MAOMBI: Omba Nuru ya Kristo iangaze katika kila eneo la maisha yako by Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • MAOMBI: Omba Nuru ya Kristo iangaze katika kila eneo la maisha yako by Innocent Morris
    Rebroadcast 20.12.2020
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    TH-cam Link:
    / holyspiritconnect

ความคิดเห็น • 119

  • @robinermsigalla9341
    @robinermsigalla9341 ปีที่แล้ว +1

    Nuru ya KRISTO YESU ing'ae ktk maisha yangu na familia hasa uchumi. AMEN

  • @justnakambimbi6834
    @justnakambimbi6834 2 ปีที่แล้ว +1

    Nuru ya kristu iangaze pa uza wangu pamoja na kazi ya mikono yangu amen

  • @graciousgervas1008
    @graciousgervas1008 3 ปีที่แล้ว +4

    Nuru ya Kriso ikatawale ktk kila eneo la maisha yangu ktk jina la Yesu Kristo wa Nazaret.

  • @monicaflora1535
    @monicaflora1535 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina Mtumishi wa Mungu

  • @carolndungu9307
    @carolndungu9307 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante yesu nuru ya yesu Christo ingae katika maisha yangu na Familia yangu

  • @juniorcherry8132
    @juniorcherry8132 2 ปีที่แล้ว +2

    amen nuru ya mungu iangaze maisha yangu na familia yangu

  • @flavianamayutta4619
    @flavianamayutta4619 ปีที่แล้ว +1

    Amen, na iwe nuru katika kila eneo la maisha yangu.

  • @aminam267
    @aminam267 3 ปีที่แล้ว +3

    Amina uko Kenya 🙏🤲🙏

  • @annickkagajo3212
    @annickkagajo3212 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen nuru ya Mungu ihanga katika maisha yangu na famillia yangu nakizazi cangu na kazi yangu

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 6 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabiza mutumishi wa nuru Ya Kristo iangaze maishani mwangu ❤❤❤❤❤ hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah Nuru Ya Kristo ing,ae hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ameeeeeen pstr sana nuru Ya Kristo iagaze kwa jina la Yesu Kristo

  • @nailabakari9494
    @nailabakari9494 2 ปีที่แล้ว +6

    Na iwe nuru siku yangu ya leo, maisha yangu yanadilike, kila kikwazo nilichoekewa kinaondoka leo napokea nuru ya kukubaliwa na kukubalika kila sehemu. Halleluya.ameen

  • @scoviaokaronon4305
    @scoviaokaronon4305 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen.. Naomba MUNGU Nuru iangaze kila eneo la maisha yangu 🙏🙏

  • @dinahbhoke2611
    @dinahbhoke2611 ปีที่แล้ว

    Nuru ya christo ifuatilie katika kila Eno ninalopita nisaidie mungu hata kwajili yakujiandaa kwenda taifa la Germany, na mataifa mabali nisaidie mungu wangu 🔥🔥🔥🙏🙏✨✨✨✨

  • @pswits
    @pswits 2 ปีที่แล้ว

    Masomo yangu ipate nuru ya Kristo. Biashara yangu ipate nuru
    Nuru iangaze Kwa magumu hizi za Maisha yangu. Jini zishindweee Kwa jina la Yesu Kristo. Nuru ya Yesu iangaze kila eneo ya Maisha yangu. Kwa jina La Yesu. Thank you Jesus

  • @MwanaHuseni-jf2lv
    @MwanaHuseni-jf2lv ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi Kwa ukombozi Nuru ya kristo iangaze ktka Kila eneo la maisha yangu 🙏🙏🙏🙏

  • @vumiliajoshua270
    @vumiliajoshua270 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen,Amen,Umeingea na maisha yangu kabisa mtumishi wa Mungu

  • @dinahbhoke2611
    @dinahbhoke2611 ปีที่แล้ว

    Msaidie mtoto wangu na wazazi wangu na ndugu zangu wote na watotozetu katika jina kuu lakp yesu Ameeeeeeeeeen 🤲🤲🙏🙏✨🔥

  • @salomelotah7907
    @salomelotah7907 2 ปีที่แล้ว +1

    Nuru ya kristo ikapata kuangaza katika kila eneo la maisha 🙏🏼🙏🏼

  • @fridahsarah775
    @fridahsarah775 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana kwa jina la yesu Nuru imeng,AA katika nafasi yangu yote

  • @marcellamachio316
    @marcellamachio316 2 หลายเดือนก่อน

    Nuru ya kristo ingae maishani mwangu kila eneo na familia yangu...

