K2ga - Rangi Rangi (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025
  • เพลง

ความคิดเห็น • 4.6K

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 2 ปีที่แล้ว +6

    Kibonge kimedamshi💯💪💪💪

  • @HamicKauno255
    @HamicKauno255 2 ปีที่แล้ว +9

    Ngoma ina melody tamu sna big up K2ga niméisikiliza kama mara kumi na hainichoshi

  • @denissembuche9538
    @denissembuche9538 2 ปีที่แล้ว +30

    Mwamba kutoka King's uvumilivu unalipa aiseee nimekubali mwana wa UK Team Kiba raha sana. Hio verse yapili ungempa Kingkiba mamaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @faridakiswigo4957
    @faridakiswigo4957 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwn vepe mbona wote mnacoment kingel oyo we mkaka umejivua kwa kakangu kiba so plz acha sauti yetu simama wewe kama wewe pamoja na viungo vyako vingne 😏😏😏

  • @africanqueen956
    @africanqueen956 2 ปีที่แล้ว +6

    Aaah mm pia ntakuwa vixen sasa

  • @ramonlinechannel1282
    @ramonlinechannel1282 2 ปีที่แล้ว +8

    Young King

  • @patrickndumbala4656
    @patrickndumbala4656 2 ปีที่แล้ว +7

    Umetisha sana mkuuuuuuuuuuuu

  • @fadhilambuma3549
    @fadhilambuma3549 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbna umu wote wanacomment kingereza jaman☹️ me sielewi jaman hamna waswahili hum

  • @rashidyog6759
    @rashidyog6759 2 ปีที่แล้ว +9

    tunaisubili kwa ham hii rangi rangi 😋😋😋

  • @supertallone1902
    @supertallone1902 2 ปีที่แล้ว +27

    Nyota inang'aa K2ga wetu🎶👑kila kona ngoma inayopigwa ni RangiRangi...hongera hii ni hatua kubwa kwako💪🔥🎶💙
    Endelea kuachia ngoma nyingine zaidi🎶🔥
    #RangiRangi
    #K2ga
    #KingsMusicForLife

  • @teddymdee4899
    @teddymdee4899 2 ปีที่แล้ว +6

    Rangi rang ipo poa sana kitu haichuji yani nimoto sana ❤️♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani video queen kaa zari jamani jitu la jike😅😅Kwga uamani Nyangumi huyu au papa utamla vipi utakufa kwa chumvi na harufu

  • @teddymdee4899
    @teddymdee4899 2 ปีที่แล้ว +8

    Kazi nzuri zinapatikana hapa king's ni poa sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 yoooo

  • @SNOBPHOTOGRAPHER
    @SNOBPHOTOGRAPHER 2 ปีที่แล้ว +75

    Daaaaaah tendo lakumchezesha uyo baby mama lime vibe mno
    Hapa nilipo mabonge woooooote wameweka bundle kukusifu kwamba umewapa moyo kwamba kumbe na wao nimuimu kwenye hii dunia yetu big up sana

  • @jollywilson9938
    @jollywilson9938 2 ปีที่แล้ว +22

    Love katuwakilisha sisi vibonge wenzie maana ni nadra kumkuta kibonge video vixn😂😂😂😂❤

    • @nataliaananias5613
      @nataliaananias5613 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @NasraMngag
      @NasraMngag 3 หลายเดือนก่อน

