Mheshimiwa Rais Mimi nafurahi sana kumleta waziri mkuu Mahali.Mipango pia naomba usihau kutuletea waziri wa afya Ummy mwalimu bila kumsahau waziri wa Tamisemi Tawala za mikia Jasho na wengine ambao walikuwa wanafanya kazi hasa kwa kuja huku chini kuwasiliza wananchi hasa wa chini utakonga miyoyo yetu.
Best speech Sir and our president Naomba serikali yako iweke mifumo ya kilimo Cha umwagiliaji (irrigation scheme) kweny mikoa yenye maji ya kutosha ikiwezekana hata kwa maji ya kuchimba chini hii itatufikia as wananch wa chini kabisa
We need the president the one going to define your speech and live this vision that will be the time for Tanzania to look into your heart, we have Samia Suluhu Hassan but fail to wear the shoes of this Man hence we need the one. God bless the coming one may be Kassimu Majariwa, Philip Mpango, Hamphre Polepole, Lukuvi or Kabudi whatever we need the one who will define the need of Tanzania and clean a way our tears, no only that but also who will conquer our heart's Help us God.
Mh Rais Hutuba yako Nimeielewa' Uko vizuri'Natamani nami ningekusaidia kazi za kimkakati ulizopanga'uongozi Wako unanibariki Sana,2013 ukiwa mbunge na waziri,niliteta na mwanachama mwenzangu pale bungeni Dodoma nilitamka toka moyoni Kumwambia Rafiki yangu kuwa Magufuri anatosha kuwa Rais na kweli 2015 Mungu akaisikia Sala yangu,Nyeshewa Mvua ya Baraka yenye Neema
Maono yako jpm umeendanayo huku wasaidizi wako ulio waacha wamekusaliti kumbe ulikuwa peke yako kupambania mama tanzania mungu akuweke mahara pema peponi
MFUMO WA KIDIGITALI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI Wizara yenye dhamana na mawasiliano ni Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano). Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Sekta ya Mawasiliano ina jukumu la kuhakikisha kuwa kunakuwepo na huduma za mawasiliano bora na gharama nafuu zenye kunufaisha wananchi wote. Mawasiliano yanajumuisha mawasiliano ya Simu, TEHAMA, Posta na Utangazaji. Ili kufanikisha kufanyika kwa mawasiliano ya Posta, Anwani ni kitu cha msingi sana katika kuharakisha na kurahisisha utoaji wa huduma bora za posta sambamba na ufikishaji wa bidhaa nyumbani, ofisini ama mahali pa biashara. Anwani inawezesha/inarahisisha utambuzi wa mtu/mwananchi mahali alipo. Anwani inaweza kuwa ya Sanduku la Posta (S. L. P.), Anwani ya Makazi, Anwani ya kijiografia n.k. Anwani ya Makazi imeonekana kuwa na tija kuliko Anwani zingine. Serikali kupitia Wizara inatekeleza Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi nchini. Chimbuko la Mfumo ni utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Posta ya mwaka 2003 inayoelekeza kuwepo kwa Anwani za kitaifa zitakazorahisisha utoaji wa huduma mbalimbali za kijamii pamoja na ufikishaji wa barua, nyaraka na vipeto majumbani na katika ofisi mbalimbali. Vilevile ni utekelezaji wa makubaliano ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU) na Umoja wa Posta Duniani (UPU) ambapo Tanzania ni mwanachama. Makubaliano yanaelekeza kila nchi mwanachama kuwa na Mfumo utakaorahisisha na kuharakisha ufikishaji wa bidhaa au huduma hadi mwananchi alipo (nyumbani, ofisini au eneo la biashara) sambamba na kuwezesha kufanyika kwa biashara mtandao. Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi unatoa anwani ya makazi hivyo kurahisisha utoaji/ufikishaji wa huduma mahali alipo mwananchi (nyumbani, ofisini ama mahali pa biashara) ikiwa ni pamoja na kuwezesha kufanyika kwa biashara mtandao. Lengo la Serikali ni kuhakikisha kila mwananchi anakuwa na Anwani yake ya Makazi katika eneo lake la makazi, ofisi ama biashara.
Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi ni wa kidigitali na unajumuisha jina la barabara/mtaa, namba ya nyumba, postikodi, ramani na taarifa za wakazi na makazi. Aidha, ili mfumo uwe na tija katika utoaji wa huduma unakuwa na mifumo midogo ambatishi hususan ya TEHAMA. Matumizi ya Mfumo huu yataleta tija kiuchumi na kijamii. TUUNGE JUHUDI ZA SERIKALI YETU YA TANZANIA KATIKA KUTEKELEZA MFUMO HUU WENYE TIJA KIUCHUMI NA KIJAMII 0716 99 00 79
Mh Rahisi Nitakushukuru sanaa ukimpumzisha mama ndalichako Yule mama anakurupuka sana na kwa Kauli zake ambazo bhado hajazifanyia uchunguzi mfano mpaka leo kuna vyuo havitoi Masomo ya jioni sababu yake Nawasilisha
Hii ndiyo maana halisi ya kiongozi, material yanatoka kichwani walaji wanafuatilia kwenye kitabu, hii inathibisha kuwa anachokisema hajakaririshwa bali amekiandaa mwenyewe. Maisha marefu Rais wangu M/Mungu akutangulie.
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen minofu ya samakiiiiiiiiiiiii poundfishessssssss Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen Pwani hingereni sanaaaaaa,Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
CCM mumeiba kura, mumepiga watu, mumeua watu, mumefunga watu kwenye uchaguzi huu lakini na nyie hii miaka 5 tutawachoma sana. Mwenye ulinzi aweke na muwalipe msipowalipa tutawatumia hao hao kuwachoma.
Ukiona mjinga anatyp ujinga achana nae kwa sababu kidole cha mjinga huandika chochote anachowaza mjinga na mjinga roho yake huwa inaumia pale mwenye akili akiwa anadhirisha uwezo wake
Mungu WAMBINGUNI akulinde raisi wetu
Hongera mh.. RAIS kwa kuongea mambo mengi bila kusoma Mungu akupee afya njema
Huyu ndiye kiongozi tulie kuwa tunamtafuta alie na maono na Tanzania kwanza Mungu mubariki raisi wetu magufuli amina.
GREAT SPEECH AND FANTASTIC mr.president
All African leaders should take a leaf 🌿 out of his book 📚 He is a blessing to the continent 👏👏👏
Mungu ailinde Tanzania Zanzibar na Magufuli wetu 🙏🏾❤ kazi kazi
Hongera sana Raisi wetu mteule Dr Magufuli. Tutakuombea na upige kazi na Mungu ataendelea kuwa pamoja nawe na viongozi wengine.
Mungu akutangulie raise wetu uendelee kuona mbele Zaid kwa maendeleo ya nchi yetu
God bless Tanzania&Africa all the time, bless also tz national assembly. Tz head of the state and all our leaders best wishes I wish!.
Hongera sana mh rais kwa hotuba nzuri
Hotuba nzur Sana na nimeipenda. Kiukwel Kwan inanifundisha Mambo mengine. Muhimu ata Mimi Kuna siku ntakuwa kiongoz mkubwa wa wananch asant Sana. Magu
Ntaliombea Hilo mapenzi ya mungu yatimizwe
Mungu akupe Maisha marefu Mkuu kazi ni kubwa uloifanya kipindi Cha miaka 5 hongera Sana Mkuu. If Possible naomba nikumbuke kwenye ufalme wako
Mungu akubariki Sana mh.
Asnte Mungu wetu kwa zawadi nzuri ya Rais Muzalendo was kweli.
Naiona Tanzania mpya kwa kasi ya ajabu. Aksante Mungu kwa zawadi ya Raisi huyu wa kipekee. JPM hoyeee.
Hogera raise wetu kwa kazi nzuri
Uko vizuri baba yetu.
