MANGE KIMAMBI na ZUCHU wararuana vibaya Instagram, mazito yaanikwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.พ. 2024
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.com/store/apps/de...
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 163

  • @user-gj2mm3ko8m
    @user-gj2mm3ko8m 4 หลายเดือนก่อน +14

    Hongera ❤❤❤❤dada Mange❤❤❤🇰🇪

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 4 หลายเดือนก่อน +11

    Huyu Mange hana content!!

  • @milcahNanjala-to9gq
    @milcahNanjala-to9gq 4 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤ daa wachana na mange wewe songa siku hizi hakuna mabishano ni kusonga na kuacha wambea nyuma yetu

  • @user-us7id9hp7p
    @user-us7id9hp7p 4 หลายเดือนก่อน +5

    Zuuuh wangu achana na huyo kahabaaaa😂😂kuwa mpole mamaaaaa nakupenda sana❤️❤️❤️❤️🆒

  • @rmags8843
    @rmags8843 4 หลายเดือนก่อน +46

    Zuchu anatakiwa kujitambua aache kujichanganya na brand za wambea kwa kuchambana!! She needs to control her emotions sio kila kitu lazima ujibu!! Ukimya nao ni jibu tosha!!

    • @Khalidniya380
      @Khalidniya380 4 หลายเดือนก่อน +4

      Wew unamshauri Zuchu kama nani?

    • @MuhidiniLebba
      @MuhidiniLebba 4 หลายเดือนก่อน

      Anamshauri kama mke mwenzake😂😂😂​@@Khalidniya380

    • @scholamodestus9386
      @scholamodestus9386 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Khalidniya380😂😂 somo wake

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 4 หลายเดือนก่อน +1


      😅😅😅

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 4 หลายเดือนก่อน

      Hasimuache zuchu pambe tu dai wmekutana ukubwani😂😂😂

  • @carolinaadolf6955
    @carolinaadolf6955 4 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu akulinde Zuchu...Everyone attacks you with no reason 🥺 yaan utafkr wewe ndo msanii mwenye makosa peke yako

    • @m___ck799
      @m___ck799 4 หลายเดือนก่อน +1

      Point hapa..ni tunamwonea huruma Zuchu maana tunajuwa kitakavyoishia...kwahiyo it's all tough love!

    • @carolinaadolf6955
      @carolinaadolf6955 4 หลายเดือนก่อน

      @@m___ck799 kuachana au kuachwa ni kawaida kwenye maisha ya mahusiano sema tu kwa sababu yeye ni star ndo maan mnasema kuwa mnamuonea huruma...lakini kuna watu ambao siyo mastar wanaachwa vbaya

  • @lydiahmartinz925
    @lydiahmartinz925 4 หลายเดือนก่อน +6

    Am not zuchuz fan but i really feel for her. She should forcus on her carrier.. N in anycase there was no need to tell us they hve broken up. She could hve done it silently. Keeping quit will not make u a laser zuchu. B u n stand firm bby girl. Its not healthy atoool. Pray n do what God chose u to do.. period

    • @yolo5261
      @yolo5261 4 หลายเดือนก่อน

      She couldn’t keep the breakup for herself coz it’s part of the showbiz in order to keep on trends
      Btw have never believed the relationship btwn zuchu & diamond I guess it’s business

  • @beingothman
    @beingothman 4 หลายเดือนก่อน +9

    Hapa anayefaidika na hii bifu ni mange aisee ina masilahi makubwa kwa upande wake yaaan

  • @mauwaishara7351
    @mauwaishara7351 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mange anajikuta mkali wakati kuna mcongo alimtukana akamuacha wazi akujibu ata neno moja asitake kumuonea zuu kisa ajui kuchamabana kama anamtaka mondi aseme❤aseme ufala wake mrs wig

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mi ingekuwa Zuchu singeweza jibizana na mtu yoyote online..ingefika time wangeacha tu.
    She is talented na most people wanateseka

  • @hassanguzo8026
    @hassanguzo8026 4 หลายเดือนก่อน +28

    Jamani mange kiboko uyu dada kashindikana jamani hila mimi nampenda ivyo ivyo dada yangu wataifa ❤❤❤❤

