No 11 on trending....me natamani kabisa iwe kwenye top 5 on trending....ikishika moja itapendeza zaidi...mwenye mawazo kama yangu gonga like twende sawaa
Ninajivunia kuwa mtanzania.. Am proud kwakua tuna raisi anaemtanguliza Mungu ckuzote... uwezo wake wa uongozi sio kwa nguvu zake tu bali na kwa yeye amtiae nguvu (Mungu wetu) ubarikiwe kwakweli mheshimiwa usiwe na hofu miaka inayofuata bano unakura zetu ..ITS SEALED. .👏👏👏
Ongera sana muheshimiwa rais Kwa kazi kubwa ulioifanya wewe pamoja Na serikari ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mungu akutangulie Na akulinde tupo pamoja.
MUNGU ni mwema sana.Akulinde Baba yetu Akupe Nguvu na Afya njema. Akupe Busara zaidi na zaidi yakutuongoza sisi Wananchi wako.In sh Allah Allah Akufanyie Wepesi wewe na Viongozi wako wote nasi pia.
Are you using a smart phone? Badi, google , teleprompter. Utaelewa. Mbona hata taarifa za habari wanazituia? Please, Watanzania tusijishushe hivyo. Tutachekwa.
Wanaohusika na graphics sijaona maana ya kumziba mtafsiri wa wasiosikia kwa matangazo yenu ya social media....ina maana kubwa sana....rekebisheni hilo plz
Maendeleo yote hayo yamefanywa na madhambi yote hayo yamezimwa halafu mnategemea wale majamaa fulani fulani wafurahi? We have got the coolest Honorable President on planet earth. Mungu amlinde na mabaya yote na amweke. This is what we call a trued definition of Mheshimiwa. Sema Amen!
Namshukiru sana Mungu kwa ajili ya uhai na pia kwa ajili ya kutuinulia kiongozi atakaeongoza nchi kwa kumhofu Mungu naomba Mungu azid kukulinda na kukuweka kwaajili ya taifa LA Tanzania
Tinge kwacha huyu mweshimiwa upande wa ulaisi aendelee kuongoza nchi bila kusumbua pesa kampeini labda upande wa wabunge huko hakuna atakaeongoza zaidi ya huyu kwa awamu hii na ijayo ongera mheshimiwa dkt jpm Mungu aendelee kukulinda amina
Mwaka ujao tunataka tuone bunge live kama tunavyoona leo ,na tusionyeshwe vipande vipande tena vile vinavyofariji hata zile zinazouthi ,ikiwemo matusi,na wale wanaolala ,kilala kheri kwa wale wabunge ambao hawatapata ridhaa ya kurudi mjengoni ,karbuni tuungane huku mashambani kilimo nayo ni kazi
MUNGU IBARKI TANZANIA MUNGU MBARKI RAIS WETU MPENDWA AMIINA TUMEJIONE WENYEWE ULIYOTUFANYIA BABA KAMA KUNAUWEZEKANO TUNAKUHITAJI HATA MIAKA 1000 MBELE KUTUONGOZA👏🤝❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mzee mimi nakuongezea miaka iwe 20 mika 10 michache sana kwa uwezo ulio nao ukitoka mapema tutapata hasara kwakweli watanzania wakuongezee muda wa urais
SETI ya ongozi awamu ijayo ipo kama ifuatavyo:- 1. Rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania- Dr. John Pombe Magufuli 2. Rais wa Zanzibar- Be. Samia Suruhu Hassan 3. Makamu wa Rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania- Ndg. Kasim Majaliwa Kasim 3. Waziri Mkuu- Dr. Kabudi Mi ni Nabii nisie julikana, Mark my words
Samia hawezi gombea urais Zanzibar...kule ni kwa waislam...yeye anajua waislam hawawezi kubali mwanamke aongoze...na samia analijua hilo soo hutamuona akigombea
Katika kipindi cha Miaka 5,mambo makubwa sana Rais DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI kayafanya,miaka mitano mingine tena Nampa sina kipingamizi,2021 hadi mpakaa,Nani kama Magufuli/
