Nilitekwa na WAASI, Nilitupwa kati kati ya BAHARI, Wengi walikuwa WANAKUFA, Nimekaa JELA, Niliumia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 204

  • @samomnanka2779
    @samomnanka2779 4 ปีที่แล้ว +23

    Hizi simulizi huwa ni nzuri zinasisimua, zinahuzunisha ila kikubwa ZINAFUNDISHA... bravoo kaka mtangazaji

  • @salimzephania1794
    @salimzephania1794 4 ปีที่แล้ว +3

    Mm mwenyewe nimepitia maisha hayo nime panda mara mbili mili yangu ya kwanza nilingia Madagascar n reunion mili yangu ya pili nili kwenda hd spain kisiwa kinaitwa Bilbao kuna watu wuesi wengi 2 mm kipindi sikutarajia km nitakuta watu weusi ndio mr kwanza kujuwa km n kuna wa Spain weusi ila kutembea unajuwa mengi 2 baada ya hapo nilirudi nyumbani nikaamuwa kwenda sauz ndio nilikaa miaka kumi n mbili ila km bado rizk yako n bado yani nilitumia md wangu sana nilivyo kuwa kijana kutafuta ili nije nikomboe family yangu ila sikufanikiwa ila mungu ndio mtowaji bd sijakata tamaa ya maisha sahii nimetulia napanga maisha yangu upya

  • @shamimuomary831
    @shamimuomary831 3 ปีที่แล้ว +5

    daah namkumbuka kaka angu aliwkua south Africa alikaa miaka 5 then alizamia ili aend Australia lakin alifia njian😭😭😭mpk leo bad tunakukumbuk maan hta mwili wake aukurud Tz 😭😭😭mungu akupe kauri thabith mda mwingine tunaona kma ndoto labd ipo siku utarud rip my kaka😭😭

  • @myself4128
    @myself4128 4 ปีที่แล้ว +4

    Kinachotumaliza waafrika ni Extended families....tunahangaika sana wanaume sababu ya kulisha mijitu isiyo na shukurani.....
    Wanaume tumepewa LABELS oor utasikia ndio uanaume...mara mwanaume umeumbwa kuteseka...n.kndio maana tunahangaika tu ovvyoo...tutulie nyumbani tuee wajasiriamali tuu .nimegundua maisha yetu mengi tunamaliza tunahangaika tuuu siku unatulia ushazeeka na utajiri hujaupata

  • @ilyasmuhsin3285
    @ilyasmuhsin3285 4 ปีที่แล้ว +8

    Best interview ever..💪💪✊

  • @nassorosaidi9605
    @nassorosaidi9605 4 ปีที่แล้ว +7

    Mzee ujana wake alikuw hatar sana like kwa bahalia√√√

  • @delekalxon7221
    @delekalxon7221 4 ปีที่แล้ว +4

    Yes Siku nyingine tena ,new chapter masaa tofauti

  • @yaqoubsalim99
    @yaqoubsalim99 4 ปีที่แล้ว +9

    Huyo ndio Bahari wa ukweli, yupo fasta kumaliza story, eti nilizaliwa nikateseka lakini bado naishi halafu nitakufa.

  • @khalidngwembele9075
    @khalidngwembele9075 4 ปีที่แล้ว +12

    Mzee stor yake nzur lakn anaruka sana episode nzur nzuri 😄pongez kwako mtangazaj unaweza babaaa👏👏👏

  • @badbeats5637
    @badbeats5637 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa anatakiwa atolewe movie. Real man.

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 ปีที่แล้ว +10

    Duh mzee umeludiswa South Africa Mala nyingi sana

    • @immajoachim3181
      @immajoachim3181 4 ปีที่แล้ว

      Mabaharia wengine wapo Tanga broo watembelee

  • @aminumengo2123
    @aminumengo2123 ปีที่แล้ว +1

    Nilipokuwa nafanya kazi na waghana waliniuliza eti ukichukuwa trip melini ukirudishwa kwenu unafungwa nakawajibu ndio ,wakawa wanacheka sn . Wananiambia kwetu chukuwa trip utakavyo ukirudishwa unaambiwa welcome home and try again ni kutafuta maisha

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 4 ปีที่แล้ว +9

    Keep it up bro. I really appreciate your work

  • @razmuhammad7223
    @razmuhammad7223 4 ปีที่แล้ว +4

    My focus ilikua ni kumsikiliza baharia tu, ila hapa nime-pause in just 3mins, nimegundua huyu interviewer is very talented and competent... Big up bro..
    Well now, lemme proceed

  • @edoniko9420
    @edoniko9420 4 ปีที่แล้ว +6

    Hapo mzee wangu umeongea VIZURI sana

  • @mursalseleman2174
    @mursalseleman2174 4 ปีที่แล้ว +8

    Angekua anataja na mwaka ingekua vzr

  • @AnwarShivji-vq1nd
    @AnwarShivji-vq1nd ปีที่แล้ว

    Kuna story nzuri sana ya baba yangu alikuwa baharia

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini 4 ปีที่แล้ว +34

    Unatusaidia sana kusukuma mda wakati huu mgumu sisi tuliokwama huku uarabuni🇰🇪

  • @kyaloronny5407
    @kyaloronny5407 4 ปีที่แล้ว +7

    Stoaway so mchezo na maisha ugaibuni hayataki uzembe

  • @wazirisukari5178
    @wazirisukari5178 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwahiyo mpaka saivi unatamani kwenda Italia Lima mboga huko mzee ulishachemka kitambo sana

