EXCLUSIVE: SIKU TALE ALIPOJUA DIAMOND NA ZUCHU NI WAPENZI "NILIUMIA SIKUTAKA ZUCHU APANDE STAGE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 350

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 ปีที่แล้ว +97

    Babu tale unaakili nyingi sana na una ongea kwa busara tuwaombee Mungu akupe mke mwema na wewe kaka yetu

  • @daudimazengo7772
    @daudimazengo7772 ปีที่แล้ว +9

    I salute Babu Tale. Hakika hata mie naombea hii couple idumu.
    Hi Diamond, this time take action to this cute and humble girl Zuchu.

  • @daudichengula1413
    @daudichengula1413 ปีที่แล้ว +73

    Millad ayo ni mtu pekee dunia hii ambaye unaniispire Sanaa.. Ishi sanaaa brooo

    • @erastomwakalukwa3946
      @erastomwakalukwa3946 ปีที่แล้ว

      😂😂😂alimfanyia interview mpaka MUNGU wa usukumani aka bi zuu,Zumaridi ,harafu hacheki😂😂😂

  • @alymaryam2331
    @alymaryam2331 ปีที่แล้ว +18

    Mungu akujaalie mwisho mwema tale na akutilie wepesi kwa kila ulifanyalo🙏🙏🙏🥰

  • @sureiamboo
    @sureiamboo ปีที่แล้ว +4

    I love Tale now ❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FatmaSaid-j9o
    @FatmaSaid-j9o ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah he is so kandy i really like him my Allah protect u ❤i wish i can have hubby like him ❤❤

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly ปีที่แล้ว +2

    Mheshimiwa mjengoni🎉
    Kaongea,diamond kafika...ndo furaha yake.

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 ปีที่แล้ว +4

    Diamond na Zuchu ni couple nzr sana KULIKO hao wazungu weusi

  • @khadijahali6856
    @khadijahali6856 7 หลายเดือนก่อน

    Babu Tale ni mtaratibu kweli Ma shaa Allah.........

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 ปีที่แล้ว +19

    Nimependa Sana Babu tale umekuwa muwazi na umefunguka hongera Kwa Hilo,,

  • @mapendosafi3429
    @mapendosafi3429 ปีที่แล้ว +9

    BABU tale nakupenda sana baba unaja helkima sana Tena sana

  • @godsdaughter2820
    @godsdaughter2820 ปีที่แล้ว +2

    Alafu zari anajidai eti Diamond loves her🥱🥱😩😆😆😆🏃🏃🏃

  • @barakadaprince3742
    @barakadaprince3742 ปีที่แล้ว +6

    Millard mtu makini sana🙌🏿🙌🏿🔥🔥

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 ปีที่แล้ว +79

    Nimependa Sana Babu tale ulivyofunguka kuhusu mahusiano ya zuchu na diamond,,,nawatakia Kila la heri,,waoane inshallah,,

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 ปีที่แล้ว +26

    Nasikiya raha Sana kwakweli, Allah aweke wepesi 🙏

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 ปีที่แล้ว +7

    Kweli kabisaa Mungu awabariki tunawapenda aa Sana Hao wawili zechu na daimond

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +1

    Zuhura & Nasib👰🤵Aya.. Hongera sana

  • @shafiiwajad457
    @shafiiwajad457 ปีที่แล้ว +46

    Iv mnajua hii ndo mara ya ya kwanza uhusiano wa Zuchu na Diamond kuwa Confirmed kwenye media na source ambayo tunaiamimi na inatoka ndani kabisa😂😂😂😂
    Millard 👍👍👍

    • @lifeofyuri4020
      @lifeofyuri4020 ปีที่แล้ว +3

      I was looking for this comment una akili nyingi sana 😂

    • @esthermutabuzi4582
      @esthermutabuzi4582 ปีที่แล้ว +1

      Na sasa tunasubiri Diamond mwenyewe atuambie...let him confirm by his own mouth! The last time he opened his mouth, he said he didn't have a girlfriend🙈🤣

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 ปีที่แล้ว +1

      Confirmed

    • @shafiiwajad457
      @shafiiwajad457 ปีที่แล้ว

      @@lifeofyuri4020 pamoja na wewe mama
      Sema tuna akili nyingi ❤️

    • @blessmimi
      @blessmimi ปีที่แล้ว +2

      @@esthermutabuzi4582 Diamond was Jux listening party and told whole crowd Zuchu is his wife ..I bet you forgot about that ? . What about the 10 slides bday post on his instagram on her birthday for the world to see all the videos of them kissing intimately?