Hakuna lugha yakuweza kumzungumzia Magufuli! Yaani watanzania tumebarikiwa Sana kuwa na huyu Baba akiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Ameliweka taifa mguu sawa katika Vita vya kutishwa vya Corona! Big up Sana mkuu wetu #Magufuli Watanzania wanasubiria ballot paper waliheshimishe jina lake Tena! Amefanya kazi za heshima na zawadi ya watanzania kwake Ni Kura za ndio October 2020
No 11 on trending....me natamani kabisa iwe kwenye top 5 on trending....ikishika moja itapendeza zaidi...mwenye mawazo kama yangu gonga like twende sawaa
Now ndo ishaingia no.4 on trending
Ninajivunia kuwa mtanzania.. Am proud kwakua tuna raisi anaemtanguliza Mungu ckuzote... uwezo wake wa uongozi sio kwa nguvu zake tu bali na kwa yeye amtiae nguvu (Mungu wetu) ubarikiwe kwakweli mheshimiwa usiwe na hofu miaka inayofuata bano unakura zetu ..ITS SEALED. .👏👏👏
magic focus towards national development,,nice work president Magufuri 💪👊✊long live chief!!!
Sijutii kukupenda na kusema kula yangu ilikwenda sehemu salama.Allah mjuzi akulinde nashari zote za dunia,inshallah Aaaamina
Chuma cha Africa! We proud having the best president like you!
He always put GOD first b4 doing anything can other leaders learn that?? Am so proud of you mr president God bless you 🙏
I just love you president 😭umepambana sana 😭Mungu akutunze jmn na akubariki sana🙏🏻💛
Ongera sana muheshimiwa rais Kwa kazi kubwa ulioifanya wewe pamoja Na serikari ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mungu akutangulie Na akulinde tupo pamoja.
MUNGU ni mwema sana.Akulinde Baba yetu Akupe Nguvu na Afya njema. Akupe Busara zaidi na zaidi yakutuongoza sisi Wananchi wako.In sh Allah Allah Akufanyie Wepesi wewe na Viongozi wako wote nasi pia.
Mungu amjalie rais wetu afya njema na salamaa na viongozi wote wa Tanzania....mungu bariki Tanzania na mungu bariki Africa...
Mungu akupe long life mh magu
Geneous, I have never seen anyone with President Magufuli's memory capacity.
Are you blind? Don't you see teleprompter?
nikazan nimegundua pekeang kama hasomi sehem
Are you using a smart phone? Badi, google , teleprompter. Utaelewa. Mbona hata taarifa za habari wanazituia? Please, Watanzania tusijishushe hivyo. Tutachekwa.
Daima namuombea Rais wetu John pombe magufuri mungu akupe maisha marefu hakika we ni mfano wa kuigwa na marais wengne ulimweguni kote🙏🙏🙏🙏🙏🙏
MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU ibariki Africa, Amina 🙏
Wewe ndie uliyetabiriwa wa kuwatoa watanzania katika uchumi tegemezi kuelekea ktk uchumi himilivu, I have appreciated your leadership Mr president
Watu wanajitegemea kiuchumi sio?
Baba la baba
Tunawashukuru wabunge kwa kaz nzuri
Mungu ibariki tanzania sifa zote wastahili mana umepigana kinyume na adui corona
hongera rais kwa kazi nzuri
I appreciate our president!! I hope next five years will be a President too!! May God be with him!!
Yaani hotuba na details zote hizo zinatoka kichwani hasomi p0p0te MAGUFULI ni Rais wa Dunia
Kuna kifaa anasoma hapo , kinaitwa Teleprompter km unaona vitu viwil vyeupe hapo
long life
Angalia mfumo hapo Mbele, anasoma kwenye hiko kidude punguza ushamba
@@emmynkuu1533 wivu tuu utakufa kama nkurunziza
I didn't dive you thumbs drown kwa ubaya ila una ignorance kwako. Anatumia Teleprompter ambayo hata Obama anatumia. Kubali uelewa wako mdogo.
