THE CLASSIC MZEE YUSUFF EP 1:TOKA COMEDY HADI MUZIKI/MAISHA YA KIMASKINI NA SAFARI YA KUJUA KINANDA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ค. 2024
- MzeeYussuf ni Mfalme wa muziki unaofahamika kama Modern Taarab ,ni mwanamuziki toka genre hiyo alioiusumbua sana genre ya Bongo Flava,aliweza kutawala anga zote hata aliposhirikiana na watu wa Genre hiyo,hii ni sehemu ya maisha yake na safari yake ya kusisimua
Mzee Yusufu inabili part ijayo mumuwekee kinanda aoneshe kabisa badala ya kuongea anatumia nguvu sana kutupa madini,, salute wazeiya wa kuvifact
Mtu makini sana jabiri aka kuvi
Mzee ni manji wa muziki
Jabir unaandika history
We ndio master wa interview bongo zima kaka jabir
Shukran
OYAA ARUDI TENA HUYU MZEE HAHAHA
Jay misuti jay moe VIP au
Mzee Yusuphu anaujua muziki
Hii inaingia ktk zile the best interview kbs kbs za kipindi hiki mkubwa Kuvi nisuti😅. Mzee yusuph anaujua sn nuziki sn tuuuu, inabid arudi tn na tn coz ana vingi vyakutujuza
Ipo haja ya hiki kipindi kiwe katika television na iwe na reality show hizi hadith na burudani tuzione live yami kama show flan hivi #Kuvichaka #TheClasicShow #Maproject
Kaka jabir unapendeza sana siku hizi kifaza
Asante fam
Si mnataka story nyiee....Leo mtazipata hapa😂😂
Jamaa anaongea sana aisee🤣🤣🤣
Damme mavyuti I see you bro much appreciated
Salute bro
Leo tulikua Taasisi ya sanaa kitivo cha muziki na ala zake.note, Chord, sauti
😂
😂
Jamaa anaongea sana
Wap interview na Khalid chokoraa kuvi?
Ipo cheki za nyuma huko
Ahaaa safi bro tuko pamoja from mtwara naelewa sana pindi lako kk hata kama ni dogo wa 2001 ila unawamudu malegend na wasikilizaj wako hutuchosh Wala wao huwaboi na kuwafedhehesha ila kk Mika mwamba na said komorien ungewaandalia Makala bac ututupie maana unaonekana wameishape bongo Flav sana