Moja kati ya kitu wazazi wa kiafrika wanacho sahau kabisaa ni kutozingatia vipawa na talent za watoto wao. tunapoteza watu wakubwa wengi sana kwa kutokutambua nini ni bora na mtoto anaweza kufanya. kipaji ni kitu mtu anachoweza kufanya bila ugumu(kwa urahisi) . kuna watoto wengi hawawezi hata kuongea, ila kuna watoto wanaweza kusimama hata mbele ya kanisa au msikiti mzima na kuongea bila woga wala kusita sita. huo ni mfano wa kimoja tu kati ya vingi wazazi na walezi wasivyo viona. Kuna mtoto anakimbia kila sehemu akitumwa hata iwe karibu kiasi gani ataenda anakimbia na atarudi ana kimbia hata liwe jua kali la saa saba. lakini hakuna anae zingatia hayo. kila mtu ana focus na Sayansi tuuu, kumbe kuna utajiri mkubwa ambao kila mtu Mungu amempa kupitia kipaji. KIPAJI NI ZAWDI KUU NA YA THAMANI MNO AMBAYO MTU HUPEWA NA MUNGU . KIPAJI
Ni mwanga mzur wenye kutoa hamasa!
Erick shigongo baba angu nakuomba no yako...naomba Sana baba angu usipuuze
❤❤❤❤❤😅
Hongera sana, Mh. E. Shigongo
Eric Shingongo. One of the the best Author ever known
Ujumbe umenibariki😢😢 naanza leo kutokuwa na matumizi yasiyo na lazima
Very correct yaani ukiwa mwaminifu bas wew ni tajr tyr
Yaani nisoma magareti yako Kila siku, uko good sana
Asante sana🫶🙏
Asante sana kiongozi
Yaani huwa unibariki sana❤❤❤God bless you
Nataman sana nipate hata namba yako
Mungu ni mkuu Sana 🙏 🙏 🙏 🙏
Ahsante Eric
Be blessed
Inspired speech Mungu akubariki Sana kaka Shigongo
This is so powerful
Shukran 🙏 kwamafunzo mazuri
Fact sana ,ahsante
Moja kati ya kitu wazazi wa kiafrika wanacho sahau kabisaa ni kutozingatia vipawa na talent za watoto wao. tunapoteza watu wakubwa wengi sana kwa kutokutambua nini ni bora na mtoto anaweza kufanya. kipaji ni kitu mtu anachoweza kufanya bila ugumu(kwa urahisi) .
kuna watoto wengi hawawezi hata kuongea, ila kuna watoto wanaweza kusimama hata mbele ya kanisa au msikiti mzima na kuongea bila woga wala kusita sita. huo ni mfano wa kimoja tu kati ya vingi wazazi na walezi wasivyo viona. Kuna mtoto anakimbia kila sehemu akitumwa hata iwe karibu kiasi gani ataenda anakimbia na atarudi ana kimbia hata liwe jua kali la saa saba. lakini hakuna anae zingatia hayo. kila mtu ana focus na Sayansi tuuu, kumbe kuna utajiri mkubwa ambao kila mtu Mungu amempa kupitia kipaji.
KIPAJI NI ZAWDI KUU NA YA THAMANI MNO AMBAYO MTU HUPEWA NA MUNGU . KIPAJI
Great advise Wiseman👊
Asante sana
❤❤❤❤❤
Kongole