Rais wetu ni mtumishi wa Mungu kwa Tanzania , tunakupenda ,tafadhali endelea kututumikia Watanzania,usichoke. Mungu akulinde na akubariki. Amina!!!
Happy to be our president
Tupo pamoja sana Mkuu
Hongera sana Mh. Rais. Nakutakia maisha marefu na yenye afya tele
Ongera sana mh Rais Allah akujaalie kila heri akupe afya njema
Wanaohusika na graphics sijaona maana ya kumziba mtafsiri wa wasiosikia kwa matangazo yenu ya social media....ina maana kubwa sana....rekebisheni hilo plz
Mungu ibariki afrika mungu mbariki raisi wetu
Kuna watu ni talented kwa kumbukumbu ila huyu kazidi I think is the best president mwenye kumbukumbu kubwa duniani God bless JPM 😘🇹🇿🤔
Anatumia tablet iyo nyeupe, ingawa kwakweli kumbukumbu anayo
Yuko vizur Rais wetu but hapo anatumia teleprompter
Mungu akubariki sana mr president
Dah Sijui rais Kama wewe atatokea Lin tena..God bless Tanzania
Pole xana rais wangu kwa kuuguliwa na mama
Mungu akubali raisi wetu .
Yaan naangalia hii video huku nalia kwa furaha jmn he is a hero of Tanzania
Mungu anatupenda kwakupa jembe hili,tunachoomba uiongoze Tanzania yetu Kwa miaka hata 20 tu tunaomba. Like unaye ungamkono hoja.
Na mimi nikiwa Burundi nawapongeza
Poleni nduguzetu
Umekuwa Rais Bora,Mungu akubariki
Maendeleo yote hayo yamefanywa na madhambi yote hayo yamezimwa halafu mnategemea wale majamaa fulani fulani wafurahi? We have got the coolest Honorable President on planet earth. Mungu amlinde na mabaya yote na amweke. This is what we call a trued definition of Mheshimiwa. Sema Amen!
Mazambi uliyafa wewe ndani ya miaka 5 mbona uyaongelei?
@@nbwchannel4997 ì
Elinazi tichadi mungu azidi kukuongoza akupe maisha marrfu
Our President May God Blessed you for your Excellent Work May our Almighty Father GOD uplift you and your family forever Thanks and regards
Namshukiru sana Mungu kwa ajili ya uhai na pia kwa ajili ya kutuinulia kiongozi atakaeongoza nchi kwa kumhofu Mungu naomba Mungu azid kukulinda na kukuweka kwaajili ya taifa LA Tanzania
You deserve so much be strong and healthy new semester you hold again
Mi namjua JPM tu, Hao wengine siwafahamu, wala sina chama chochote.
We got the best president in Africa for now ,whether you accept it or not.
hapa kazi
Tunakupenda sanaa Allah akubarik kwa wema wakoo
Magufuli oyeeeeee
UFANISI NA UTEKELEZAJI NI EXCELLENT JMN UKO VEMA JPM...MUNGU AKUTUNZE.
Naqubali mzazii
President of Tanzania DK John magufuli mungu akulinde watanzania tunakuhitaji
My President🙏
Tinge kwacha huyu mweshimiwa upande wa ulaisi aendelee kuongoza nchi bila kusumbua pesa kampeini labda upande wa wabunge huko hakuna atakaeongoza zaidi ya huyu kwa awamu hii na ijayo ongera mheshimiwa dkt jpm Mungu aendelee kukulinda amina
I love Magufuli not ccm.
Huyu mzee ni mwanaume haswa. ..hajaenda uzunguni lakini kawaonyesha wazungu kuwa tunajiweza.
Long live Magufuli
No 07 on trending....come on lads.....namba 01 inawezekana
Takwimu hizi zote ziko kichwani ama anasoma mahali?...long live JPM...love from Mombasa....
