KUINAMA BILA SABABU MTAANI KUONA WATU WATAFANYA NINI 😂😂😂 | HIVI NI KWELI PRANKS MBEYA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
- KUINAMA BILA SABABU MTAANI KUONA WATU WATAFANYA NINI 😂😂😂 | HIVI NI KWELI PRANKS MBEYA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
😆😆😂😂... Duh, Mwanangu Mo Town Sanya, Mimi Ni Mfuatiliaji Mno Wa Pindi Hili, Ila Leo Nimefurah Adi Nimetoa Machozi, Niliwah Kusikia Tu Kwamba Furaha Ikizidi Machozi Uwa Yanatoka, Nilikuwa Nakataa Kwasababu Sikuwah Kuamini Kwamba Michozi Na Furaha Ni Vitu Ambavyo Vinaweza Kutegemeana
Jaman nimecheka mpaka naumia mbavu, 😂😂😂 muje na huku Moshi basi
Hapo kwenye soko kuu 🤣🤣🤣🤣🤣kudadeki mtatutoa mshono huku utaanza upya duh..et inamainama
Subuhanallah 😭😭huyu baba abaumwa adi huruma jamani mumlipe huyo baba daa nimejikuta nalia Allah ampe wepesi apone lnshaallah
Huyu kk namjua nimuigizaji kipind chk kipo startimes station Mambo tv
Ni muigizaji huwa anakua na yule king pusi jamaa anayenyoa kiwalaza na hapo waliposhoot jamaa sio mwanajeshi wala nn ni njia ya kuelekea kwa ngozoma karibu na reli big kafanyiwa prank
Yani nimemuona huruma uyo big mpaka Kalia sijapenda
Sijaelewa Huyo Ni Mwanajeshi Kweli Au Naye Yupo Kwenye Maigizo !?.
Huyo sio mwanajeshi,bali anaigiza tu
Uyo big kanitia huruma kweli yaani kama anahitaji msaada wa kupelekwa hospital
Kabsa yani daah
This guy should go to hospital and get help ASAP
Ila hao jamaa wawili waliokua waenda sokoni mmewachukua kinoma😂😂
Safi sana Mo town sanya mungu azidi kukupa idea kila kukicha utuletee vitu vikali make leo nmecheka sana
Umetisha mo town😀😀😀😀😀😀😀
Ivi iwe jeshi kweri muwe na mda wa mjadala kabsa mda wote huo? Sanya big up.Pole
Kidari mchuzi kimeanza kulia mapema 😄😄😄😄 dah sasa huyo big angezidiwa na presha mungefanyaje
😁 😁 Rwanda nzovwe hapo
Luanda
Maskini mzee wawatu atafika mbingun akiwa amechok san 😅😅😅
Yan kabla ya kuchek pind naenjoy kwanz naomba like kwenye pind letu lakijanja nimeona makambako apo home dh!
mbona kama mbeya apa ivi au meona vibaya
Kuna mbeya na Kuna makambako sehm tofaut tofaut
@@shedracksteven3183 ahaaa sure broo
Ndy kak
@@shedracksteven3183 maeneo ya nane nane hayo mbeya,,, mwanzo anavoanza ujaona daraja la KWAHERI NA KARIBU MBEYA?
Mungu awasameh kwa kwel nimechek uwiiii🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣
Hii ya Leo Kali lakin msjaribu chuga huku kubayaaa😂😂😂😂😂
Sema Uyo Mwamb Ana mkubali mwanae kaonesha too love kumfoce ainame🤔🤔
Mubaba wawtu amelia
Mwanajeshi gan? Wa mchongo uyooo😀😀😀
Hapo hivyo wanavyo fanya waweza hisi wamevamiwa na nyuki😂
Ili show la kibabe mume tisha sana mume upiga mwingi
We Sanya 😂😂😂😂😂😂 Mungu ana kuona
Oya umetxha kinomanoma hii kwangu namba 1
Mo town mungu anakuona ulivyomfanyia BIG
Good work media industry
sanya kweli unajua kuvunja mbavu watu
*Kuna sehemu zingine mnahaki yakushtakiwa haswa kma hii yahuyu big mnamliza bila sababu akienda mahakamani mnamlipa huyu mnamshut bila ruksa yake nakumpa WASIWASI JUU*
Nimecheka mpaka kwikwi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sijapenda vile huyo baba anaumwa alafu analia anapiga magoti na ni mtu mzima yani anatia huruma paka basi too
Walah nimecheka hadi tumbo laniuma ila hao watu wawili waenda sokon mumewachukua sana na ndio nacheka zaidi walah bro Motown Sanya leo umenibamba mno
😂😂😂
Leo nmecheka usiku kwa saut aisee..