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 7 หลายเดือนก่อน

    Na Giza Lililotanda Kwenye Mikono Yangu Na Mikono Ya Watoto Wamgu Lishindwe Katika Jina La Yesu Kristo Amém.

  • @OliviaRaphael-of7qp
    @OliviaRaphael-of7qp 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubarik mtumish wakat unaombea mikono Kuna usingiz mzito ulikua unanifunika nguvu ya mungu ni ajab nikanyoosha mikono huku nasinzia mikono ilianza kutetemeka kama nimepigwa shot na usingiz ukausha nikaendelea kufunguliwa🙏

  • @nailabakari9494
    @nailabakari9494 2 ปีที่แล้ว +1

    Nuru itaangaza ktk maisha yangu, giza halina nafasi ktk maisha yangu kwa jina la yesu. Ameen

  • @FurahaMuhindi-ti2gt
    @FurahaMuhindi-ti2gt 9 หลายเดือนก่อน

    Nuru iangaze katika maisha yangu kwa njina kuu la yesu Ameeeen 🙏🙏

  • @maguykiwele
    @maguykiwele ปีที่แล้ว +1

    Amen nuru Yako iniangazie Katika eneo yote ya maisha yangu aminaaa

  • @alindatheonest3734
    @alindatheonest3734 2 ปีที่แล้ว

    Asante mungu kwa NURU katika maisha yangu na familia yangu

  • @jolieingabire1992
    @jolieingabire1992 2 ปีที่แล้ว +1

    Nuru ya christo iangaze katika kila Eneo la maisha yangu Amin

  • @prayerwomen3444
    @prayerwomen3444 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen nuru yako yesu christo ihangaze maishani mwangu Amen 🙏

  • @peterlucas8818
    @peterlucas8818 3 ปีที่แล้ว +3

    Nuru ikaangaze katika maisha yangu""

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 3 ปีที่แล้ว +1

    Niwe Nuru katika maisha yangu katika Jina.la yesu kristo

  • @vivianlyimo670
    @vivianlyimo670 3 ปีที่แล้ว +2

    Giza liondoke kwa Jina la Yesu Nuru ya Kristo iangaze kwenye maisha yangu 🙏

  • @isariashoo660
    @isariashoo660 3 ปีที่แล้ว +6

    Ameen Nuru ya Kristo iangaze katika kila eneo la maishà yangu.🙏🙏

  • @vummymarica1860
    @vummymarica1860 ปีที่แล้ว +1

    Amina nuru ya kristo itawale ktk maisha yangu

  • @fridahsarah775
    @fridahsarah775 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 mungu akutumikie kimataifa nimekombolewa

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 ปีที่แล้ว

    Najiunganisha na maombi mungu anajua hatima yangu

  • @telesphoryphocusy3032
    @telesphoryphocusy3032 3 ปีที่แล้ว +1

    Nuru ya yesu kristu iyangaza katika maisha yangu

  • @VELENARWEBUGISA
    @VELENARWEBUGISA 14 วันที่ผ่านมา

    Mwanangu ni mlevi wabangi nuru yakristo angaze mbele zake

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 6 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢😢😢 ameeeeeen ni Mimi Lydia mutumishi wa mungu niombee sana mungu ameniona ni mimi

