Mungu ibariki Tanzania, mungu ibariki Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama samia suluhu Hassan tunaamini watanzania tutafika huko tulikokusudia kufika kwa kushikamana pamoja na kupendana kama taifa moja
Mheshimiwa mama Samia Suluhu Hasan, binafsi nakupenda sana mama,nakuombea sana kwa Mwenyenzi Mungu akujaze hekima,busara na maarifa ya kuliongoza taifa la Tanzania. Mungu akulinde uingiapo na utokapo,washauri wako wawe washauri wazuri na kuweza kutembea pamoja. Upendo, mshikamano na ushirikiano ukazae matunda mema.
Hotuba yako mama imeamusha matumaini ya watanzania wengi...mama ukiyatimiza haya uliyohutubia...mungu hakika hatakutupa kamwe...mungu mbariki mama yetu rais wetu amen.
Nakupenda sana mama samia Allah akusimamie kwa kila hatua na unaweza ma sha Allah nimefurai sana kuwa rais mwanamke kwa tzd Allah ndio mpangaji wa kila jambo utuongoze salama in sha Allah ameen yalab akusimamie🤲❤🇹🇿
Hongera Mhe. Rais kwa hotuba makini kwa ajili ya manufaa ya watanzania wote. "Makanjanja wa siasa" waliodhani utakuwa kinyume na mtangulizi wako "bhalile kako".
Ukiona mafanikio ya mwanamume ujue yuko malkia nyuma yake, mama yetu hatuna mashaka na wewe ukiongozwa na Mungu. Unaenda kufanya mambo makubwa ambayo hayajawahi kufanyika,Mungu akupe uzima na afya. Mungu akuepushie mbali maradhi, ajali na hatari zo zote.
Mweshimiwa Rais Samia suluu :hotuba ni zuri Sana umerudisha imani kwa watazania naomba Kama itakupendeza hizo ajila waangaliwe vijana wanao jitolea kwenye mashilika ya Uma bill malipo na kwenye ajila zinafikia utumishi na utumishi hawawajui happy vijana wa kujitolea Mungu akulinde
Mama SAMIA Hapa kazi tu KAZI INAENDELEA AFRICAN PROBLEMS AFRICAN SOLUTION TUNAWEZA MAMA SAMIA . SISI SIO MASIKINI RIP JPMAGUFULI MAMA KWELI UMEPIKWA IKAPIKIKA. MUNGU AKULINDE KAZI INAENDELEA
Lakini Maghufuli aliwahi kupewa sumu sasa hayupo hatuwezi kujua maana hakuna atakayeambia watu ndiyo alipewa sumu. Yeye tu ndiyo mwenye ukweli na hayuko duniani
Alipopewa sumu si alisema au umesahau?Wakati Rais Mkapa anazindua kitabu chake ndio siku hiyo Magufuli alisimulia kisa hicho cha kupewa sumu na alisema kilitokea akiwa bado hajawa Rais. Sasa kuunganisha kisa hicho na kifo chake ni vitu viwili tofauti.
Sawa mama hotuba yako ni nzuri sana lakini kwenye kipengele cha mishahara kuongeza huku mtaani tutaingia sana maana vitu vitabada bei wakati wengine hatutarajii kuongezewa mishara hata kidogo
Halima mdee alikuwa hapigi makofi ila nimeona unapiga makofi habari ya ndege dada nilikuwa nakupenda Sana sijuwi ulipatwa nanini nilitukanwa kwa ajiri yako dah ok maisha yaendelee
Watanzania tunakupenda tuna imani Nawewe Tunaendelea kukuombea Mungu Awe Kiongozi Wako kwa kila Jambo Mungu Amue Pamoja na Wewe Hakika Wewe Ni Raisi Mungu Akupe Maisha Malefu Sana Nawakaribisha Sana Kuitazama Motomoto Tv TH-cam Kuendelea kujifunza Neno la Mungu Hakika Mungu Wetu Ni wamapendo
Mungu ibariki Tanzania, mungu ibariki Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama samia suluhu Hassan tunaamini watanzania tutafika huko tulikokusudia kufika kwa kushikamana pamoja na kupendana kama taifa moja
Hakika Mama siku ndio mlezi Bora wa Familia Tupia Like Kumsapoti Mother of Tanzania
Tuponae bega kwa bega hali peponi :ameen
Safi
@@blendembesimba good
Mungu akubariki rais wetu Samia suluhu
Chamsingi katika maongozi yako ya kutuongoza watanzanoa usimusahau mungu
Hakika Rais wetu mimi MCH.nakuombea Hekima na maarifa kwa kazi yako kwa Watanzania
Nikweli Mungu mbele
Mimi mkenya but na enjoy hotuba ya Rais wa Tanzania how i wish n ingekua mtzed😭😭😭
Hatuachi kukuombea mama! Mungu ibariki Tanzania. Mungu mbariki mama Samia
Great speech 👍👏👏👏
Mheshimiwa mama Samia Suluhu Hasan, binafsi nakupenda sana mama,nakuombea sana kwa Mwenyenzi Mungu akujaze hekima,busara na maarifa ya kuliongoza taifa la Tanzania.