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂🙌🙌🙌

    • @doreenmsafari2945
      @doreenmsafari2945 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi nampenda sana mange❤❤❤❤ Mungu akuweke 🤲🙏🥰🥰🥰

  • @yolo5261
    @yolo5261 4 หลายเดือนก่อน

    Ila Mange balaaa Yani moto fire 🔥

  • @user-lq4cm4rq6z
    @user-lq4cm4rq6z 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mtu mzima hakuwi

  • @user-gt1so2ew9y
    @user-gt1so2ew9y 4 หลายเดือนก่อน +3

    Lakin mange jaman yaaan haez sikia kitu akanyamaza aah 😂😂😂😂😂

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 4 หลายเดือนก่อน +7

    Zuchu una heshima sana Wacha kujibijana na hako ka mzee mange, mdomo yake ni chafu na hana aibu kwa wazee wale vijana, so endelea na mambo zako na usimpe your time kumjibu.

  • @fafunamohamud5089
    @fafunamohamud5089 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mange kimambi🔥🔥🔥🔥🔥

  • @getmad9908
    @getmad9908 4 หลายเดือนก่อน +5

    @Ni kiki zao believe me next ni ndoa yao trust me ,!! Bongo la surprise inaa kujaa tusii malize maneno,waja 😊

  • @MayaHonorina-ln8hi
    @MayaHonorina-ln8hi 4 หลายเดือนก่อน +17

    Life is good let me enjoy 🤣🤣😭

  • @KasminaCreation
    @KasminaCreation 4 หลายเดือนก่อน +19

    Hii vita bado ni mbichiiii😂😂😂

  • @pendonoor8869
    @pendonoor8869 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wanachemsha game! Kapenda

  • @user-qs7lj7kj1k
    @user-qs7lj7kj1k 4 หลายเดือนก่อน +21

    Mimi niko upande wa dada wataifa😂

  • @aishahaji3128
    @aishahaji3128 4 หลายเดือนก่อน +9

    Zuchu kaingia simo hayazoweya kuchambana ,ange yy nwalimu wa haya

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂😂hii vita vya nuclear akhi😂😂

  • @mastaplan
    @mastaplan 4 หลายเดือนก่อน

    Madenu wenye sura mbaya wanapenda maneno sana..chunguza hii kitu

  • @Lewinglovbi6699
    @Lewinglovbi6699 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mwambieni mangi aende Kwa dada nono Australia hapewe doze yake😂😂😂

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 4 หลายเดือนก่อน +11

    Zuchu Ali Fanya kosa kuingia penzini na mondi ,chapa hailali kama kweri wame achana naofia zuchu kushuka kimuziki

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 4 หลายเดือนก่อน +12

    Zuchu our favourite ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️.

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mange kimambi for life 😂😂😂😂😂🙆🏾🙆🏾🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂🫶🫶

    • @user-eg3hv9cj6m
      @user-eg3hv9cj6m 4 หลายเดือนก่อน

      😂huwa anatupea breaking news

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o 4 หลายเดือนก่อน +11

    Mange achana n'a zuu wetu ,koma kufuatilia

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ila mange....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂

  • @lettyswender7579
    @lettyswender7579 4 หลายเดือนก่อน +8

    😂😂mange jamani

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 4 หลายเดือนก่อน +10

    Zuchu atanyoosha mikono

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 3 วันที่ผ่านมา

    Mange ana njaa hajui cha kusema la kuongea anajiona kakamilika

  • @MadenaIphone
    @MadenaIphone 4 หลายเดือนก่อน +12

    Zuchu ndio atanyoosha mikono nakama hataki maneno asiendelee kumjibu mange maana habari zote zazuchu zinatoka kwawatu wake wakaribu hivyo mange
    Ataendelea kumdhalilisha akae kimya

    • @hopechidera
      @hopechidera 4 หลายเดือนก่อน +1

      👌🏾

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa mange si wa kujibishana nae

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kalikoroga huyo mzanzibar asubiri bomu jengine tena😂bora angeka kimya kwa mume zipi bc wakuchana nae player wadunia😢duh

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wigi linawasha😂😂😂😂

  • @benjaminmartin4548
    @benjaminmartin4548 4 หลายเดือนก่อน

    Zuchu usishindane na huyo mpumbavu, Mange Huna adabu kushinda na very innocent person. Daimond you know exactly what your doing. Remember it will come back to you.

