NI WAKATI WA KUSIMAMA (OFFICIAL VIDEO) || PR DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @mwassykayanda
    @mwassykayanda 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba niombee kichwa kinanisumbua muda mrefu

  • @SarahSamatwa
    @SarahSamatwa 14 วันที่ผ่านมา

    Ninaomba uniombee napenda kumtumikia Mungu Kwa kiwango Cha juu.nijue kuomba.

  • @DeboraMwita-s1u
    @DeboraMwita-s1u 8 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana yesu asifiwe niombee mume wangu aache pombe aache maugovi maana nyumban hamna aman kuanzia watoto had Mimi mwenyewe. Amekuwa ni mtu wa kutoa laan zisizokuwa na maana

  • @nikizaviolette2723
    @nikizaviolette2723 7 หลายเดือนก่อน +1

    Muniombee sana , sojielewi kwakifupi ,ila nukonipa mdaa nivema

  • @hadijaraphael8382
    @hadijaraphael8382 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amina mchungaji nikiwa nachangamoto nafungua yutub mafundisho haya barikiwa pasta

    • @esthergeras5355
      @esthergeras5355 7 หลายเดือนก่อน

      sikiliza hata usipokua na changamoto ni hazina kubwa

  • @andrewnicodemus8274
    @andrewnicodemus8274 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu anibaliki katika biashara yangu na aeendele kunishika mkono kwakila kitu na anapo nibaliki nisijikwaze Bali vyote yafanyike Kwa mapenzi yake

  • @BlaiseLwamba
    @BlaiseLwamba 25 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji Mbaga Mungu azidi kukubariki sana , mimi ni ndugu Blaise kutoka kalemie DRC.

  • @LilianMobegi
    @LilianMobegi 7 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks, pastor for the good message, plz pray for my daughters sitting for this year form four to pass and my daughter who doesn't concentrate on her studies always falls asleep whenever the teacher is around but when the teacher is not around she is okay

  • @neemamwanjala
    @neemamwanjala 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu nikumbuke zaidi ya ulivyo nikumbuka, mbariki mch, mbaga awemo ndani ya watakao kombolewa.

    • @RachaelMbeyu
      @RachaelMbeyu 2 หลายเดือนก่อน

      Naomba uniombeee huduma yangu isime isitingisike na ndoa yangu jumla familia yangu mungu awainue kwa uchumi

  • @EzekielMarwa
    @EzekielMarwa 6 หลายเดือนก่อน

    Ahasanti mch. Mbaga mafundisho yako, taangu nianse kuyafuatilia nimepata mwanga mkubwa sana moyoni mwangu. Ubarikiwe sana

  • @alicekadzotsofwatsofwa8618
    @alicekadzotsofwatsofwa8618 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ubarikiwe sana pastor Kwa hili neno

  • @JestinaNgwembele
    @JestinaNgwembele 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana pr

  • @beatricebenson9475
    @beatricebenson9475 6 หลายเดือนก่อน

    Amen mchungaji barikiwa sana , ni kweli hata sasa kumekua mambo ya spiritual awakening ambayo imefanya vijana wengi sana kuangukia huko sababu ya watu kuona maombi Yao hayajibiwi mimi pia nilianguka huko Lakini mafundisho yako pastor yameniinua tena , Ubarikiwe sana sana

  • @ziporamachilu6877
    @ziporamachilu6877 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina ukweli nimebarikiwa sana na somo hili nimejifunza somo muhimu kwangu na nimepona kimwili na kiroho .Hakika mchunguji wewe ni nchaguo sahihi kwa Bwana

  • @neemaeliya-js5oy
    @neemaeliya-js5oy 8 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @mkalibizz
    @mkalibizz 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumish

  • @raphaelmuiris7517
    @raphaelmuiris7517 7 หลายเดือนก่อน

    Yesu nihirume

  • @rahabusanga1559
    @rahabusanga1559 8 หลายเดือนก่อน +1

    amen ..mchungaji Mbaga sichoki kukusikiliza everyday namshukuru Mungu kwa ajili yako .

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen mungu akushidishee hekima Na kibali Na pia akulindee Na wewe Na familia yako hakika mafundisho haya nazidii kuniongeza kiimani Na pia kiroho

  • @perisbosibori2249
    @perisbosibori2249 8 หลายเดือนก่อน +4

    AMEN! Obeying GOD is something of great importance. May our SOVEREIGN LORD uplift you as you continue blessing many with the word.

