Hatimaye ESMA PLATNUMZ aolewa, Familia ya DIAMOND yasema NDOA ya ZUCHU ndio inafuata,wasikilize hapa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.พ. 2024
  • #diamondplatnumz #zuchu #esmaplatnumz
    Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.com/store/apps/de...
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 146

  • @FatumaIssa-kw3vv
    @FatumaIssa-kw3vv 4 หลายเดือนก่อน +20

    Allah amfanyie wepesi ❤❤

  • @kimah9855
    @kimah9855 4 หลายเดือนก่อน +6

    Awww Zuhura aolewe she deserves it ❤❤

  • @OmanOman-iu7jf
    @OmanOman-iu7jf 4 หลายเดือนก่อน +9

    Leo wsmekaaakama waislamu yani wapo vizuri hongereni

  • @FatumaIssa-kw3vv
    @FatumaIssa-kw3vv 4 หลายเดือนก่อน +8

    Jembe kama Jembe Masha’Allah Tabaraka’Allah

  • @user-pm7pj6zi6q
    @user-pm7pj6zi6q 4 หลายเดือนก่อน +1

    WOW penda sana 🥰 Esma tumeungana kwenye group Letu Ramadan Nzur na Barack ❤❤❤❤ mungu awape maisha marefu na afiya njema ishallaah Allah

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 4 หลายเดือนก่อน +3

    Allah aijaalie iwe yakheri na baraka ❤❤❤

  • @halimakindamba4883
    @halimakindamba4883 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah Mashallah ndoa Ni Jambo La Ghery na Ikawe Ghery yenu

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 4 หลายเดือนก่อน +4

    Uislam kazi ndoa kama unabadili nguo za kabatini, leo kijora kesho gauni kazi kweli kweli

  • @sharifaaliy1519
    @sharifaaliy1519 4 หลายเดือนก่อน +7

    Allah awape wepesi na diamond na zuhura iimaliza ya ESMA tuu na ijumaa ya Leo Allah alete wepesi andoshe uzito wote uliokuwepo lnshallah ❤❤❤

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 4 หลายเดือนก่อน

      Mimi binafsi nawaombea kheri kila siku AMEN ingawa mimi ni mkristo lakini nawaombea kwa imani yangu hata kama sio imani yao momi nawaombea iwe ndoa kweli kweli.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 หลายเดือนก่อน

      Tatizo masharti

    • @salmakhalid6196
      @salmakhalid6196 4 หลายเดือนก่อน

      In Shaa Allah Allah atajalia diamond na zuchu watimize na Yao yarraby❤

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 หลายเดือนก่อน

    Kuolewa pia nyota,mashaAllah..

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nguo za heshima zina haiba na heshima kwa Mwanamke. Tizama vipi walivyo pendezi.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 หลายเดือนก่อน

      Zivaliwe siku zote sio ya ndoa tu

  • @zena6203
    @zena6203 4 หลายเดือนก่อน +9

    Ndoa nikama rizki zinginetu ikikushinda achana nayooo focus namengine jameniii hakuna fundi wandoaaaa acheni makasiriko

    • @evelynemugeni2369
      @evelynemugeni2369 4 หลายเดือนก่อน +1

      👌👌👌👌👌

    • @fatmaZakiya
      @fatmaZakiya 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisa ❤

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 4 หลายเดือนก่อน +24

    Wanadamu hawana jema. Ukizini watasema, ukiolewa jambo la kheri utasema. Weye uliyesema mmezini halafu ndio mnaowana ilitaka je? Aendelee kuzini au?