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +10

    Wakati wanafuraha basi jambo jema ❤❤❤ tunawaombea kwenye hii dunia ya leo kupata furaha sio jambo rahisi maana wengine watajia pesa tu

  • @RabiaWahadh
    @RabiaWahadh ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah Zuch Mungu Akufanyie Wepes Kweny Maisha Yako

  • @marthamushi9390
    @marthamushi9390 ปีที่แล้ว +7

    Mungu awajaalie na awafanyie wepesi waje wafunge ndoa🙏 Pia huyu babu tale ni anaonekana mpole jamanii anaongea kiustaraabu hadi raha🥰

  • @Mikeys-m9w
    @Mikeys-m9w ปีที่แล้ว +19

    Napenda Babu Tale Anavyo Ongeaga na Busara Sana 😊 MashaaAllah Tunawaombea Kheir InshaAllah 🤗👌

  • @amanimapenzi571
    @amanimapenzi571 ปีที่แล้ว +9

    Babu Tale Asante sana kwa kufunguka ndio watu wanao mdhihaki watu hawajaoea upendo wa kweli! Zuchu is being submissive kwa diamond but watu wanamchukulia anampenda diamond kushinda diamond anavyo mpenda...... Let me tell you my people, diamond loves zuchu more than anything in this world! From Sandra to Zuchu!!!!!? Na ukumbuke Mondi katoboa mwenyewe!!!!!

    • @jacklyneotieno1564
      @jacklyneotieno1564 ปีที่แล้ว

      😂😂😂ati more than anything????wacha kudanganya mwenzako.....anakanwa kipetero ki yesu then unasema anapendwa..... wanawake wengine wanapigwa busu tena live inasambazwa kwenye media halafu unasema anapendwa weee.... thubutu....dai yupo single

  • @lulumalima1739
    @lulumalima1739 ปีที่แล้ว

    Mr. Tale you are a sensible man busara. Tunaomba Susi ndoa iwe watakuwa power couple. Diamond hajalitambuwa it's sad. Zuu $ Do, yeeeeeeeh

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 ปีที่แล้ว +4

    Tale uwa nampenda sana uwa aongei Sana

  • @Nimah_qubo
    @Nimah_qubo ปีที่แล้ว +9

    MashaAllah Tale anaongea na sauti ya unyenyekevu sana 😊

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 ปีที่แล้ว +1

    Allah awajalie wafunge ndoa watatufurahisha sana maana tunawapenda

  • @hawababy120
    @hawababy120 ปีที่แล้ว

    Asante babu tale kutujua zaidi.❤

  • @dijerbhai8388
    @dijerbhai8388 ปีที่แล้ว +16

    Aaah huyu mzee nampenda jmn khaaaa❤😢

  • @rajwaseif7735
    @rajwaseif7735 ปีที่แล้ว +1

    Hata Millard is wise The way anauliza maswali. Namkubali ni professional.

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 ปีที่แล้ว +12

    Babu tale unamtetea hapo mondy hawezi muoa zuchu zuchu anapotezewa muda tu

  • @naillanalphanairakoze3880
    @naillanalphanairakoze3880 ปีที่แล้ว +2

    Leo sasa ndo kuamini kama niwapendanao.Juu @MillardAyo kasema😂.I really love this guy. Hujawapi kuni disappointed kwa maswali yako kwenye interview ❤

  • @kimah9855
    @kimah9855 ปีที่แล้ว +2

    I pray them to marry🙌🙌🙌🙌🙌

  • @productivityprogressprince5156
    @productivityprogressprince5156 ปีที่แล้ว

    Mi mwenzenu nampenda saaana babutale😊😊😊

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +37

    Ila Leo ndio nimeamini, nacheka peke yangu, nilikuwa siamini wambea, ila nimeipenda hii interview, part2 please, Millard Ayo.

