"NILIMPA TABU SANAA KABLA SIJAMKUBALIA" LOVE STORY ILIYOSISIMUA KUPITA KIASI |JOSEPHINE'S NIGHT
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
- WEDDING | SEND OFF | CORPORATE EVENTS
For Bookings: +255 716 700 658
Instagram: @McKatoKisha
TH-cam: MC KATO KISHA please subscribe
Location: Dar Es Salaam, Tanzania.
#Love #Wedding #Beauty #Couple #Music
Hongera sana Mungu awape maisha mema 🙏🙏
Story inaonesha kwamba we mdada umeamua kuolewa Na huyo mkaka ilimradi tu ujistili ijulikane upo kwenye ndoa. Ila ukwel umempenda kawaida tu na hajakuvutia sana.. Angekua amekuvutia usingemzungusha miaka yote hio... Kma utabisha miaka yote hio ulivokua ukimzungusha ulikua na mahusiano mengine na wanaume uliokua ukiwapenda ila wao hawakukupenda..
Kwer kabisa
Asee umeongea ukweli mtupu
Yaaani kama ukifeli ufundi utakuhusu
Nice story
My mammy josephine❤❤
Waoooh my family from CBE🔥🔥
So she waited until the guy made it in life..we are familiar with this ...iam a woman too
Kaka pole hujapata mke ila umeingia cha kike, mwanmk anaongea km amemeza vocha, halafu anajinadi kwamba hakukupenda we ndo ulijipendekeza, hiyo itaendelea Hadi kwenye ndoa.
Daah
Maneno mengi saana weka aibu
Kwahiyo usingekua na shida ya kibiashara usingemtafuta ila sisi wanawake duuuuh!! wakat yeye ame cancel ratiba zake ww hukutokea shida ikakurudisha
Mmmh ni wakati wake.
duh😲
Uyo bwnaa harus ni anajinamia tu
Dada unaongea sana kama fund saa