  • @mohammedkombo9798
    @mohammedkombo9798 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ni safari ya mjini tu!

  • @lizzybrownlizzy6094
    @lizzybrownlizzy6094 4 หลายเดือนก่อน +1

    Zuchu mtoto mdogo mumeanza kumuonea wivu

  • @kimah9855
    @kimah9855 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mange anasikia WIVU she can see Zuuh anapendwa na a rich man 😂😂😂

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 4 หลายเดือนก่อน +10

    Mange, I don't know you, but will you please leave the queen alone? What's your problem talking every time about someone who does not have your time.Zuchu is a brave girl. With Diamond or without him, we love Zuchu ❤️ ❤❤❤Leave her alone.

    • @hopechidera
      @hopechidera 4 หลายเดือนก่อน +4

      Queen ni Zari tu❤

    • @vickynyakio7346
      @vickynyakio7346 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@hopechidera Zari ameingia aje hapa na ni queen wa nani huyo bikizeee wenu😏

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@vickynyakio7346huku ni tz😅

  • @SheikhaSheikha-ee6is
    @SheikhaSheikha-ee6is 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kujibizana kwanye mitantao nikujfunjea heshima zuchu anyamazi tu

  • @user-cw6jq7cv2k
    @user-cw6jq7cv2k 4 หลายเดือนก่อน +3

    Msigombane we love you both, girls show love and support.

  • @anicyaedward6257
    @anicyaedward6257 4 หลายเดือนก่อน

    I love zuchu ila Mange yupo sahihi zuchu chukua atua utakuja mkumbuka . Zuchu is talented, smart fanta kaz utampata mtu sahihi daimond will nevet merry you ...ana missrespect

  • @ME-kb8rk
    @ME-kb8rk 4 หลายเดือนก่อน +2

    KHADIJA KOPA akadhikiri uchi sasa kwa WAGANGA!!! Maana kamaliza waganga wooote.....

  • @mcjmcheshi
    @mcjmcheshi 4 หลายเดือนก่อน +14

    Eti kinganga

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mange na zuchu Zuchu mzuri

  • @user-kh7bc4js1m
    @user-kh7bc4js1m 4 หลายเดือนก่อน +2

    Aliye karibu na zuhura amstopishe mana atakuwa dipressed by manne mana huyu amwache kina kigogo

  • @MamamomRamo
    @MamamomRamo 4 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂 mkomavu zuchu kaingia shimo la tewa ..mange akomeshwi ata kwa matusi 😂😂 zuchu ataishia tu kunyamaza na na brand yake wcb ndio kashapotea kama hajashikwa chuchu hana mapya kwa hii dunia

  • @evelynensanga3330
    @evelynensanga3330 3 หลายเดือนก่อน

    Mange wivu unamutesa sana

  • @mcjmcheshi
    @mcjmcheshi 4 หลายเดือนก่อน +5

    Bhahahhahahahha sasa tunawasaidiaje

  • @AnethWambura
    @AnethWambura 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mange endeleaaa kushusha mabomu

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 4 หลายเดือนก่อน +2

    Zuchu ka kimya na usimjibu huyo kizee mange I think you are better than that

  • @kagoyemwambal9061
    @kagoyemwambal9061 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂huyu mange MtataBora zuchu amuache atamuumbua mengi..lkn wenyew ndio wanatoa Siri zao mange anajuajee ...

  • @onester4946
    @onester4946 4 หลายเดือนก่อน +31

    Zuchu must stop having conversations with such cheap people

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49 4 หลายเดือนก่อน +1

      Zuchu ni Brand kubwa angeacha kumpa content yule mpumbavu wakati hana kitu chochote cha maana,,

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 4 หลายเดือนก่อน +2

      Cheap?😂😂😂😂

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 4 หลายเดือนก่อน +1

      She needs to be answered! Coz mange wants to be bought so let her answer her back

    • @kimah9855
      @kimah9855 4 หลายเดือนก่อน

      True

    • @scholamodestus9386
      @scholamodestus9386 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@EzekielTv49true nadhani hajajua ukubwa wake

  • @user-vw1ty6dn1m
    @user-vw1ty6dn1m 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mmm dada wa taifa

