@@AffectionateChess-mh5cz OG yake Haina uandishi bobu Ngoma yote hii ibrah kaandika kuliko yeyote angalia jinzi midondoko yake alivyo dondoka angalia jinzi alivyo badilika badilika kwenye kwenye hiyo ves yake
Producer uko sw kbxa ni mependa vibe ya bit pluse chino toka tanzania nenda naijeria hiyo ndio inch itakayo kupea mpenyo nyimbo zako zifike duniani ju ushaliteka soko la east africa big up my young bro .
Uimbaji wa harmonize wa kwenda na beat , ndo kitu ambacho ibrah anakifanya anatembea na beat mule mulee ndmana anauwa sanaaaa
Ni kweli dogo Ibrah ameua na anakwenda na Beat
IBRA noma Sana we endelea kuwapa mawe
ibraaah intro amemaliza kabla hajaanza Oyaaa!!Oyaaah!Kama nimetoloka milembeeee🙌🙌🙌🙌
Ibraah is underrated
Km nimetoka mirembe
Humu tyuuuuuuu❤
Waliojua Ibra kaua kabla hawajaskiliza nyimbo mpaka mwishoooo
😂
kaharibu ovyo ovyo
aaah chuki hizooo amefunika@@AboubacarMlanz
👎👎👎👎👎👎👎😏😏😏😏😏@@AboubacarMlanz
Ibrah popote alipo akamatwe apigwe mpaka aseme aliwaza nini kutoa hii ngoma😂😂😂 ameweza sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Sio yake
😂😂😂 hakika
Kutoka burundi, wanao mkubali ibra nipe likes hapa❤
Bujumbura
Watu wa chinga boy twende kazi hapana like kama zote
GangGang
Apa nairobi imeshika sana pongezi sana wabongo
Mwenye kumkubali ibraah acha like hapa 🇨🇩🇨🇩☝️
Bonge ra ngoma
Mimi apa namkubali zaid
Tisha sana
@@DianaLuvanga Big up bro
@@hamrantz9134 🙌
Oya unatisha mwanetu❤ kama una mku bali ibraah🎉Gonga. Like hapo
❤
🤗👍🎉🎉
Umetishaaa sanaa😅
Mbon sijamuona jaman
Ili iwejee
Mistari imeenda shule na ujumbe mzuri , hustler wote mungu awafungulie njia kwa Kila jambo mnalofanya.
Naipenda from Kenya , likes zikam
Kwel chinga katoloka milembe maan anamotoo huyu mtoto
😂😂😂
Sio pia😂😂😂😂😂😂
Wanaomkubal mushizo gonga like apah
From kilifi Kenya🇰🇪🇰🇪😀😀 mnipee likes zangu
From Tezzo Kilifi Kenya
Jamaniiii ❤❤mkinipa ata like tano tuuu nazimia dakika tano😢
Zimia bas😂
Kwann unasema ivyo
Sicheki na wowote
Naulinda wangu moyo
Wengine viroboti
Hawawezi kunifolo
Wivuuu wivuu
Love ❤from Kenya 😍🇰🇪👋....Chingaaaaaaaaa💯🔥
Tulio kuja kumwangalia ibra a.k.a Chinga like hapa 👍🏾
Chingaa🔥🔥🔥
Wivuuu...🔥🔥🔥
Jbvbbb
OYAAA HILI NGOMA KUMAMAKEE SIO POWA HAFU HUYO IBRAAA MAMAE KAWAFUNIKA WOTEE🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sio kwer ww hebu kaskilize og yke wee 😂
@@AffectionateChess-mh5cz OG yake Haina uandishi bobu Ngoma yote hii ibrah kaandika kuliko yeyote angalia jinzi midondoko yake alivyo dondoka angalia jinzi alivyo badilika badilika kwenye kwenye hiyo ves yake
@@AffectionateChess-mh5czibrah kauwa kuliko wote umu
wote wameua ila ibra katixha zaid
Nikweli kafunika
Wanao mkubali jay combat like apa
Ngoma yenyewe ni kali kwelikweli.Allah akujalie uwe mwenye kufanikiwa katika mambo yako.