Nimecheka kweli hii , hao uliyowaita wakupwleke soko kuu , yaan mmoja kainama mpk kutambaa 🤣🤣🤣
Watu wa mbeya kujeni apa ivi apa sio ccm jmn
Mngefanya mpango mkamchangia hela huyo kaka mwenye tishet nyekundu akatibiwe huo uvimbe angepasuliwa jamani
Unajua kinachohisiwa hapo ni risasinimecheka sanaa
Sio risasi..Ni nyuki
Ekeni camera inaonesha kwalitu mo town sanya na edit sio nzur
Pole big
Nakukubali sana Monta😍👏🇷🇼
Wanaogopa mpira wa Mayele ukiwadondokea utawaumiza😂
Daah 😂
Ebwanaaeeee hii..umetishasana
Sasa huyo wa simu hajaitoa sikioni kha!
Aya maeneo ni kama ya pale ccm Mbeya
Huyo jmaaa mjeshi kweli au tapeli
Make Hapo kwanza ncheke🤣😂
Hizo pranks wote wanaiga ni marudio tu ata wakenya wameiga kutoka America huko, kwasababu vitu vyote vishafanyika hakunaga mambo mapya Ila inaongezewa ubunifu kidogo tu, maisha yanaendelea
umeumia
Kaweke yk choko ww kinachokuuma nn sasa Sisi tunamkubari mo town mkali
Sanya mungu ana kuona
Sanya hacha ujinga Wewe 🤣🤣🤣🤣
mbeya iyo maeneo ya ccm
Mbeya town ccm hapo
it os more than prank 😂😂😂😂 wamenaswa wengi
Mama John hapo
Wanyakyusa wamepatwa 😂😂😂😂😂
Eti mjeshi anasema mmeingia bila kisheria
Mnazingua wasafi bahana Yani kamamimi mnanilipa asee..
Leo mapochopocho big kapatikana
Makambako hapo stand
Ningekua Demu Ungekula Nono Mzee Hahaah
Mo town we shida
Samahani naomba kufahamishwa kipindi cha prank ni siku gani
Kwaiyo bg na kitambi chake alitoa choz kwa mwanajesh wa mchonho
Yawa kenya naijua iyo
Mo uo mtofali ulikua unakuhusu ,,et alijua mti inaangukia🤣🤣🤣🤣🙌
Hata hivyo kwa uoga wangu cio kuinama tu yani ningelala kbsaa🙈🙈🤣🤣🤣
Uyu mwanajeshi kweli au?
Mbeya ccm uwanjani hapo
yaani watanzania waoga kwer🤣
Na wewe umo...unataka kuniambia usingeinama🙈😄😄😄
Huyo mlefu cjui anaumwa pole
Umetisha Sanya🤣🤣🤣
Mo uje na sumbawanga sasa
Yan hii mmeua
Nakubali sana sana saaaaaaana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwanajesh wa mchongo 😀😀
Leo mbon imeisha kiboya cn
Mtakuja kuu watu
aisee ni noma
Mtaja mpigwe nyie🤣🤣🙏
Kuna jamaa wanatumia jina la plank ghana hizi ndo kazi zao
Prank Ghana
@@neemasawe7016 ahsante mdada kwa kuniweka saw maan sijawafuatilia kitambo saana ila pa1 san
kumbe wa bongo ndo maana tunaogopa vita
Tz kuna vijana wa hovyo😂
BIG kanchekesha😂😂
Makambako njombe iyo
Soko kuuu, mwenye box😅😅😅
Amna mwanajeshi apo
Mwamba kabisa toka om
😂😂😂Big kaona isiwe shida alie
Mzee wa kwanza kajisearch hajaibiwa kwel🤣🤣🤣
Nyiyeeee uyuu MO 😆😂😆😂😆😂😆😂😆😂😆😂😆😂😆😂😆😂😆
aisee
Bongo kuna vilaza ..ilibid tutawaliwe miak 1000 kwanz
Uyu big vip Tena had chizi😄😄😄😄😄
WASAFI MSAIDIEN HUYO TALL ANAUMWA ANATIA HURUMA SANA 🧐😪
Makambako hii😅
Nyooo mmezinguliwa na jeda
Mnajitahid wasafi
Content km zinakuisha broo umiza sana kichwa hiz prank azibambi
Daaa ulikuwa makambako home boy hapo
😂😂😂😂😂😂😂 sanya miyayusho sanaa ww
Mtakuja kupgwa 😂
We jamaa mjanja sana
Hadi Nimepaliwa na chai😂😂
Kitambo sana mitaa yangu sana iyo
Aliekuvalisha leo kakuweza kaka😭