WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 669

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori 5 หลายเดือนก่อน +22

    🤸🤸🤸🤸👏👏👏👏💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻🔥🔥movie tamu kweli tupe next plz 🙄🙄🙄mm ni kutoka kenya wapi like zangu

    • @AlvinKimambo
      @AlvinKimambo 4 หลายเดือนก่อน

      Naombamulipiyecatuni

    • @AlvinKimambo
      @AlvinKimambo 4 หลายเดือนก่อน

      Mamade
      .

    • @KulthumJuma-gd3zp
      @KulthumJuma-gd3zp 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani na wewe unaangalia hii movie

    • @VictormkokaOspde
      @VictormkokaOspde 4 หลายเดือนก่อน

      Iko fit nko msa mm

    • @Mulusamakoka
      @Mulusamakoka 23 วันที่ผ่านมา

      Mimi ni me itua mulusa nimejifunza kitu moja katika maisha usiwe mutu wa kujipandisha sana ila uwe mutu upole tena mpumbavu kusudi uyuwe namna gani ya ku hishi na watu

  • @skinarugiga6076
    @skinarugiga6076 5 หลายเดือนก่อน +12

    Uko vizuriii.unakipaji nimeipenda hui movie inavutia kuingalia na kuisikiliza pia

  • @AmissiKabu
    @AmissiKabu 5 หลายเดือนก่อน +28

    Habari yako ndugu yangu nashukuru kwa kutujuza kuhusiana na movie hii iko poa sana jina langu ni hakizimana gervais kutoka burundi ubarikiwe sana

  • @abubakariamir6153
    @abubakariamir6153 5 หลายเดือนก่อน +196

    Wengi wanauliza jina la movie, movie inaitwa UNSEEN TREASURE,aya nipeni likes za kuwasanulia jina😂😂

    • @Dama-sd4qk
      @Dama-sd4qk 5 หลายเดือนก่อน +5

      🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Techflicktalk
      @Techflicktalk 5 หลายเดือนก่อน +3

      Je itanoga au huyu jamaa ndio ananogesha

    • @evapendo85
      @evapendo85 5 หลายเดือนก่อน +3

      Handsome boy 😂

    • @GuloriaWilson
      @GuloriaWilson 5 หลายเดือนก่อน

      UNSEEN TREASURE

    • @MonteMontegu
      @MonteMontegu 5 หลายเดือนก่อน +2

      3:28 swrf

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 5 หลายเดือนก่อน +14

    Embwana wee ❤ story mzuri sana usiwacha kutupatia story kama hizi zenye mazingatio nimeburudika sana moyo wangu: from majabalin yemen

  • @KasimumutoroWanambisi
    @KasimumutoroWanambisi 13 วันที่ผ่านมา

    Kipindi kizuri sana mno naitwa tekno lucaz kutka sirisia bungoma west kenya nimejifunza kitu usmdharau mtu usie mjua achia mungu kazi ake❤❤❤❤❤❤ nimeipenda

  • @HashiriAbdullah
    @HashiriAbdullah 5 วันที่ผ่านมา

    Yaah MR. HASHISHI HAP. So mwangu Mm niko nakufuatiya sana yaan vitu vyako ni noma broo Tuko P1 Broo

  • @FelixIbraimo
    @FelixIbraimo 5 หลายเดือนก่อน +14

    Mimi naitwa Félix kutoka Mozambique nachukuru Sana vitu vilio Bora mtu mwenhe akili lazima ajifunze kitu apo Asante sana

  • @NeemaMwesua
    @NeemaMwesua 15 วันที่ผ่านมา

    Movie nzuri sn naitwa neema mwesua nmeipend xn hongera

  • @Helena-q1e
    @Helena-q1e 5 หลายเดือนก่อน +18

    My name is Helena I'm from Congo 🇨🇩 I'm speak Swahili
    Natokea congo nimejifunza mengi sana

  • @ajaesaidi
    @ajaesaidi 5 หลายเดือนก่อน +3

    Upo vizuri sana na muvi nzuri sana ongera

  • @CharlesMs25Daghaly
    @CharlesMs25Daghaly 5 หลายเดือนก่อน +6

    Nimeipend Sana ❤❤❤❤

    • @johnkopa661
      @johnkopa661 3 หลายเดือนก่อน

      NimQ❤e

  • @BukuruSandrine-y6g
    @BukuruSandrine-y6g 5 หลายเดือนก่อน +8

    Nzuri ❤

  • @FarajSomsombana
    @FarajSomsombana 5 หลายเดือนก่อน +4

    MashaAllaah movie nzuriiiiii snaa naomba iendele

  • @NyaunyuBoy
    @NyaunyuBoy 5 หลายเดือนก่อน +4

    🎉🎉pamoja nyaunyu babat manyara nimeelewa sana

  • @damasprotas4126
    @damasprotas4126 5 หลายเดือนก่อน +20

    Kali sanaaaaa🎉

  • @EvangelistSamson2518
    @EvangelistSamson2518 5 หลายเดือนก่อน +9

    Nimependa sana

  • @SwaumHaji-b2s
    @SwaumHaji-b2s 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wow nzuri nimeipenda