      kabisaa

    • @DeborahSande-k6k
      @DeborahSande-k6k หลายเดือนก่อน

      Kwakweli nimependa lakn mm sipo kama love😂kumbee akiyokea mtu mniiteee😊

  • @amreallizy9518
    @amreallizy9518 2 ปีที่แล้ว +2

    Hujawakosea kuvaa jamn🥰🥰🥰🥰🥰

  • @irenengowi
    @irenengowi 2 ปีที่แล้ว +152

    Nani mwingine amenotice K2GA anasauti kama ya ALIKIBA

    • @delimachesa5007
      @delimachesa5007 2 ปีที่แล้ว +3

      Ukisikiliza Lisabela ndo kiba mtupu😅

    • @zaydabdul1651
      @zaydabdul1651 2 ปีที่แล้ว +2

      Nilidhani Kiba.. Sauti tamu

    • @supertallone1902
      @supertallone1902 2 ปีที่แล้ว +2

      Kidogo ziendane..AliKiba akiimba anasaut tam zaid. Thou K2ga nae anasaut nzuri.
      Tega sikio kwa wote ndio utanielewa...LisaBela ndio zilifanana saut kabisa nadhan inategemea na wimbo pia🔥👑💙

    • @king_efm_comedy7346
      @king_efm_comedy7346 2 ปีที่แล้ว +1

      Me

    • @MwaksC
      @MwaksC 2 ปีที่แล้ว

      Walaii😂😂😂

  • @youngpozze
    @youngpozze 2 ปีที่แล้ว +13

    Mapenzi yetu ya rangi rangi yanapendeza sana 🌹🌹🌹

  • @benjathekingofficialshows
    @benjathekingofficialshows 2 ปีที่แล้ว +9

    ♥️♥️♥️🫵🇹🇿🇨🇩🇺🇸 haya si ndo mambo sasa ✍️♥️🔥

  • @yalalakihungu4742
    @yalalakihungu4742 2 ปีที่แล้ว +1

    K2GA kanifrahisha 🤞🤞🤞🤞🤞🤞🤞🇨🇩🔥🔥🔥💯💯💯💯💯

  • @officialexpensiveman6292
    @officialexpensiveman6292 2 ปีที่แล้ว +21

    As a fashion Designer, naweza kusema Nguo zimekaa hongera brother pia wimbo umeimbwa na muimbaji.

  • @aishaomer6934
    @aishaomer6934 2 ปีที่แล้ว +10

    Mziki mtàmu sana nimerudia zaidi ya mara10 nakupenda sana k2ga wangu love u from Dubai

  • @supertallone1902
    @supertallone1902 2 ปีที่แล้ว +9

    Kashika nyama na mfupa, kaapa ntazikwa nae
    Mapenz ya raha kuch kuch hotaee
    Na mapenz anayonipa m sjaona kama yee
    Couple yetu imenoga.........🔥🔥
    Hii verse inani-murder🎶👑💙🔥💪

  • @mayam709
    @mayam709 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa hayo mabusu 🤣🤣🤣👌

  • @pendovibby7890
    @pendovibby7890 5 หลายเดือนก่อน +17

    Who else is watching this from Kenya..l love it guyz inanibamba sanaa😂😂

  • @yowtz5450
    @yowtz5450 2 ปีที่แล้ว +4

    hii ngoma kali sana..basi tu

  • @ramsomadolahofficial1324
    @ramsomadolahofficial1324 2 ปีที่แล้ว +14

    Alikiba tafadhali achilia huyu kijana atoe nyimbo mara kwa mara huyu ni mnyama na nusu.. Fungulia huyu uone show watakavyo vurugwa.. Labda juu wewe ni king anaogopa kukuambia mengi.. Mimi kwa niaba yake k2ga tafadhili king kiba sukuma huyu kijana mwaka mmoja tu unamtosha yeye kutisa na utashanga matokea hakuna saize yake. Anapendwa sana huyu dogo huku njee na watu, , vitu ndio vinachelewa kuja pliz king sukumu huyu dogo.. # alikiba #kings music #k24ga # alikiba my number 1 artist

  • @hafsasadick8043
    @hafsasadick8043 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwaaaa😘😘😘😘😘😘

  • @teddymdee4899
    @teddymdee4899 2 ปีที่แล้ว +7

    Noma noma ngoma kali bado ina ita ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kings

