Mfahamu Mkurugenzi Mpya Wa Usalama Wa Taifa. Mabadiliko Yanamaanisha Nini?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2023
  • Rais Samia Suluhu Hassan leo Agosti 28,2023, amemuapisha Balozi Iddi Ali Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, akichukua nafasi ya Said Hussein Massoro aliyeteuliwa kuwa Balozi.
    Hii ikiwa ni takribani miezi nane toka Rais Samia amteue Said Massoro aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Shughuli za Ndani wa idara hiyo nyeti kuwa Mkurugenzi Mkuu Januari 3, 2023.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 29

  • @josiahsimon5333
    @josiahsimon5333 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu mwema sana mr siwa Mungu amlinde vema na afya njema

  • @amonbwanakunu910
    @amonbwanakunu910 9 หลายเดือนก่อน

    Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu mh Balozi Iddy Ally Siwa akuongoze katika majukumu yako ya kuiongoza Idara ya usalama wa Taifa letu,,Namuomba Mwenyezi Mungu akujalie afya njema ya roho na Mwili katika majukumu yako mazito ,makubwa na ya muhimu kwa ajili ya nchi yetu.

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 10 หลายเดือนก่อน

    Mmmhhhh sijui

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 10 หลายเดือนก่อน

    Nawasalimia kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 9 หลายเดือนก่อน

    He! Yuko kwenye utumishi wa umma tangu mwaka 1977? Huyu atakuwa Ni mzee Sana aliyepitiliza umri wa kisheria wa utumishi wa umma. Atakuwa Kesha vuka miaka 65. Ni Bora apumzike.

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 10 หลายเดือนก่อน +3

    Maombi ya mchungaji mbarikiwa yamejibiwa.

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 หลายเดือนก่อน

      mh!

    • @daudiayubu4464
      @daudiayubu4464 10 หลายเดือนก่อน

      Maombi ya Mbarikiwa yamejibiwa kivipi?? Kwani Masoro amefukuzwa kazi??? Mtu amepewa Ubalozi kaenda kula Bata nje ya Nchi harafu unasema maombi yamejibiwa we vipi????

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 10 หลายเดือนก่อน

    ✌️👊👍。

  • @luhindakanige2987
    @luhindakanige2987 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Mungu tumpe maua yake

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 10 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mwamba alitumwa vitani?? Basi ni mtu bomba sana 😂😂😂

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 10 หลายเดือนก่อน

    Aya

  • @timopanga5286
    @timopanga5286 10 หลายเดือนก่อน

    Teua tengua teua tengua teua tengua teua tengua

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 10 หลายเดือนก่อน

    Naombeni remote

  • @nestor384
    @nestor384 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna cha maana Wananchi amkeni

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du 10 หลายเดือนก่อน

      Aliye macho haamshwi

  • @user-ck6lf9gg6v
    @user-ck6lf9gg6v 7 วันที่ผ่านมา

    Kuna watu ni wajinga sana Huyu Mzee ana busara sana amekuwa mtumishi wa umma kitambo tena ni mzarendo na mchapa kazi mungu akulinde baba.

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Jamani hajavuka miaka kweli???

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du 10 หลายเดือนก่อน

      Kuvuka miaka ni ishara ya uzoefu ambao nchi inauhitaji.

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 10 หลายเดือนก่อน +2

    Labda huyu atamshauli mh raisi juu ya bandari yetu

    • @jakuabdull34
      @jakuabdull34 10 หลายเดือนก่อน

      Jinga ww

    • @Veni584
      @Veni584 10 หลายเดือนก่อน

      Ni wale wale

  • @marijanimohamed8875
    @marijanimohamed8875 10 หลายเดือนก่อน

    kuripoti mojakwamoja kwa rais 😅😅😅mnahisi babadiliko yako sawa kwa masilahi ya taifa au 😅😅😅😅 koment hapo chini nijue mawazo yemu

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 10 หลายเดือนก่อน

    Hamna lolote

  • @jamesLusesakaswahili-fw6lh
    @jamesLusesakaswahili-fw6lh 10 หลายเดือนก่อน

    Mwisilamu tena