ZUCHU amrarua MANGE KIMAMBI, aingia LIVE kuongea mazito, GIGY amjia juu na kumvua nguo; Pazito

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2023
  • Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

ความคิดเห็น • 244

  • @reginaedward4883
    @reginaedward4883 10 หลายเดือนก่อน +6

    Tell her .kikongwe mzee huyo mavi kinavi skeleton Zuchu to the world much love to u from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rukiamziwanda7458
    @rukiamziwanda7458 10 หลายเดือนก่อน +19

    Gigy ni mzuri sana zuchu acha kumuamini mwanaume

    • @youngweezy3846
      @youngweezy3846 10 หลายเดือนก่อน

      Mzuri unajua wazuri kwel😅

  • @kimah9855
    @kimah9855 10 หลายเดือนก่อน +11

    Sisi side ya Bi Zuhura❤❤❤❤❤This woman They need to leave Zuuh

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @bujashidaniel5537
    @bujashidaniel5537 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mange mpuuz tu hana cha maana nashangaa watanzania wote wanamsujudia Mange ,, Mtu mwenye akir timamu hawez kuungana na na mpumbavu kama mange ,, et akutukanie familia kwan kuna cha ajabu nn hapo ,, Acha zuchu amnyoshe

  • @PaulNzima-pd8il
    @PaulNzima-pd8il 10 หลายเดือนก่อน +1

    Eti mashabiki sio dhambi kumuua Mange kimambi au Gigi kwasababu ata Mungu mwenyewe amewachoka👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @jackywambua917
    @jackywambua917 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mange mwenyewe akaa mchogo wa chana na zuchu sio wa level yako tafuta mtu mwingine wa kutafuta kick naye zuchu Kenyan loves you more ❤ 😘

  • @michaelmymy1307
    @michaelmymy1307 10 หลายเดือนก่อน +10

    Gigi kiumbire urefu, figa face nimzuri sana. Anaekutukana akucaguriye tusi gigi mrembo

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 10 หลายเดือนก่อน +10

    Zuchu wetu, Wacha mange aonge mwisho ata lala

  • @isaackambofi1241
    @isaackambofi1241 10 หลายเดือนก่อน +1

    Love you my zuchuuu don't leave your platnumz Simba dangote

  • @noelafabrice5283
    @noelafabrice5283 10 หลายเดือนก่อน +15

    Zuchu wangu😢😢😢😮

  • @user-cl2yi6zv7o
    @user-cl2yi6zv7o 10 หลายเดือนก่อน +3

    Zuchu won’t change diamond! And she has temper

  • @franciskajessy4468
    @franciskajessy4468 10 หลายเดือนก่อน +3

    Ila Mange anakosea kuwatukana na wazazi,ngoja amjibu Zuchu amejisimamia safi sana.

  • @theresaelizabethelijah117
    @theresaelizabethelijah117 10 หลายเดือนก่อน +6

    Ile siku niliona Zuchu amekubali kufanya kiki na Diamond kujifanya ni wapenzi nilijua baas kwisha Zuchu amejivunjia heshima angemuacha Diamond afanye kiki na wanawake wengine na Video vixen ila sio yeye ana Talent kubwa alitakiwa ailinde heshima yake na brand yake ila ndo basi tena hana mshauri mzuri 😢

  • @MightyLumber
    @MightyLumber 10 หลายเดือนก่อน +13

    Hivi haka katoto Zuchu hakana akili jamani, yaani anachezewa na Diamond yeye bado anajiona kuwa ni mke wake? Hivi Hadija Kopa anashindwa nini kumsaidia mwanaye?

