Sekione Kitojo: Taarifa ya habari za mchana 25.06.2020
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 มิ.ย. 2024
- Taarifa ya habari za ulimwengu mkisomewa naye Sekione Kitojo.
0:00 Mwanzo na utambulisho
0:35 Vidokezo
1:00 Urusi yapiga kura ya maoni inayoweza kumuongezea mihula Putin
2:06 Mkuu wa misaada ya kiutu wa UN: Yemen itaporomoka
3:30 Marekani yasema itatafuta vikwazo vya UN dhidi ya Iran
4:37 Korea kusini na Marekani zaadhimisha miaka 70 ya vita vya Korea
5:48 Maambukizi bado yanaongezeka duniani kote
7:06 Lufthansa kupata usaidizi kutoka
Wow! My childhood memories rekindled. SW2
ahsanteni saana DW kiswahili wallah nampenda mno SEKIONE KITOJO na najifunza mengi kwake natamani kuwa mwanakhabar km yy ...
Nampenda sana msomaji. Ako juu
I like Sekioni Kitojo
Kiswahili chako kimekolelea kweli 💪🙏
Sauti nzito yenye kupendeza, hakika dw Kiswahili imekuwa na bahati njema kabisa kuwa na gwiji kama huyu. Nakutakia maisha mema ya kustaafu baba wetu Kitojo.
Khaswaaa sauti adhym
DW is the best, I grow listening DW kiswahili
❤
Hongera baba kutojo uko vizuri
Maisha mema mzee wetu Sekioni Kitojo tutakumis sana aisee
Asantee kwa habari
Safi sana!
the legendy
Mbona telegram sipati tena taarifa zenu.
Sekion Kitojo 🙇🙇🙇
Bingwa mwenyewe Sekione Kitojo, Twatumai wafurahi kumuona na pia kumsikiliza akikuletea taarifa ya habari za ulimwengu
@@Kiswahili hakika nimefurahi kumwona
@@RomwardWM karibu sana
Sauti Ya Ninga
Sauti ya radi
Sauti ya radi imekwisha jistafia kitambo aisee.
@@Kiswahili heshima sana kwa Sekione Kitojo
Mtu kama huyu kustafu amefanya hata sisikilizi taarifa za DW maana huyu mzee kitojo na mwana mama umilheighi wana sauti ya kuvuta kusikilza taarifa
Nataka mimuone na dk Deokaji makomba
Bila shaka utamuona 'The Simple Man' Deo Kaji akifanya mambo yake yenye weledi mkubwa papa hapa.
Aba mureka are va maa tujivua sana kwa uwezo kechi na mgiru wa utangazaji wa kimataifa hakika vijana waliochagua taalama wa habari wanapaswa kujifunza kwako.mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa utangazaji na mudilifufu kwa nchi yake.sio kama wale wengine ambao wapo kwa ajili ya kuisemea nchi yao vibaya kwa mataifa ya nnje.kiumbi aendelee kukubariki he afya kechi na nyamalo pia
Hiv huyu jamaa nimmbugu
@@hasani.kipinguramadhan6423 ndio ndio
sauti ya dhahabu
Ongera kitojo