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 4 หลายเดือนก่อน

    Wanaomkubali zuchu like hapa ❤❤

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 4 หลายเดือนก่อน

    Napenda vita ya mange na zuchu kwa sababu wanafanana japo mange kapanda juu alafu mange anapenda zuchu akijibu ndo huwa anapata mori wakujibishana

  • @joycemhina1424
    @joycemhina1424 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mange

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mange ni mshenzi sana, Malaya wa marekani alafu anajifanya yeye ni malaika, anajua ya watu sana na ya kwake ni mengi, mchawi mkubwa

    • @juliusmagunila6308
      @juliusmagunila6308 4 หลายเดือนก่อน

      Zuchu ndo ajielewi😅😅

    • @irakozesania1680
      @irakozesania1680 4 หลายเดือนก่อน

      Lakin mwapend umbea wake😅😅😅😅

  • @ashinalucy_56
    @ashinalucy_56 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hamorappa😂😂😂😂

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 4 หลายเดือนก่อน

    zuchu will raise her hands!!!

  • @immaculathaemmanuel8240
    @immaculathaemmanuel8240 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bora nishinde njaa ila sio kukosa bando🤣

  • @VitusEmmanuel-pe3yi
    @VitusEmmanuel-pe3yi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yan Tz bila kiki haiwezekan km anataka kutoa video siatoe tu

  • @issamoshi8829
    @issamoshi8829 4 หลายเดือนก่อน +2

    zuchu amuwezi dada wataifa

  • @user-wi6uk1vz1h
    @user-wi6uk1vz1h 4 หลายเดือนก่อน +15

    MANGE Kimambi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 4 หลายเดือนก่อน

    Ila mange sio mzm et bi tuksi😂😂😂😂😂 na zuchu wanamkosi na mange😂😂

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 4 หลายเดือนก่อน

    Zuchu kaa kimya focus na kazi yake kukaa kimya ni dharau tosha kwake....

  • @aminaawadhi1537
    @aminaawadhi1537 4 หลายเดือนก่อน

    Hata wakirudiana inakuhusu nn ww!? Hapo ulipo wamtaka Diamond akikutongoza utamkubali bila shida...yaani umezoea kutukwana na kila mtu

  • @jairatu688
    @jairatu688 4 หลายเดือนก่อน

    Mm binafsi siamini kama wameachana naona kama ni title ya wimbo tu 😂😂😂😂 coz juzi wametoka harusini kwa Esma na watu wao wakasema inayofata ni Dai na Zu

  • @pamelaakinyi4769
    @pamelaakinyi4769 4 หลายเดือนก่อน +2

    mange anajua kunyosha zuchu itabidi zuchu anyoshe mkono

  • @MathaMponela-yn2cm
    @MathaMponela-yn2cm 4 หลายเดือนก่อน

    Zuchu ww achana na juyo we unaheshimika kwa nn unamjibisha mtukama huyo utajishushia hadhi yako

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 4 หลายเดือนก่อน

    Kimavi ndio anapangia watu maisha wacha zuchu apambane naye 😂😂😂😂😂

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 4 หลายเดือนก่อน

    Mage yupo sahihii japo mm ni team WCB ila zuchu kiranga komaaaa dam yake na Simba haziendani Kwa mtazamo wango 😂😂😂

  • @michaeljm-dz7nh
    @michaeljm-dz7nh 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sns tumechoka nahuu ujinga sasa yani imekuwa kama kero sasa yani kiki zakitoto unazihunga mkono kama akuna stor zengine kaheni kimya

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 4 หลายเดือนก่อน

    Wanawake tusijisahau ukiona mwenzio kanyolewa na wewe tia maji Kwakweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzio so mange kimambi i don’t like her for real anaishi marekani lakini Kama Yupo kwa mtogole no way 🙅‍♂️

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 4 หลายเดือนก่อน

    Zuchu huyo mange ungelimtungia story pia ukaimwaga hapo!! Alafu ukanyamaza!!! Ukamuacha akidodoreka kama bisi

