HIVI WANAWAKE WA AINA HII BADO WAPO? HUYU KWELI NI WIIFE MATERIAL - Hosted by MC ERICK MCHOME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 273

  • @theresiamwandara7990
    @theresiamwandara7990 3 ปีที่แล้ว +5

    Binti una kauli nzuri sana, ndoa Ina mengi jitahidi uendelee kuutumia ulimi wako vizuri hivyo hivyo, na Mwenyezi Mungu awalinde.

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi3043 3 ปีที่แล้ว +2

    Naogopa sana tena sana. Ole iyoo shomo akiti. Sidan, naleng otoilo ,oo ngomomi kake meenija etiu. MUNGU MKUU awasaidie. Amen.

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 3 ปีที่แล้ว +2

    I love it! It's beautiful and w ........ to me.mdogo wangu umevuta Niko.nimefurahi sana my changarawe classmate

  • @skyleralmasi3252
    @skyleralmasi3252 3 ปีที่แล้ว +7

    Daaaaah japokua na mm ni lady but mwanamke mwenzangu uko vzur,,hongera sana kaka kwa kumpata huyo dada 💕

  • @juliethcharles1061
    @juliethcharles1061 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallaa mmependeza sana na mkadumu ktk ndoa yenu

  • @tatumzelela5515
    @tatumzelela5515 2 ปีที่แล้ว

    Mm huku nateseka sana

  • @mariangala7323
    @mariangala7323 2 ปีที่แล้ว

    Wow nc one

  • @samsowahassan4713
    @samsowahassan4713 3 ปีที่แล้ว +4

    Yan we acha2 iyo nmeipnda san, iko vizur san!!!

  • @eddadaniel9355
    @eddadaniel9355 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 2 ปีที่แล้ว

    Kanaongea km Irene paul

  • @irenemichael9972
    @irenemichael9972 3 ปีที่แล้ว

    Hatari

  • @Mwalimu_Ben123
    @Mwalimu_Ben123 3 ปีที่แล้ว

    Furaha kbs pamaja na machozi yananidondoka kwa kweri
    Uminezero uvanze n'amarira birisutse ni ukuri

  • @meryfrank5272
    @meryfrank5272 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa yan imependeza , always call me bby !!!

  • @happykashelo7798
    @happykashelo7798 ปีที่แล้ว

    Utambulisho👊

  • @hannahsanga5647
    @hannahsanga5647 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongerasana Dada all the best katika ndoa yako

  • @peninnahwanza6304
    @peninnahwanza6304 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana,,mnapendeza jameni

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 ปีที่แล้ว

    Daaaah mi nikiambiwa hivo ntazimia

  • @muhimpundunourah6438
    @muhimpundunourah6438 3 ปีที่แล้ว +2

    Hhhhhhhhh biharusi amenipa rahaaaa......jamani mungu awape kila lakheri

  • @shelomaday4633
    @shelomaday4633 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli jmn unaheshima dada mbarikiwe Sana

  • @ashurahomary9239
    @ashurahomary9239 3 ปีที่แล้ว

    Ndio me nateseka sana

  • @ibrahimlukuba101
    @ibrahimlukuba101 3 ปีที่แล้ว

    Amina kaka ukimuacha uyu dada minakuloga ata km siwajui

  • @luugorgeous2709
    @luugorgeous2709 3 ปีที่แล้ว

    Huna jambo wew

  • @ragahdjwad3865
    @ragahdjwad3865 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow

  • @nilansaid2927
    @nilansaid2927 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nateseka sina mke

  • @millicentochieng5740
    @millicentochieng5740 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada anapendeza jamani ,Mungu akutangulie kwenye ndoa Yako.

  • @rebecasanke4758
    @rebecasanke4758 2 ปีที่แล้ว

    Umeupiga mwingi mpenz

  • @lucianagodson8281
    @lucianagodson8281 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren sana

  • @stellamwakatulile3202
    @stellamwakatulile3202 3 ปีที่แล้ว +20

    We MPE mwili dunia twachie tutaenda kuishi wapi ukimpa dunia🤣🤣🤣🤣🤣

  • @BahatKilai-e2e
    @BahatKilai-e2e 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wamasai nawakubali sana mnajua kupenda nawapa like zenu😍

  • @mayasajamari8469
    @mayasajamari8469 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda

  • @marymchonji9479
    @marymchonji9479 3 ปีที่แล้ว

    Alaaaaa 😍😍😍😍😍😍wow

  • @rehemafungo5042
    @rehemafungo5042 3 ปีที่แล้ว

    Yataisha hayo🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @neemasteven5699
    @neemasteven5699 3 ปีที่แล้ว +2

    Aaaaww sooo cute

  • @shufaashafii967
    @shufaashafii967 3 ปีที่แล้ว +2

    Kila LA heri.

