Jaman Habari zenu .leoo Nimechelewa nilikuwa Nilikuwa Sina bando tangia Asumbuhi .kumbe uku ndo Kuna hili Dude .Basi Wanangu wote wa Kings music naomben like hata 10 tu.❤
Nyimbo kaliii sana emdeleen kuviews mara kwa mara guys mara hii ushaingia adi trending hatareee sana Hawa majamaaa Mungu azid kuwawwkaaa hii ni zaid ya moto
Kama umerudia zaidi na zaidi likes kama zote
🔧kazi kali sana my broh!!
Spana 🔧 umetisha sana mzee
Pure bongo fleva ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mnajua mpaka unakelaaa wajubaa nomaaa sanaa
Huyu vanilla ni nani mbona ni hatari sana huyu mwamba 🎉
Yeeebabah 😇 😇 😇 😇 😇
Dah hili goma Ni 🔥🔥 kila niingiapo u-tube natamn kuicheki
Music tu matukio ya kuboost ndo ngoma isogee tuache kuleee🫵 vipaji tupu sio usomjosomjo wa mjini💪🏿💪🏿💪🏿
Vanillah🙌 very nice
Yimbo Kali sana
Natamani kiba ange kohoa tuuuu❤❤❤❤❤❤
Tutauwana asee mwaka huu ndo bomb gani hili
Spana mtoto wa mwanz ❤❤❤ unajua
Ivi kwanini siku zote nawahiwa ety na leo sijawa wakwanza kuviw video nipeni like ata 100 nijione kama vile nimekuwa wa kwanza😂
Oya wanangu wa kings leo nimewai nipeni like zangu twende sana
Nina future na ww! #body 🌍
Tommy flavour & spana what a song!
Vvv❤❤
Uyu vanilla ni next level
Next level 👍👍 #spana
Bonge la INTROO
Yooo On top
Jaman Habari zenu .leoo Nimechelewa nilikuwa Nilikuwa Sina bando tangia Asumbuhi .kumbe uku ndo Kuna hili Dude .Basi Wanangu wote wa Kings music naomben like hata 10 tu.❤
Hata mm kaka kuanzia asumbuhi ila mdude ni mkali🔥🙌
This week ni ya moto balaa n mwendo wa good music
Kwwnye hii Spana kaua sana
Kali sana🔥🔥🔥🔥
Saut Zimekutana Lazima Bomu Liwalipukie Wapinzani Gonga Kama team Kiba Mnainjoi
Hlf Kuna tone flani za uking ndani yenu tommy flavour mtu mbaya sana
Wimbo mtamu kama flavour ya vanillah jameni kijaba ana talanta
Kazi nzuri
Noma sana🔥
Nasikia asante ya marioo humu
what a song 😁😁😁fire👀👀💥💥💥💥💥
Hawa jamaa talented sana wanajua mno
Chuo cha music🎉🎉🎉
Kama umeangalia mara nyingi kama mm weka like apa tujuane👇
King music 💯💯💯💯💯💯💯
King's music to the top🎉🎉🎉chukueni maua yenu 🎉🎉🎉much love from 254❤❤❤
Wanangu Wa Kings wapi likes za Spanner Na TF hii ni noma❤❤
Dope😊
Good song❤❤❤🎉
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri kingsmusic ❤️🎧
🔥
@@K25795hot 🔥
King's never die#body🍻🚬
🤴 vanillah up coming artist of the year
very nice 🎉🎉🎉🎉
On Replay...
Kaliiiii👏👏👏👏 vanilla & tommy mmetisha
Wakwanza Leo like zanguu...... Mauwa kwa tommy flavour ft vanilla🔥🎉🎉🎉🎊
Span
Naipend sn iy bro
Nakukubal San 💪
King's music kwao na mziki mzuri
Napenda music mzur anaejua music mzur like km zote
Kheeee 🔥 nyie jamaa 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Nimeanza kupenda songs za vanilla
🔥
That why I love king's music for good music
Body 🔥🔥🔥🔥🔥
Kama marioo,mimi ni nanii nisiyewezaa hata kushukuruu
Mkwaju kaka huu noma
Waaaaashaaaaa moooootoooooo
Vanillah na Tommy Flavour nawa kubari kinoma noma kings music milele kazi nzuli sana❤❤
Melody 🎉
Alie ludia zaidi ya maratano kama mm like hapa tujuane
🔥
Kenyans in the building mark your register here🇰🇪🇰🇪
Amazing
Noumaaaaaaaaaaaaa Sana
Spanaa🎉🎉
Bongo flaver is back🔥🇹🇿✅️
Vanilla and Tom🔥🇹🇿✅️
Congratulations 🇨🇩💗
Hiii ngoma kubwa Sana itafikia nafasi nzuri hapa TH-cam
Omg wanang mmetixha kinomanoma
Goma kal kuanzia Audio ad video🎉🎉🎉
Weka like hapa kama NAWE umeikubali hiii
very nice song bg up brother
Weeee spana ni hatariiiii sana yan unatufanya team kiba tunainjoiiii sna
❤❤❤❤❤ congratulations on vanillah and Tommy flavour ❤❤❤❤
sa kwanini usiache like kwa king music we mchawi...kama 50 like zinatosha bonge la ngoma aise
#Diit 🗣️
Ni Moto 🔥🔥🔥
Supported 👉 Shaddy Wanni
Mkiendelea hivi mtachangamsha game sana pande za Kings, ngoma kali sana
Gud work
Hiliii goma tamu sana jaman
Twendeni namba moja tukae pale juu'
sijui hata nisemaje jamani ..party song ila mimi inatoa machozi...what song....🥰🥰🥰🥰
King's music 4rever
Ngom kali xan Tommy flavour vanilla hatarr xan
tommy for life ,,
Oya nyie wahuni hamjawah kutoa Ngoma Kali kama hii tangu nawafatilia oya weeeeee BODY🎉
good job
Ngoma kali mno mamae madogo wanajua snaaaaaaa
Anyone who is addicted with VANILLAH❤❤❤......MUSIC...you will play it 100×s .....a music of soul...keep going 🎉🎉🎉❤❤❤
King's young, kiba umemtoa wapi huyo janaaa maana kanaimba vizur sana, vanilla world wide & forever
Good job 💯💪👍🔥🔥🔥
Mmeuwa sanaaa nomaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Grammy awaiting for you my brother
NGOMA KALI ZLIZOTOKA LEO 23/2/2024
1.Ibraah Ft Harmonize- Dharau
2.Vanilla ft Tommy - Body
3.Otile -Dear X
Miye chabiki wa King music❤❤❤🎉🎉
This is an amazing work. Good song Melody,good video and of course the audio
King for everything
Mmefanya siku yangu imeenda vzr sana nawapenda Tena wote my handsome boys ❤
🔥
Lovely song
Nashangaa nimecheleweje kujua kama leo watoto wa mfalme wamechinja nyama
Wengi mmeongea mm sina cha kusema maana kila ktu mmeisha sema
Ila mi naomba nimuite Nabii wa melod 🔥🔥🔥🔥
Team kiba tunafeli wap video Kali Kama hii tuko slow
Wenetu kbs nyinyi King's music good music is here men.❤❤❤
Duh! Ngoma hili nibalaaaaa safi sana mabradha
Nyimbo kaliii sana emdeleen kuviews mara kwa mara guys mara hii ushaingia adi trending hatareee sana Hawa majamaaa Mungu azid kuwawwkaaa hii ni zaid ya moto
Mziki mzuri upo kings music kule kwengine ni makelele tu.
Good vibes vanillah na tommy