    • @neemamayco1051
      @neemamayco1051 ปีที่แล้ว

      Hata mm jaman nlikua siamin kbs leo ndio nimeamini mm pia

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz ปีที่แล้ว +3

    Babu tale you're the best broo

  • @vumbakingvumbaking9571
    @vumbakingvumbaking9571 ปีที่แล้ว

    Dua mwenyezi mungu akuongoze boss talle update mke mwema amini Simba nae mungu akuongoze umuoe zuhura Amin 🤲

  • @jumayussuf7746
    @jumayussuf7746 ปีที่แล้ว +1

    Babu tale nikikuon nakumbukag mbali sn nakuoneag hurum sn mpak sasa hv hujaoa dah ulikuwa unampend sn mke wako hv nasisi waume zetu tutangulie km leo watakaaa mda mrefu hivi🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

  • @gracewairimu800
    @gracewairimu800 ปีที่แล้ว

    Yani nnavo mpenda babu tale mtu muwazi sana na Ana maneno ya busara sana mungu am bariki na Mke mzuri apate furaha na amani moyoni

  • @kassianleo
    @kassianleo ปีที่แล้ว +1

    Mungu hawabariki wawe pamoja milele amen

  • @lucymtuka3199
    @lucymtuka3199 ปีที่แล้ว +25

    Zuchu na Diamond nawapenda sana owaneni jamani

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 ปีที่แล้ว +1

      Mi nawaombeaga neema ya Mungu kila siku.

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 ปีที่แล้ว +2

    Leo ndo naamin kumbe kwel hawa wapenz😳😳😳😳yaan me nilikuwa nadhan km porojo za mitandaoni tu

  • @catherinejullu6615
    @catherinejullu6615 ปีที่แล้ว

    Kaka yangu unaakili sana ❤❤

  • @yusternyirenda7231
    @yusternyirenda7231 ปีที่แล้ว +1

    Inshallah ikawe heri kwao, nawapenda mno zuchu na diamond mpaka naumwa pia huwa nawaombea usiku na mchana wawe mke na mume kiukweli kabisa hii ni kutoka ndani ya moyo wangu.

  • @breezybabilon5797
    @breezybabilon5797 ปีที่แล้ว +2

    Millard Ayo respect sana

  • @safiyanirram-pf3sv
    @safiyanirram-pf3sv ปีที่แล้ว +1

    Mashallha nimefurahi sana allha awazidishie lnshallha nimefurahi

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 ปีที่แล้ว +31

    Subhanallah!!!' mpole ana dini'!! innalillaih Wainnaillaih rajiuun

    • @saadabakar7750
      @saadabakar7750 ปีที่แล้ว +2

      Salama nikuulize hivi wewe ni mkamilifu,unajua kesho yako. Hapa kakusudia ana hofu ya M.mungu,ndio tunavyotakiwa binadaam haijalishi uko na Imani gani ya dini,Acha kuhukumu muomble dua hofu yake izidi kwa M.mungu.

    • @hawasaid7151
      @hawasaid7151 ปีที่แล้ว +1

      ​@@saadabakar7750 yan hata sielewi kimemshangaza nn hapo.

    • @salamanauthar5261
      @salamanauthar5261 ปีที่แล้ว +3

      @@saadabakar7750 sijamaanisha Mimi ni mkamilifu' huyo babu tale bora asingesema ana hofu ya MUNGU' Mwenye hofu ya MUNGU' hawezi kukaa Uchi hadharani Kama tunavyo muona

    • @salamanauthar5261
      @salamanauthar5261 ปีที่แล้ว

      @@hawasaid7151 na uelewe ili iweje???

