THE CLASSIC H BABA 2 : MPENZ BUBU NI KWELI/NILIKATAA 20M AZAM/HAKUNA MSANII ALIEPITIA SHIDA KUNZIDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 มิ.ย. 2024
  • Sehemu ya pili ya mahojiano na mkali H baba ambapo anatueleza namna ambavyo alivyokua na kipaji cha juu cha soka,shida alizopitia katika maisha yake na mengine mengi.

ความคิดเห็น • 10

  • @nicksoncharles-kx3gr
    @nicksoncharles-kx3gr 20 วันที่ผ่านมา

    Damme H Baba noma 😂 paka kwenye shida ypo ahah

  • @alberttarimo
    @alberttarimo 19 วันที่ผ่านมา

    camera ya mezani ipo karibu sana irudi nyuma

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 20 วันที่ผ่านมา

    NA WATU WA MWANZA MPUNGUZE SIFA NYIE SIO WAHAYA...HASA UYO H NA EDU BOI

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 22 วันที่ผ่านมา

    Tukiwa Chumbani Laaala lalaaaaa😢

  • @Upendogospelchoir
    @Upendogospelchoir 18 วันที่ผ่านมา

    Hamna kitu huyu haa

  • @barakamwansele5040
    @barakamwansele5040 21 วันที่ผ่านมา

    Interview poa sana

  • @nobertdomic2119
    @nobertdomic2119 22 วันที่ผ่านมา

    The vlassic ya leo mbovu

  • @yudaogonyi2383
    @yudaogonyi2383 22 วันที่ผ่านมา

    Daaah hapa mmetukosea sana . Katika wasanii ambao hatuna cha kujifunza kwao ni huyo aisee. Yan hapo 80% ya stori hakutakua na ukwel.. muongo muongo sana huyo

    • @ramahzedon6688
      @ramahzedon6688 21 วันที่ผ่านมา

      Humjui H. Baba wewe unapenda watu wa kufake fake

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  20 วันที่ผ่านมา

      Kabisa hamjui nadhani alipaswa asikikize interview kwanza amjue hii game haikujengwa na mtu mmoja tu