    • @evelynemugeni2369
      @evelynemugeni2369 4 หลายเดือนก่อน

      👌👌👌

    • @AbcD-bn1nz
      @AbcD-bn1nz 4 หลายเดือนก่อน +2

      Hao ndo watu 😂 ishi vile ujuavyo

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 4 หลายเดือนก่อน

      Hao ndiyo binadamu mwaya wana rangi nyingi kama kinyonga😂😂na ni nani ambae huwa hazini kisha anaolewa,wengi tu huwa tunayapitia hayo

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yani hawana jema kabsaaa wallah

    • @XerinLogistics
      @XerinLogistics 4 หลายเดือนก่อน

      Sio hawana wema kuna vitu vengn mua mnangalia na upand wapili?hii ni ndoa yangapi kwa Esma? Zaid hata ya nne? Kwaio itakua kazi kuolewa na kuachana na kuolewa tena mwisho wake lini?fikiri kbl ujaropoka

  • @omanmct135
    @omanmct135 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mabruki esma naic❤❤mashallah

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 4 หลายเดือนก่อน +6

    Juma lokole .. Hana akili kweli eti hatimae nimepata pakufuturu..😂😂😂😂😂

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 4 หลายเดือนก่อน +2

    Juma jamani!!!!! Yaani mpaka nasikia Raha!!! Nakuombea mema ESMA

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 4 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdhulillah ila sio vyema kichwa nywele aonesha bana

  • @ME-kb8rk
    @ME-kb8rk 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hmmmm zuchu ikiwa kuolewa na D "UCHAWI UPO!" Hata kuingia WCB ni UCHAWI wa Khadija Kopa.

  • @LeahKulwa-ee5uw
    @LeahKulwa-ee5uw 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani esma ongera ila ukatulie na ndoa Yako achana na mambo ya usichana jamani ukadumu maswala ya kuachika sio mazurii ni aibu kwa mwanamke tuliza akili mambo ya mitandaoni achana nayo fokasi na mmeo tu mungu ailinde ndoa Yako awaepushe na mabaya yote

  • @petroniesindarubaza2420
    @petroniesindarubaza2420 4 หลายเดือนก่อน +5

    Jamaniii utani wa mashaaa na Djumaa😂😂😂😂😊😊

  • @BahatiSunga-yk9qf
    @BahatiSunga-yk9qf 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Sana

  • @zubedasaif3324
    @zubedasaif3324 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ramadan imewadia

  • @mariamhassan1723
    @mariamhassan1723 4 หลายเดือนก่อน +1

    Queendarling kapendeza ❤

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hii familiya ikipoa Labda mitandao ifungwe .Wanavijimambo Kila kukicha

  • @kimah9855
    @kimah9855 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kwao ❤❤❤❤

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i 4 หลายเดือนก่อน +6

    Yaaani ktk vifijo cha juma ndio kinasikika kigelegele kama jike

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah mashallah

  • @abdulbandidu119
    @abdulbandidu119 4 หลายเดือนก่อน +3

    Choko ndo anaanza kupiga vigele vigele,na anaanzisha nyimbo za harusi,sijui ni kitu gan wasafi wananufaika na machoko,maana wameyajaza pale.

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 4 หลายเดือนก่อน

    Elfu mabrook esma❤❤
    Queen darling ❤❤😂😂mume anae anatamba nae. Haya bana

  • @zeshsulesh6084
    @zeshsulesh6084 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ndoa haitangazwi,huyo zuchu haolewi hapo

  • @BoyBack-gc4se
    @BoyBack-gc4se 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah ❤❤

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah ❤❤❤❤❤

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoja ramadhani iishe utasikia wameachana

    • @missindependent1893
      @missindependent1893 4 หลายเดือนก่อน +1

      🙄🙄🙄🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @omanmct135
    @omanmct135 4 หลายเดือนก่อน +2

    Aaallah awadumishe

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 4 หลายเดือนก่อน +1

    ndoa sawa kudumu njo nasubili tu sijui kuna jini gani

  • @naimamohamed2216
    @naimamohamed2216 4 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani hiyo ni ibada tukufu kwann mnazungumza maneno machafu

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 4 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah ndoa ya3

  • @user-gs6st5hk1m
    @user-gs6st5hk1m 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah aidumishe ndowa yake

  • @Naju645
    @Naju645 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awadumishe

  • @user-de8qk5ij6m
    @user-de8qk5ij6m 4 หลายเดือนก่อน +1

    @Musangwe oficial....sky naomba ufatilie hio community ambayo inapigana pila protection yoyote na inakusanya kijiji

  • @OmanOman-iu7jf
    @OmanOman-iu7jf 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kizuchu kimependeza

