TV | Live | BIBLIA NURU YA DUNIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 67

  • @ronardmose
    @ronardmose ปีที่แล้ว +1

    Naamini mafundisho yenu na kufuata mungu awabariki na kuwalinda ili mutupe uondo kamili wa mungu mpalikiwe sana

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 6 หลายเดือนก่อน

      Ukweli kabisa mwalimu Ndacha alinifungua macho

  • @geoffreymbaka929
    @geoffreymbaka929 3 ปีที่แล้ว +1

    God has given me a gift of reading, understanding the Bible and saving verses in my head but, Evangelist Francis Ndacha is gift of verses installation is hundred times mine......Dah! may the LORD GOD add you more days to teach His people.
    #EPHESIANS 4:11
    It was He who “gave gifts to people”; he appointed some to be apostles, others to be prophets, others to be evangelists, others to be pastors and teachers.

  • @josephabongo244
    @josephabongo244 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha ni nuru ya kweli

  • @nabcde15
    @nabcde15 4 ปีที่แล้ว

    Mnajichanganya sana na siku ya sabato. Kilainchi inamajila na sikutofauti. kunawenye niusiku nakunanawenye nimchana. Ukiwamalekani siyosikumoja na Asia au Europe au Africa. Mumtafute Yesu kristo tu namengine yote mtazidishiwa...

    • @makisjeremiah288
      @makisjeremiah288 3 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo unataka kusema kuna Saturday zaidi ya moja duniani?

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 11 หลายเดือนก่อน

      Huna hoja Saturday zipo ngapi

  • @geoffreyjohn5843
    @geoffreyjohn5843 4 ปีที่แล้ว

    Mwalimu Ndacha mungu akuongeze mahali uendapo

  • @godfreyswai6202
    @godfreyswai6202 2 ปีที่แล้ว

    Aminaaminii

  • @johnmarubiri6729
    @johnmarubiri6729 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @chrismassa3183
    @chrismassa3183 4 ปีที่แล้ว +1

    Kunakelele nyingi

  • @jaredmaroro3049
    @jaredmaroro3049 7 หลายเดือนก่อน

    Kuna shida kwa mic

  • @chrismassa3183
    @chrismassa3183 4 ปีที่แล้ว

    Hapo sawa.

    • @sulehassanshall6140
      @sulehassanshall6140 4 ปีที่แล้ว

      Ukibaki kwa ukirsto utapelkwa jahannam yamilele. Yesu Alienda mskiti kuswali nakumsujudia mungu...hakuna Andiko yesu Alienda kanisani kucheza Rumba namashetan. ..bblia ishaema kanisani kuna kiti cha enzi cha shetan. .ikiwa huko kuna mashetan munaenda kufanya ninini bc jemeni????nabii yesu hakuenda huko nawala hajawatuma muende huko kwamashetan...ninyi watu muko nashida. Alipo enda yesu hamutaki kuenda .kisha munasema munapenda yesu .Ninyi munapenda shetan cio yesu...hio niukora kbisa munafanya...munadidanganya nafci zenu kweli ...shetan niadui Atwaplka jehannam...mutajuta sana siku hio...ninyi munapenda shetan kanisani juu huko munacheza Rumba nawanawake nawaume ndio maana hamutaki kuenda msikiti kwauislam juu yakua kwauislam wanaabudu ukweli kama vile yesu Akiabudu..lakini kanisani nikutafuta wanawake nawanaume tu hakuna nyengine munafanya...ukora mtupu..

  • @ruthvilinga7780
    @ruthvilinga7780 3 ปีที่แล้ว

    Mm ningependa kuhuliza christmas 25 ni haramu kusherekea kama mkristo.ni tarehe kamili ya Yesu kuzaliwa.

    • @bidafumbuka855
      @bidafumbuka855 3 ปีที่แล้ว

      Sio halali kusherehekea Christmas

    • @khalidabu5259
      @khalidabu5259 2 ปีที่แล้ว

      Soma Jeremiah 52..vs 31

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 ปีที่แล้ว +1

    Been listening to your preaching not for long-term. . And I wonder how comes all the verses are in your head? What did you do ?

  • @godfreyonyango533
    @godfreyonyango533 4 ปีที่แล้ว

    Nasikiliza kutoka Nairobi

    • @sulehassanshall6140
      @sulehassanshall6140 3 ปีที่แล้ว

      Sikiliza vzr jua kua bblia inasema kanisani kuna kiti cha enzi chashetan ikasema tena waliolala kwaukirsto wamepotea ikasema tena imeandikwa umsujudie bwana mungu wako mmoja tu. .kati yaWaislam nawasiokua waislam nikina nani wanamsujudia mungu? ? ? ? ? ? Token huko kanisani kwashetan . njooni kwayesu msikitini Tumuabuduni mungu mmoja tu Alie umba Kila kitu. ...Achen kudanganywa naviongozi wamakanisa wao niwakora wezi wabakaji waongo wahuni walafi wazinzi wanatumia jina layesu ili kuwapora Mali yenu nakuwabaka watoto wenu nawake zenu. ..viongozi wamakanisa kote Dunian niwakora wanamfuata shetan kanisani ndio Kila siku makanisani munatolewa mapepo wachafu kwasabab huko makanisani niwao mashetani....

