Vijana wa Kijerumani wakikicharaza Kiswahili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024
  • Ukiwa Ujerumani au maeneo tofauti ya Ulaya usimsengenye wala kumsema ndivyosivyo mwenyeji kwa Kiswahili. Idadi ya wazungumzaji wa lugha hiyo inaongeze sana. Sudi Mnette ameweka kijiwe na vijana wa Kijetrumani na kuzungumza nao Kiswahili katikati ya jiji la Cologne, tazama vidio.#Kurunzi

ความคิดเห็น • 10

  • @ibrahimmaro906
    @ibrahimmaro906 หลายเดือนก่อน

    Inapendeza sana @DW kuendeleza lugha yetu kuwa ya kimataifa

  • @MossesAlly-lo4ub
    @MossesAlly-lo4ub 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera

  • @petrohermani5721
    @petrohermani5721 10 หลายเดือนก่อน

    Safi nimependa Sana wanaongea vizuri wabalikiwe Sana

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 5 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili fasaha kipo Zanzibar mjini

  • @trendingnews4960
    @trendingnews4960 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @arkhan6254
    @arkhan6254 2 ปีที่แล้ว

    Vyema

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 2 ปีที่แล้ว

    kwakweli tuwe maki ni mana waweza msema mtu kumbe anakuelewa hahaha nice video

    • @Kiswahili
      @Kiswahili  2 ปีที่แล้ว

      kweli

    • @HillaryNzitunga
      @HillaryNzitunga 9 หลายเดือนก่อน

      Ishawahi kunikumba hivyo kabisa nilishtuk kbsa

  • @yahayamjenga1996
    @yahayamjenga1996 2 ปีที่แล้ว

    Kiswahili kitukuzwe