    • @catherinekiwipa9271
      @catherinekiwipa9271 ปีที่แล้ว +1

      @@salamanauthar5261 🤣🤣🤣🤣🤣🤣unafikir Mungu awez kuwauwa wote wanaokaa uchi ili abaki na wema wanaovaa stara hofu ya Mungu ni mavazi bas enderea kujifunika

  • @SalmaSalma-wz1xv
    @SalmaSalma-wz1xv ปีที่แล้ว +6

    Kweli unaweza kutembea hata nawanawake kumi lkn bado ukakosa furaha ni jambo la kheri sana wamalize tofauti zao

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 ปีที่แล้ว +14

    Nimeipenda Sana interview hii,,naomba pati 2

  • @godsdaughter2820
    @godsdaughter2820 ปีที่แล้ว

    Yani nimefurahiii I wish waowane kweli😮😢🙌🙌🙌

  • @julianajoseph783
    @julianajoseph783 ปีที่แล้ว +1

    Kwa upole huu wa Babutale ananimalizanga tuu

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 ปีที่แล้ว

    Babu tale na kuombeya duwa upate mke mwema mshee kuleya wa toto inshaalaah.

  • @JudithJulius-b2t
    @JudithJulius-b2t 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulindie Watoto wako😢

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 ปีที่แล้ว +1

    Mond&Zuchu❤️❤️❤️

  • @chttostrugglinglady
    @chttostrugglinglady ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu awajalie wafunge ndoa salama🙏

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 ปีที่แล้ว +3

    Wahanga walisema MTAKA CHA UVUNGUNI SHARTI AINAME!! Lzm Zuhura ajishushe na amti Chibu na vurugu zk na FANTANA😅😅😅😂😂

  • @noswingofficial9624
    @noswingofficial9624 9 หลายเดือนก่อน

    This men is loyal

  • @mbaraksaary5750
    @mbaraksaary5750 ปีที่แล้ว +5

    Diamond kumbe anaswalia kiwango cha pesa inamaana anamuekea mungu vigezo babu usitupake mafuta bana amna kitu

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 ปีที่แล้ว

    MashaAllah babu Tale

  • @mashiassenga8849
    @mashiassenga8849 ปีที่แล้ว +1

    Ayo umetisha sana bro 😅😅😅

  • @issasaad3403
    @issasaad3403 ปีที่แล้ว

    ALLAH akujaalie mke mwema babu tale yan hauchoshi kusikilizwa unaongea kwa busara sana

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 ปีที่แล้ว

    Haya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂fantana

  • @alymaryam2331
    @alymaryam2331 ปีที่แล้ว +1

    Mi nilikua naamini km ni kiki tyu jmn 😥Kumbe ni kweli 😏😏😏😏🤐🤐

  • @MamaMama-xp4nk
    @MamaMama-xp4nk ปีที่แล้ว +6

    Nampenda babu tale kafanana na ba mdogo wangu

    • @nyawamwero587
      @nyawamwero587 ปีที่แล้ว

      Acha umalaya wewe

    • @MamaMama-xp4nk
      @MamaMama-xp4nk ปีที่แล้ว

      @@nyawamwero587 mwambie mama ako aache kwanza yeye

    • @nyawamwero587
      @nyawamwero587 ปีที่แล้ว

      @@MamaMama-xp4nk Umalaya utakumaliza, mtu hata humjui wasema kafanana na bamdogo wako!! Si umalaya ni nini!!