  • @rozeypwizzy6472
    @rozeypwizzy6472 2 ปีที่แล้ว +6

    Ki2ga, ki2ga, ki2ga, kituuuuugaaaaa, aiseeeee we mnyma zaid ya wote, hupend kiki wala skendo unapenda ngoma nzur zitufikie cc mashabiki, salute brow

  • @saadzakria12
    @saadzakria12 2 ปีที่แล้ว +6

    Oyooooo gomaaa la duniaaaa linakuja oyooooo

  • @hidayaabdalla3820
    @hidayaabdalla3820 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo sichok kuusikiliza🙈🥰🥰🥰

  • @POGMESSITV
    @POGMESSITV 2 ปีที่แล้ว +53

    K2GA Mchizi wa UK nimepata message kutoka kwa video vixen,,, tuwapende walivyo umbwa! Si lazma watuonyeshe uchi wao,✌️❤️❤️ 🇰🇪🇰🇪✅😎

    • @masanjaabasi8970
      @masanjaabasi8970 2 ปีที่แล้ว +1

      Ijayo fanya na mimi kembamba sana 😂😂😂😂😂

    • @sistermery4581
      @sistermery4581 2 ปีที่แล้ว +2

      Ijayooo. Anichukue na mim

    • @ladiusmk.anthony4989
      @ladiusmk.anthony4989 2 ปีที่แล้ว +1

      @@sistermery4581 ha haa

    • @fadhilismnekajr8514
      @fadhilismnekajr8514 2 ปีที่แล้ว

      @@sistermery4581 heeeeee 🤔🤔🤔

    • @POGMESSITV
      @POGMESSITV 2 ปีที่แล้ว

      @@masanjaabasi8970 😅😅😂✅🇰🇪

  • @musasamson6750
    @musasamson6750 2 ปีที่แล้ว +4

    hii ngoma huchoki kuitazama

  • @hemedikhatibu7069
    @hemedikhatibu7069 2 ปีที่แล้ว +4

    Fundi bhana uyoh mrisi wa kiba nakukubali sana brand yangu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @allenonesmomwebembezi6248
    @allenonesmomwebembezi6248 2 ปีที่แล้ว +2

    Matamu mapenzi matamu🎧🎧

  • @greyuliki8027
    @greyuliki8027 2 ปีที่แล้ว +4

    K2ga umeua ile kinoma numependa sana idea ya video

  • @jakuvuai1428
    @jakuvuai1428 2 ปีที่แล้ว +4

    Msanii wa mwanzo kuwafanya vibonge kujiamini. I love this a lot.

  • @dgamosaochikakozi1436
    @dgamosaochikakozi1436 2 ปีที่แล้ว +7

    K2GA ongera sana 🇨🇩so hot , tumeona kazi imeanza , king music likolo

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 2 ปีที่แล้ว +1

    Lengo la hii nyimbo ni kuwapa Nguvu na Kujiamini Wadada Vibonge MaPlusSize Flats ktk ulimwengu wa Love.. Na wajikubali wasione haya na miili yao. Maana Kila siku shape Namba 8 na Matako, Leo hii Wakina Loveness... Kuddos😍😍

  • @babramedia1171
    @babramedia1171 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakika k2ga ume jua kutu frahisha hii ngoma ilitakiwa uitoe mwisho wa mwaka ilikua ya kufungia mwaka wadaku lazima wa kimbie 🏃‍♂️🏃‍♀️🇹🇿💪🙏🙏

  • @MariootzViewskhoursago
    @MariootzViewskhoursago 2 ปีที่แล้ว +9

    Kadri mda unavyozidi kwenda nazidi kuona uziri wa wimbo❤️🔥🔥🔥🙌

    • @godfreylungwa750
      @godfreylungwa750 2 ปีที่แล้ว

      nilizan npo pekeangu 😅🙌👍

    • @SoomaSoma-t8x
      @SoomaSoma-t8x 7 หลายเดือนก่อน

      ❤tupo wengii❤

  • @Nyantozi
    @Nyantozi 2 ปีที่แล้ว +4

    K2ga the special artist to me good song and good job
    Daima huna nyimbo mbaya
    ila unajua mashabiki zako nini tunahitaji!!!!!🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @allenonesmomwebembezi6248
    @allenonesmomwebembezi6248 2 ปีที่แล้ว +3