    • @barakatabdul3212
      @barakatabdul3212 10 หลายเดือนก่อน +1

      Khadija kopa sialikua mdangaji tu! Sasa Atamshauri mwanae nn? Na Tamaa ndo zinazo waponza watu wataka maisha mazuri ndo hayo Madhara" yakee😂

    • @user-go5wb2pi2i
      @user-go5wb2pi2i 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kalogwa

    • @wekezauchumi7440
      @wekezauchumi7440 10 หลายเดือนก่อน

      Hv nyie mnaosema anachezewa ingelikuwa wew ungekataa kudate na mond? Mbona mnataka kumfanya mwenzenu kama mjinga

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 10 หลายเดือนก่อน +16

    Zuchu mpe ukweli huyo mange mwanamke wa ovyo sana

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 10 หลายเดือนก่อน

      Wewe unamshauri things angenyamaza

    • @mariyammaria669
      @mariyammaria669 10 หลายเดือนก่อน

      Would you keep quiet 🤫 zuchu anaambiwa haya kama ana masikio na haskie asiseme hakuambiwa

  • @user-us7id9hp7p
    @user-us7id9hp7p 4 หลายเดือนก่อน

    Mange hana lolote huyo kibaka t 😂zuuuuh achana na mizimu hyoooi chill madameee wetu tunakupenda sana zuuh❤️❤️❤️❤️

  • @user-uo6bo3ph6g
    @user-uo6bo3ph6g 10 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Mungu kunibarik bando😂😂😂😂😂😂hzi Raha zingenikosa hvhv🤔🤔

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 10 หลายเดือนก่อน +12

    Zuchu ungekaa tu kimya 😢😢😢😢

    • @augustuss4503
      @augustuss4503 10 หลายเดือนก่อน +2

      Hawezi kukaa kimya wakati anamtukania mpaka wazazi wake.

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 10 หลายเดือนก่อน

      @@augustuss4503 sasa unafikili akimjibu ndo hataacha?

  • @othmanmusilm
    @othmanmusilm 10 หลายเดือนก่อน +10

    Gigy mzuri kuliko zuchu ni vile tuu ameamua kujichetua kuhusu kumlia yamini diamond nisawa kusubiria meli kwenye kitu cha basi kikubwa yeye akubaliane na yote yatoyosemwa lakini akisema kuwajibu ndo wenzao wanazidi kupata faida na yeye

    • @beyondintrusion1663
      @beyondintrusion1663 10 หลายเดือนก่อน +1

      Yani ww bora babako angepiga punyeto akamwaga yani huo ubongo wako huuwachi ukapata hewa Safi mpaka unacomment ushamba 😂😂😂

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ana uzuri gani uyo Giggy ushawahi kumuona live kwani uzuri ni nn saivi kizuri ni pesa tu na Giggy hana hela kila siku anaomba kodi

    • @mwinyiabdallah4383
      @mwinyiabdallah4383 10 หลายเดือนก่อน +1

      Giggy mzuri 😂😂😂 Sura bayaaa

    • @ibrahimngulungu
      @ibrahimngulungu 10 หลายเดือนก่อน

      Furaha ya mwanaume kwa mwanamke ni utam wa tunda,usafi wa choo(siyo choo kinachomwagiwa uchafu na Kila mtu)na heshima uzuri bila ya utulivu ni ungese.

  • @haleemaoman8389
    @haleemaoman8389 10 หลายเดือนก่อน +2

    Tumenunua WiFi ya mwezi mzima nyinyi mutupatie habari tuenjoy 💃💃💃💃 saa zakulala tutala

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mange always she's right ✅️ zuchu atulie tu mange mtoto wa kishua hamuwez hata kidogo life ya mange ni nzuri kwanza ni mtoto wa kishua ...zuchu hamuwez mange hatulie ..na zuchu alimchukua diamond kutoka kwa best wake sasa wacha yamkutee

    • @cintalauren7767
      @cintalauren7767 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa zuchu ameingia chakuime atavunja sana vitu dai ni Malaya tuu anapita Kwa zuchu kama alivopita kwa wengine😂😂😂😂

  • @stressfreezone1522
    @stressfreezone1522 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli Zuchu ame Panic 😂