  • @RaheliBeda-ho2ii
    @RaheliBeda-ho2ii ปีที่แล้ว

    Allah akujaalie kila lililo jema

  • @afyamkononi4778
    @afyamkononi4778 ปีที่แล้ว

    *KWANINI USALITIWE NA MWENZA WAKO KISA HUMRIDHISHI*,
    🥊 Unawahi kufika kileleni kabla yake,
    🥊 Unashindwa kuendelea awamu ya pili,
    🥊 Dhakari yako inasimama legelege,
    🥊Kukosa hamu ya tendo,
    🥊Kutosimamisha dhakari.
    *NI LAZIMA ATAKUSALITI TU*.
    Kuishi ni "KUCHAGUA" na uchaguzi hufanywa na maamuzi. Chagua kuwa IMARA ili uishi kama mtawala.
    Tumia X POWER MAN , RUDISHA HESHIMA YA NDOA
    UNAAMBIWA HII NI ZAID
    YA VUMBI LA MCONGO🔥🔥🔥
    Waliokwisha kuitumia wanajua nini namaanisha
    Ukiitumia hii always wewe utabaki kuwa shujaa💪💪
    X POWER MAN COFFEE KIBOKO YA KIBAMIA NA NGUVU ZA KIUME💪
    Ni dawa yenye nguvu sana ambayo inamchanganyiko wa dawa4 ambazo matumizi yake unaitumia kwa wakati mmoja tu
    ➡️Ni dawa yenye kutibu tatizo kabisa na kuisha sio kupata nafuu💪
    1⃣Inaimarisha mishipa ya askari aliye legea kutokana na kujichua kwa mda mrefu..
    2⃣Inazalisha homoni na mbegu kwa wingi ambayo itakufanya uwe unapata hamu ya kuwa unarudia tendo hata mara4 zaidi.
    3⃣Pia inakufanya uwe unachelewa kufika kilelen kwa dk25 au zaidi.
    5⃣Kwa waliojichua maumbile madogo au waliozaliwa na maumbile madogo inakuza kuanzia inch6.
    hiyo ndio X POWER MAN COFFEE💪
    inayotumiwa na watu wengi wanapona.
    Inapatikana Arusha,Moshi na Manyara kwa mikoa ya kaskazini
    Inapatikana pia na Dar es salam na inaweza kukufikia popote ulipo dar es salam ,Mwanza, Zanzibar ,moro,mbeya ,na mikoa yote Tanzania kwa bus ama boat
    NB; dawa hizi ni za asili (mitishamba) hazina madhara wala kemikali ya aina yoyote
    Kama unahitaji piga au niachie ujumbe andika ,#Nahitaji_dawa
    .taja eneo ulilopo nitakujibu haraka
    ✍🏿Tupigie sasa upate suluhisho la tatzo lako,
    Call/What's U 0658283250
    X POWER MAN, ni dawa mujarab kwa ajili ya kumaliza matatizo hayo

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi ปีที่แล้ว

    MUNGU ALISHA TUPA MWISHO MWEMA ni ibada tu, ila kiukwel minaona d na zuchu wanaendana na mdada safar hii kampata mvumilivu sana, ila kaka d ujatulia hufai hata kwaku lumaingia, ila zuchu AKUPE mda utabadilika taratibu, we babu tale Lea watoto tu, sababu mapenz yapo nawema wapo utapata uhataka

  • @erasmusmlay3284
    @erasmusmlay3284 ปีที่แล้ว +1

    Mzee hajaoa kumb😂😂

  • @bwanabrainex433
    @bwanabrainex433 ปีที่แล้ว +1

    Kwaiyo amekion kiac cha pesa ss eeenh😂😂😂Diamond kichwa kibov

  • @IsaacJames-sv3zk
    @IsaacJames-sv3zk ปีที่แล้ว +3

    💯💯💯

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 ปีที่แล้ว +2

    Bila shaka zuchu kampa kwa mpalange simba😅😅😅😅😅😅yule kwa jins tunavyomjua😅😅😅😅

  • @ElisianaGidion
    @ElisianaGidion ปีที่แล้ว

    Safi sana Babu tale uko na uwazi

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 ปีที่แล้ว +8

    Dada zuu hata ukiolewa kwa Ukoo ule na bwana ni samaki hapishi chambo uandae moyo mwengine wa spare😂 mara hii umetaka kuchoma nyumba kisa fantana

  • @مونيكمونيك-ع1غ
    @مونيكمونيك-ع1غ ปีที่แล้ว

    Mmmmmh babutale kwa uongo uongo tu hajambo😂😂ivi muoaji ni nani pale ebu tuache kidogo 😅😅😅😅😂😂😂😂😂

  • @thelight-ur3oi
    @thelight-ur3oi ปีที่แล้ว

    Lakn tale hatukuekewi 🎉

  • @anicyaedward6257
    @anicyaedward6257 ปีที่แล้ว +6

    I love Babutale kwa interview zake ila Daimond kumuona zuchu that will never happen.....babu tale ata zari ulisema hvyo hvyo still Mapenz ya kaisha yan Daimond angekuwa anapenda hasingekuwa anasema yup single everywhere yan hakuna love pale mmoja wapo anatumika ....i love zuchu ila kwa mond kapotea

    • @mubuyafrancis3979
      @mubuyafrancis3979 ปีที่แล้ว +1

      Kwahiyo unataka aseme Nini sasa.