    Mimi na yeye kuachana mwiko‼️‼️‼️

  • @rachelmukazayire8293
    @rachelmukazayire8293 2 ปีที่แล้ว +4

    Love ❤️ kwa ubora 🔥🔥

  • @aksharacosta4431
    @aksharacosta4431 2 ปีที่แล้ว +40

    Tatizo wanaume wasasa mnaangalia muonekano na Sio aman ya moyo haya angalia mwenzenu k2ga ana enjoy tu 🥰😂

    • @missindependent1893
      @missindependent1893 2 ปีที่แล้ว +2

      Wallah

    • @gracesilayo7670
      @gracesilayo7670 2 ปีที่แล้ว +2

      Ewaaaaaaaaaah halaaaaaaaaa 😂😂😂

    • @collinsbella8360
      @collinsbella8360 2 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa Vixen katisha sana yeye na K2GA Chemistry yao iko charming sna

    • @salmasalome7432
      @salmasalome7432 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio iyo sasa😅😅😅😅

  • @ama7742
    @ama7742 2 ปีที่แล้ว +10

    Hope kideo hakiaangusha ukubwa wa ngoma

  • @sayeedbinazan
    @sayeedbinazan 2 ปีที่แล้ว +3

    Natamani nimtag❤💯🌹

  • @masudiyussuf9391
    @masudiyussuf9391 2 ปีที่แล้ว +9

    🤴mwana mfalme 🔥🔥🔥 mchiz wa uk #k2ga

  • @salomeyona3834
    @salomeyona3834 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakubal sana k2ga mchiz wa uk moto sana. 💥💥💥

  • @ashraff_tz
    @ashraff_tz 2 ปีที่แล้ว +6

    For sure I really love this girl, Love wa Juakali. When I see her am just found my self in a smile. Nampenda sana yaani, nikimuona dah anayemchukia aisee akafanye chekup ya akili

  • @steveneriyo
    @steveneriyo 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani we mtoto alikutoa wapi kiba maana sio kwaufundi huu💥💥💥👑👑👑

  • @venancemisonga9603
    @venancemisonga9603 2 ปีที่แล้ว +17

    Mziki mzuri siku zote unaishi na hauchoshi kusikiliza Hongera Upcoming King 🤴 we really like,appreciate and enjoy your music keep it up.

  • @amoratyclamar6215
    @amoratyclamar6215 2 ปีที่แล้ว +6

    [K]Kiba²ga moto sana gotea kiba love frm Nyake a.k.a Kenya 👍👍🇰🇪🇰🇪

  • @refreshmediatv
    @refreshmediatv 2 ปีที่แล้ว +7

    Kenyans loving the song so much wapi likes if you Love the vixen ? 😋

  • @Hanifa-xc
    @Hanifa-xc 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sio mshabiki wa king music yaani Kwa ki fupi silipendagi li Ali kiba but big up k2ga chuma kimetulia

  • @saadzakria12
    @saadzakria12 2 ปีที่แล้ว +4

    Oyooooo goma laja goma laja

  • @djchgxfdudvg2860
    @djchgxfdudvg2860 2 ปีที่แล้ว +5

    Hapana chezea mrithi wa king hongera mtto wa king 👑👏👏👏

  • @aminanurudini9233
    @aminanurudini9233 2 ปีที่แล้ว +19

    Nampenda huyu Dada anajikubali kweli.... 💕

    • @joycerobert4135
      @joycerobert4135 2 ปีที่แล้ว +1

      Sana tyu

    • @asiadjuma8012
      @asiadjuma8012 2 ปีที่แล้ว +2

      kwa mtuu mwenye kumuamini mungu lazima ujikubali maan yeye ndo anaumba

    • @aminanurudini9233
      @aminanurudini9233 2 ปีที่แล้ว

      @@asiadjuma8012 kabisa

  • @ecostats51
    @ecostats51 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukimuangalia K2ga kwa mbali kama amefanana na Chemical hivi, lakini ukisogea kwa karibu kumbe kweli bana.