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 10 หลายเดือนก่อน +5

    Uyo zuchu nae uyo mondo ndo nani asitoke na gigy kwani wewe unakitugani akakupata 😅😅😅

  • @amanimapenzi571
    @amanimapenzi571 10 หลายเดือนก่อน +12

    Mange anashika hata povu kupigana na zuchu!!!!😂😂😂😂😂😂 Kiboko ya mange zuchu

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wacha mi ncheke kwanza,

  • @Bama959
    @Bama959 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mange anajua kuwachemsha sana

  • @bboycleverdjp1015
    @bboycleverdjp1015 10 หลายเดือนก่อน +18

    Zuchu you're an international artist so far no any of them can reach where you are, that's why this becam an opportunity to turn on you, don think of them they ain nothing to your talent we really are proud of your talent leave them be, make your music that's where your magic lies let them bark for they can't bite

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 หลายเดือนก่อน +4

      Her problem is to mix love and career, she should concentrate on her music.

    • @stephanieeunice8572
      @stephanieeunice8572 10 หลายเดือนก่อน

      You wish!

    • @nassirsalim6679
      @nassirsalim6679 10 หลายเดือนก่อน

      International ipi iyo?

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@nassirsalim6679kwani wew internacional unayoijua ni ipi ??

    • @RwachiryoraWema
      @RwachiryoraWema 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@MrTop-wj7nomsamehe uyu alikwa wale students that sit at the back of the class and sleep juu ya jaba

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 10 หลายเดือนก่อน +6

    ninajua gigy keshauchezea wa mondi zuchu usijishauwe ukatukana watu

  • @jimyjastini9995
    @jimyjastini9995 10 หลายเดือนก่อน +3

    Nacho ona kamakweri mondi anakuta huyo zuchu basi haishindikani kumra gigi kwakuwa naamin gigi ni mzuri kuriko zuchu nahuo ndo ukweri

  • @mshindotv
    @mshindotv 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mange atuachie Mzanzibar Wetu, Tutamcharukia- Ungependa Kujua kuhusu Zanzibar. TUTEMBELEE

  • @Mwanasha-cf9vd
    @Mwanasha-cf9vd 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mange alitaka amisa awe na diamond wakati Dai hampendi amisa ndio mana akaumia kila mwanamke mwenye mody mange nimvita wake

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e 10 หลายเดือนก่อน +3

    Ila mange kuwa,na adabu apana kutia mama zuu adidja copa uyo ni mama mama yetu

  • @user-uo6bo3ph6g
    @user-uo6bo3ph6g 10 หลายเดือนก่อน +4

    Gigy keshasema atamfanyia saplaiz😂😂😂😂😂😂😂zuchu jiandae

    • @Agath45
      @Agath45 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂nangojea

    • @barakatabdul3212
      @barakatabdul3212 10 หลายเดือนก่อน

      Twangoja Giggy Atuletee Suprise" tushamuekea wakili" wakee😂😂😂 tuko nae Bampa to Bampa 🤣🤣🤣🤣🙌

    • @user-uo6bo3ph6g
      @user-uo6bo3ph6g 10 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 10 หลายเดือนก่อน +11

    It went from Chicken soup to Gumbo 🤣🤣🤣🤣,so I thought Mange alikua akimtetea mtoto wake wa hiyari sasa poor Gigy na Zuchu waliokotewa wapi tena? Mange is really a Psycho,huyu mwanamke kweli chizi alafu kamtukana mpaka Khadija Kopa duuh!Mange Mange Mange,una matatizo aiseeee. Yaani ubully watu wakunyamazie,wakikujibu unawadhalilisha zaidi,a really case of Narcist mixed with a Psychopath,she has no heart kwakweli!Ptuuuu!

    • @KILELENICRYPTOAIRDROPS-gi4lj
      @KILELENICRYPTOAIRDROPS-gi4lj 10 หลายเดือนก่อน

      She is a psycho for sure, I knew it a long time ago

    • @amanimyolo1478
      @amanimyolo1478 10 หลายเดือนก่อน

      Mange is over grazing (nothing has)stupid ànd silly +250..