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hakika nimejifunza kitu kikubwa sana, 😊hongera kwa kazi nzuri sana

  • @BritiMbwambo
    @BritiMbwambo 5 หลายเดือนก่อน +6

    Kinyango sasa😅😅😅....
    Napenda unavyosimulia❤

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 5 หลายเดือนก่อน +9

    Fuso kweli tamu sana nimepeda sana kutoka kenya❤

  • @ChugaLambo
    @ChugaLambo 19 วันที่ผ่านมา

    Hongeraaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HibraMwambadifficile
    @HibraMwambadifficile 5 หลายเดือนก่อน +1

    Très bien cool vraiment je suis au Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 5 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah move nzuri Sanaa usinge mtambulisha mapema hivi mtt wa mfalme nimeinjoy sana na inamafunzo🌹👑🌹👑

  • @SesiliaLameck
    @SesiliaLameck 5 หลายเดือนก่อน +4

    Dah nzur sana🎉

  • @محمدالمحمد-ض6ي9ض
    @محمدالمحمد-ض6ي9ض 5 หลายเดือนก่อน +5

    ❤nimependa sana natokeya kenya

  • @Pretolimpo-p2q
    @Pretolimpo-p2q 2 หลายเดือนก่อน

    Estamos juntos....tuko pamoja... Moçambique/Tanzânia

  • @becanecarlo
    @becanecarlo 5 หลายเดือนก่อน +7

    nimependa sana

  • @RajabuAlly-o3p
    @RajabuAlly-o3p 5 หลายเดือนก่อน +5

    Nashukur sana na ujumbe mzur I unafunza vitu vizur mm naitwa rajabu ally kutoka singida

  • @KuruthumZuberi
    @KuruthumZuberi หลายเดือนก่อน

    Kali hii hongera❤❤❤❤❤

  • @MwakaMwadzombo
    @MwakaMwadzombo 4 หลายเดือนก่อน

    Waaau hongereni sana kwamajina naitwa lussy natokea Kenya mombasa 🙏🙏🙏🙏🙏mbarikiwe sana 🎉🎉🎉

  • @linetmoraa3954
    @linetmoraa3954 5 หลายเดือนก่อน +1

    Love it from kenya 🇰🇪

  • @CynthiaKwizera-ek7te
    @CynthiaKwizera-ek7te 5 หลายเดือนก่อน +4

    Nzuri bimeipenda

  • @MarlinMar-n8v
    @MarlinMar-n8v 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wow nimeipenda kinoma hii movie 👏👏👏🇧🇮

  • @deniskalama103
    @deniskalama103 5 หลายเดือนก่อน +3

    Tamu sana nimejifunza usimdarau mtu usiemjua denis from kenya🇰🇪

  • @DulaWakanai
    @DulaWakanai 2 หลายเดือนก่อน

    Nakubali San muv Kali san

  • @HosianaSamwel-u9f
    @HosianaSamwel-u9f 5 หลายเดือนก่อน +4

    Nzurrr sanaaaaa ❤❤❤❤

  • @MaryTesha-le2ql
    @MaryTesha-le2ql 5 หลายเดือนก่อน +107

    Yanga kashinda 💚💚afu nashushia move nzry oyaaa dj 💛🤸 congratulations but huku ubaya ubwege

    • @NOVATISIYAME
      @NOVATISIYAME 5 หลายเดือนก่อน +14

      Acha usenge mtaniii😢

    • @angelinamgaya5802
      @angelinamgaya5802 5 หลายเดือนก่อน +8

      Yaani yanga had rahaaaa

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 5 หลายเดือนก่อน +9

      Ndo maana huna mume mtani 😂 ila mpira haramu

    • @MaryTesha-le2ql
      @MaryTesha-le2ql 5 หลายเดือนก่อน +3

      @@NOVATISIYAME usenge unao wewe ubaya ubwege😅😅 xx kwetu raha ty

    • @NOVATISIYAME
      @NOVATISIYAME 5 หลายเดือนก่อน +4

      @@MaryTesha-le2ql manyuziiii kagoli kamoja2 maaaaaaaAaaav sokaaaaappo hapaaaaa

  • @AlliMtalika
    @AlliMtalika 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeipenda xana