  • @masterkeymuzik
    @masterkeymuzik 2 ปีที่แล้ว +6

    Mambo hayo sasa 🔥🔥🔥🔥

  • @badimakka0016
    @badimakka0016 2 ปีที่แล้ว +4

    Big love from KENYA mombasani.k2ga wallahi my favorite artist.mzukaa kamanda wangu nakuaminia.hainakufeli.BADI MAKKA MJAMBERE WARD KISAUNI FITNESS.

  • @rashidamohamed9927
    @rashidamohamed9927 2 ปีที่แล้ว +6

    Mziki mnzuriiii sana unajuwa mwenyenzimungu ayiifugiliee safariyako 💯💯💯🙏🙏🙏💪💪💪

  • @benmwangi6016
    @benmwangi6016 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu vixen alilipwa ama alilipa??!!!!. NYC one though. K2ga never disappoint. Mud love n support from +254 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @masterkeymuzik
    @masterkeymuzik 2 ปีที่แล้ว +8

    Mi kwake yeye am in love 🔥🔥🔥

  • @officialshebyranco2720
    @officialshebyranco2720 2 ปีที่แล้ว +5

    Mfalme wa baadae

  • @barakajkadu2023
    @barakajkadu2023 2 ปีที่แล้ว +1

    Goma hili na la Moto Sana hii ndo rang rang👑👑.

  • @POGMESSITV
    @POGMESSITV 2 ปีที่แล้ว +70

    #41 on Trending Kenya 🇰🇪✅💯
    Let's gooooo K2GA 🔥🔥🔥

  • @youngb5993
    @youngb5993 2 ปีที่แล้ว +5

    🔥🔥🔥sana bro kaz safi rangi rangi 🇰🇪🇰🇪 nakutambua

  • @laveb461
    @laveb461 2 ปีที่แล้ว +4

    K2GA jamani ume nipagawisha brother. King's Music 5g💥💥 lite forever

  • @siriyake_films569
    @siriyake_films569 ปีที่แล้ว +1

    Duh,Sijui mi niseme je.... K2ga nimemgundua ye ni nani na sisemi😂😢😢

  • @mercymacharia7035
    @mercymacharia7035 2 ปีที่แล้ว +5

    My all time artist K2GA
    .sauti jamani yanimaliza💋 we love you from Kenya

  • @DIRECTOR_JUNIPER
    @DIRECTOR_JUNIPER 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali mchizi wa UK🔥🔥💯💯

  • @shanifasalum3680
    @shanifasalum3680 2 ปีที่แล้ว +5

    Love jua kali ❤❤❤❤❤

  • @romes-tz7323
    @romes-tz7323 2 ปีที่แล้ว +5

    K2ga umetoa mpya,nimempenda hii dizsini yako,Iwe mfano Kwa wengine,kwamba hata wane wanafaa kuwa video vix
    ONE LOVE BRO💪

  • @MinoonlineTV
    @MinoonlineTV 2 ปีที่แล้ว +4

    LEVELS BABAAAAAAAAAAAA🔥🔥🔥🔥

  • @allinonemanchi7143
    @allinonemanchi7143 2 ปีที่แล้ว +22

    Am i the only south african who like kenyan, Tanzanian and Ugandan music?