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 8 หลายเดือนก่อน

    Amen akika Mimi naona Rehema kwa MUNGU kabisa kwetu tumekuwa watu wa kuishi dhambi za Babu na baba zetu ila mungu ameacha Rehema ameinua mtumishi kwa boma

  • @JenesterTryphone
    @JenesterTryphone 8 หลายเดือนก่อน +7

    Amina pr mbaga,muombee dada yangu anaitwa Regina fidelis anasumbuliwa na nguvu za Giza(roho ya mauti) na ugonjwa wa Kansas kwenye njia ya haja kubwa na ndogo Mungu amponye na kumuondolea maumivu.lkn pia amsamehe dhambi zote

    • @wahidakisingo3588
      @wahidakisingo3588 8 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu amsamehe na kumponya magonywa yote kwa huruma na Neema yake🙏

    • @monicaphabian3908
      @monicaphabian3908 7 หลายเดือนก่อน

      Mh pole sana mungu amusaidie maana ugonjwa mkubwa sana ,,mungu hatamuacha yu pamoja naye

  • @JuliaLumande-r4p
    @JuliaLumande-r4p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtumishi wa mungu nafarijiwa sana kwa mafundisho yako mungu azidi kukuongezea maharifa 🙏🙏💖

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 6 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina Mungu akubariki sanaa pastor Asante kwa somo hakika Nitainuka tena Bwana AMEKWISHA nitendea hitaji la moyo wangu Kwa jina la Yesu Amen

  • @MarimaAlez-kc5rj
    @MarimaAlez-kc5rj 8 หลายเดือนก่อน

    AMEN pastor mmbaga bwana asifiwe masomo yako nisiraha kwamaisha yakiroho nakimwiri maubiri yako yananisimamisha imara yesu asifiwe Mimi nimu zambia tunapokea maubiri yako Mimi peter m sikazwe

  • @eustina0
    @eustina0 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu nmwema kwako aliko nitoa nmbali sana kumbuka mum yangu na ndugu zangu wamalize shule aminaa Mungu amwandalie mum ushuhuda

  • @emmaanthony5730
    @emmaanthony5730 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba njsaidiwe namna ya kupata hiyo maombi app,,nipate hivo vitabu

  • @EdinaEnock-c7u
    @EdinaEnock-c7u 6 หลายเดือนก่อน

    Nimekuwa na naden sana paka nachanganyikiwa naomba naombi Kwa hili

  • @esthersimuli9952
    @esthersimuli9952 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @kabalizasekanabomarko6063
    @kabalizasekanabomarko6063 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wetu asifiwe sana❤

  • @MaryaBrax-k2x
    @MaryaBrax-k2x 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mungu amesimama nasi katika nyakati zote ni mengi magumu na mazito ambayo Mungu amenivusha Hadi Sasa nashukuru Mungu Yuko nami

  • @ChristowelluMkoma
    @ChristowelluMkoma 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi Mungu atusadie kutembea ktk ukamilifu ili tumpendeze km kazi ya mikono yake, AMINA

  • @bukebukemeshack4497
    @bukebukemeshack4497 8 หลายเดือนก่อน

    Samahan pr maombi app haipo praysto na mbaya zaidi nilikua nayo tayari lakin ikaacha kufanyakaz mpaka Leo haipo

  • @MagdalineWaceke-g9z
    @MagdalineWaceke-g9z 8 หลายเดือนก่อน

    Amen nashukuru Kwa fundisho nzuri naomba mungu aniwezeshe kusimama tena.....🙏🙏

  • @SalmaSalma-f6u
    @SalmaSalma-f6u 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba.umuombee bint yang amengiriwa.na.pepo

  • @purity134
    @purity134 8 หลายเดือนก่อน

    Amen.hata ingawa baba na mama wataniacha Mungu hatoniacha kamwe.

  • @MeltonSainepu
    @MeltonSainepu 8 หลายเดือนก่อน

    Barkiwa milele mtu wa Mungu

  • @verynicelema5887
    @verynicelema5887 8 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe mtumishi nabarikiwa na maubiri yako niombee ndoa yangu

  • @bernadethanyarufunjo9518
    @bernadethanyarufunjo9518 9 หลายเดือนก่อน

    Niombee Mungu azidi kunitetea katika changamoto na magumu nayopitia

  • @virginiav4595
    @virginiav4595 9 หลายเดือนก่อน

    Virginia.from.saudi.maombi.juu.ya.mtoto.wangu.alice.apate.kazi

  • @MariMagdaline
    @MariMagdaline 8 หลายเดือนก่อน

    Asainte sana mtushi wa mungu mungu akubariki sana u menitia nguvu sana amen amen amen ❤

