TANESCO yatolea ufafanuzi MKANGANYIKO kuhusu viwango vya KODI ya Majengo inayotozwa kwenye LUKU

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 45

  • @KarumeKindamba-lk1px
    @KarumeKindamba-lk1px 3 หลายเดือนก่อน +4

    Shida sitanesco,nimatatizo yakuwa na wabunge ambao wapo kwamaslai ya obinafsi.Kifupi Kodi hii inalipwa na wapangaji na siwamiliki wa nyumba.Naiwapo utaanza kuhoji mmiliki atakupatangazo la kuhama utakapo maliza mkataba.Kwahiyo hatuna watetezi na sibusala kulaumu tenesco.Sisi watanzania tulichokipanda na haya ndio mavunoyetu.Tenesco endeleakukusanya mpaka wantanzania watakopo chukua hatua ya kuwasimamia wabunge wao.Mungu huwaabadili jambo mpaka muhusika alikatae.Tanasco kusanya madeni na watanzania watakapo kataahuduma yako msaada wa Mungu utaletwa

  • @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
    @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hii nchi ya ajabu sana wanatuchulia wananchi ni mazombi kila wanacho tuambia na sisi ni kulalamika chini chini tu upumabavu umetujaa wanachi .... AMKENI WA TZ MAISHA YANAZID KUWA MAGUMU TU KILASIKU

    • @verdianabanabi2205
      @verdianabanabi2205 2 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli mwezi huu tumetozwa 2000

  • @AmonMeshack
    @AmonMeshack 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama vipi wazme umm wao tutumie vumuli vya kuni 😡😡

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 3 หลายเดือนก่อน +3

    Uzembe wao wenyewe wanahusisha had wapangaji huu ni uonevu kwakweli

  • @Africaamkenitznawenuso
    @Africaamkenitznawenuso 3 หลายเดือนก่อน +3

    Majambazi

  • @MtumishiNgowi
    @MtumishiNgowi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ujinga mtupu

  • @babymanka6466
    @babymanka6466 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ivi kama mpangaji akinunua umeme alafu anakatwa inakuwaje kwasasababu anatakiwa alipe mwenye nyumba sio mpangaji sii ndio.

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 2 หลายเดือนก่อน

    Ni waongo sote tumetozwa 2000 unakuta wengine tuna nyumba za vyumba 4.turudisie hela yetu.

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 หลายเดือนก่อน

    Unakatwa kodi isio kuhusu. Unalipa deni ambalo halikuwepo maana TANESCO kila mwezi wamekata hio kodi hakuna mwezi walijisahau! Kisha una shinda bila umeme na unala bila umeme what the fuck!

  • @MartineShija
    @MartineShija 2 หลายเดือนก่อน

    Majiz makubwa yamepita nahelayangu kila mwezi nanunua umeme nakatwa 1500 Lakini mwezi huu nmenunua wa 5000 nmepata unit 1.10 huu niujambazi kabisatena unyang'anyi kwavile mkokwenyehako ka mfumo basi mnakuwa mnajiongezea hela zetu ilfamilia zenu zishibe vzur sawa jilimbikizie mali za Zuluma2

  • @EmmanuelSima-qz1gd
    @EmmanuelSima-qz1gd 3 หลายเดือนก่อน +2

    Me nauliza je nyumba moja yenye mita mbili na kuendelea inakuaje mana kila mita lazima ukatwe hela ya pango kila mwez

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 3 หลายเดือนก่อน

    Ndo mkate elfu3 kufatilia kwenyewe hamuwezi kazi kukata tu ela watu wameunga umeme direct mwaka wa3 eti hayajui au mnajua ela mnakozitolea umeme wa elfu10 ni unit19? Na hapo umepanga kweli umasikini mbaya

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 หลายเดือนก่อน

    Hi nchi bwana una ongezwa tozo bila taarifa kwakua wao ndio matajiri

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 3 หลายเดือนก่อน

    Huo ni wizi tu kama wizi Tanesco mmepewa kazi si yenu

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 หลายเดือนก่อน

    Saahivi nchi ina jiendesha yenyewe hakuna dereva😢

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama mnashindwa kujifunza kwa Kenya haya subilini nasisi tuzame mtaani ndo mtakiona

    • @babymanka6466
      @babymanka6466 3 หลายเดือนก่อน

      Aaa sio kwa ss watanzania ss hatupendi maugomvi tumezoeya kuishi kwa aman hata kama inatugarimu aman ndo urithi wa mtanzania.