    • @amanimyolo1478
      @amanimyolo1478 10 หลายเดือนก่อน

      This madish don't answer (mangi but appear bad heart nothing has)

    • @amanimyolo1478
      @amanimyolo1478 10 หลายเดือนก่อน

      I love you gigy your natural beauty up to brain ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @josphatthuo7105
      @josphatthuo7105 10 หลายเดือนก่อน

      Always remain silent to Nazis

  • @zahrayusuf5985
    @zahrayusuf5985 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Zuchu chamba hilo tahiraa limezidi

  • @sabitinaeastafrica5822
    @sabitinaeastafrica5822 10 หลายเดือนก่อน

    Wow

  • @carinemanirambona2708
    @carinemanirambona2708 9 หลายเดือนก่อน

    Hayo yote munaongeya kwahiyo kahaba Diamond 🫢

  • @tinashesved1598
    @tinashesved1598 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂gigy wewe, eti atakushtua hahaha

  • @reymekay1
    @reymekay1 10 หลายเดือนก่อน

    Files zimehifadhiwa .... shida ya ku tomba vichaaaah ....😮

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dah hatari saaana

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 10 หลายเดือนก่อน +4

    Sisi wenye WiFi tuna enjoy tuu 😂😂😂😂

  • @sarahrashidabdallah3109
    @sarahrashidabdallah3109 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo napenda mie 😅😅WI-FI labda umeme uende tuu😅😅😅popcorn za kumwaga crisps ndio inakuja weuwee 😅😅😅

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani huyu mange atapewa sumu kifo kinamkalibia na anaumwa akili ✅

  • @classicwaisala6677
    @classicwaisala6677 10 หลายเดือนก่อน +3

    Ni mwendo waku promote wasafi festival 😂😂😂😂 kitaeleweka .. yangu bando ipo adi mwakanii , Mimi namsubiri king Kiba atajwe ....ni uwe mtu

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 10 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa Giggy unataka kushindana na Zuchu m2 ambae amekupita kwa kila ki2 ulichompita ww ni katakooo chako kanamzidi yy lakini kimaendeleo na kimziki humuwezi dogo ww vuta bangi zako lakini Zuchu yupo mbali sn

    • @aishaz1
      @aishaz1 10 หลายเดือนก่อน

      Yes niukwel zuchu yuko mbali mno hawa wabibi kweden uko

    • @aishaz1
      @aishaz1 10 หลายเดือนก่อน

      Zuchumtusi kabisa huyo mbwa koko kizee cha wazungu

  • @lovvy854
    @lovvy854 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli mtoto wa ki Zanzibar anamaneno mazito halafu kama vip mange leta hizo Fito zako TZ umekonda mpaka watisha 😅😂😂

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 10 หลายเดือนก่อน

      Hiki kibibi kingetumiwa jini subiani kikamalizwa.

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@bakariomari8758🤣🤣🤣🤣

  • @aisharamdan8358
    @aisharamdan8358 10 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Sana gigy ww sio wamchezo kwani uyo zuchu ana kitu gani hasa chakuwa nadaimond analevo gani sibora hata ww shogaamgu gigy unamuonekano mzuri MPE makavu atulie

  • @judithotieno2628
    @judithotieno2628 9 หลายเดือนก่อน

    sisi wana wake tuko na tabu kama mutu ni muzuri kila sa akuna mutu ana pende muenzake bano wa zuri wana zaliwa tabu tupu asante sana

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂 gigy i like English 😅

  • @sulexh
    @sulexh 10 หลายเดือนก่อน

    Mond kakiwashaaaa

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sometimes mueleweni mange anamachungu makali kuishi nje ya tz ni adhabu tosha. Bongo tamu huko alipo hana raha na hawezi rudi tz