Mungu akulinde uingiapo na utokapo,washauri wako wawe washauri wazuri na kuweza kutembea pamoja. Upendo, mshikamano na ushirikiano ukazae matunda mema.
God bless our President
God bless Tanzania
Mama Mungu akubariki sana
Hotuba yako mama imeamusha matumaini ya watanzania wengi...mama ukiyatimiza haya uliyohutubia...mungu hakika hatakutupa kamwe...mungu mbariki mama yetu rais wetu amen.
Umemsaliti mzee wetu umekuja na kutuvulugia nchi kabisa, mungu anakuhona na roho mbaya yko
Thanks for your interested speech mrs president
Mrs.......?
Ubarikiwe Sana Mhe Rais uko vema makofi kwako 🙏🙏🙏🙏 bado wakuu wa mikoa na wilaya
Mungu akubariki afanikishe yote kwa Taifa letu!! Elimu, ajira kwa vijana, Matibabu, kukuza viwanda, biashara, usafiri, barabara...
Thanks
Nakupenda sana mama samia Allah akusimamie kwa kila hatua na unaweza ma sha Allah nimefurai sana kuwa rais mwanamke kwa tzd Allah ndio mpangaji wa kila jambo utuongoze salama in sha Allah ameen yalab akusimamie🤲❤🇹🇿
Mwenyezi Mungu akutangulie kuliongoza Taifa letu!
Amiiiina
Mama unatupa matumaini hakika Allah akupe wepesi katika kipindi hiki Cha uongozi wako
Allah akufanyie wepesi Raisi wetu.
Hongera mama uko vizuri hotuba nzuri hatuta kutupa chapa kazi
Hotuba nzuri👍🏽Iliyo jaa matamshi ya kuongeza matumaini, yanayo fikika.
Mh!!!! 😭😭😭😭😭😭 Boranikae kimya
Akumbukwe magufuli🇹🇿
Najivunia kuzariwa mwanamke Allahmdulillah 🤲❤ Allah akurinde mama yetu kipenzi chetu rais wetu mama samia
Hongera Mhe. Rais kwa hotuba makini kwa ajili ya manufaa ya watanzania wote. "Makanjanja wa siasa" waliodhani utakuwa kinyume na mtangulizi wako "bhalile kako".
😂😂😂😂@Richard Mziba
Hongera Mama etu Mungu akupe hekima na Maarifa,ili kazi iendelee.
Allah akufanyie wepes ktk uongoz wako kumbuka uadilifu
Ukiona mafanikio ya mwanamume ujue yuko malkia nyuma yake, mama yetu hatuna mashaka na wewe ukiongozwa na Mungu.
Unaenda kufanya mambo makubwa ambayo hayajawahi kufanyika,Mungu akupe uzima na afya. Mungu akuepushie mbali maradhi, ajali na hatari zo zote.
Ongera Sana mama rais wetu wa wewe Ni rais wa watanzania wanyonge machinga bodaboda wote tunakuamini Sana mama yetu
Mungu azidi kukupa hekima Raisi wetu mpendwa wewe ni Simba mwenda pole watz tuko nyuma yako tunajivunia uongozi wako wa kisomi na nchi yet ipo salama
Mama umesema wazungumze na Mungu wao, nawajue kuwa kila nafsi itaonja mauti!!
Akina nani hao??
MAMA SAMIYA MWINYIZIMUNGU AKULINDE NA KILA MACHO MABAYA YA WATU , NA AKUPE MAFANIKIYO KATIMA MAISHA YAKO. NA FANIKIYO MAKUBWA AMEN.
