"MKUU WA KITUO NJOO, WATENDAJI WANAVAMIA NYUMBA ZA WATU, WANAVUNJA MILANGO, WANACHUKUA HELA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 31

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 4 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda muombe mama Samia amrudishe Ally happy wanaonyanyasa wanyonge watakoma

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 หลายเดือนก่อน +6

    Makonda hawa viongozi wa chini wanahalibu sana chama cha CCM Wallaah

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 หลายเดือนก่อน +2

    Viongozi wa Tanzania kishawalamba zurma mbaya sana Mungu apendi mtazalilika sana. Mungu atawahukumu msipojilekebisha

  • @user-xy1jn7iq9m
    @user-xy1jn7iq9m 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kunahaja ya kumpa lengai olesabaya cheo wachangamane na makonda

  • @user-qm3dd9wb1v
    @user-qm3dd9wb1v 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hats Mimi naipenda ccm Ila watendaji wake wengi wezi

  • @user-yr7hj2my2z
    @user-yr7hj2my2z 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wapao kama haoooo asikari kilakona wapooi virushwa vidogo vidogooo havina mbeleeee walaaaa miguuuu

  • @alhabibsudi7997
    @alhabibsudi7997 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wananchi ifike hatua mnapoona matukio kama hayo mmevamiwa Inabidi muumgane ili muweze kuwapiga mawe au Marungu kama vile walivyofanya wa Masai Zanzibar na muhakikishe mgambo mmoja anatolewa meno 6 Basi Iyo itakuwa dawa nzuri sana.

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa hizi zama tutakwenda vizuri

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi naomba makonda 2025 awe waziri mkuu nasabaya awe mkuu wamajeshi Tanzania ally hapy awe waziri wamambo yandani ya nchi

  • @user-ov3pk3wv1s
    @user-ov3pk3wv1s 4 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda apo umefanya lamaana

  • @user-yr7hj2my2z
    @user-yr7hj2my2z 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mambooto motooo motoooooo

  • @gililwise
    @gililwise 4 หลายเดือนก่อน +1

    hao watendaji hawajui sheria ni wahuni tu.

  • @PHARESVENANCE-ye8wh
    @PHARESVENANCE-ye8wh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tupateje Namba yako utusaidie Makonda

  • @CharlesSomeke-ml7ju
    @CharlesSomeke-ml7ju 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dah ccm inahitaji kuwashughulikia watu hao

  • @hamadimziraymziray-ry4vi
    @hamadimziraymziray-ry4vi 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ ww unafaa kuwa raisi❤❤❤❤

  • @DavidEmilian-hq9xm
    @DavidEmilian-hq9xm 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi ipo tanzania jamani

  • @user-yr7hj2my2z
    @user-yr7hj2my2z 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanazinguuuu haooo sanaaaaa fujuzaaaa kazi

  • @user-yr7hj2my2z
    @user-yr7hj2my2z 4 หลายเดือนก่อน

    Waendeee wakaweee ukorokoroni hukoooo mtaaani kwenye makampuniiii mengineeee

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 4 หลายเดือนก่อน

    Polisi mara nyingi sana hunea wanyonge

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya Polisi ni kuwalinda Wananchi na Mali yao

  • @SebastianNgonyani-sm7to
    @SebastianNgonyani-sm7to 4 หลายเดือนก่อน

    Ally Hapi apewe nafasi pia

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa mtendaji inakuaje mnamvamia nyummba za watu kwaajili ya michango ndio shelia, wanavunja wenyewe shelia kisha wanawageuzia kesi pumbavu zenu wenyekiti, alafu hata hawa migambo wanatumika vibaya alafu niwezi wakitumwa na polisi au hao wenyekiti wanakua kama wamepata chansi ya kuwaibia wananchi.

  • @gracefoya4609
    @gracefoya4609 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa Watendaji na team zao wanawaumiza sana wananchi, kwenye viwanja, nyumba, michango, nk. Ndiyo sababu hatuiamini tena CCM. CCM na wafanya kazi utawaka wao wame Fanya wananchi kuichukia Serikali inayoongozwa na CCM. CCM imejaa usanii, ufisadi, uumizaji wananchi, tuwapende kwa lipi???!! Tulifurahia uongozi wa Kizalendo wa Baba wa Taifa tu. Hawa wengine ni wakimbiza pesa na maumivu kwa wananchi.

  • @sadikhussein3158
    @sadikhussein3158 4 หลายเดือนก่อน

    Nawaomba viongozi wa Tanzania akiwemo raisi wetu mama Samia suluhu Hassan amuongezee bw makonda walinzi pia amrudishe kazini bwana ally hapi nimchapa kazi mzuri nakama hamjui nimchapa kazi hebu angalieni mikutano yake

  • @user-to3uq1ct6d
    @user-to3uq1ct6d 4 หลายเดือนก่อน

    Makambako mmefikiwa

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ungo mtupu polisi muone aibu

  • @NovatiMushi-kt1qi
    @NovatiMushi-kt1qi 4 หลายเดือนก่อน

    Kirefu cha PT ni piga tu.

  • @user-sf7bh4ww2e
    @user-sf7bh4ww2e 4 หลายเดือนก่อน

    Kama Kuna uwezekano watumbue watoke mapema sio wazuri kabisa

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda ange mpata Ally Happy watendaji wa serekari wangenyooka

    • @ashangonyani7989
      @ashangonyani7989 4 หลายเดือนก่อน

      Sana kwakweli ALI HAPI ni Jembe