KAREMBOO!!! ILA SAUTI ZA WAKAKA ZILIMCHANGANYA HAKUMTAMBUA MUME |TAZAMA KILICHOTOKEA |MCKATOKISHA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
- WEDDING | SEND OFF | CORPORATE EVENTS
For Bookings: +255 716 700 658
Instagram: @McKatoKisha
TH-cam: MC KATO KISHA please subscribe
Location: Dar Es Salaam, Tanzania
Maadili hakuna siku hizi ndio maan ndoa Zina migogoro
Mtu mjamzito anafungua ndoa hii haipo jamani
Unaonaje huyo Mtoto akizaliwa kinacho endela. Alicho unganisha Mungu mwanafamu asikitenganishe. Ina kaa vizuri kweli jaman haifai nidhambi wazazi hembu chambueni hili
Uko vzr sana nimependa
Dadeki unaenda kwenye harusii ya mtuu humjui hata suraaaa, ! 🤔🤔🤔 We are not serious! Aiseee
😂😃😂😃
Hiyo sio harusi ni send-off ya msichana
Raha sana
Watu wanachangishwa hawawajui hata maharusi!
❤❤❤❤❤
Jack mama kija
YAANI TZ WATU HUENDA SHEREHE NA HAWAJUI BRIDE?
Yaan ajabu kwer
Am uko vizuri
Hahahaaa ila kuna mtu pemben kamwambia
Kabisaaa 😂😂😂
Haipendezi
Mashaalaah
Nzur sana
Bi harus ma kija
❤❤