Ibrah umeua umeweza bila vita like apa kama na ww upo pamoja na mimi❤❤
amin mwanangu
Ibra mtu hatari sana mdogowangu kazi mikazoooooooo
Alafu kuna jitokeza mjinga Fulani kutoka kenya ana fosi bifu na mwamba 💪🏾. Huna baya kaka mkubwa 🦁 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
yaani 😂😂😂😂😂😂
Ibraah! Wimbo wote alimo ndani mtamu. Heko. Learning the dance styles that don't involve kitingisha kiuno as usual.
ili goma unaeza licheza usiku kucha na usikinai yaani ni🎉🎉 fire
Wee #chinga mwanang wa geng geng unatisha ,,,,much love en support from 🇰🇪#001
Tuliotoka TikTok kwa ajil ya ibraah gonga like apa
Ila sija sikia ex wangu kubabako iyo verse iko wapi jamaan
Ndio nimekuja huku sasahivi tokea tiktok😂
Nyimbo kali sana , kusah kautendea Haki vizuri sana ongera sana Dogo
Kenya tunamkubali Ibraah, dogo ametesa walai🔥🔥🔥🔥🔥
Oya Konde gang nkinki 🔥, we Mushizo utawauwa...
Nakupa marejesho kausha damu! Baddest 47 killed it!
Marejesho kausha dam😂😂😂 for the
Remix ya kibabe... isimame trading top kabisa🎉
Producer uko sw kbxa ni mependa vibe ya bit pluse chino toka tanzania nenda naijeria hiyo ndio inch itakayo kupea mpenyo nyimbo zako zifike duniani ju ushaliteka soko la east africa big up my young bro .
Bonge ra ngoma
Yes ibraah apo safi kabisa, wapimbi wote wa fwate hiyo ngoma nakusapoti ku toka DRC ni mimi barakey comedy ❤❤
Fayaaaaa
Huu mtoto Chinga boy from Konde Gang kauwaa sanaa🎉🎉kanifanya nipende hii song from🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Even me Johnson from +255 eti kama nimetoka mirembe ibraah kauwa
❤❤❤❤❤❤
Wanangu wa gang gang gongs like hapa🔥💪👊
Limetoroka milembe ❤❤❤ chinga anawaburuza wezake mmm ibraah vipi wewe
Oyaaaaa we noma combat bila kuchoka kimbiza kitaa mpak wasem kafa pakaaa.......mamaeeeeeeeeeeeee
Aisee,Mungu awabariki Sana ngoma Safi👍
Nakupa na marejesho kaushadamuuuu😮 danciiiii
Bless sana mdogo'angu Jay Combat mungu one day mungu atabless tu
Oyaa Wanangu Wa Gang Gang🙌 CHINGAAAAAA🔥🔥🔥
Chinga kama nimetoloka milembeeee🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅
Fire dj mushizo❤❤🎉maua Yako kaka bit kali
🎉 noma sana ni songs moja ivi uki tulia vizuri chozi lina toka una weza mwamba chaku fanya tulia acha mambo mengi
Iyo bit ni hatari kama afro bit vile ila sio gonga like kama umeikubal
Kama ww konde gang like here
Mdogo anajuaa saaana
❤uhakika
Forever❤❤
Daaaaah ibraah kauwaaa sana wanangu xjawai mpinga uyo kakaa 🙏🙏🙏👆
Wuvuuu ❤❤❤❤❤❤safi sana mdogoangu songa songa ubarikiewe sana god bless you boy
Safi sana hii nyimbo nairudia mara mia huwezi amini tangia asubuhi nasikiliza yaani hapo kwenye kuhoga moyo na fingo ndio hatarii dj hongera
Katika hii ngoma Ibraah kaua sana kama una mkubali gonga like hapa ❤
Oy duuh anae amin kama Tanzania akuna dj wakumfikia mushizo kwakazi hiii like ap
Hakuna mmakonde mshamba 😂😂❤❤🎉
🔥🔥🔥
🎉🎉🎉😊😊😊❤❤😅😅😅
Noma Aisée 🎉
Love from Rwanda❤
We mushizo Utawaua like zote kwa mushizo
❤❤❤ Wakati wa mungu chupa waliyokufungia imepasuka 🎉🎉🎉 bigap familia
Kama una mukubali ibraah wa sasa gonga ❤kama like 🙏👌
❤
Baddest mwamba kabisa ametisha sana, Ngoma imetoka kelelee nyingi yeye kaja flow ya low Fulani hivi kitu kimesimana lkn kwa wanaojua mziki
Salute kwako Kaka mkubwa watoto wa miaka ya 2000 sasa watajua kua zamani kulikuwa na madini tuletee ngoma ya jay Mo ft kiroboto
Aise watu ktk nchi hii wanajua mziki mzuri
Ibrah katisha sana kama unakubaliana na mim nipe like
mchezo wa domo lisilo na meno ndo unafanya moyo unauma
Naukikuta yaliyom yamo ndo unafanya moyo unauma like zenu
Chinga kaandika sana verse yake . Asante sana kaka icho kipande nilirudia km mara 7 ila nilikua siekewi kaimbaje ww ndio umeniumiza vya kutosha
hapo chacha 😂😂😂😂
Bonge la Ngoma Ina mzuka wa hatari, salute sana wote,
Yesu nitembeleee ..badweed you kill it
Ibraah inakitu sema bdo hatujamzingatia tu ila huyu broda ni fireeee wanangu wa gang gang
Nime ipenda hii singeli, na isikiliza kutoka Burundi 🇧🇮. Mshukuru kisweta ame kupromoti nimeona nyimbo hii kwasababu yake.