  • @allymaulid9391
    @allymaulid9391 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa hapo mpangaji anausikaje

  • @allymaulid9391
    @allymaulid9391 3 หลายเดือนก่อน

    Ni wizi tu amna lolote hapo

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wanazingua sana tanesco aisee

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uo ni wizi kama wizi Mwingine pumbavu zao madeni gani wakati kila mwezi unakatwa kulanina zao 😢

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Daa atuna ra kuogea ira inauma basi tu kwakuwa nimezariwa tanzania bas😂😂😂

  • @DewGroupTech
    @DewGroupTech 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nchi hii imefika kubaya

  • @alcadoathumani9957
    @alcadoathumani9957 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza huo ufafanuzi alioutoa siyo kweli au labda mimi ndiyo sijaelewa kwasababu kama hawajapandisha kodi basi tanesco mmetuibia hela zatu kwasababu kila tunapoanza mwezi mpya tunakwata kodi kupitia luku Sasa hayo madeni yanatoka wapi ?inamana hapo kwamaelezo hayo nikama tunalipa kodi mara mbili tunaulipia mwaka wa fedha na kila mwezi tunalipa tena au sivyo

  • @DewGroupTech
    @DewGroupTech 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uonevu huo

  • @wadantz123
    @wadantz123 3 หลายเดือนก่อน +1

    Utapeli ty

  • @OmariNgurangwa
    @OmariNgurangwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wezi

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wizii tu

  • @salumobed5980
    @salumobed5980 3 หลายเดือนก่อน

    R. P Magufuli.... Kwel tutakukumbuka

  • @stivertz7014
    @stivertz7014 3 หลายเดือนก่อน

    Agh hawa jamaa hawa

  • @zebedayobiswalo1924
    @zebedayobiswalo1924 3 หลายเดือนก่อน

    Sijaelewa tanesco na Wana deal na umeme na housing or?

  • @Msumi74
    @Msumi74 3 หลายเดือนก่อน

    Hao tanesco hawana cha kujitetea ila hiii nchiii na mwakani wakinifanyia ivyo tena watanifunga tu kwa miezi yote kwann wasikate ni matapeli tu Kenya oyeeeee

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 3 หลายเดือนก่อน

    Linapenda kuongelewa kila siku mvua zmekata limeanza kutukatia umeme wakat juzi tu lilisema kuna umeme mwingi

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 3 หลายเดือนก่อน

    Mm nimepanga nyumba sihish na mwenye nyumba ninapo lipa kod ya jengo apo sinaonewa😊

  • @jeremiahevodius925
    @jeremiahevodius925 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo tuna shilikw moja la umeme litafanya linavyo taka walikuwa wap kukata mpaka waje wakate wakati hu hi mchi inakwenda wap umeme wenyewe upo ju umeme unakatika katika bado makato ju na mimi mpangaji nimecode nyumba nikilipa code kupitia umeme uwon me ndo nitakuwa namlipia mwenye nyumba code apo si nitakuwa naonewa mimi

  • @bongomastory791
    @bongomastory791 3 หลายเดือนก่อน

    Waongoooo wanakata alafu wanaandika cost

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 3 หลายเดือนก่อน

    Haya n majambazi...nchi ngumu hiii

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 3 หลายเดือนก่อน

    Hii inch ngumu sn dah

  • @BunzarMarco
    @BunzarMarco 3 หลายเดือนก่อน

    Maisha magumu sanaa aise basi tu

  • @mlelwatv5831
    @mlelwatv5831 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona mnakata 2 000😢😢😢

    • @festomassawe9539
      @festomassawe9539 3 หลายเดือนก่อน

      Ata mm nimekatwa 2000

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 2 หลายเดือนก่อน

      Wamechukua elfu 6 wakati sina deni

    • @gloriadaniel3827
      @gloriadaniel3827 2 หลายเดือนก่อน

      Umeme wenyewe WA magumashi nimenunua unit 8 zimeisha siku 1.