Ahmed Kipozi amtaja mtangazaji anayemkubali, atoa ushauri kwa vijana wa leo redioni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2018
  • Ahmed Kipozi ni mtangazaji nguli wa redio nchini. Tumekutana naye na kuomba aseme machache kuhusu na fani hiyo kwa sasa

ความคิดเห็น • 34

  • @hildababyabdullah5627
    @hildababyabdullah5627 5 ปีที่แล้ว +2

    Ilikua cmjui wala cjawahi kumuona Ahmed kipozi MashaAllah like my father wallah Ahmed kipozi nimewakumbuka mabint zako triple radhina, radhia na radhima nimewamiss pia

  • @beatricesylvanus6780
    @beatricesylvanus6780 5 ปีที่แล้ว +1

    Ushauri mzuri sana👏👏 Safi sana SnS kwa kutuletea Mzee Kipozi. Kwny media ni one of the best to ever do it #LEGEND

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimefrahi sana kumuona Ahmed kipozi miaka mingi sijamuona ahsante sana sms kwa kutuletea mtu mhimu sana

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 5 ปีที่แล้ว +2

    Ma Shaa Allah sauti yako haibadiliki

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah wa zamani sana huyu baba Mungu azidi kumpa umri mrefu

  • @marinamooh4055
    @marinamooh4055 5 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah jamani kipozi 😍

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 5 ปีที่แล้ว +1

    Ki ukweli si mjui huyu mzee ndio mara yangu ya kwanza kumuona mashaallah anasauti nzuri hadi raha kumsikiliza

  • @ftmat2805
    @ftmat2805 5 ปีที่แล้ว +2

    Mzee baba anasauti nyororo mashallah

  • @aishamsofe3274
    @aishamsofe3274 5 ปีที่แล้ว +3

    Leo nimewahiiiii wa 11 gonga like kunipongezaa 😀😀😀

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah, hongera sana mzee, hata mimi nampenda Ephraim kibonde, hata bro sky anaweza kuchambua habar kama kibonde.

  • @aishamattar6381
    @aishamattar6381 5 ปีที่แล้ว +1

    Uyu mzee kaongea point nzuri watnz pendeni lugha yenu

  • @kuluthummbegakulu7564
    @kuluthummbegakulu7564 5 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤love sns nikweli usemayo baba

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee baba asante sana 😙😙😙

  • @hildababyabdullah5627
    @hildababyabdullah5627 5 ปีที่แล้ว +1

    Ilikua naskia tuu kuna Ahmed kipozi ila leo nimemuona japo kwapicha hongera pia nimefurah kukuona ila ukweli umefanana sannaaaa na marehem baba angu

  • @gabrielmbua4412
    @gabrielmbua4412 3 ปีที่แล้ว

    Sauti Nzur Sana

  • @rastokapunji7191
    @rastokapunji7191 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa. Mimi natoka kenya lakini nakuunga mkono moja kwa moja. Mimi nimekua na RTD na nimjifunza mengi tu kushinda KBC ya kwetu. RTD ilikuwa raha kusikiliza jamani.utangazaji usiokuwa na papara nyingi

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah, well good Baba

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 5 ปีที่แล้ว +1

    ❤😘

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 5 ปีที่แล้ว

    safi mzee baba

  • @aishamattar6381
    @aishamattar6381 5 ปีที่แล้ว +1

    👍👍

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 5 ปีที่แล้ว

    😍😍😍

  • @abdallahmohamed8180
    @abdallahmohamed8180 5 ปีที่แล้ว +1

    Ama kweli panga la buchani linazeeka na makali yake

  • @marymayeye7947
    @marymayeye7947 5 ปีที่แล้ว

    No.one

  • @agathasungura5047
    @agathasungura5047 5 ปีที่แล้ว

    nice papaa

  • @ashanalinga8719
    @ashanalinga8719 5 ปีที่แล้ว

    Daah uyo mzee ni mtangazaji nguli ,sijawahi kumuona nilikuwa namsikia tu, na wale mabinti zake sijui wako wapi?

  • @mariammussa8719
    @mariammussa8719 5 หลายเดือนก่อน

    Ahmed pls nitafte kwny no yng ya whtsp

  • @ashuraomar4935
    @ashuraomar4935 5 ปีที่แล้ว +1

    Waambie gao ,maana hata wakifanyiwa interview wanataka kusema kingereza, halafu kingereza chenyewe broken english hadi aibu wallah

  • @marymayeye7947
    @marymayeye7947 5 ปีที่แล้ว +1

    Haki nimeipeda sauti yake safi

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  5 ปีที่แล้ว

      Huyu mzee ni legend kwenye redio, ana sauti ya pekee sana

  • @doreenanthony1563
    @doreenanthony1563 ปีที่แล้ว

    Sauti bado inavutia

  • @sheilalolila2233
    @sheilalolila2233 5 ปีที่แล้ว

    maisha marefu baba

  • @yeasrmsafi7152
    @yeasrmsafi7152 5 ปีที่แล้ว +1

    Alikua radio gani

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 5 ปีที่แล้ว +1

      Alikuwa Radio Tanzania ni mtangazaji mzuri sana katika Tanzania na anheshimu maadili yeti ,I know him very well

  • @alexalexis6470
    @alexalexis6470 5 ปีที่แล้ว

    Weka like kama umeona simu ya ahmed kipozy ina ring (ina incoming call