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j 4 หลายเดือนก่อน

    Mange analana yakutukanana khaaa zuchue Dior mongeaaji usimjibu iyo mange

  • @jmelodies7961
    @jmelodies7961 4 หลายเดือนก่อน

    Mange ni malaya mjinga sijui a natafutanga kwa mahusiano ya watu weh

  • @gracewairimu800
    @gracewairimu800 4 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini mange bwana😂

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 4 หลายเดือนก่อน

    Mange unayatoa wapi haya ya chini ya kapet lakin 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @AaAa-tf7sl
      @AaAa-tf7sl 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 4 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣 Zuchu heri ukae kimya Mange hutamuwez umbea ndio kazi yake

  • @Ztown-im1fq
    @Ztown-im1fq 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yan huyu dada Poa mshamba halafu ana sura mbaya cjui akitaka kuumbwa nani huyu maana bora nyani mzur kuliko huyu dada anafanana na jina lake la mange mshamba sana huyu dem

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 4 หลายเดือนก่อน +7

    Anajiita dada wa taifa nani mdaganji huko marekani, mange shame on you

  • @Zizzah2707
    @Zizzah2707 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona madancer walienda kwenye baby shower ya dancer mwenzao Karen 😂😂😂😂 mange hapa katuvurugia mafail

    • @aminahamad5573
      @aminahamad5573 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli ilikuwa baby shower ya karen na sio dorice.anawalisha watu matango pori tuu😏😏

    • @Zizzah2707
      @Zizzah2707 4 หลายเดือนก่อน

      @@aminahamad5573 shenz zake mxiiiew

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi ningekuwa zuchu ningenyamaza TU

  • @rerisamba
    @rerisamba 4 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣ati utaishia kwa hamorapa haki Mangi wewe

  • @KakaMois
    @KakaMois 3 หลายเดือนก่อน

    ❤dada mange hongera umeshida kwamaneno na Kila kitu wewe ni number

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣pole zuch

  • @AaAa-tf7sl
    @AaAa-tf7sl 4 หลายเดือนก่อน

    𝔻𝕦𝕦𝕦𝕙 𝕫𝕦𝕔𝕙𝕦 𝕞𝕪𝕒𝕞𝕒𝕫𝕒 𝕕𝕒𝕕𝕒😂😂😂

  • @francissamson2207
    @francissamson2207 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nashangaa watu kumtusi zuchu bila kuchekecha kwanza 😂, hao ni wasanii wapo kazini ili muendelee kuwafatilia na kazi zao za mziki/shoo 😂😂😂 mnazdhani wameachana?

  • @fatumamahoiga3978
    @fatumamahoiga3978 4 หลายเดือนก่อน

    Zuchu acha Majibishano

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 4 หลายเดือนก่อน

    Zuchu huwa anaona watu wanakaaa kimya huyo mange akiwaandama mbona yeye kutwa anamjibu, let her lower herself

  • @aminaanab1071
    @aminaanab1071 4 หลายเดือนก่อน

    Nampenda anavyo fokiria mangi na anajua kucheza kadi zake hiyo yote ni mchezo wapesa app ifanye kazi na yeye ndio anashinda😂😂😂😂

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 4 หลายเดือนก่อน

    Zuchu wetu usimjibu mange 😅😅😅

  • @aminahamad5573
    @aminahamad5573 4 หลายเดือนก่อน

    Ni uongo dorice hana mimba na babyshower ilikuwa ya karen yule dancer wa zuchu ndio ako na mimba

    • @Nihadshighadi
      @Nihadshighadi 4 หลายเดือนก่อน

      Mange anapewa umbea na watu wa ndani

  • @user-wi6uk1vz1h
    @user-wi6uk1vz1h 4 หลายเดือนก่อน +1

    ZUCHUUUUU enjoy my QUEEN ❤️❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @michaeljm-dz7nh
    @michaeljm-dz7nh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tuna juwa kawa izikiki tena sakitoto kabisa kesho utasikiya zuchu katowa video sasa ndonini Achan nahuu ujinga yani kutwa unapambana navitu vyakijinga sijuwi zuchu Hoo mangi sijuwi zari Akuna kitu Apo nikiki tu

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 4 หลายเดือนก่อน

    Mbinu pekee ya kumshinda mange, labda afe wakusanyike wot

  • @benedictinelusambo069
    @benedictinelusambo069 4 หลายเดือนก่อน +1

    Viyai vimekauka kau????