  • @elieneapalangyo6938
    @elieneapalangyo6938 3 ปีที่แล้ว +5

    Mwanaume unaongwa

  • @joykashu3260
    @joykashu3260 2 ปีที่แล้ว

    Our maa guys never dissapoint killing manze..contracts bro uumechagua kitu

  • @salummusa9619
    @salummusa9619 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda hiyo congrat(s) sister

  • @sikudhanjuma3987
    @sikudhanjuma3987 3 ปีที่แล้ว +12

    Alafu sisi tukae wpi ukimpa dunia wacha zko..aya MPE iyo baada ya SKU tatu tu mchepuko ndio yuwachart nao

  • @devotedgodson2273
    @devotedgodson2273 3 ปีที่แล้ว +3

    Cool cool💗💖💞💝💕

  • @peterkaranja3238
    @peterkaranja3238 3 ปีที่แล้ว

    I wish one day Mungu anaweza Ni bariki n mrembo ambaye nitampenda bila kurudi nyuma

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 3 ปีที่แล้ว +7

    Wamasai wazuri bwana

  • @mariamakungwa5391
    @mariamakungwa5391 3 ปีที่แล้ว

    Mmechaguana wazuri tupu 👏👏👏

  • @rihannaajie3866
    @rihannaajie3866 3 ปีที่แล้ว

    Hey!!ni warembo sanaa

  • @aminakilahama2032
    @aminakilahama2032 3 ปีที่แล้ว +3

    Bi harusi kama ndo alichumbia vile au ndo ana ela nyingi kuliko mmasai

  • @honorathakiluku7722
    @honorathakiluku7722 3 ปีที่แล้ว +4

    Ikawe kherii dada

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwenye kujitambulisha mnafurahishaga watu sana lakini mkioana mbwembwe vituko vinaanza

  • @winniekalekye5326
    @winniekalekye5326 3 ปีที่แล้ว

    Wanawake Wana roho !!!
    But for this gender NO!!!...wish them luck..

  • @sylviasalim8110
    @sylviasalim8110 2 ปีที่แล้ว

    Where is my partner

  • @marwalzzy5983
    @marwalzzy5983 3 ปีที่แล้ว +13

    Umpe dunia alafu sisi tukae

  • @gladysN7115
    @gladysN7115 3 ปีที่แล้ว

    Wengine utajitolea kwao lakini badae inakua regret...iwill never waste over Aman...

  • @nasrajuma1205
    @nasrajuma1205 3 ปีที่แล้ว

    Yaan sisi watu mmh mung atusaidie tu maana Kila cku kuombea mabaya hata Kama mtu mjui jaman

  • @miriamsimwanza6371
    @miriamsimwanza6371 3 ปีที่แล้ว +19

    Umempa silaha ya kukuangamiza. Atakucheat Kwa hiyo hiyo cm ulompa utajuta

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว +2

      Uwiiiiiii nimecheka ujuwe

    • @harrietgona7418
      @harrietgona7418 3 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa

    • @victoriajoseph8645
      @victoriajoseph8645 3 ปีที่แล้ว

      😀😄😄😄

    • @yusuphkayoka5452
      @yusuphkayoka5452 3 ปีที่แล้ว +4

      Ukifeli wewe usiamini wote watafekuli, chumba cha mtihani hatuangaliziii, Acha kuangalizia waliofeli kwenye ndoa zao, jifunze kuwa Bora Kwa yanayokuhusu, utafurahia maisha.

    • @habbyhalawa5266
      @habbyhalawa5266 3 ปีที่แล้ว

      Miriam 😂😂😂😂😂

  • @cecymgode1802
    @cecymgode1802 3 ปีที่แล้ว

    Mimi

  • @mariamakanu1690
    @mariamakanu1690 3 ปีที่แล้ว +3

    yaani me nimekomaga kumpa mwanaume cm nilitesaka sana ukizingatia cm nilinunua kwa mapenzi yang ila ilinitesa mno kwa kifupi nimejifunza kupitia yule japo wanasema wote hawafanani tahadhari ni muhimu acha nijifunze na makosa

    • @mariajames6493
      @mariajames6493 3 ปีที่แล้ว

      Jamn pole sana

    • @duhrurhhddhheud8575
      @duhrurhhddhheud8575 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimemnunulia simu
      Tulipoachana ninempokonya😅🤣🤣🤣

    • @johnmasawe107
      @johnmasawe107 3 ปีที่แล้ว

      Love is not such kind my be if god wish iven me I will be to here

    • @rehemaomary3493
      @rehemaomary3493 ปีที่แล้ว

      Mimi pia nimenunulia simu ila sijaona ubaya wowote

  • @addelineantony3622
    @addelineantony3622 3 ปีที่แล้ว

    Hahaaaaaaaaa et ukiona Masai amekuja kwenu ameinamisha kichwa nawe shika kichwa

  • @happinessboniface282
    @happinessboniface282 3 ปีที่แล้ว +4

    Nice

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว +3

    Moyo wako auteke Mungu na siyo Mume,acha uongo.
    Subiri ufunge ndoa then after 3month,ndio utajua.