  • @WitnessMkola
    @WitnessMkola 4 หลายเดือนก่อน +1

    Movie nzuri sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @ReganiIsrael
    @ReganiIsrael 5 หลายเดือนก่อน +5

    Nzuri sana

  • @RamazaniMobakePDG
    @RamazaniMobakePDG 2 หลายเดือนก่อน +1

    Muvi nzuri sana naitwa kwa jina ya Ramazani apo inchi ya Congo DRC

  • @wazobakari6179
    @wazobakari6179 5 หลายเดือนก่อน +9

    Ni Kali mnoo so fire🔥🔥

  • @AishaSalim-i4i
    @AishaSalim-i4i 5 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah nzur jina la movie

  • @damiansimanimoto3227
    @damiansimanimoto3227 5 หลายเดือนก่อน +5

    The best

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg 5 หลายเดือนก่อน

    Waooo move mzuri❤❤❤❤ aki usimdharau mtu yoyote

  • @Emmanuel-p2q
    @Emmanuel-p2q 5 หลายเดือนก่อน +3

    Wow smart sn yni napenda sn❤

  • @RizikiMjawir
    @RizikiMjawir 2 หลายเดือนก่อน

    Mm mpemba waupembani nimeikubali kweli nzuri

  • @AkilinyoMussanyo-n3x
    @AkilinyoMussanyo-n3x 4 หลายเดือนก่อน

    Movie mzuli big up kaka Kwa kutafsili🔥🔥

  • @MichaelKayoma
    @MichaelKayoma 2 หลายเดือนก่อน

    Movie nzuri kabisa napenda sana❤❤❤❤

  • @edwinclement233
    @edwinclement233 5 หลายเดือนก่อน

    this is big fantastic story.. am Edwin clement from buza Dar es salaam..

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 5 หลายเดือนก่อน +1

    Movie nzuri sana hongera sana dj ❤❤❤❤

  • @KidotiTwiga
    @KidotiTwiga 5 หลายเดือนก่อน +3

    Lijamaa lihandsome😍😍😍😍

  • @Shadia-x9p
    @Shadia-x9p 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeipend wallah

  • @VeenVv
    @VeenVv 4 หลายเดือนก่อน

    Interesting kweli ❤❤❤❤,from Kenya

  • @AmiryChasma
    @AmiryChasma 5 หลายเดือนก่อน +2

    Naitwa reeny natokea Tegeta nimejifunza vingi san ❤❤

  • @AliceTesha
    @AliceTesha 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mm naitwa linah dj uko vizuri

  • @TheGolden-p4o
    @TheGolden-p4o 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kali san😊

  • @davidpius4764
    @davidpius4764 5 หลายเดือนก่อน +7

    Yanga raha sana

    • @agustinorichadi1253
      @agustinorichadi1253 5 หลายเดือนก่อน

      Umejuaje yanga ya sasa ina shenyenta2

    • @didionkwizera6319
      @didionkwizera6319 4 หลายเดือนก่อน

      @@agustinorichadi1253 hai jina langu Adelyne naishi burundi.tunaomba mutu patiye part 2.tumependasana iyo movie

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ 5 หลายเดือนก่อน +1

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations 🎉🎉🎉🎉

  • @Sumaiaingabire
    @Sumaiaingabire 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nzuriii snaa kbx♥️♥️♥️

  • @MariamKaliso
    @MariamKaliso หลายเดือนก่อน

    Abalizem wadau wag❤🎉

  • @HashimRashid-e5c
    @HashimRashid-e5c 5 หลายเดือนก่อน +4

    Jina la move

  • @gloryfredy2218
    @gloryfredy2218 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa Glorry natokea Tz Dar...salm Asantee sana Py nimejifunza kuwa Kuwa kila mtu syo Sahihi katika maisha yako so tuwe makin Nawatu ambao tunaukarib😢

  • @Man_Freja
    @Man_Freja 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nimependa sana hii move mi natokea nzega tabora

  • @SUZANASUZANA-ku3jk
    @SUZANASUZANA-ku3jk 5 หลายเดือนก่อน +12

    DJ uko poa ushakula lakini🤔😋😋

  • @JoyceRichard-qo4gn
    @JoyceRichard-qo4gn 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa Joyce kutoka Dar move ziri sana nimeipenda mwenderezo wake yupo