  • @priscillamacharia1323
    @priscillamacharia1323 4 ปีที่แล้ว

    kunakelele nyingi

  • @datiuschristopher4514
    @datiuschristopher4514 4 ปีที่แล้ว

    Ww ndacha nimwalimu kweli

    • @farisytanzania6566
      @farisytanzania6566 4 ปีที่แล้ว

      Zaburi ina makosa kama Taurati na Injili, eti Kaburi nyumba ya milele. Kupotosha huko. Soma Wacorinto 1(15:42) Kuna kufufuka tena

    • @sulehassanshall6140
      @sulehassanshall6140 4 ปีที่แล้ว

      Ndacha ni mwalimu wa ukafiri kuzidi kuwapoteza walio potea..maskini Mumepotea na huyo mwalimu wenu Anazidi kuwazamisha katika bahari yagiza. ..Kila Asie msujudia mungu Amelaaniwa namungu mtu huyo nikafiri muovu...Namakfiri hawana uzima wamilele. ..njooni kwanjia yamungu yauislam musalimike najahannam ...Achen ukfri kwashetan kanisani. .bblia ishasema kanisani kuna kiti cha enzi cha shetan ..kwann bc munaenda kanisani kwashetan mukicheza Rumba namshetan? Nabii yesu Alienda katika miskiti Akimsujudia mungu wake. .hakuenda makanisani kwamashetan kucheza kwaya wala Rumba namashetan. ..Nawala Hakuwaambia mataifa waende makanisani wakacheze Kwaya ...yesu Alikua nimuislam. ...njia yake niuislam yani unyenyekevu kwamungu kujisalimisha kwamungu....Achen ukora kujidngnya mutapata uzima hakuna Andiko hilo kwabblia wakirsto watarith uzima wamilele. ..bali kwa quraan inasema waislam watapata uzima wamilele. NAWASIO Kua waislam watarith jahannam yamilele pamoja namashetan. ...

    • @andrewnjuguna688
      @andrewnjuguna688 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@sulehassanshall6140 twambie yesu alienda mosque ipi?,ni wapi imeandikwa kwa quran alikua muislamu?

  • @teddclive1506
    @teddclive1506 3 ปีที่แล้ว

    Ndacha is the G.O.A.T of the Bible

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 4 ปีที่แล้ว

    Watu wakunyue dawa atakama nichungu kuvumilia ndiyo kupokeya uponyaji

  • @RITAChepngetich
    @RITAChepngetich 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa siku Saba Ni Gani kulengana n calendar kwansa ukihesabu Kwa Kiswahili jumamosi Ni siku ya kwansa ya wiki so mnatuambiaje😂😂

  • @chrismassa3183
    @chrismassa3183 4 ปีที่แล้ว

    Fundi mitambo atusikiyi tena ajili ya kelele.

  • @hamisikeneth2332
    @hamisikeneth2332 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa wislamu ukitaka kuwapata alieandika qiruani ni nani na alieandikq bibilia ni nani? Pili mandiko ya bibilia kuanzia agano la kale na jipya waliyapata wapi kama ni mungu aliwashushia kwanini maelezo yanatofautiana na bibilia ?

  • @isharabangaya5455
    @isharabangaya5455 ปีที่แล้ว

    Malipo yako uta ikuta mbinguni,

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 4 ปีที่แล้ว

    Quraan ishasema waislam watarith uzima wamilele nawasio kua waislam watarith jahannam yamilele. ..Toe andiko kwabblia ai kwa quraan. Uzima wamilele watarith niwakirsto. ..Achen kudanganywa naviongozi wamakanisa wote niwakora wezi wabakaji waongo wahuni walafi wanatumia jina lanabii yesu ili wapate kuwatapel wafuaci wakiwatisha kwa jina layesu urongo mtupu...

    • @reginamwikali2140
      @reginamwikali2140 3 ปีที่แล้ว

      Mohamed ndiye Aliyekuwa mwizi mkubwa na mbakaji wapi ukisikia yes alifanya dhambi?

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 ปีที่แล้ว

      Huna akili we ni lijinga kweli kafiri niww, et mnamkubali Yesu kwnn hamfati matendo yake hata moja, alipoxema jitieni nira yangu mjifunze kwngu je nyie ni jambo gan mnalifata alilofanya Yesu? Mtakula moto mwingi xana nyie

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 4 ปีที่แล้ว

    Makafiri ninyi mutaendelea kudhalilika hapa Dunian na akhera pia ndio mutadhalilika kabisa...