  • @tabithamselema166
    @tabithamselema166 2 ปีที่แล้ว +1

    Nuru ya Kristo iangaze kwenye afya yangu

  • @VELENARWEBUGISA
    @VELENARWEBUGISA 14 วันที่ผ่านมา

    Nuru ya kristo,hiyangazekatika maisha kazi biashara familia watoto ingaaekatika jina la kristo

  • @matthieumathaus9026
    @matthieumathaus9026 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @milkajohn5138
    @milkajohn5138 ปีที่แล้ว +1

    Nuru ya kristo ikapate kuangaza kweny maisha yangu

  • @zaridilan4733
    @zaridilan4733 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante yesu kwa upendo wako wa milele🙏

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 ปีที่แล้ว

    Najiunganisha namaombi mazuri amen

  • @sumamwakyusa7237
    @sumamwakyusa7237 3 ปีที่แล้ว +1

    Nuru ya kristo ikaangaze katika kila eneo la maisha yangu....Amen

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 ปีที่แล้ว +1

    Naiwe nuru ktk biasharayangu naiwe Nuru kwa watoto wangu nakila maeneo ya maishani yangu yote Nuru iangae kila sehemu maishani uchumi nuru ya kiristu

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen, Nuru ya YESU kristo iangaze kila eneo la Maisha yangu

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 6 หลายเดือนก่อน

    Ni mimi mungu ameniona ❤❤❤❤ ameeeeeen

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 4 หลายเดือนก่อน

    Naiwe Nuru Kawa watoto wangu Jimmy na Janeth . kwenye Kila eneo la maisha yao

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 ปีที่แล้ว +1

    Asante yesu

  • @justnakambimbi6834
    @justnakambimbi6834 2 ปีที่แล้ว

    Baba kwaza mafundisho yote unafundisha yote inaisha tunabakia mpaka na kitumaini mungu yupo

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 2 ปีที่แล้ว

    Nuru ya Bwana inuzukie ktk maisha yangu

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli mtumish nuru ikaangaze kwenye kazi yangu

  • @zainatoji1965
    @zainatoji1965 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba muti ya kristo iangaze kwenye biashar yangu nyota yangu ingae nionekane kwa watu sahihi nionekane kwa mme sahihi 1:33

  • @Nancy-z8h
    @Nancy-z8h ปีที่แล้ว

    Nuru ya kristo iangaze katika maisha yangu kila eneo nionekanapo basi ikajazwe nuru

  • @emmasidi9446
    @emmasidi9446 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen 🙏🙏🤲🤲🤲

  • @saumhamisi7320
    @saumhamisi7320 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 ปีที่แล้ว

    Namwomba yesu asimame na Mimi ijumaa ya leo ikawe yenye mafanikio ya kupata wateja ktk biashara yangu

  • @irenmgongolwa12
    @irenmgongolwa12 2 ปีที่แล้ว

    Nuru ya Kristo iangaze kuanzia leo katika kila kona ya maisha yangu sawasawa na Yohana 1:5 kwa jina la Yesu Kristo

  • @janemassinga3956
    @janemassinga3956 7 หลายเดือนก่อน

    Amen naomba kufunguliwa

  • @godrivernicholous3536
    @godrivernicholous3536 2 ปีที่แล้ว

    Nuru ya kristo iambatane nami kila nnakokwenda

  • @favoredbyJesus
    @favoredbyJesus 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏 God bless you

  • @redgundapeter3683
    @redgundapeter3683 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante Yesu,hakika wewe ni mwaminifu sana 🙏.

  • @annickkagajo3212
    @annickkagajo3212 2 ปีที่แล้ว

    Nuru ya Kristo ihangaze kumaisha yangu

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 4 หลายเดือนก่อน

    Iwe Nuru kwenye Kila eneo la maisha yangu

  • @friedamkiramweni9500
    @friedamkiramweni9500 3 ปีที่แล้ว

    Asante Nuru ya Yesu Kristo inang'aa ktk maisha yetu sasa.