Kama unashinda na kulala kwako,utajua una jiko uma,visu nk,vingapi😂😂😂kumbuka ni mathematician too..data kwake sio shida!genius
Zinatoka kichwani...coz anayajua yotee
Anasoma wakuu kna kifaa hpo pemben knaitwa halograph angalia vzr ni cheupe wanakitumia Sana viongoz ckuiz
Hongera sana Rais wangu magu piga kazi
Mwaka ujao tunataka tuone bunge live kama tunavyoona leo ,na tusionyeshwe vipande vipande tena vile vinavyofariji hata zile zinazouthi ,ikiwemo matusi,na wale wanaolala ,kilala kheri kwa wale wabunge ambao hawatapata ridhaa ya kurudi mjengoni ,karbuni tuungane huku mashambani kilimo nayo ni kazi
God with us
Godbless MAGUFULI GOD BLESS TZ
Bila kumsahau God bless lema
MY FAVORITE PRESIDENT IN THE AFRICA
DATA ZOTE HIZO ZIPO KICHWANI!!!!😳😳
GENIOUS HIMSELF
Alikuwa anatumia teleprompter. Kile kyoo unachokiona kinareflect maandishi na hapo anasoma. Hata hivyo, wangemuwekea teleprompter mbili
Mungu ibariki Tz, bariki Mh Dr Pombe Magufuri. Ibariki Africa
Mungu ibarik Tanzania🙏🙏🙏
My president live long
MUNGU IBARKI TANZANIA MUNGU MBARKI RAIS WETU MPENDWA AMIINA TUMEJIONE WENYEWE ULIYOTUFANYIA BABA KAMA KUNAUWEZEKANO TUNAKUHITAJI HATA MIAKA 1000 MBELE KUTUONGOZA👏🤝❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Chuma cha Afrika 💪🇹🇿🎈
hongera baba kiongozi
No 04 on trending...we are going lads
Mungu akutangulie baba na akutie nguvu
I am proud of our President JPM..Oyeeeee..
Kazi ni kubwa sana umefanya kwaajili ya watanzania. BWANA, atakulipa hakika.
SAWA BABA WA TAIFA UMEFANYA MENGI SANA CHUMA, MUNGU AZIDI KUKUTUNZA
Magufuli baba lao
Mungu azidi kututunziaaa raisi wetu
Allahuma ameen ya rabbali alameen
@@mohammedkimanga8960
Ameen ameen
In sha Allah Allah Amfanyie Wepesi
Brunei mpya inakuja,nakukubali rais wetu
CCM hoyeeeee magufuli safiiii tuna imaniiii namagufuli Hoya hoyaaa weka kura kwa baba Lao
Hii ndio Chama tawala Acha mchezo baba tuna Taraji kubebe kura nyingi Sana mpaka wapwatwe na butwaa Haoo
Good bless Tanzania
Leo ndugai ameongea Kwa itifaki zote
Magufuli jembe,all the way from Rorya
Mungu mlinde Rais wetu Mungu ilinde Tanzania
Me kiukwel Sina Cha kusema kwa uyu jamaaa jamani yupo vizuli narudua Tena mh..jpm yupo vizuli Sana
HAKIKA MH.RAIS .UMESTAHILI.MUNGU AKULINDE.AKUPE AFYA NJEMA YA MWILI NA ROHO.UENDELEE.KUIONGOZA TANZANIA.KADLI MUNGU.UPENDAVYO.💪💪💪💪💪👍
Aisee mungu atabaki kuwa mungu, aendee kumlinda raisi wetu aliyetupa kwa maksudi ya taifa letu.