  • @kanegoprese6027
    @kanegoprese6027 2 ปีที่แล้ว +5

    Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼proud of all kings music

  • @Noor_Al_Barakah
    @Noor_Al_Barakah 2 ปีที่แล้ว +4

    My song 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @yasinishabani5729
    @yasinishabani5729 2 ปีที่แล้ว +30

    I like the creativity of the type of video queen selected 😂. Nice one

  • @msimbatiboy7517
    @msimbatiboy7517 2 ปีที่แล้ว +2

    Ananifraisha huyu dada anajikubari sana safi sana

  • @officialshebyranco2720
    @officialshebyranco2720 2 ปีที่แล้ว +8

    King of young

  • @erickmurithi5353
    @erickmurithi5353 2 ปีที่แล้ว +4

    No. One Kenyan fan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🌞

  • @silversindjalabakeni2533
    @silversindjalabakeni2533 2 ปีที่แล้ว +4

    Wow mchizi wa UK good music and good sound kwapamoja sana creativity 🔥🔥👌🔊🎧🎶

  • @shanifasalum3680
    @shanifasalum3680 2 ปีที่แล้ว +1

    Moyo ndo shaidi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jackgeorge1309
    @jackgeorge1309 2 ปีที่แล้ว +4

    Noma sana mwanangu 2ga 🔥🔥🔥

  • @pkpiscas3916
    @pkpiscas3916 2 ปีที่แล้ว +29

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 wewe nimwanaume kwenye Musica wa ki Africa,
    Bravo mon chère artiste ,je compte sur vous

  • @MinoonlineTV
    @MinoonlineTV 2 ปีที่แล้ว +9

    LEVELS BABAAAAAAAA🔥🔥🔥🔥🔥

  • @abasmvicabdi5791
    @abasmvicabdi5791 2 ปีที่แล้ว +53

    This song must have 2 million viewers plus by the end of this year . Trust me 🔥 k2ga big up and amazing work, 👏 🙌 salute

  • @youngpozze
    @youngpozze 2 ปีที่แล้ว +5

    #9 on trending in tanzania 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @stevemuema303
    @stevemuema303 2 ปีที่แล้ว +5

    AWESOME

  • @hamzayusuph6052
    @hamzayusuph6052 2 ปีที่แล้ว +1

    Huwepo wa video vixen k2 cha tofaut ikiwa utacklza audio very good idea

  • @Noor_Al_Barakah
    @Noor_Al_Barakah 2 ปีที่แล้ว +11

    My jam 🙌 K2ga you're so talented My brother Big up sanaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @realmanuu2549
    @realmanuu2549 2 ปีที่แล้ว +73

    Rangi Rangi☑️☑️☑️☑️......I can't pause this song, am really inlove with it 💞♥️♥️♥️♥️♥️♥️

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 ปีที่แล้ว

      Yg th-cam.com/video/HLqvhu8vj98/w-d-xo.html

    • @traibo_music
      @traibo_music 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/3TjWs1AvRAo/w-d-xo.html

    • @venstonvedasto
      @venstonvedasto 2 ปีที่แล้ว

      I have 2 days on repeat

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 ปีที่แล้ว +9

    Sasa Huyu love ness ndio aunt yetu nini k2ga🔥🤣🤣mnaendanda kweli🤣🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @devothaernest92
    @devothaernest92 2 ปีที่แล้ว +1

    Love nakupendaa bure ww dada chibongeee

  • @coby8636
    @coby8636 2 ปีที่แล้ว +18

    K2GA AND THE WHOLE KINGS TEAM ARE FIRE..KIBA MY ALL TIME FAVOURITE ARTIST..NINA UHAKIKA NYIMBO KALI SANA.MIKONO YA KIBA HAIKOSI HUMU NDANI

  • @chanyika1
    @chanyika1 2 ปีที่แล้ว +5

    well done young king...🔥🔥

  • @joycemn6356
    @joycemn6356 2 ปีที่แล้ว +14

    Watching from Kenya and i love K2ga tz's voice and the video is beautiful 😍😍😍 the Vixen is a goddess !!!!❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥😏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @marryfahad6343
    @marryfahad6343 2 ปีที่แล้ว +3

    Nxur sana sana nataman kuchek kila muda