  • @berthabosco5122
    @berthabosco5122 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @lowasalesirai9504
    @lowasalesirai9504 2 ปีที่แล้ว

    Ameen mtumishi

  • @mrsmburu5540
    @mrsmburu5540 ปีที่แล้ว

    Nuru ya kristu ingae kwa afya yangu

  • @user-bk5rw1tj8p
    @user-bk5rw1tj8p 7 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 🤲🏽🙏

  • @suzzyyank7446
    @suzzyyank7446 3 ปีที่แล้ว

    Nuru ya kristo iangaze katikati maisha yangu na familia yangu

  • @kapiriisavictoria4175
    @kapiriisavictoria4175 2 ปีที่แล้ว

    Mbona hili somo linanigusa mimi???. Naomba Nuru ya Kristo ikapate kuangaza kazini kwangu ktk huduma yetu.

  • @victoriarehema7183
    @victoriarehema7183 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameeen.

  • @kashindiseti4493
    @kashindiseti4493 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🤍🧎‍♀️🙏

  • @vailethmbulule8339
    @vailethmbulule8339 3 ปีที่แล้ว

    Amina, ubarikiwe mtumishi

  • @edithanchimbi2754
    @edithanchimbi2754 2 ปีที่แล้ว

    Naiwe hivyo Nuru yangu ing'ae

  • @marthatito3510
    @marthatito3510 2 ปีที่แล้ว

    Nuru ya kiristo ipate kungaa kwangu

  • @annahmbuguni1872
    @annahmbuguni1872 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @deborakasambula7431
    @deborakasambula7431 2 ปีที่แล้ว

    Km ulivyosema wewe bwana Iwe Nuru ni ikawa Nuru basi naomba na Iwe Nuru uniondolee utupu na ukiwa na utupu nagiza nililonalo liniondoke ktk jina la Yesu

  • @neemamarco6112
    @neemamarco6112 3 ปีที่แล้ว

    Nuru ikaangaze maisha yangu nakuniongoza

    • @friedamkiramweni9500
      @friedamkiramweni9500 3 ปีที่แล้ว

      Kwa Jina Yesu hilo giza linaondoka ktk maisha ya wtt wangu Lilliani na David kuhusu mahusiano na ndoa. Amen.

  • @nadegeniyonzima5520
    @nadegeniyonzima5520 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana

  • @estaraberd1245
    @estaraberd1245 ปีที่แล้ว

    Amen, Nuru ya kristo iangaze katka kila eneo la maisha yangu🙏🙏

  • @themirrow3433
    @themirrow3433 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen nuru ya Kristo imeangaza katika kila eneo la maisha yangu. Amen

  • @julianabaltazary5531
    @julianabaltazary5531 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu

  • @rhodamkungu4237
    @rhodamkungu4237 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @lilymwasi1221
    @lilymwasi1221 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏🙏🙏

  • @lilymwasi1221
    @lilymwasi1221 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen god 🙏 bless you

  • @rosemalo1559
    @rosemalo1559 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 3 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @enjomahenge9127
    @enjomahenge9127 2 ปีที่แล้ว

    Amina 🙏🙏🙏

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @emmamwende8266
    @emmamwende8266 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @brandyjohn5014
    @brandyjohn5014 2 ปีที่แล้ว

    Amen

    • @doromacha4348
      @doromacha4348 2 ปีที่แล้ว

      Naomba Nuru ya Kristo ingaze kila Kona ya Maisha yangu. 🙏

  • @hildamassanja8483
    @hildamassanja8483 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @elizabethkasimila9771
    @elizabethkasimila9771 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @alonymfugale8241
    @alonymfugale8241 3 ปีที่แล้ว

    Amen

    • @user-io1tp6nz8m
      @user-io1tp6nz8m 6 หลายเดือนก่อน

      Ameeeeeen Nuru iagaze maishani mwangu

  • @maikojohny345
    @maikojohny345 3 ปีที่แล้ว

    Ameen

    • @doromacha4348
      @doromacha4348 2 ปีที่แล้ว

      Najitamkia Nuru ya Kristo kuanzia Sasa likaondoe kila Giza lilotanda liondoke. Na hiwe Nuru Sasa🙏

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