  • @JenesterTryphone
    @JenesterTryphone 8 หลายเดือนก่อน

    Dada yangu anasumbuliwa na mauivu makali Bwana amponywe

  • @rosemuia
    @rosemuia 9 หลายเดือนก่อน

    Growly to JESUS mjungaji mafuzo yako yanabadirisha maisha yetu my GOD bless you naomba kijana yangu anakunywa pombe vibaya lnaomba maombi tuzidi kuamini mungu ako nawezo namlka jm blessed jlm in saudi

  • @naftaljohn2657
    @naftaljohn2657 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukutumia kama kipaza sauti mtoto wangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hitaji maombi 🙏

  • @SalmaSalma-f6u
    @SalmaSalma-f6u 7 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi.niombee mwiri.wangu.unamaumivu.kira.kona

  • @WilondjaTchandja-so7df
    @WilondjaTchandja-so7df 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu asifiwe kweli Yani mchungaji ma theme yote yenye munasemaka inanigusaka sana

  • @gracedaniel7236
    @gracedaniel7236 8 หลายเดือนก่อน

    Amen pastor natamn Sana katk siku 10 hz za maombi Mungu anijb ombi langu

  • @daudisobera9367
    @daudisobera9367 8 หลายเดือนก่อน

    Pastor morning God bless you.plz ombea mtoto wangu mwenye Ako na shida ya miguu.

  • @Edinahnyaboke-b9o
    @Edinahnyaboke-b9o 8 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu akubariki sana mutumishi wa mungu mafundisho mazuri nimebarikiwa sana mutumishi 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌

  • @user-ipallangyo
    @user-ipallangyo 8 หลายเดือนก่อน

    Asante japo sioni mambi app play store

  • @zawadiernest1858
    @zawadiernest1858 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu aguse maisha ya familia yangu tumtumikie Kwa uaminifu

  • @beatricenyiro5913
    @beatricenyiro5913 8 หลายเดือนก่อน

    Man of God be blessed
    Muombee my mom afya yake ulcers and high blood pressure asante

  • @ItzNorelleYT
    @ItzNorelleYT 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atubariki sote kwa somo la Leo

  • @verynicelema5887
    @verynicelema5887 8 หลายเดือนก่อน

    Ameniì naomba maombi ya familia yangu

  • @SalmaSalma-f6u
    @SalmaSalma-f6u 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba uniombee nimekuwa mrahibu wa ponogirafia

  • @rosemarymwanitega7926
    @rosemarymwanitega7926 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Pastor nimebarikiwa sanaa

  • @Elizabeth-u5k1k
    @Elizabeth-u5k1k 9 หลายเดือนก่อน

    Amen God bless you pastor, ombea family yangu upendo

  • @tumainirichard5879
    @tumainirichard5879 8 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana

  • @bettymitanda4696
    @bettymitanda4696 9 หลายเดือนก่อน

    Yesu anisaidie katika masomo yangu na mapenzi yake yatimie katika maisha yangu

  • @geraldmwangira.4978
    @geraldmwangira.4978 8 หลายเดือนก่อน

    Amen ubarikiwe Pastor.

  • @YonaziMgonja-v3s
    @YonaziMgonja-v3s 9 หลายเดือนก่อน

    Amina Mungu azidi kukuinua ili tuendelee kubarikiwa.

  • @NelluKangame
    @NelluKangame 9 หลายเดือนก่อน

    Asante YESU kwa kutusikia na kuitika tukuitapo 🙏❤

  • @robardmutisarobard4605
    @robardmutisarobard4605 8 หลายเดือนก่อน

    Nmeamini Bwana ametenda

  • @jeremiahsigira9809
    @jeremiahsigira9809 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nisaidie na family yangu

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 9 หลายเดือนก่อน

    Emeeen

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @LilianMobegi
    @LilianMobegi 7 หลายเดือนก่อน

    share pastor Mmbanga no.

  • @shadrackkahindi4894
    @shadrackkahindi4894 8 หลายเดือนก่อน

    Nataka maombi na umwa na titi

    • @shadrackkahindi4894
      @shadrackkahindi4894 8 หลายเดือนก่อน

      Natafuta moto kwa mda mrefu

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@shadrackkahindi4894moto gani?

  • @AshaKihiyo-l7j
    @AshaKihiyo-l7j 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

    • @bernadethanyarufunjo9518
      @bernadethanyarufunjo9518 9 หลายเดือนก่อน

      Niombee Mungu anitetee nitoke katika changamoto nyingi nilizonazo

  • @tumainirichard5879
    @tumainirichard5879 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @unclejonah7350
    @unclejonah7350 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Calton898
    @Calton898 8 หลายเดือนก่อน

    Amen