Asante Rais wetu mama Sania
Asanti sana Mama, Mungu ibariki Tanzania
Mungu akupiganie,akuongoze,tunakutegemea saaana
Allahu awe pamoja nawe Rais wetu.
Mama umeturudisha faraja kazi iendelee Asante xn
Haki mama umenigusa hotuba nzuri yenye tija
Ahaaa nakuona mnyonge kwenye ubora wako
True rais nikuwapa matumaini wananchi
Mama asante kwa kutupa faraja! Mungu akulinde.
Kabsa Yan 👏👏
Kazabuti mama mungu atakunda
Tunakutegemea mh.Rais wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kamwe hatutokuacha peke yako
Nice mum,ushirikiano tunakupa,mungu akupe maisha marefu
Mweshimiwa Rais Samia suluu :hotuba ni zuri Sana umerudisha imani kwa watazania naomba Kama itakupendeza hizo ajila waangaliwe vijana wanao jitolea kwenye mashilika ya Uma bill malipo na kwenye ajila zinafikia utumishi na utumishi hawawajui happy vijana wa kujitolea Mungu akulinde
Tutakupa ushirikiano wa kutosha Rais wetu
ALLAH akusimamie in.sha allah maana ndo muweza wa yote
Safi sana mama hakika ninakuelewa kupita kiasi!!!!
Safi sana mamaa Samia
Mungano wa Tanzania Kazi iendelee
uko vizuri sana mama yangu mpendwa m.ngu akubaliki uchape kazi kweli
Very good
Mama suluhu mungu akusaidiye
Mungu akulinde na tuna kuombea sana
Kwa haya mfalme Magu yuafutahi mahali alipo. Baba pumzika kwa amani kazi uloianzisha mama anaiendeleza. Watching from Kenya.
Hongera mm tunakuwamini wananchi wako
Mama umegusa mioyo yetu sisi wakulima nawafugaji Mungu akuongoze daima
Tuna Imani Na wewe mama yetu
hongera wasemaji watachoka chaps kazi anayejuwa nimngu tuko pamoja mama yetu mpendwa oyeeeeeeeeeeeee
Hao wa bunge wanapiga makofi wengi wao wanafiki usiwaamini Sana tutolee wanafiki anza na spika kwanza ndo kirusi kikubwa mama bungeni
nafac ya spika ni ya kuguliwa na wabunge co na rais
Kwaiyo rais hawezi kumsimisha spika
Mungu akulinde na watu wenye ila ya dunia hiii
Omba mama mpz,Mungu ndio kila kitu na anasikia zaidi sauti ya muhusika though na sisi tunamuomba Mungu akulee
Mama SAMIA
Hapa kazi tu
KAZI INAENDELEA
AFRICAN PROBLEMS AFRICAN SOLUTION
TUNAWEZA MAMA SAMIA .
SISI SIO MASIKINI RIP JPMAGUFULI
MAMA KWELI UMEPIKWA IKAPIKIKA. MUNGU AKULINDE
KAZI INAENDELEA
Hongera Dana mama
Mungu akubariki mama kwa kila jambo pia akuongoze
Mama usiogope wanawake tunaweza Mungu kakuweka kwa kusudi maalum na tunakuombea pia naamini kila kitu kitaenda sawa
Hongera mama
Mama ni Mama tuu hongera sana
Nakuamia mama, pamoja na Jembe Tena Tractor wa Nchi yetu, Mh. Majaliwa Majali, Mungu awatangulie muishi miaka mingi! Waziri mkuu Majaliwa usipoe.
Kazi iendelee!!! Bg up mAmA!
Umegusia kilimo, hongera sana
Ni MDA wa mkulima Sasa kujulikana🙏
Gwajima
Mungu akujalie na utekelezaji wako mama
Safi mama mungu akulinde chapapa kazi
0
Safi saana mama wape salaam
mama mungu akubariki sana,wewe ndiwe mungu amekutuma kuja kutukokomboa,tena kututoa kwenye mikono isiokua salama,
Tunakuamini Sana mama samia
Jesus this guy’s really loved 🥰 president Magufuli so bad, I love him so much.