    • @mohdchuma78
      @mohdchuma78 ปีที่แล้ว +1

      Wanatumiana kila mmoja anapt faida kiupande wke hakuna wakulaumiwa zuchu sio mtt istoshe ana wazazi wake kamili sasa apo hakuna upande wa hasara ht mmoja.

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 ปีที่แล้ว

      ​@@mohdchuma78 Hata Babu Tale humuamini?

    • @masimangolouis4730
      @masimangolouis4730 ปีที่แล้ว

      Wewe ni Mungu mpana rizki?

  • @RehemaSalim-y8d
    @RehemaSalim-y8d ปีที่แล้ว +1

    Kweli

  • @anicyaedward6257
    @anicyaedward6257 ปีที่แล้ว +7

    Zuch udogo gani sasa 30 years plus au akifka 40 ndo mkubwaaa 😅😅😅...zuchu kapishana na nandy na wakina Hamisq ...wote ange sawq ...sema zuchu anajiweka kitoto ila sura yake Inaoneshs

    • @lucymtuka3199
      @lucymtuka3199 ปีที่แล้ว +2

      Mapenzi hayako kwenye sura tabia ni kitu muhimu sana

  • @rachelnyale2984
    @rachelnyale2984 ปีที่แล้ว +1

    WOW good news ❤❤

  • @halimayahya1948
    @halimayahya1948 ปีที่แล้ว +5

    Et daimond alisema akifikisha kiasi hiki Cha pesa ataanza kuswali sisemi hvo kwakua mie ni msafi,daa yaan unavoongea mambo mengine ni aibu kuongea public zuchu anadini sana hv unamjua mtu mwenye dini wewe sad😢 ndio tukaambiwa kupata pepo ni ngumu na kabla hujapata hyo pepo nahisi lazma mtu auonje moto kwanza😅😂

    • @nasfatnasibu
      @nasfatnasibu ปีที่แล้ว +1

      Unahic mvaa mabaibui na shungi pekee ndo anadini? Dini ipo katika moyo na Iman yako waweza vaa majuba na bado usiwe na Iman ya din yako hilo Ni vaz tu imekua Kama fashion

    • @m___ck799
      @m___ck799 ปีที่แล้ว +1

      Yaani nimeshangaa pia!😢 hela ndiye inamfanya aswali ka sasa!!😮

    • @halimayahya1948
      @halimayahya1948 ปีที่แล้ว +2

      Huumwi lakini sijaongelea kuhusu kuvaa nguo I don't judge her for her clothes, nimesema tale hamjui mtu mwenye dini na hata hv uzuri uislamu haujaacha kitu umeongelea had mavaz [Ewe Nabii! Waambie wake zako, na binti zako, na wake za Waumini wajiteremshie nguo zao. Hivyo ni karibu zaidi kuweza kutambulikana wasiudhiwe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe ,Quran],uchi wa Mwanamke ni mwili mzimaa isipokuwa vingaja uso na miguuni kuanzia kwenye fundo

    • @hamidasalim7226
      @hamidasalim7226 ปีที่แล้ว

      Haya wewe utakaeipata pepo ukifika huko uwasalimie watu wa peponi

    • @aishaabdallah9327
      @aishaabdallah9327 ปีที่แล้ว

      @@halimayahya1948 jina Kubwa Masikini Halafu anaongea Utopolo, Dini ipo moyoni wakati hyo aloshusha dini kashasema Stara za mwanamke ni mbili Ndoa Na Mavazi sijui anatetea nini sasa

  • @NextoHunter-rm3cs
    @NextoHunter-rm3cs ปีที่แล้ว +1

    Ayo TV 📺ni 🔥 🔥 🔥

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 ปีที่แล้ว

    Babu tale umeongea point

  • @josephmolle
    @josephmolle ปีที่แล้ว +4

  • @rich.kizza10
    @rich.kizza10 ปีที่แล้ว +3

    Millard why huweki music background?

  • @catherinebarasa4467
    @catherinebarasa4467 ปีที่แล้ว

    Babutela nilikuomba unioe nikulelea watoto.