  • @khalidmamba3944
    @khalidmamba3944 5 หลายเดือนก่อน +1

    Imekaa vzr kbx❤🎉

  • @BabraPaul-s7k
    @BabraPaul-s7k 5 หลายเดือนก่อน +3

    Acha movie iendee unarudia rudia sana mzee

  • @LameckJacob-z4h
    @LameckJacob-z4h 5 หลายเดือนก่อน +12

    Nimeipenda sana pia hongera sana
    Kitu nilichojifunza ni :maadui muda mwingine ni watu wa karibu by lameck j tz

  • @randuamani9188
    @randuamani9188 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa hiyo movie ila muendeleze haraka haraka bila kuchelewa ausio

  • @MASOUDHAMOUD
    @MASOUDHAMOUD 22 วันที่ผ่านมา

    I love this movie

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 5 หลายเดือนก่อน +14

    Nzuli sana 😂

  • @RabiaRenatus
    @RabiaRenatus 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waoo good movie

  • @Mwanakombo-k9m
    @Mwanakombo-k9m 2 หลายเดือนก่อน

    💙💯Nzur sna

  • @SalumMachaku-w9k
    @SalumMachaku-w9k 5 หลายเดือนก่อน +4

    vzr ❤❤ xan

  • @PendoBlack-f7l
    @PendoBlack-f7l 5 หลายเดือนก่อน +3

    Sauti yako ni nzuri jindahiditu kwenye kuelezeya uweke mambo mengi

  • @florarwegerera8025
    @florarwegerera8025 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wow
    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @AgnessAgness-w6s
    @AgnessAgness-w6s 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nice 👍❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 good job 🎉🎉🎉

  • @RoseMartine-u2z
    @RoseMartine-u2z 5 หลายเดือนก่อน

    Naitwa rose natoka Dar Tanzania, muvi nzuri na nimejifunza usimzarau usiye mjia pia unasimulia vizuri chukua maua yako🎉

  • @DivarDomician-b7i
    @DivarDomician-b7i 4 หลายเดือนก่อน

    Move tam wallah❤❤❤

  • @DianaMapunda-g4c
    @DianaMapunda-g4c หลายเดือนก่อน

    Nzur mno❤❤❤❤

  • @SwaumHaji-b2s
    @SwaumHaji-b2s 4 หลายเดือนก่อน

    wow ❤ nimeipenda

  • @ElizabethOsimba-x6u
    @ElizabethOsimba-x6u 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeipenda nikiwa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AmosMbiko
    @AmosMbiko 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa hii move nimejifunza Mambo mengi Sanaa mm nataka upande wa kenya❤❤

  • @GeofreyMadenge
    @GeofreyMadenge 5 หลายเดือนก่อน

    Thank for good job❤

  • @Mercy-d7i
    @Mercy-d7i 3 หลายเดือนก่อน

    Kikulacho kii nguoni mwako
    I come from Kenya kakamega wape likes❤❤❤❤❤

  • @safroniamlay9857
    @safroniamlay9857 25 วันที่ผ่านมา

    Sema jana la muvi

  • @ZubedaRamadhani-x3w
    @ZubedaRamadhani-x3w 4 หลายเดือนก่อน

    I like movies all the best🌹🌹🌹👏👏👏🥰😍❤️❤️

  • @KevinKevoo-q1o
    @KevinKevoo-q1o 4 หลายเดือนก่อน

    Iko sawa

  • @LissaHenry
    @LissaHenry 5 หลายเดือนก่อน +7

    Naitwa lisa natokea mwanza nimejfunza kujiamini ❤

  • @SimaolucaskanchingueKanchi-k6w
    @SimaolucaskanchingueKanchi-k6w หลายเดือนก่อน

    Hoo i no kalisana mimi naitua Simão niku mozabique nimeipenda sana

  • @ImaraMahenge
    @ImaraMahenge 20 วันที่ผ่านมา

    Very nice

  • @JamesIvany-v2m
    @JamesIvany-v2m 5 หลายเดือนก่อน +9

    🇿🇦🇿🇦🇿🇦hii nime yielewa mwamba kazi nzuri

  • @AgnessGambay-y2s
    @AgnessGambay-y2s 5 หลายเดือนก่อน

    Movie nzuri sana❤❤❤

  • @BertherJohn
    @BertherJohn 4 หลายเดือนก่อน

    Naitwa berther John paul,nimeipenda movie hii na inafundisha

  • @DORASAETWA
    @DORASAETWA 4 หลายเดือนก่อน

    Nice movie next please

  • @RehemaSeif-e8i
    @RehemaSeif-e8i 4 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda sana movie kal jina lake bas

  • @zeinabuAchiengOkara
    @zeinabuAchiengOkara 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah movie nzuri sana

  • @NdabihawenimanaInnes
    @NdabihawenimanaInnes 5 หลายเดือนก่อน

    Tunabapendasana❤❤❤ mudupeingine inautamu