Axante mzee umeongea vitu vzr
30:35 is the climax of the speech. God bless TZ
Mheshimiwa Rais Mimi nafurahi sana kumleta waziri mkuu Mahali.Mipango pia naomba usihau kutuletea waziri wa afya Ummy mwalimu bila kumsahau waziri wa Tamisemi Tawala za mikia Jasho na wengine ambao walikuwa wanafanya kazi hasa kwa kuja huku chini kuwasiliza wananchi hasa wa chini utakonga miyoyo yetu.
R. I. P JPM 😭😭😭😭
Huyu Rais!!!... kaongea yote haya bila kusoma ktk Kitabu"
Mungu ibariki Tanzania,,,,, Mungu mbariki Raisi wetu Jpm
Matunda manzur ya CCM
Mungu akulinde uwe na afya Bora daima
Inaweza kuwa hotuba bora Tanzania
Mungu akubariki na akulinde na akupe afya njema
Best speech Sir and our president
Naomba serikali yako iweke mifumo ya kilimo Cha umwagiliaji (irrigation scheme) kweny mikoa yenye maji ya kutosha ikiwezekana hata kwa maji ya kuchimba chini hii itatufikia as wananch wa chini kabisa
11d
Magufuri ni mfano tosha
Mungu akulinde raisi wetu mwaaaaa
INALILAH WAINAILAH RAJGHUN,
Baba Magufuli tunakuomba uongoze nchi miaka yako yote ya maisha yako...... Mungu Akuongoze mzee wetu.... tunakupenda saaaana
We need the president the one going to define your speech and live this vision that will be the time for Tanzania to look into your heart, we have Samia Suluhu Hassan but fail to wear the shoes of this Man hence we need the one. God bless the coming one may be Kassimu Majariwa, Philip Mpango, Hamphre Polepole, Lukuvi or Kabudi whatever we need the one who will define the need of Tanzania and clean a way our tears, no only that but also who will conquer our heart's Help us God.
Mungu akupe maisha marefu rais wetu kiongoz wetu tunakukubal sana baba
Still i remember you
Safi baba yetu tunakupenda sana
Habari za burundi
Mungu atupe nn Tanzania....
Ni faraja na furaha kwetu. Our very humble President.
Ajira 🙏🙏
Twende kazi babaaa
huyu ndye raisi mwenye maono mazuri na kiongozi boraa Africa na Dunia
Tutakukumbuka daima R I P JPM
Hongera Sana Mkuu
Dah aiseeee huyu ni BONGE MMOJA LA JEMBE, MUNGU AKUPE NGUVU!
Rais jpm yuko vizuri
Piga Kazi mkuu, ww ni kiongozi tunakuelewa
JPM ni motooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Motooo huu mkali aiseee huyu rais n mbeba maono
Comrade🎉🎉🎉❤❤❤
Mh.magufuri wewe
Ni kio kwa Africa nzimaaa.
Kiongozi makin sijawahi ona
Very good baba
DHAMIRA YAKE NI NJEMA NDIO MAANA ANATOA HOTUBA BILA KUSOMA
Ana uchungu na nchi huyu rais mpaka basi
Alikuwa anasoma kuna kifaa maalum hata Samia alikuwa ablnatumia hivi juzi
Nakuamini💪
Yessssssssssssssssssssssss hapoooooooooo hapooooioooooooooooooooo oilssssssss
Nakubaliii MZEE magufuli
Tanzania imepata Rais, naunga hoja ya kumuongezea huyu ndugu muda ili tutokane na umasikini.
Kweli kabisa huyu rais aongezewe mda
Tanzania ya sasa ya JPM
Wanawake oyeeeee
super
By badluck you died before fulfilling your dreams. Kazi ya mwenyezi Mungu haina makosa. Rest in peace Magufuli
Rais bora afrika. Bingwa Wa kolona dunian
Kabisa
Sanaa
Nguzo imara ulituacha endelea kupumzika kwa amani shujaa wetu
I like Tanzania
Hongera sana mh Rais
Mh Rais Hutuba yako Nimeielewa' Uko vizuri'Natamani nami ningekusaidia kazi za kimkakati ulizopanga'uongozi Wako unanibariki Sana,2013 ukiwa mbunge na waziri,niliteta na mwanachama mwenzangu pale bungeni Dodoma nilitamka toka moyoni Kumwambia Rafiki yangu kuwa Magufuri anatosha kuwa Rais na kweli 2015 Mungu akaisikia Sala yangu,Nyeshewa Mvua ya Baraka yenye Neema
Mmmh kama naiona tanzania ya kesho 😆😆😆😆
Yaani
EMUNGU NITAKUTOLEA SADAKA KILA SIKU SIFA NA UTUKUFU NITAKUPA WEWE KWA ZAWADI YA RAISI WETU KIPENZI DR .MAGUFULI NIZAWADI KUTOKA KWAKO ASANTE MUNGU.