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 10 หลายเดือนก่อน

    Niko hapa kuona hiyo shingo ya chikonda😂😂😂jamani kama kana kwashakoo😅😅

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 10 หลายเดือนก่อน

    Kumekucha😂😂😂😂

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 10 หลายเดือนก่อน +2

    Zuchu anauzuri gani au ana level gani ya kumshinda Gigy uzuri asingemdharau Gigy

    • @lucymtuka3199
      @lucymtuka3199 10 หลายเดือนก่อน

      Anakuzidi wewe hela unaemdharau

    • @lucymtuka3199
      @lucymtuka3199 10 หลายเดือนก่อน

      Huna chochote unamsimanga

  • @kenyzach9124
    @kenyzach9124 10 หลายเดือนก่อน

    kameumia sana. majibu mawili na live😂😂😂

  • @chancelebishopofficial2785
    @chancelebishopofficial2785 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kwaiyo Gygi Anafirwa?????😂😂😂😂

  • @mariecruz921
    @mariecruz921 10 หลายเดือนก่อน

    Surpriseeeee!!!!

  • @annalweganwa483
    @annalweganwa483 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi timu gigy amchukue tu Mond amfundishe adab😂

    • @wekezauchumi7440
      @wekezauchumi7440 10 หลายเดือนก่อน

      Sema wew ni team kiba team nandy na konde ambao hamuwapend wasafi

    • @annalweganwa483
      @annalweganwa483 10 หลายเดือนก่อน

      @@wekezauchumi7440 akuuuh mie nawapenda wasafi ila ukweli inaonekana brooh utamtinganisha Zuchu na gigy kweli!?!?!🤣🤣

  • @helenpeter396
    @helenpeter396 10 หลายเดือนก่อน

    Kaokoka huyuuu.... Mungu tusamehe

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 หลายเดือนก่อน

      Yeah! Kwa siku moja tu 😂😂

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 10 หลายเดือนก่อน

    zuchu ugeka kimya Diamond na Gigy ni wazamani sana wanakulanaka shini shini .zari anamegi sana leo yanakuja kuonekana ,tanasha aliyaona ayo yote akasepa zake na beby wake junior.

  • @Aleckieofficial254
    @Aleckieofficial254 10 หลายเดือนก่อน +17

    Makosa makubwa aliyoyafanya Zuchu nikutoka kimapenzi na Mond hiyo kitu itampoza sana na itakuja kumharibia career yake kimziki hata kama Mond kamsaidia yeye ila Angefanya kutoka naye inakaa analipa yeye kupitia ngono sio vizuri at all

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 หลายเดือนก่อน

      Well said! Naumia kama nimemzaa mie 😂😂😂😂. Kibaya mwenyewe anaona sifa eti kapendwa mmmh Afrika bado sana 😭

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 10 หลายเดือนก่อน

      Wale sio wapenzi nikiki TU, kuongea hela basi kla mmoja ana mtu wake pale

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 10 หลายเดือนก่อน

      Hivi angeanzaje kumkataa boss aliyempromote kwa mkataba.... Ni ngumu kiukweli

    • @Aleckieofficial254
      @Aleckieofficial254 10 หลายเดือนก่อน

      @@easternyerembe7271 unaweza si lazima umpee juu hata huyo boss anapata faida pia kupitia kipaji chake halafu kumbuka tuseme Zuchu ametoka WCB lazima atalipishwa Hela ndefu sana hata kama amekuwa akiliwa na boss

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 หลายเดือนก่อน

      @@nahlahassan-fd6le Kwa nini alivunja TV baada ya Mondi kukiss na labda kulala na Fontana? Nayo ni Kiki? Na hili Kwa nini mapovu yanamtoka? Mondi mshenzi hataki kusema hadhalani. Anamtumia tu mtoto WA watu! Amuoe atulie!

  • @carinemanirambona2708
    @carinemanirambona2708 9 หลายเดือนก่อน

    We Zuchou haca maneno hawushinde wuzuri ZariThanasha hivi wako wapi?nawewe kimya.