Mzee mimi nakuongezea miaka iwe 20 mika 10 michache sana kwa uwezo ulio nao ukitoka mapema tutapata hasara kwakweli watanzania wakuongezee muda wa urais
Nakupongeza rais mwenye ekima namarifa mungu akupe kuongoza Mika mingi
Mungu akupe umri mrefu uongozi ulo bora zaidi magufuli
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 #Na Dunia kiujumlaaaa🤩
Naelewa kazi ya rais wetu mungu amtangulie aendelee kupiga kazi
SETI ya ongozi awamu ijayo ipo kama ifuatavyo:-
1. Rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania- Dr. John Pombe Magufuli
2. Rais wa Zanzibar- Be. Samia Suruhu Hassan
3. Makamu wa Rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania- Ndg. Kasim Majaliwa Kasim
3. Waziri Mkuu- Dr. Kabudi
Mi ni Nabii nisie julikana, Mark my words
Yo smart like me
Makamu wa Rais lazima atoke Zanzibar.
Samia hawezi gombea urais Zanzibar...kule ni kwa waislam...yeye anajua waislam hawawezi kubali mwanamke aongoze...na samia analijua hilo soo hutamuona akigombea
Fatma karume yupo kikristo zaid angekua yeye ndio Samia,angegombea..ila Samia ni muislam dhabit hawez gombania kazi za wanaume
Uongozi anaujua
Katika kipindi cha Miaka 5,mambo makubwa sana Rais DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI kayafanya,miaka mitano mingine tena Nampa sina kipingamizi,2021 hadi mpakaa,Nani kama Magufuli/
Chuma kimeanza na kucheka
Sanaaaa
Imebidi nicheke mwenyewe kwasaut
Utakumbukwa sana baba mdogo wa Taifa
Mungu ibariki Tanzania
Haya sasa wa kwenda kuroga kutambika ndio muda huu, mrudi bungeni....Mungu atunusuru nyakati hizi
jaman ayo maneno yote ya magu asomi kichwani uyu jamaa noma
Teleprompter Ipo mbele anasoma, Ushamba
Jembeeeeee
Kama ni rais jamani tanzania tumepata kwa mm niko tayari aongozage mpaka atakapo taka yeye
Watu Kama nyie ndo washauri wabaya. Ndo maana katiba imeweka ukomo. Ni kwa kujua Kuna mahali mtu anachoka.
Huez jua anae kuja atakuaje nae sa kikwete angeongzewa huyu mngemwonea wap mnapenda kuldhika na vtu vdgo sana
Msenge kwl ww
@@ericksamwel1657 sawa ila ww nasikia unalala na mama ako
@@zakayoeliah9084 hahahaaaa...ndo akili yako imeishia hapo
Sioni sababu ya kutompa KURA yangu Raisi Magufuli......CCM yoheee...
I'm proud to you my president
Hakuna lugha yakuweza kumzungumzia Magufuli! Yaani watanzania tumebarikiwa Sana kuwa na huyu Baba akiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Ameliweka taifa mguu sawa katika Vita vya kutishwa vya Corona! Big up Sana mkuu wetu #Magufuli Watanzania wanasubiria ballot paper waliheshimishe jina lake Tena! Amefanya kazi za heshima na zawadi ya watanzania kwake Ni Kura za ndio October 2020
Uyu rais ni genius make hasomi amekarri takwimu zote izo!!!!!,..
Anajitahidi Sana na alijipanga
Na mimi nimeiona hiyo ..huyu mtu n number nyingne aisee
Kabisa 🔥🔥🙌
Ni sharp ndio ila hapo anatumia Teleprompter. Huvioni hivyo vioo hapo mbele. Speech take inakuwa transmitted hapo.
@Stanley Julius I am Sorry Chief, sio kwa ubaya. Uwe na amani.
Asante Rais Mgufuri Samaki wa mwanza Ulaya tuna wabunua bei sana na wana sifa sana
Magufur oyeeeee
Mungu akuzidishe ninikuombea
Daaa!!!!! kwa raisi uyu tutafka God bless my presdent
Kazi nzuri 🙏
That.s my president right there
Asiepiga makofi mchawi🤣🤣🤣🤣🤣
PROUD TO BE TANZANIAN!!!
Tunakuaminia sana raisi wetu,kura yako kwang umechukua