  • @zeshsulesh6084
    @zeshsulesh6084 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ramadhan mwezi ujao

  • @user-qr5bm9uy1s
    @user-qr5bm9uy1s 4 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @noel3290
    @noel3290 4 หลายเดือนก่อน +1

    Esko we ongoza maombi, sisi tumuombee esma ilhali we una 🎤

  • @princessprincesss2595
    @princessprincesss2595 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yani drama tu anajifanya kama hawajuwani vile full kuona aibu😂😂😂 jamani bongo ipo juu

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tunawaombea wa baraka,

  • @vero57
    @vero57 4 หลายเดือนก่อน +1

    NASIKIA SAUTI YA JUMA HAPO NA MASHA LOVE, KHAAAA!!!! ESMA NDOA ZINA TOSHA JAMANI 🤣🤣🤣🤣

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maskini zuchu bado ni mpira wa zoezi kwa mondi😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 4 หลายเดือนก่อน

    Dadaangu ongora sana

  • @FatmaOmar-zl7cq
    @FatmaOmar-zl7cq 4 หลายเดือนก่อน +1

    Juma nini lkn

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kufunga ndoa tu bahati unayo lakini sasa kudumu njo kuko kasheshe kubwa mmmm . Bada ya siku mtaanza sikiya vijembe sisi macho yetu tu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 หลายเดือนก่อน

      Mitandaoni 😂😂

  • @georgenzai1355
    @georgenzai1355 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ameolewa na Mmakonde....unacheza na mjomba msumari weweeee mkitoka moja kwa moja hadi Mtwara akalime korosho😅😅😅😅😅😅

    • @missindependent1893
      @missindependent1893 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😅😅😅😅😊😊😊

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume wanauthubutu...,hii movie au??

  • @mariamkimtai693
    @mariamkimtai693 4 หลายเดือนก่อน +1

    Atulie sasa ameolewa sana 😂😂😂😂😂 kila mwaka dada haji manara

    • @missindependent1893
      @missindependent1893 4 หลายเดือนก่อน +1

      🙄🙄🙄🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mke uji huyo 😂😂

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kujidai dini yenye haki ushubwada mtupu kila siku kuolewa kuachika n swala l Kawaida, mwez mtukufu umekarbia after apo yupo kwnye kuzini, kila mtu amini anachokiona kipo sawa tukutane mbele uko

    • @fatmaZakiya
      @fatmaZakiya 4 หลายเดือนก่อน

      Dini inaruhusu uolewe kila ukiachika au kuachwa na sio kuzini miaka kumi ndio kuowana na hiyo ndio haki kama haikuhusu usiikosoe ama silimu usome uijue vizuri

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ndoa ya nne utulie sasa😂😂😂😂

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 4 หลายเดือนก่อน

    Wasani bwana ndoa zao zinadumu mbili

  • @yusternyirenda7231
    @yusternyirenda7231 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ndoa ninayoiomba ni ya diamond na zuchu tu, hizi zingine za kujirudia rudia hazina mvuto 😂😂😂

  • @NassimAliahmed
    @NassimAliahmed 4 หลายเดือนก่อน

    Hhhhhhh wounafiki tuuuu diamonde ana olewa n'a aliyah😅😅😅

    • @user-wi6uk1vz1h
      @user-wi6uk1vz1h 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @zeshsulesh6084
    @zeshsulesh6084 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo lichoko juma linaboa hapo

  • @user-th6df3mb5x
    @user-th6df3mb5x 4 หลายเดือนก่อน +1

    Juma twasubiria yakwako inshallah 😂😂😂😂

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 4 หลายเดือนก่อน +1

    Juma sikuwezi🤣🤣🤣🤣

  • @aisharamdan8358
    @aisharamdan8358 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kituo kinachofata chakulelea watt diamond haoi Leo wala kesho

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 4 หลายเดือนก่อน +2

      subutuuu aowe mondi freemason wamuuwe sekunde

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndoa haina utilivu fujo hakuna nidhamu ya uislamu mmepeleka huyo baradhuli Mauzinde wa Dar domo limeregea kama merenda wa mgagani. Haipendezi fujo kama mko Kariakoo ovyooo kama mpo Kariakoo Sokoni. Weye utaowa au utaolewa

  • @user-vg8ok3vc9n
    @user-vg8ok3vc9n 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanao oza ndo wataanza vidomo domo

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 4 หลายเดือนก่อน

    Anapo sowema Haifa zogooooo.