  • @saadabakar7750
    @saadabakar7750 10 หลายเดือนก่อน

    Sema gigy hayo unayoyajua😂

  • @mwajabukalage7824
    @mwajabukalage7824 10 หลายเดือนก่อน +1

    Zuchu kiboko

  • @specialonejr
    @specialonejr 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wanagomban wao alf nyny nd mnapat mnaokoto😂😂

    • @m___ck799
      @m___ck799 10 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @msindimalugendo8252
    @msindimalugendo8252 10 หลายเดือนก่อน

    Huyo Mange sijui kwa nini mnapa kichwa nakumshabikia ,ooo dada wa taifa, ni ujinga tu

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 10 หลายเดือนก่อน +3

    Ila Mimi nainjoy Sana jaman,,haya tupeni Radha izo,,tunainjoy ,,jaman daimond kwer sukar ya warembo,, Daimond jaman anainjoyje hatar yan

    • @frankmwaikambo9784
      @frankmwaikambo9784 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa warembo wenyewe zuchu na gigi money😅😅😅😅😅😅

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 หลายเดือนก่อน +1

      Warembo? Nao wakiitwa warembo njooni watakwenda????😂😂😂😂

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 10 หลายเดือนก่อน

      @@frankmwaikambo9784 watoto watamu wale,,we acha tu,,nasikia pia wasagana!!ila mange Hana adabu ujuwe🤣🤣🤣

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 10 หลายเดือนก่อน

      @@MsAggie5 wanakuja vizuriii kaka chibu anainjyoy star😆😆😆🤣

    • @frankmwaikambo9784
      @frankmwaikambo9784 10 หลายเดือนก่อน

      @@jamilaathumani5481 wale hapana. Hawashawishi yawezekana wewe ni unashawishi kuliko hata wale

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa mange kumtukana zuchu na familia yake jaman inahusu nn?? Kwan mwenyew si anataka kun'gan'gania mwacheni si asharizika akichoka ataacha kam walivoacha wenziwe

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 หลายเดือนก่อน

    Jiandae kulala kitandani usichezee wazanzibar

  • @zabibuamissi1141
    @zabibuamissi1141 9 หลายเดือนก่อน

    Ukutane Gigy alishagawayi kutoka na Mond juu anasema video zipo wako pamoja

  • @aystv5998
    @aystv5998 10 หลายเดือนก่อน

    Zuchu acha kujibizana ..unajijua kipaji chako....bora nyamaza kimya...

  • @neychuchu_love966
    @neychuchu_love966 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂zuchu hupendagi ugomvi ukijibizana ujue wamekukera 😁et ukijibiwa kidogo nyonyonyo unsnyonyota........ng'ang'an mom ndiyo sifa ya mwanamke🤭

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakatika mpk kiuno kinaniuma aunipi garama za masaji 😂😂😂

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu mange anaishi marekani anaishi bongo au hana kazi

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mange anafanya diet Ya kupunguza mwili ila kunenepa maneno.

    • @engleminja
      @engleminja 10 หลายเดือนก่อน

      Kumekucha🤣🤣

  • @ashurajuma2024
    @ashurajuma2024 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂mambo ovyooo

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 10 หลายเดือนก่อน

    Hiki kibibi kizee simkitumie jini amalizwe tu. 😂😂😂

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 10 หลายเดือนก่อน

    Eeeeh kumbe 😳😳pole saaan zuch anaumia ww sio m tz gigy

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 10 หลายเดือนก่อน

    Tumempata mnigeria wetu

  • @simonelia4457
    @simonelia4457 10 หลายเดือนก่อน

    diamond anaeleweka sasa😂

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ladha zipo tofaut unakuta gigy ana ladha nzur ikashinda ya zuchu 😅😅😅Mdharau mwiba