  • @millymwangemi2619
    @millymwangemi2619 3 ปีที่แล้ว

    Me nateseka...

  • @alexmiage5351
    @alexmiage5351 3 ปีที่แล้ว +1

    Aty umpe Dunia unataka wengne tuende wapi
    😁😁😁Kwani Kuna Mtu anateseka
    Wapo wengi

  • @rayambarouk9972
    @rayambarouk9972 3 ปีที่แล้ว +2

    Umempa bom la machoz 😂 sikuombei mabay dadaang ila awo ndowanaume 😂

  • @pendogeorge1813
    @pendogeorge1813 3 ปีที่แล้ว +5

    Ukiangalia sana hizi video unajikuta unajuta kuwa single 🙄🚶🚶🚶🚶

  • @demycratia2567
    @demycratia2567 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwanza simu itapotea Leo Leo maana haupo mwenyewe mwenzio ana mimba Yule mwingine kazaa Yule mwingine Yuko period nafasi yako ni leooooo tuuu na usiposhika mimba Leo kesho humuoni na ujue ukishika mimba utailea mwenyewe cheeriooo

  • @kalivattachikulombilechiyo2180
    @kalivattachikulombilechiyo2180 3 ปีที่แล้ว

    Jonmandog

  • @yasminjaja500
    @yasminjaja500 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @lightnessmbowe5031
    @lightnessmbowe5031 3 ปีที่แล้ว +1

    Inapendeza sana🙏🙏🙏

  • @zalkiabendera7238
    @zalkiabendera7238 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ndo ntesekaji mkubwa

  • @innocentseperatus182
    @innocentseperatus182 3 ปีที่แล้ว

    Exi

  • @janeonyancha2662
    @janeonyancha2662 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukitoboa hivyo vyote nyangau wanasikia hayo yoooooote mwanangu

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว +2

    MC mimi huku ndonateseka eti

  • @janemkade3488
    @janemkade3488 3 ปีที่แล้ว +3

    Wonderful couple 💞💞😘❤️.
    Bride is gorgeous n stunning .heshima nayo aaalaaa 😄😄😄😄👏👏👏👏👏

  • @orwalizzie2696
    @orwalizzie2696 3 ปีที่แล้ว +12

    Na Bora huwez afford Dunia sijui wengne tungeenda wapi ungempa hyo Dunia🤣🤣🤣hongera lakn

  • @christabelananyaro7917
    @christabelananyaro7917 3 ปีที่แล้ว

    Poah bab uck mwemaa

  • @AsAs-ko3ny
    @AsAs-ko3ny 3 ปีที่แล้ว

    I like it 🥰🥰🥰

  • @pendohillrey1164
    @pendohillrey1164 3 ปีที่แล้ว +3

    Mm apa nateseka kichini chini 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @elizapanga3874
    @elizapanga3874 3 ปีที่แล้ว +5

    Tupo

  • @lyzemali4926
    @lyzemali4926 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana,imenipa idea nzuri sana nitaiga mfano huu

  • @stelabrent6056
    @stelabrent6056 3 ปีที่แล้ว +1

    wapare muwe mnashika kichwa

  • @shiplegcm4948
    @shiplegcm4948 3 ปีที่แล้ว

    Mko sawa ladies kwa urembo but kwa kuvaa mnafell sana hatakma ni digital ila tuwe na haya kiasi sasa gauni juu yoote iko wazi unashindwa hata kunyosha mkono shortly hauko comfortable kbsa cjui mm ni pekeangu naona kwa kweli haipendezi kbsa

  • @estamathew5167
    @estamathew5167 3 ปีที่แล้ว

    Mnunue cm akachati na madem akakomment post za warembo😂😂😂😂😂😂😂 wanamme hawa mmmmh

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 3 ปีที่แล้ว +5

    Jamani wapendwa nimezisoma comments karibu zote sijafurahishwa na zilizo nyingi ,hivii ingekugharimu nn kumtakia mwenzako kheri ????? Waombee tu na sio kusema eti kuna jambo litatokea. Mm nawatakua lila la kheri wapendwa ❤❤❤💚💛🧡🧡

    • @saudayusuph774
      @saudayusuph774 3 ปีที่แล้ว +1

      Yan kumbe umeona dear alaf wengi n wanawake jaman tuache roho mbaya khaaa! Kama wao wanafanyiw vibaya na wenzi wao wandahan wanaume wote wako hivo achen ufinyu wa akili

    • @risemutethya166
      @risemutethya166 3 ปีที่แล้ว

      Best wishes guys

    • @marymark382
      @marymark382 3 ปีที่แล้ว +2

      Hata mi nimekwazika kwakweli... Ndoa zinazodumu bado zipo. Na wanaume wazuri wapo. Tubadilishe mtazamo.

