MZEE wa KANISA KATOLIKI AULIZA MASWALI 7 MAZITO KUHUSU WATU KUPOTEA - RUSHWA MBELE ya KAMANDA MULIRO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • MZEE wa KANISA KATOLIKI AULIZA MASWALI 7 MAZITO KUHUSU WATU KUPOTEA - RUSHWA MBELE ya KAMANDA MULIRO
    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 13

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hii nchi inawatu mwenye elimu zao tuache kuchukulia poa Mf huyu mzee safi sana

  • @bonifacemeela5247
    @bonifacemeela5247 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hongera sana mzee uwezo wako ni mkubwa kuliko hata viongozi wetu

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hongera sana Mungu akujaalie baraka tele

  • @salomeshongola1697
    @salomeshongola1697 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hawa watu mungu awatunze.

  • @themaestro-24
    @themaestro-24 36 นาทีที่ผ่านมา +2

    UBERIKIWE WEWE NA UZAO WAKO.KUSIWEPO LAANA YOYOTE ITAKAYOGUSA UZAO WAKO.

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwakweli kimi nionavo sidhani km huu utekaji utashindikana kukomeshwa ,iwapo wanaujua wakalitendea kazi ,kw nia yakuiokoa Tanzania nahasira za wa Tanzania , nakm Askari mmetajwa sana ktk hili namnahakika hamuhusiki kwnn msijivue gamba lauovu mnaotajwa nao ,inashindikana kivipi ,ukimya wenu lazima mtahusishwa ,mimi ni Mtanzania tu sio lolot ila napenda Amani yetu

  • @HamadBashir-bs5wo
    @HamadBashir-bs5wo ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona sioni unapoonyesha

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 51 นาทีที่ผ่านมา

    Hizo takwimu zako za uongo kwenda huko

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 53 นาทีที่ผ่านมา

    Hivyo hawa wazee wa kanisa miaka 5 kabla ya uongozi wa Samia walikuwa sayari gani? Lakini pia watu waliokufa kibiti mamia kabla ya Rais Samia hawana thamani kama hawa mbona mlinyamaza acheni kelele ng'ombe nyie.

    • @paschalsafari9747
      @paschalsafari9747 46 นาทีที่ผ่านมา +1

      acha matusi..jenga hoja.

    • @Re-Agrotec
      @Re-Agrotec 36 นาทีที่ผ่านมา

      Ww ndio uwaufuatilii siasa, uenda ni chawa tu coz kama nimfuatiliaji 2019 ulitoka ujumbe wa kwaresma enzi za magufuli, hvy unadata na sio mfuatiliaji you better shut your fuckn ass

    • @Re-Agrotec
      @Re-Agrotec 26 นาทีที่ผ่านมา

      Ujumbe wa kwaresma 2019 uliufuatilia au ata siasa aufuatili, umekalia uchawa bila kuwa na takwimu?

    • @keithapeter7854
      @keithapeter7854 23 นาทีที่ผ่านมา

      Kuwa mwelewa Kati ya waliotekwa na Kupotea angekuwepo mwanao ungekoment matusi hayo??