Inatakiwa baada ya hii 5 tukupe tena wewe tu 10 ya shukrani ya wananchi kwa magu..
Ahsante mungu kwa kutupa raid huyu
Naam apewe
Wale Wa tigray Wa Ethiopia hawataki mana wataona kuwa wanaonewa
Maono yako jpm umeendanayo huku wasaidizi wako ulio waacha wamekusaliti kumbe ulikuwa peke yako kupambania mama tanzania mungu akuweke mahara pema peponi
Hotuba nzuri km itaenda sawa na kusimamiwa kikamilifu italeta tija kwa taifa.
MFUMO WA KIDIGITALI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI
Wizara yenye dhamana na mawasiliano ni Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano). Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Sekta ya Mawasiliano ina jukumu la kuhakikisha kuwa kunakuwepo na huduma za mawasiliano bora na gharama nafuu zenye kunufaisha wananchi wote. Mawasiliano yanajumuisha mawasiliano ya Simu, TEHAMA, Posta na Utangazaji.
Ili kufanikisha kufanyika kwa mawasiliano ya Posta, Anwani ni kitu cha msingi sana katika kuharakisha na kurahisisha utoaji wa huduma bora za posta sambamba na ufikishaji wa bidhaa nyumbani, ofisini ama mahali pa biashara. Anwani inawezesha/inarahisisha utambuzi wa mtu/mwananchi mahali alipo. Anwani inaweza kuwa ya Sanduku la Posta (S. L. P.), Anwani ya Makazi, Anwani ya kijiografia n.k. Anwani ya Makazi imeonekana kuwa na tija kuliko Anwani zingine.
Serikali kupitia Wizara inatekeleza Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi nchini. Chimbuko la Mfumo ni utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Posta ya mwaka 2003 inayoelekeza kuwepo kwa Anwani za kitaifa zitakazorahisisha utoaji wa huduma mbalimbali za kijamii pamoja na ufikishaji wa barua, nyaraka na vipeto majumbani na katika ofisi mbalimbali. Vilevile ni utekelezaji wa makubaliano ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU) na Umoja wa Posta Duniani (UPU) ambapo Tanzania ni mwanachama. Makubaliano yanaelekeza kila nchi mwanachama kuwa na Mfumo utakaorahisisha na kuharakisha ufikishaji wa bidhaa au huduma hadi mwananchi alipo (nyumbani, ofisini au eneo la biashara) sambamba na kuwezesha kufanyika kwa biashara mtandao.
Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi unatoa anwani ya makazi hivyo kurahisisha utoaji/ufikishaji wa huduma mahali alipo mwananchi (nyumbani, ofisini ama mahali pa biashara) ikiwa ni pamoja na kuwezesha kufanyika kwa biashara mtandao. Lengo la Serikali ni kuhakikisha kila mwananchi anakuwa na Anwani yake ya Makazi katika eneo lake la makazi, ofisi ama biashara.
Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi ni wa kidigitali na unajumuisha jina la barabara/mtaa, namba ya nyumba, postikodi, ramani na taarifa za wakazi na makazi. Aidha, ili mfumo uwe na tija katika utoaji wa huduma unakuwa na mifumo midogo ambatishi hususan ya TEHAMA. Matumizi ya Mfumo huu yataleta tija kiuchumi na kijamii.