    • @victoriajoseph8645
      @victoriajoseph8645 3 ปีที่แล้ว +2

      Hayajakukuta tulia😀😄😄

    • @marymark382
      @marymark382 3 ปีที่แล้ว +1

      @@victoriajoseph8645 na hayatanikuta 🙏😀

  • @emmanueldpaul9501
    @emmanueldpaul9501 3 ปีที่แล้ว

    Nyie mpeane dunia na sisi tunaoijaza au.mnatuweka wapi😀

  • @millymwangemi2619
    @millymwangemi2619 3 ปีที่แล้ว

    I hop tutashare

  • @hellensamwel7829
    @hellensamwel7829 3 ปีที่แล้ว +9

    Wife material siku ya ndoa 😂😂😂😂😂😂😂 maigizo hayo wife material niyule anaekaa kwny ndoa miaka zaid na kumvumilia mwenziwake

  • @tourismtourism9204
    @tourismtourism9204 3 ปีที่แล้ว

    Sihongi mwanaume

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 3 ปีที่แล้ว

      😅😅😅mambo yamechange sasa

  • @noelambondeka6942
    @noelambondeka6942 3 ปีที่แล้ว +7

    umpe dunia twende wap jamani weeee dada

  • @feristerkigunga1774
    @feristerkigunga1774 3 ปีที่แล้ว

    Bdo tupo jamani😂

  • @magrethopundo9460
    @magrethopundo9460 3 ปีที่แล้ว

    🌺🌺🌺🌺💃💃💃

  • @magechuwa804
    @magechuwa804 3 ปีที่แล้ว

    Ndoa tuambieni sie tulioishi miaka 20 ya ndoa😏😏😏mwanzo pazuri endelea sasa🙄🙄🙄

  • @habibakitila6696
    @habibakitila6696 3 ปีที่แล้ว +3

    Utatupa majibu mwenyewe ht text hutaiona we jishaue tu ndg

  • @aminakilahama2032
    @aminakilahama2032 3 ปีที่แล้ว +3

    Umpe ndunia alafu sisi tukaishi ndani yake! Tutapumua kweli?

  • @naamsofee2130
    @naamsofee2130 3 ปีที่แล้ว +2

    Wazazi hawawaambii ukweli mabinti zao, haaaaa haaaa!

    • @naamsofee2130
      @naamsofee2130 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo simu hiyo simu 🤣🤣🤣🤣😂

  • @samuelpolepoleruhegeza8139
    @samuelpolepoleruhegeza8139 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂🤗🤗🤗🤗🤗 sasa ungempa iyi Dunia ili sisi tuwe wapangaji wake nazani...........

  • @hadijamwanana2471
    @hadijamwanana2471 3 ปีที่แล้ว

    Unataka kumpa dunia hujui Kama dunia nimali yaulithi wetu sote ukimpa sie tunaenda wapi

  • @wambuiwambui605
    @wambuiwambui605 3 ปีที่แล้ว

    WAmbui

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 3 ปีที่แล้ว +3

    Sasa siku akikuacha inakuwaje

    • @millymwangemi2619
      @millymwangemi2619 3 ปีที่แล้ว

      Naona atakua akinyamba kwa njia

    • @laitnessmwacha4856
      @laitnessmwacha4856 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo simu ulompa baad ya mwezi inageuka kitunguuu hahaaaa

  • @annmavicky2925
    @annmavicky2925 3 ปีที่แล้ว +2

    wanàume siku hizi mafisi you ndio simu utachezwa nayo

    • @demycratia2567
      @demycratia2567 3 ปีที่แล้ว

      Mpaka nyumba zichomwe petrol

    • @polycarpsilayo6678
      @polycarpsilayo6678 3 ปีที่แล้ว

      Eti wife material😳😳 / anagawa duniani pasipokujua wengine watakaa wapi ,

  • @faridaaloyce7672
    @faridaaloyce7672 3 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaaaa...umpe dunia so tukae wapi

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah jaman.
    Sijui nitalivaa sheraaa😞😞😞😞😞😞🙏🙏🙏🌺🌺🙏🌺

  • @ilhamjulioo9655
    @ilhamjulioo9655 3 ปีที่แล้ว

    Ukimchit anaku neema bin zunguu

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada matashtiti mengi mno,