALIWA KWA JICHO KALI SANA.

  • @jumawere6639
    @jumawere6639 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kipaji unacho kaka , love your music from Kenya. Utatoboa tu Mungu yupo

  • @boogeybwoy5674
    @boogeybwoy5674 ปีที่แล้ว +116

    I've been following founder Tz since the day he was discovered. This boy is going places. I'm team Rwanda

    • @Makomando-l8s
      @Makomando-l8s ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/QWvxIpzJ6dk/w-d-xo.html

  • @SmileKiddoSK
    @SmileKiddoSK ปีที่แล้ว +24

    From Kenya am so happy my country boy Tz to the fullest🇹🇿🇹🇿🇰🇪

  • @salimugoda3304
    @salimugoda3304 ปีที่แล้ว +20

    Super talented boy👏, ngoma kali sana wala haihitaji maelezo mengi. Kila mwenye kuisikia atajua kipaji chako, mungu akufungulie njia zaidi kwenye safari yako hii.

  • @salumuomari
    @salumuomari 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu dogo noma Sana nyimbo nzuri Yani ameipangilia vzr Yan hii nyimbo angeimba msanii mkubwa walahi ingehit Sana ila ndohvo dogo bado Hana jina mondi angempa nyota kidogo tu siku akutane nae

  • @Sarose_investment
    @Sarose_investment ปีที่แล้ว +10

    Sema nini kigoma wamebalikiwa sanaa upande wa bongoflava kama wewe niwa kigoma gonga like

  • @itwas2022
    @itwas2022 ปีที่แล้ว +83

    🔥Founder Tz Is Talented Much🔥One Day Yes🔥Let's Support This Talented Boy🔥

  • @simonjuma9247
    @simonjuma9247 ปีที่แล้ว +12

    Sijawai penda bongo but hii ni pure talent..nimefall in love na huyu kijana🫂🫂

    • @Bin_Slyim
      @Bin_Slyim ปีที่แล้ว +2

      Sie wenyew hatukupend 😂😂

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 ปีที่แล้ว +1

      Hujawahi pendwa nayoyote fyata mkia bana pumbu utafilwa

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 หลายเดือนก่อน

    Founder TZ Mungu aendeleze Kipaji chako ucishindane Na wasanii kuimba wew imba nyimbo zko kutkana Na Kipaji Mungu aliekupa Kwa Mungu atakushindania Kwa Kipaji chako

  • @musty2025
    @musty2025 ปีที่แล้ว +38

    Kenyans🇰🇪 always show love, 🔥🔥🔥ngoma kali Bright future ahead

  • @dieudonnebatachoka2794
    @dieudonnebatachoka2794 ปีที่แล้ว +18

    I'm in love with this song, keep up the good job my Nyaruboy, 🇨🇩🇹🇿big up from Cape Town/SA nakubali hiyi