    • @simonkariuki2809
      @simonkariuki2809 3 ปีที่แล้ว

      Soi wewe wa kuamua watu watakapo enda ama pa kwenda

    • @simonkariuki2809
      @simonkariuki2809 3 ปีที่แล้ว

      Achana Na hubar kwanza ndio uache kua kafiri

    • @sulehassanshall6140
      @sulehassanshall6140 3 ปีที่แล้ว

      @@simonkariuki2809 kariuki ndugu katika bsnsetu Adam. Mungu ashsema katika quraan nabblia. Imeandikwa umsujudie bwana mungu wako mmoja tu. .ikiwa husmujudii mungu hakuna uzima utapata.kisha bblia inasema kanisani kuna kiti cha enzi chashetan ikasema tena waliolala kwaukirsto wamepotea. Jee ww unataka kukaa kwashetan ???jee ww unataka upotee.???kama yote mbili hutaki bc itabidi umsujudie mungu .nawanao msujudia mungu ni yesu nawaislam ..bblia ishasema kama kawaida yake Yesu Alikua Akienda katika masinagogi Akimsujudia mungu wake Kila siku. .Nabii yesu Hakuja nadini yaukirsto. Bali dini yke ni ile ile ys nabii musa zakaria yohana Jacob ishaq ismail Ibrahim David ilyasa haruni.muhammad Noha Solomon luti nawengi katika manabii wamungu. ..hawa manabii walikuja nadini moja tu yauislsm.hawakua niwakirsto. .ukirsto uliletwa nashetan paulo nakina shetan petro. ..namashetan wengine baada yayesu kupelkwa mbinguni
      ..kwahvo.waislsm ndio watapata uzima wamlle. ninyi pamoja namashetan mutaplkwa jahannam yamilele mukachomwe pamoja namashetan Daima dawama
      ......Hiko kwenu kanisani kwashetan hakuna Amani...bblia insema munapokutana kanisa sikwafaida Bali kunamitafarikano.....huko nihatari kubaki ukifa tu huko munaenda jahannam..100%huko nijahannam
      ..njoon katika uislam Dini yausafi yakumjua mungu...ninyi hammjui mungu...mara munamfanya yesu nimungu mara mtoto wamungu.mara yesu nijiwe mkate samaki maziwa Damu..yani yesu mmoja anabadilka kama camilion..hatari sana niyni makafri....ole wenu mukifa katika hali hio mbaya yaukafri mutajuta kwann Nabii yesu Hakuenda kanisani kwashetan kusakata Rumba nakwaya nakurukaruka kama Chura

    • @sulehassanshall6140
      @sulehassanshall6140 3 ปีที่แล้ว

      @@simonkariuki2809 ole wenu mukifa katika hali hio mbaya yaukafri mutajuta kwanin Nabii yesu Hakuleta Dini yaukirsto yaushetan. ..

    • @sulehassanshall6140
      @sulehassanshall6140 3 ปีที่แล้ว

      @@simonkariuki2809 andika kwa youtube freemason in churches ndio mutajua Dini yaukirsto niushetan. .wazungu walikuja Afrika kuleta ushetan Dini yaukirsto. Kuwaibia waafrika Mali yao nakuwaua nakuwaplka kwshetan kanisani ili mukifa muende jahannam....huo ndio ukweli ndugu .soma vizuri bblia na quraan upate kujua njia yamungu..Acheni kudanganywa naviongozi wamakanisa wao wote niwakora waongo wezi wabakaji walafi watapel wazinzi wahuni wanatumia jina layesu ili kuwapora Mali yenu nakuwabaka watoto wenu nawake zenu. Tien Akili nduguzetu.mutajuta San munapokufa.

  • @levisdiamond4797
    @levisdiamond4797 2 ปีที่แล้ว

    Hawa Wajama naamini ya kwamba wanacho fundisha ni vizuri
    Ila kwa mambo ya Sabato hapo sipo nyie mnafanya siku kama muungu….. Na huwezi kunidanganya kuwa wanaoenda jumapili wote wanapotea sio kweli kabisa ❌❌. Jumapili mbona vikongwe wote ao vyombo vya mungu viko jumapili

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 ปีที่แล้ว

    Nonsense huyu nisaitan kasa yitamumaliza tu hajuwi anacho kipanda Allah Mukuuuuuuuuuu sana Kabisa

    • @thegospelmessage5039
      @thegospelmessage5039 3 ปีที่แล้ว

      peleka siasa zako za kiislamu huko

    • @simonkariuki2809
      @simonkariuki2809 3 ปีที่แล้ว

      Ka allah hakana macho Wala masikio ni kajiwe tu kamewekwa makka na babu ya Muhammad kanaitwa hubar kwa jina lingine na ni bure bure bure kabisa ni kazi ya mwanadamu