  • @ghadaalzuhari2739
    @ghadaalzuhari2739 ปีที่แล้ว +6

    Kwenye ndowa tuache bwana 😂😂

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 ปีที่แล้ว

    NA FROM THERE HAPO NDO NLIONA DIAMOND HANA ETHICS kama atafanya kazi na wanawake alafu atembee naye hakika NI SHIDA SANA ,

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 ปีที่แล้ว

    Mmmmm ssa hayaaa

  • @Tabiatz
    @Tabiatz ปีที่แล้ว

    Nice

  • @immamathias6600
    @immamathias6600 ปีที่แล้ว

    Leo ndio nmeamin sasa

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kumbe kweli ni wapenzi, he he leo ndo nimeamini nilikuwa nahisi ni kiki tu

  • @ShadiahAtwasi
    @ShadiahAtwasi ปีที่แล้ว +2

    Njoo unioe Mimi Babu tale

  • @fitinakipita6813
    @fitinakipita6813 ปีที่แล้ว

    Ushauli wa iwe kweli amuoe kwasababu asipo muoa badae zuchu atapata mwanaume alafu akamshawishi stoke wasafi wakati wasafi ndiyo kichwa chao zuchu iwe wote tutafulsi sanaaa

  • @mujibushamba4383
    @mujibushamba4383 ปีที่แล้ว

    Ayo bomba

  • @aishabrondi236
    @aishabrondi236 ปีที่แล้ว +38

    Kumbe nikweli niwapenzi 😂😂😂😂 eti kufunga ndoa haaaa acheni kiki hamna ndoa wala Nini

    • @masimangolouis4730
      @masimangolouis4730 ปีที่แล้ว +1

      Tena wana mda sana

    • @jacklyneotieno1564
      @jacklyneotieno1564 ปีที่แล้ว

      ​@@masimangolouis4730 wapi??dai aowi leo wala kesho

    • @abdillahomar4541
      @abdillahomar4541 ปีที่แล้ว

      Kumbe unajua leo

    • @ismailykazumal
      @ismailykazumal ปีที่แล้ว

      Mmeshaambiwa ndoa ni riziki lakini bado tu mnabisha Mungu ndo anapanga ndoa jamaniii

    • @ismailykazumal
      @ismailykazumal ปีที่แล้ว

      @@jacklyneotieno1564 Sawa Mungu tumekusikia wala hatukupingi, Kwasababu wewe ndo Mungu 🤔

  • @rajumrecords711
    @rajumrecords711 ปีที่แล้ว +6

    Hofu ya Zuchu kutoka WCB ni kubwa. WCB itakufa. Lazima Tale amsifie Zuchu ili Asitoke WCB

    • @safariadrien5348
      @safariadrien5348 ปีที่แล้ว

      Mulisema ivyo tena mmakonde alipoondoka. Hakuna player mkubwa kuzidi team no matter how big you are

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 ปีที่แล้ว

      Hayo maoni yako tu

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 ปีที่แล้ว

      pole sana

    • @rajumrecords711
      @rajumrecords711 ปีที่แล้ว

      @@safariadrien5348 so wewe Kwa unavyoona WCB bado iko na nguvu? Kwa Msanii yupi?

    • @giztony2009
      @giztony2009 ปีที่แล้ว

      Kuna watu wanafikilia kupitia miguu yani wcb ianguke kupitia zuchu wakati imekuwepo( wcb) kabla ya zuchu

  • @saidsalum9587
    @saidsalum9587 ปีที่แล้ว

    Swala 5 mzeee

  • @brownie_dee8655
    @brownie_dee8655 ปีที่แล้ว +2

    I love the way tale anavoongea tu ila hayo maongezi ya uongo uongo tu🤣🤣🤣

    • @EstherYouze
      @EstherYouze ปีที่แล้ว

      😂😂😂 anaongea vzr hadi raha jmn

  • @mandelaismael5036
    @mandelaismael5036 ปีที่แล้ว

    Assallam walkum wallah Matulah wabarkatuh,Tale kwli ndoa?kitu hicho hakipo mnafanya biashara tu mi Mandela tokea Burundi na chatting tokea Oman Muscat nawafwatilia Miladi

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 ปีที่แล้ว +1

    Lililoandikwa lipo litakuepo tuu...hata Kwa kuchelewa ....tunawaombea Kheri