  • @zarinayusuph4252
    @zarinayusuph4252 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo anasikika juma lokole

  • @emmanuelnyakunga8320
    @emmanuelnyakunga8320 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ikiisha Ramadhani wanaachana tu hao😂

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 za kufungia hizo

  • @abdulbandidu119
    @abdulbandidu119 4 หลายเดือนก่อน

    Choko ni choko tu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 หลายเดือนก่อน +1

      Makelele mengiii tumsikie yeye tu hata aibu haoni 😂😂

  • @jamilajamila9682
    @jamilajamila9682 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani juma lini na wewe utaowa?watu waje kufuturu kwako pia ramadhani hii inshallah

  • @zuhurayusuph4826
    @zuhurayusuph4826 4 หลายเดือนก่อน

    Nimechoka hapo zuchu kaambiw tupishe Wana familia tupige picha

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jembe ni Jembe manager wa Hamo??

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 4 หลายเดือนก่อน

      Meneja wa yule kijana aliyeimba mapopo popopoo, sijui unaimbwa hivyo kuimba siwezi

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂hivi huyu Esma bado anasema ana sehemu za siri???

    • @missindependent1893
      @missindependent1893 4 หลายเดือนก่อน +1

      🙄🙄🙄🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @mwanjumajongette8187
    @mwanjumajongette8187 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU amdumishe kwa ndoa yao

  • @user-kp1jo6xw1r
    @user-kp1jo6xw1r 4 หลายเดือนก่อน +1

    UISLAM NI DINI YA AJABU SANA WAO KUOA NA KUACHA NI JAMBO LA KAWAIDA SANA,UYO KAOLEWA SABABU MWEZI WAO KUFUNGWA SHETANI UMEKARIBIA ,BAADA YA HAPO ANAACHWA TENA

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂juma na zuchu sauti nazisikia zakishambenga😂

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 4 หลายเดือนก่อน

    angetakiwa kuolewa na Haji manara

  • @ngoni7944
    @ngoni7944 4 หลายเดือนก่อน

    Unasema haina mbwembwe, subiri wakifanya pati reception ndio utaijua hii familia kila kitu Chao ni michango, watachangisha tuu watu

    • @rereshap9416
      @rereshap9416 4 หลายเดือนก่อน

      Michango inakuhusu nini wewe ?
      Unategemea utaletewa kadi ya mchango 😂😂

    • @ngoni7944
      @ngoni7944 4 หลายเดือนก่อน

      @@rereshap9416 hii familia ya diamond kila birthday ya kila mwanafamilia wanachangisha kwao na valentines day. Michango kwao ni miradi

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 4 หลายเดือนก่อน

    Lokole poor poor😢😊

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 หลายเดือนก่อน

    Juma lokole anaita mwanaume mwenzake jembe? Kweli siyo riziki

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i 4 หลายเดือนก่อน

    Juma eti Queen zingatia tumbo 😅linani

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 4 หลายเดือนก่อน

      itakuwa mimba pengine

    • @sikudhanimohammad7692
      @sikudhanimohammad7692 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@sabihaibrahim143ndy ana mimba. Amechoka kabisa

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 4 หลายเดือนก่อน

      @@sikudhanimohammad7692 ohoo mtihani

  • @karaniomoit5259
    @karaniomoit5259 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu anaolewa mara ngapi hahahaha

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 4 หลายเดือนก่อน +2

      si anaachwa anaolewa bora lakini kuliko kuzini tu zinaa ni uchafu

  • @vero57
    @vero57 4 หลายเดือนก่อน

    HII NI KWELI AU ???? MBONA MAKELELE HIVII??????