    • @user-uc8ei8kn3l
      @user-uc8ei8kn3l 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 10 หลายเดือนก่อน

      Wallahi tena 😅😅

  • @alisaida4080
    @alisaida4080 10 หลายเดือนก่อน

    Gigy very beautiful....Zuchu don't trust mens

  • @yusternyirenda7231
    @yusternyirenda7231 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mange mwenye mwili ulionyooka kama nguzo ya tanesko huna lolote fyuuu lwenda tuachie zuchu wetu

  • @fatmarashid8163
    @fatmarashid8163 10 หลายเดือนก่อน +1

    Aah ku date Star sio kula pipi nafikiri zuchu analielewa hilo kuna wale wanao itaka nafasi wana mtumia mange kumua attack zuchu

    • @wekezauchumi7440
      @wekezauchumi7440 10 หลายเดือนก่อน

      Ktk comment zote hii ndio ina akili sasa

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @skataezer7487
    @skataezer7487 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe sky tunataka recap kbs hahahahahahahahaha pamotoooooo

  • @augustuss4503
    @augustuss4503 10 หลายเดือนก่อน +9

    Kwenye kuwaingiza wazazi , huko ni kupitiliza mipaka . That woman has serious issues.

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 10 หลายเดือนก่อน

    Wanawake wanadharauliana Kwani Hajui sisi tunamkata Dem yeyote😅😅

  • @Dorrisshoppnah
    @Dorrisshoppnah 10 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅

  • @violetoloo445
    @violetoloo445 10 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 10 หลายเดือนก่อน +7

    Jaman mim nainjoy tu bando lipo lakutosha mpaka 2030 SNS da mange,Gigi na zuchu ebu tupeni kontent plz,,mana tunainjoy tu side huku,,jaman wap jumalokole wapi ICU 😂😂😂😂pambee tu

    • @user-qq6mv6vh3e
      @user-qq6mv6vh3e 10 หลายเดือนก่อน +1

      Laaaa wachochezi sasa😂😂😂

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@user-qq6mv6vh3e kama kalambwanda,,Wacha watufurahishe maisha yenyewe mafupi🤣🤣🤣popo mbili zavuka mto😆😆😆😆

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@user-qq6mv6vh3e kiukwer daimond anaupepo mkali Sana ,,mim mwenyewe alinishikaga mkono alafu akawa ananiangalia kimahaba Bado nusu nikampe Yan,,mana nilikuwa naweweseka muda wote sijalala fulu kumuota Sasa uwo ni mkono tu je ningempa SI ningepagawa kabisa

  • @priscarwilliam2180
    @priscarwilliam2180 10 หลายเดือนก่อน

    Hawana kaz za kufnya hawa ukiwafatilia sanaa Watakupoteza wapumbavu hawa

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 10 หลายเดือนก่อน

    Na swala la kutoka kimapez na chibu kakosea sana na asifanye akamalize mond sio wa kumuoaa

  • @Mwanasha-cf9vd
    @Mwanasha-cf9vd 10 หลายเดือนก่อน

    Ndio mana zari ka waachia wenye wa Tanzania

  • @rabbecanambeya5527
    @rabbecanambeya5527 10 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @mwanjumajongette8187
    @mwanjumajongette8187 10 หลายเดือนก่อน

    Aki mange kimavi ana zambi kweli

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 10 หลายเดือนก่อน

    Mnajidhalilisha tu

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa Mange kinacho muuma ni nini? Kama king'ang'anizi YEYE anaumia nini? Dah kuna watu NI vituko Sana duniani

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 10 หลายเดือนก่อน

    Amemungania amnganiye yy zuchu kanifuraisha

  • @khatibumasudi
    @khatibumasudi 10 หลายเดือนก่อน

    Wote hao ila hamna kama wema sepetu Mpka mwisho wakamuita tasaa na alhamdulillah antulia na family yake. Na ujue huyo huyo domo kaya kama sio wema yani yafaa akumbuke fadhlaa banaa