TUUNGE JUHUDI ZA SERIKALI YETU YA TANZANIA KATIKA KUTEKELEZA MFUMO HUU WENYE TIJA KIUCHUMI NA KIJAMII
0716 99 00 79
Mh Rahisi Nitakushukuru sanaa ukimpumzisha mama ndalichako Yule mama anakurupuka sana na kwa Kauli zake ambazo bhado hajazifanyia uchunguzi mfano mpaka leo kuna vyuo havitoi Masomo ya jioni sababu yake Nawasilisha
Sio utani,ndalichako anatuchanganya sana sector ya elimu
Naitwa Haji Jecha Haji kutok Znz. Naunga mkono hutuba yako Dr JPM. Unajuwa kiu ya Watanzania. Mungu akupe nguvu ya ufatiliaji wa ahadi zako
Hii ndiyo maana halisi ya kiongozi, material yanatoka kichwani walaji wanafuatilia kwenye kitabu, hii inathibisha kuwa anachokisema hajakaririshwa bali amekiandaa mwenyewe. Maisha marefu Rais wangu M/Mungu akutangulie.
Mheshimiwa anasoma wapi maana naona anaongea tu kweli huyu mwamba ni kichwa
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen minofu ya samakiiiiiiiiiiiii poundfishessssssss Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen Pwani hingereni sanaaaaaa,Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ht sisi tunakuamini mh Rai
Si
Nimeunga mkono kwa asilimia mia moja
Hakika wewe ni Rais wa Tanzania
Rip king magufuli
Mh: umeme huku kwetu changamoto viongoz unao waagiza hawatekelez agizo lako tunapigwa saundi tu
Nani karudi Leo baada ya Samia kuhutubia bunge rip JPM
😢
Nimekumc jpm
Tuonane bandarin kule😭😭
Duh R.I.P MAGUFULI
Big up our president
Wachawi tumepewa fursa sasa, kuuza nyungo zetu
Rais wetu kwanza anajikubali mwenyew hilo nijambo bola san
Hakika umetuacha kama masihara pumzika kwa amani shujaa wetu
UKIPANGA YAKO NA MUNGU ANAKUPANGIA YAKE
Jembe
Laisi
Sweet. Sumu
yes
Daima tutakukumbuka
Umeongea vzr mzee ila ajira kwa vijan muhimu tunaangamia ety 😭😭😭tupo nyuma yako ww mbele yetu baba fanya hata walimu kutupa ajira zakutosha
Subirini tujenge nchi kwanza
Kasema kuna ajira 8m kwa miaka ijayo
njooni mchimbe leseni zinafutwa wewe unalia Ajira
Magufuli mtu makini sana jamani
RIP MAGU
CCM mumeiba kura, mumepiga watu, mumeua watu, mumefunga watu kwenye uchaguzi huu lakini na nyie hii miaka 5 tutawachoma sana. Mwenye ulinzi aweke na muwalipe msipowalipa tutawatumia hao hao kuwachoma.
Hotuba Ya rais Kuhusu arusha
Hivi hao wanaoweka dislike hapo juu kwamba sio watanzania au siwaelewi kwan kuna jambo la kuwekwa dislike hapo
Mungu mkubwa kais jembe one day nikiwa kiongoz ntafata nyayo zako.
Jpm misada imerudi pumzika kwa amani mzalendo wa kweli
BUNGE LA NDIOO KAMA MLIVYOTAKA LIWE
ACHA USHAMBANDIYO MAANA MNAKUFA NA TAI SHINGONI BADILIKA WEWE.
Tulia bhana... Cc watanzania tunataka huyu Rais c vibaraka vya ubelgij
Ukiona mjinga anatyp ujinga achana nae kwa sababu kidole cha mjinga huandika chochote anachowaza mjinga na mjinga roho yake huwa inaumia pale mwenye akili akiwa anadhirisha uwezo wake
Mnisaidie,,, hivi anasoma huyu mzee au ameweka kichwani?
Anatoa kichwani mkuu
Kichwan mkuu
Duh huyu jamaa nishida
Anasoma kwenye teleprompter
@@maxmax8273 no sio kweli anasoma agenda tu kuzichambua ni kichwan tu
Tupo pamoja