  • @abdhillahijjuma8633
    @abdhillahijjuma8633 4 หลายเดือนก่อน

    Juma lokole anatamani aolewe yeye

  • @user-gj2mm3ko8m
    @user-gj2mm3ko8m 4 หลายเดือนก่อน

    Kesho tu atachoka kimya kimya😂😂😂hakuna wakuoa ama wakuolewa kwa nyumba ie ni Kiki za ndoa tu

  • @jacqueli18
    @jacqueli18 4 หลายเดือนก่อน

    Waislam wape ndoa na ubwabwa umewamaliza😂😂😂

    • @hawaramadhani6954
      @hawaramadhani6954 4 หลายเดือนก่อน

      Unapenda uzinifu ww....y uitaje dini hapo ??? Ndoa ni ibada,ni riziki kuna wanaozitaka na wanakosa wengine huenda Kwa waganga ila wapii hakuna mwanamke anayependa kuolewa na kuachika vingine hakuna namna uteseke ukae tu haya nyie na dini yenu ya mwili mmoja halafu tunashangaa mtu akifa hamzikwi pamoja khaaaaaa si mzikwe wote sasa

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 4 หลายเดือนก่อน

    Wanafi hakuna zuchu wala nini ni tanasha tu

  • @aishaahmed5028
    @aishaahmed5028 4 หลายเดือนก่อน

    Naona kasoma msahafu mzima 😂n vp mtu anasoma na watu wanafanya zogo hivyo ilikuwa iwe wakae kimya

  • @RehemaMbogo
    @RehemaMbogo 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo namsikia t jumalokolee

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 4 หลายเดือนก่อน

    Bd ya lokole lin anaolewa 😂😂😂rafik yake kaolewa yeye anasubir nn?

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 4 หลายเดือนก่อน

      ataowa ni mwanaume yulee

  • @Rody450
    @Rody450 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂 anaolewa kila siku angetumia akili apate mtu wa kumkula tu jo umarufu na utajiri imemuingia akilini haezi akaishi kwa ndoa

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 4 หลายเดือนก่อน

    Esma kama manala mtu na kaka yake

  • @Maryam-vj1rb
    @Maryam-vj1rb 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wame zini alfuharusi😂😂😂

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 4 หลายเดือนก่อน +1

      mzinifu aolewe na mzinifu mwenziye ndo hukumu yake

    • @bigbro-my6xj
      @bigbro-my6xj 4 หลายเดือนก่อน +3

      Ukizini tu hautakiwi kufunga ndoa?? Je wewe uliolewa ukiwa bikra na mumeo na yeye alikua bikra hivyo hivyo au ndo umeamua kutoa yako ya moyoni kwa esma

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@bigbro-my6xj akiingiza dini usikasirike ila kuzini ndo mufunge ndoa sio vizuri na mashekh wengine wanasema haifai ila ipo fatuwa inatumika waowane kuliko kuzini kwa iyo usikasirikiye maneno ya Mungu

    • @bigbro-my6xj
      @bigbro-my6xj 4 หลายเดือนก่อน

      @@sabihaibrahim143 sawa ni vyema wameoana

  • @Bravo-or8oy
    @Bravo-or8oy 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwaka wa pili huu wanasema hivyo hivyo ndoa ya Zuchu na mondi inakuja soon🙄wafanye kweli waache longo longo siku hazigandi

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo Esma kila siku anaolewa!!! Hebu watuache! Kiki zao zinaboa

  • @AnnoyedBreakfast-zn2bo
    @AnnoyedBreakfast-zn2bo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Lokole ni gay ataolea😅

  • @nilufaallyhussein7678
    @nilufaallyhussein7678 4 หลายเดือนก่อน

    Why wear another culture clothes??😂

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 4 หลายเดือนก่อน

    Miezi sita mingi

    • @user-vy2bc6xg3i
      @user-vy2bc6xg3i 4 หลายเดือนก่อน +3

      Hapana usiseme hivyo tuwaombee tu

    • @RahmaRashid-lc6nw
      @RahmaRashid-lc6nw 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli si vyema kusema ivo waliyadhu bilalah

  • @Naju645
    @Naju645 4 หลายเดือนก่อน

    Juma lokole kama mc😅😅