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 ปีที่แล้ว +5

    Mambo ni moto nakufatilia sana Esco

  • @eunicebukokhe6805
    @eunicebukokhe6805 3 ปีที่แล้ว

    Ni siku za mwisho Ndugu jikaze uombe Mungu sana akuokoe na akulinde pia,maana huyo shetani tunaye siku zote anatafuta akutumikishe kama mfungwa mpinge huyo shetani kwa kupiga magoti na kuomba Mungu akulinde

    • @eunicebukokhe6805
      @eunicebukokhe6805 3 ปีที่แล้ว

      Don't let satan to play with your life please mr forgive them what they did to you, always pray.don't let them know where you are standing ok

  • @samniza1763
    @samniza1763 3 ปีที่แล้ว

    Big up big man, I like hustlers mungu azidi kukupa huohuo moyo wa kutafuta.

  • @ruu6592
    @ruu6592 3 ปีที่แล้ว

    Yani unamua kuingia meli kama ya kwako mashallah kipaji icho

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu jamaaa inaonekana kuna matokeo mengi sana anayaficha lakini ndio ubaharia mkuu sio lazima useme kila kitu

    • @hassanimapanga7024
      @hassanimapanga7024 4 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Aziz toka lini baharia akasema ukweli

  • @simonsweka7305
    @simonsweka7305 4 ปีที่แล้ว

    Loh... Mungu akutnguliee ...yotee maishaa....katk utftji...

  • @muddyville
    @muddyville 4 ปีที่แล้ว +18

    Kinachofurahisha mabaharia ni dressing codes zao tu hata ukimkuta mzee...

    • @josephfunganya9339
      @josephfunganya9339 4 ปีที่แล้ว

      Huwoniuogo mukubwa

    • @muddyville
      @muddyville 4 ปีที่แล้ว +1

      @@josephfunganya9339 ndo umeandika nini?

  • @asiaenzi5542
    @asiaenzi5542 4 ปีที่แล้ว +1

    stori nzuri

  • @africatanzaniatours
    @africatanzaniatours 4 ปีที่แล้ว +2

    Great story

  • @ibykazu3561
    @ibykazu3561 4 ปีที่แล้ว

    Homy ILaLa fresh, henzi ya bandidu umerudi toka South hadi Bongo kwa border ? Baria anajipakia arudi Bongo kwa miguu special kutoka South kwenye mapangapanga ya kumwaga to sea, TZ tukutuku vichaa for life one love from Boston strong 617 USA.

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 ปีที่แล้ว +2

    Interview nzuri esco_dona 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @pidasisaidi2670
    @pidasisaidi2670 4 ปีที่แล้ว +5

    Mimi huwa nakubali maswali yako tu bro!!

  • @jesusnetworkministry
    @jesusnetworkministry 4 ปีที่แล้ว +2

    Njoo na Zanzibar wapo wengi sana hao jamaa

  • @fatmamwatamba5881
    @fatmamwatamba5881 4 ปีที่แล้ว

    Daah mzee yuko vizuri
    Na hamejitaidi

  • @alihaji7201
    @alihaji7201 4 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nilizamia South Africa nilimhongaa bahariaaa Dolla elf 8000 elf naneulikua wawili na wakat wa kutoka tulivalishwa ma over rolls km wafanyakaz hd Southampton england

    • @ennarobert6238
      @ennarobert6238 4 ปีที่แล้ว

      Baadae ikawaje?

    • @expert5898
      @expert5898 4 ปีที่แล้ว

      Ndio upo huko hadi leo?

    • @kassimmahimbo3028
      @kassimmahimbo3028 4 ปีที่แล้ว

      Ali Haji acha uongo ww elfu 80 dollar wazijua?? au umesikia wkati mwadanganywa: nizaid ya milion 170

    • @alihaji7201
      @alihaji7201 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kassimmahimbo3028 dola elf nane

    • @expert5898
      @expert5898 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kassimmahimbo3028 amesema dollar 8000 sio dollar 80,000/=, ambayo ni sawa na milioni 16 za kibongo. Lakini bado ni nyingi sana! Kama alikuwa nazo hizo! Alizamia kwanini?? Si angepanda ndege na change ingerudi nyingi tuuu!!

