MIRATHI YAMLIZA MAKONDA MTOTO WA MAREHEMU MWANAJESHI ALIYE FIYA VITANI ADHULUMIWA MIRATHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2024
  • #AdilTV

ความคิดเห็น • 27

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka makonda wewe ndo Magufuli wapili from Sweden 🇸🇪

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hahahaha maguful part2
    Mungu mlinde uyu ndugu yetu
    Pengine myaka ijayo hakipata
    Kiti kikubwa haweze kutuvusha #live
    Na uwonevu Wa vigogo kwa watu
    Tusio jiweza kifeza na kuongea
    Na tusiyo jiweza kisheria

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hii nchi ni kama sinema viongozi wa hovyo sana hawa

  • @user-ob6kj7do1f
    @user-ob6kj7do1f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Piga kazi kaka na Mungu akusaidie

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 4 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda kiongozi kweli.. Sio wamatata

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 4 หลายเดือนก่อน +4

    Viongozi wengine wanaona madalaka kama ya family zao sio kuwaudimia wananchi WACHAWI hawa

  • @IddyZohan
    @IddyZohan 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wakurugenzi hovyo sana

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 หลายเดือนก่อน

    ,,
    ,makonda kuna mjane mayatima watano wamezulumi mirathi yao taas

  • @GamanielKatani-nw8ll
    @GamanielKatani-nw8ll 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani fukuza hao mara mojA wamemdhurumu huyo bibi

  • @geraldadolf4928
    @geraldadolf4928 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha😂😂 kudadadeki nchi imeishaa

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda hii sio kazi yakisiasa ungefanya kisasa ingekushinda siku nyingi,Mungu anakuongoza anakulinda kwasababu siasa imevuka,ni mambo yakiroho

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 หลายเดือนก่อน

    ,wamezulumi na taasisi ya kidini ya Ansar suna mjane na watoto

  • @elizabethnzunda9223
    @elizabethnzunda9223 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 4 หลายเดือนก่อน

    Wamrudishie pesa yake na kupima wakapime kwa pesa zao...warushiiii

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wazee wengine wezi

  • @godwimmkolomi8988
    @godwimmkolomi8988 4 หลายเดือนก่อน +5

    ivi uyu Makonda ni nani na ana nini? Wenezi wamepita wengi tu lakini uyu jamaa izi kalama kazipata wapi? Watu,eananchi wameweka imani nae kiasi iki tumpe tu ukuu wake wakimungu alio pewa na mungu

  • @user-dd8oc6yw9n
    @user-dd8oc6yw9n 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @YavuziiKarassu
    @YavuziiKarassu 4 หลายเดือนก่อน

    Inauma sana 🙉🙉🙉

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 4 หลายเดือนก่อน

    Wananchi wanaimani na makonda kwa anavoshuhulika na na kero zawananchi alafu msigwa anasema makonda kiini macho anafanya yasiyomuhusu anatowa maamuzi yasiyo sasa wewe bwana msigwa angaliya watu walivomkubali unaempinga

  • @godwimmkolomi8988
    @godwimmkolomi8988 4 หลายเดือนก่อน

    Tungejuaje wabibi awa wanatoa pesa nakwanini watoe pesa ivyo kienyeji?

    • @geraldadolf4928
      @geraldadolf4928 4 หลายเดือนก่อน +1

      Katoaje kienyeji braza ivi wew unajua taratibu za kupima ardhi kweli.kuna gharama ya kupima ardhi kulingana na ukubwa na unatakiwa ulipe ndio uje upimiwe bibi kalipa ila wao sasa watu wa ardhi ndio hawataki kupima na hela ya kurasimisha ardhi umetoa.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@geraldadolf4928NADHANI KESHAFAHAMU 😂😂😂😂

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@geraldadolf4928NADHANI KESHA FAHAMU 😂😂😂😂😂😂