Nikweli ata mmi nimeona kwa kisweeta
KONDE GANG mnatuwakilisha vizuri kUSINI
Atari sana
Commented from ECBbrand
Chinga nakukubal sana, ktk vijana wa level zako hamna anaekufikia
Zama kali sana kwa muziki wa bongo na zaidi kwa singeli.
Daah hii ngoma views inakimbia Sana wapi like ya Kenya champee wa pipe 😍😂😂😂
Ibraaaah wewe mukali unanjuwa alafu nakuchauri ndunguyangu usitoke konde gege bomboclaaaa📢
Best music of the year, hongereni sana
Perfect jamanii unaimbaa vizurii ngomaa kalii saana
JAY combat Ameanza Kuandamwa Sasa Pongezi Kwako
Ukitaka kujua Ili goma Kali weka bufa yako sound mpaka mwisho🙌🏽🙌🏽🙆
Mwenyenyumba nae kaja tunaskiiiza wote😂😂
@@davidsalikoki6319 🤣😂🤣nomaa
@@davidsalikoki6319unataka sasa nihamishwe ila jpili nakiwasha mornng kabisa km ni notes nipewe manina😂😂😂
😂😂😂
Lemix Kali sana kama ume ikubali gonga like hapa ❤
Aiaaee this is different and exactly what tanzania needs. Creative and good
Mjukuu wa Diamond ila Mungu akiamua kukubless anabless kila mahari nyimbo imesumbua nihatari waoooooo
Waliotoka TikTok kuja huku kuangalia song hi gonga like hapa
Gang gang tujuane Kwa like apa
Wivu remix ni hatariii 🔥🔥🔥💪
Oa ni hatari sana hii Ngoma big up 💪🔥🔥
Oya oya gang gang umetishaaaa broo
My uswazi master piece
Wivuuuuuu😊😊😊ibrah wangu weweeeeeeeee😂😂 umetoloka milembee
Weee wanang wa gang gang ,,mko wapiiii
Video imekuwa na wanaume tu. Kwa vile ujumbe halisi wa wimbo ni kwa mpenzi, alitakiwa awepo video queen
Million viewers kwa dj mushizo
Kama nimetoka milembee Chingaaaaa❤❤
Sema mwenye nyimbo aonekani vizuri daah
Pale unapojikuta unarudia verse ya ibra
Chinga 🙌🙌
Tupooo😅😅🎉
Umeonaeeh 😅😊
😂😂😂😂umejuaje
Emu bisha basi verse ya ibu inasemaje
Anakuambia
Mchezo wa domo lisilo na meno ndio unafanya moyo unauma.
Ibrah unakubalika sana huko congo sana pamoja na konde boy.
+255 got a lot of talents 👊
Weeeee mushizoooo utawauaaa 😂😂😂😂KAFA PAKA KAZIKWA NYAU sio pow yaan IBRA ''sio daada2 ntakupa NKE WANGU😅😅😅
Nyimbo mzuri san hii ndo tunakula nayo krisimas bila shida
Singeli tuwaachie watoto wa morogoro wengine inatosha kuwa mashabiki tu😊😊
Mbona biti kama la bos wake
Kabisa kaka..nakusapot ...😅
Salute blood work hard mungu anabless kazi nzuri 👊
Duuu hiii nyimbo ni nzuli kiujumla wamejua kuukosha moyo wangu nalushiaga mala 100000