DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Juni 28, 2024 | Jioni | Swahili Habari leo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024
  • DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Juni 26, 2024 | Mchana| Swahili Habari leo | Ripoti na Uchambuzi | Taarifa ya Habari | Matangazo ya DW | Dunia yetu.
    Jeshi la Israel lafanya mashambulizi ya anga kaskazini mwa Gaza.
    Urusi yaonya droni za Marekani Bahari Nyeusi zinaweza kusababisha mzozo.
    #dwkiswahili #HabarizaUlimwengu #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #BidenTrumpDebate2024 #rejectfinancebill2024
    Ukitaka kukupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.

ความคิดเห็น • 11

  • @jafariHabibu-jc9zf
    @jafariHabibu-jc9zf 4 หลายเดือนก่อน +3

    Pamoja sana wanangu was dw

    • @Kiswahili
      @Kiswahili  4 หลายเดือนก่อน

      Tunafarijika kwa kujua u nasi😃

  • @DanjeseGaaray
    @DanjeseGaaray 4 หลายเดือนก่อน

    Mashariki ya Kati ni vyemaa kuweka silaha chini

  • @fatimaoctober8342
    @fatimaoctober8342 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapata kutokea Capetown South Africa

    • @Kiswahili
      @Kiswahili  4 หลายเดือนก่อน

      Ahsante kwa kuchagua DW Kiswahili 👍. Je habari za Capetown huko Afrika Kusini?th-cam.com/users/sgaming/emoji/7ff574f2/emoji_u1f44d.png

  • @JactonKai
    @JactonKai 4 หลายเดือนก่อน

    vita ni vita tu pambaneni

    • @Kiswahili
      @Kiswahili  4 หลายเดือนก่อน

      La muhimu ni vita viishe na amani idumu

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 4 หลายเดือนก่อน

    Nawapata vyema nikiwa mjini Kahama

    • @Kiswahili
      @Kiswahili  4 หลายเดือนก่อน

      Tumefarijika kwamba u nasi 👍

  • @kavakurejeanBaptist-nk7jz
    @kavakurejeanBaptist-nk7jz 4 หลายเดือนก่อน

    Wameshindwa aridhini wajinga wauji wakimbilia angani

    • @Kiswahili
      @Kiswahili  4 หลายเดือนก่อน

      Jamani mbona usitumie maneno yote ya ustaarabu?