Asnter rais wetu mam samia hasan
Kazi kweli iendelee
Mungu mlinde Rais wetu mungu ibarik Tanzania naafrika kwaujumla
Mwamba,,, Mama wa Taifa,,, Endelea kusimama imara, Watu wako tunakuhitaji,,, Ubarikiwe !
Nakupenda Sana mama
Mm leo umenirudisha kwenye mstari leo ndio nimeona utafuata nyayo za hayati magufuli nimefurai sana na mungu akutie nguvu ktk kuendeleza kijiti hiki
Mungu akubariki mama,nakupenda Sana,ki ukweli upo makini Sana na serikali yetu,tupo pamoja na nitafanya kazi Kwa bidii Taifa lisonge mbele
Uko vizuri Rais wangu chaps kazi Kama Alie mtangulizi wako Morah akupe Afya njema
Mungu akubariki saaana mama angu,mungu akuongoze kiukweli unajua na unaweza
Super woman,Kazi iendelee💪
Uko vizur xana mama
Mama uko juu piga kazi tunakusapoti
Mama ameongea point tupu umenikonga hasa hapo penye Democrasia ya kweli, ikikaa poa hii nchi itaenda mama
mungu akuongoze na akuze utu
Hovyo kabsa
Machozi yananitoka ka hotuba nzito na nzur ya Rais wetu Kazi iendelee
Mungu n mwema kwapamoja tutashnda
Nakwamin mama rais mpendwa wa Tanzania
Strategy to keep people on line and breath fresh
Mungu ni mwema tusimame imara kwa pamoja tuta shinda
Hizo Meli nane za uvuvi zikinunuliwa kweli zitaleta mabadiliko makubwa sana kwa upatikanaji wa Samaki
God bless you mama Samia and Tanzania. Yes you can and you will do excellent service to our country.
Uko vzr mama yetu mwenyenzi mungu akulinde
Bado sana usimpe sifa hatujaona bado utendaji wake wa kazi
@@jonasmasinde760 hujielewi kabisa ndg fuatilia vzr maongezi yake
Huyo unayemsifia amekufanyia nn kwny maisha yako zaidi ya kulaghai
Lakini Maghufuli aliwahi kupewa sumu sasa hayupo hatuwezi kujua maana hakuna atakayeambia watu ndiyo alipewa sumu. Yeye tu ndiyo mwenye ukweli na hayuko duniani
Kama unao ushahidi mama kasema nenda ukamuoneni.
Alipopewa sumu si alisema au umesahau?Wakati Rais Mkapa anazindua kitabu chake ndio siku hiyo Magufuli alisimulia kisa hicho cha kupewa sumu na alisema kilitokea akiwa bado hajawa Rais.
Sasa kuunganisha kisa hicho na kifo chake ni vitu viwili tofauti.
Kabsa
@@jambo3751 alikuwa tayar rais bana
Great speech
Sawa mama hotuba yako ni nzuri sana lakini kwenye kipengele cha mishahara kuongeza huku mtaani tutaingia sana maana vitu vitabada bei wakati wengine hatutarajii kuongezewa mishara hata kidogo
Safi
kweli mama kasema
Halima mdee alikuwa hapigi makofi ila nimeona unapiga makofi habari ya ndege dada nilikuwa nakupenda Sana sijuwi ulipatwa nanini nilitukanwa kwa ajiri yako dah ok maisha yaendelee
Mama mahiri sana. Hotuba iliyojaa tija na data kibao harafu mama hasomi kabisa. Hongera mama
Oooh rais swala la maji hapo umenena,na umeme mtukumbuke Sana Sisi watu wa mkoa wa shinyanga
Kwenye maji 🖒🖒🖒
💗💗🙏🙏
Umesema Vema mama
Watanzania tunakupenda tuna imani Nawewe Tunaendelea kukuombea Mungu Awe Kiongozi Wako kwa kila Jambo Mungu Amue Pamoja na Wewe Hakika Wewe Ni Raisi Mungu Akupe Maisha Malefu Sana Nawakaribisha Sana Kuitazama Motomoto Tv TH-cam Kuendelea kujifunza Neno la Mungu Hakika Mungu Wetu Ni wamapendo
J
Mama kichwa yaan hata asomi
Hapana dada anasoma aiseh kuna mitambo kushoto na kulia anaisoma
🤣🤣🤣 Kuna screen mbele yake yuasoma dear