MAOMBI YA KIBALI KWA MWAKA 2024 - Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • MAOMBI YA KIBALI KWA MWAKA 2024 - Innocent Morris

ความคิดเห็น • 36

  • @user-ey1ws9cb7i
    @user-ey1ws9cb7i 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba kibali kila eneo la maisha yangu Bwana Yesu

  • @GraceSambula
    @GraceSambula 4 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu naomba kibali chako jiwe ju yawatoto wangu bwanayesu kibali chakojiwe ju yangu kubali chakojiweju ya family yangutufunguliwe bwanayesu

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 6 หลายเดือนก่อน

    Amen naomba MUNGU akupe kibali Kila eneo la maisha yako mtumishi wa MUNGU

  • @ellyp.p2237
    @ellyp.p2237 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba kibali kwa mbwana mwezi huu nibebe ujauzito amina🙏

  • @user-jl2er1nb2p
    @user-jl2er1nb2p 6 หลายเดือนก่อน

    Amen amen ..eeh mungu naomb kibali kila niingiapo kila mahali kibali chako kitembee nami kwa jina la yesu...naomb kibali kwa maboss zangu naomb kibali mbele za watesi wangu naomb kibali kwa familia naomb kibali watoto wangu mahali popote watakapo ingia kibali chako kiwe juu yao in jesus name amina🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @happyerasto1857
    @happyerasto1857 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeen,
    Naomba kibali cha bwana kiwe juu yangu kwenye kila eneo la maisha yangu

  • @rehemakibwana967
    @rehemakibwana967 2 หลายเดือนก่อน

    Napokea kibali chako Bwana Yesu katika kila eneo la maisha yangu!

  • @IRENEIRENE871
    @IRENEIRENE871 2 หลายเดือนก่อน

    EE MUNGU WANGU NAKUSHUKURU KWA KUNIPA KIBALI CHAKO CHA UHAI KAZI NAYOTE ULIONITENEA NASHUKURU EE MUNGU ULIENIUMBA AMEN

  • @charitykabeu2142
    @charitykabeu2142 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba kibali Chako kitembee Kwa maisha ya mtoto wangu Kwa Kila eneo la maisha yake🤲🤲🤲🤲

  • @carenkambua3908
    @carenkambua3908 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba kibali chako yesu wangu

  • @user-wg1nz5ms2n
    @user-wg1nz5ms2n 6 หลายเดือนก่อน

    Amen naomba nitembee na kibali cha bwana kwenye kila enjoy la maisha yangu

  • @user-lo6bj4dy3f
    @user-lo6bj4dy3f 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba kibali kwenye kila eneo la maisha yangu

  • @user-hh2eq4pp2o
    @user-hh2eq4pp2o 2 หลายเดือนก่อน

    Kabisa Amen thank you dear lord Amen I received in Jesus name Amen

  • @alicekiloko-4972
    @alicekiloko-4972 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen naomba kibali cha bwana kiwe na mtoto wangu na maisha yetu huu mwaka

    • @reyally1681
      @reyally1681 6 หลายเดือนก่อน

      Amina

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 6 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji kibali cha Bwana katika kila eneo katika maisha yangu ikiwe juu yangu katika mwaka huu wote kwa jina la yesu kristo amen and Amen 🙏🏻🙌👏❤❤❤❤❤❤❤

    • @beatricechepkurui9161
      @beatricechepkurui9161 6 หลายเดือนก่อน

      Amen i receive in Jesus name amen god bless me this year amen 🙏

    • @beatricechepkurui9161
      @beatricechepkurui9161 6 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏 god bless me and my family amen 🙏💖

  • @user-ny5gc3fg8d
    @user-ny5gc3fg8d 5 หลายเดือนก่อน

    🙏Amen.. Barikiwa mtumishi wa YESU KRISTO.

  • @user-st8vq3me7x
    @user-st8vq3me7x 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen barikiwa sana

  • @joyceshiyo7257
    @joyceshiyo7257 6 หลายเดือนก่อน

    Ninaomba mungu unipe kibali chako

  • @margaretmumby2411
    @margaretmumby2411 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba kibali chako bwana kitembee nami

  • @pamelabracedes9600
    @pamelabracedes9600 6 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen

  • @kabulajoanstar8694
    @kabulajoanstar8694 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba kibali chako Bwana Yesu kiwe juu yangu na Familia yangu mwaka huu wote.

  • @user-fy6nh3tg6x
    @user-fy6nh3tg6x 3 หลายเดือนก่อน

    Kibali.chabwana.kiwejuuyangu

  • @user-ny5gc3fg8d
    @user-ny5gc3fg8d 5 หลายเดือนก่อน

    Amen, barikiwa

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba kibali kila eneo la maisha yangu kwa damu ya Yesu kristo

  • @bennykatanga.
    @bennykatanga. 6 หลายเดือนก่อน

    AMEEN

  • @user-bz6dj1ic8r
    @user-bz6dj1ic8r 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @ruthmaua6267
    @ruthmaua6267 6 หลายเดือนก่อน

    Amen ❤

  • @floradavid5216
    @floradavid5216 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 6 หลายเดือนก่อน

    😢Amen

  • @janemassinga3956
    @janemassinga3956 3 หลายเดือนก่อน

    Amen hakika

  • @masanjamasende3959
    @masanjamasende3959 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @inocencialurioh7401
    @inocencialurioh7401 6 หลายเดือนก่อน

    Amen