Mahakama ya Kenya yakataza polisi kutumia ya mabomu ya machozi | DW Kiswahili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Kufuatia maandamano yaliyoshuhudiwa nchini Kenya na kusababisha vifo vya watu kadhaa, sasa mahakama nchini humo imeliamuru jeshi la polisi kutotumia mabomu ya kutoa machozi, risasi za moto na kutotumia nguvu kupita kiasi wakati wanapokabiliana na waandamanaji. Amri hiyo inawaweka pagumu polisi katika utekelezaji wa majukumu yake. Kuutathmini uamuzi huu wa mahakama DW imezungumza na Atulala Mukhwana ambaye ni wakili na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Nairobi na kwanza anatoa maoni yake kuhusiana na amri hii. #rejectfinancebill2024

ความคิดเห็น • 1

  • @ubahamisi431
    @ubahamisi431 3 หลายเดือนก่อน

    Polisi wakae tu kwa bara bara walinde mali za watu kama maduka na kadhalika na sio kupiga watu risasi