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu hawezi kusimulia vizuri. Story anatoa kama simple

  • @JohnJohn-wu7we
    @JohnJohn-wu7we 4 ปีที่แล้ว +1

    Nenda Maersk Studio,Kinondoni,utapewa really Seaman story

  • @mpondamedia2416
    @mpondamedia2416 4 ปีที่แล้ว +5

    ubarikiwe bro kwa kuwahoji hawa mabaharia nna bro wangu al maarufu msolopa yupo kibaha kwa mfipa nataka ukamuhoji ni follow insta shaikh_mponda tuyajenge ukamuhoji shukran bro

    • @eskodonald3087
      @eskodonald3087 4 ปีที่แล้ว

      Nichek Instagram @esko_donald

  • @twayibmood7319
    @twayibmood7319 4 ปีที่แล้ว

    Amazing story

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 4 ปีที่แล้ว +8

    Mabaharia km hawa serikali iwaenz na kuwatambua.mchanqo wao enz hizo waliitanqaza sana Tanzania nje ya nchi

  • @amiriramadhan7753
    @amiriramadhan7753 4 ปีที่แล้ว +6

    Hayo ndo mavazi ya mabaharia mabaharia wengi washakata lingi lakini mshushe nungwi utazama wewe yeye anachapa maji

  • @ibranassor610
    @ibranassor610 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah ilkuwa ni deadely voyage

  • @frankmaria6717
    @frankmaria6717 4 ปีที่แล้ว +1

    Unaehoji hakuna mahali umemuuliza mwaka wa tukio safari alianza lini,tukio flani ilikua mwaka gani mpaka mwaka gani nk

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 ปีที่แล้ว +8

    Baharia hyu si teja yupo vzr yupo gado

  • @shegonego2609
    @shegonego2609 4 ปีที่แล้ว

    Daah pole san mzee

  • @ramadhanjuma7629
    @ramadhanjuma7629 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji jifunze jinsi ya kuhoji maswali, hii ni bonge la story ila umechangia kuipoza kwa asilimia 70

  • @jemamhagama4978
    @jemamhagama4978 3 ปีที่แล้ว

    Wengi wao naona wamechoka kimaisha japo walivamia meli kwenda nga'mbo

  • @Daniel-ug6fi
    @Daniel-ug6fi 4 ปีที่แล้ว

    nice stori

  • @alexmsimbete8250
    @alexmsimbete8250 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakufatilia sn uko vzr

  • @arancaraba293
    @arancaraba293 4 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @kachabisnea8815
    @kachabisnea8815 4 ปีที่แล้ว +6

    Duh jamaa karuka sana eti mtwara hadi quirimane yani umeshindwa kuitaja mocimboa nampula hadi kufika uko sema cy mbaya umejitaid kamanda sisi bado tupo uku tunapambana bado

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 3 ปีที่แล้ว

    Chakalulu nipo na kalinjumbi apa tunakuskiza kwa uzur tu

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 2 ปีที่แล้ว

    Hongera apewe kazi kwa safari hii maana ni watafiti sana hawa mabaharia

  • @الزنجباريعلي-خ3ك
    @الزنجباريعلي-خ3ك 4 ปีที่แล้ว

    huyu mzee nimtafutaji ila maisha nisafari ndefu sana mja hupitia mengi ktk kufaiti maisha

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 4 ปีที่แล้ว +6

    Mzee ana story nzuri lkn anazihadithia kwa mkato

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 4 ปีที่แล้ว +3

    Katika maelezo yote asemi meli ya kwanza kapandia Port Dar es salaam ilikuwa mwaka gani? Na alipoenda Mozambique ilikuwa mwaka gani? Na meli aliyo panda South Africa mwaka gani? Na port gani?kwa mimi story bado aija jitosheeza

    • @tanzaniadar5227
      @tanzaniadar5227 4 ปีที่แล้ว +2

      Anazingua hyu boya katoka mtwara ghafla tupo kilimani hafu kapilimposh wapi na wapi ssa

    • @rasjamal9854
      @rasjamal9854 4 ปีที่แล้ว +1

      @@tanzaniadar5227 umeona kilimani kapilimposhi Zambia ndiyo maana nimeona story za maskani? Michezo hiyo nime cheza na mpk sasa nipo mtoni

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 4 ปีที่แล้ว +1

      Mtangazaji hajui kuhoji

    • @serijofesto9068
      @serijofesto9068 4 ปีที่แล้ว

      Tatizo hpo ,,,,MTU anaemhoji ndo ki.l,,,za

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 4 ปีที่แล้ว +3

    Hivi Nan amewahi kukutana na baharia aliyetoboa life??? Wote naonaga wamechoka mbaya?

    • @hajimbwanahaji7197
      @hajimbwanahaji7197 4 ปีที่แล้ว +2

      Wapo wengi sana

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว +3

      Wapo kibao na wengine wana uraia ktk mataifa mengine na awataki hata kurudi Afrika tupo nao huku viwanjani mpaka sasa na familia zao

    • @tahirnephessalum3678
      @tahirnephessalum3678 4 ปีที่แล้ว +1

      I wish nao watafutwe watupe history ya hustling zao, kila siku tunakutana na Hawa waliochoka inavunja moyo na nguvu ujue😄

    • @abuumaryam1628
      @abuumaryam1628 4 ปีที่แล้ว

      Mimi

    • @Salim-gaming244
      @Salim-gaming244 4 ปีที่แล้ว

      Mabaria wapo wengi sana walio toboa tembea viwanja utaona mwenyewe

  • @mustafaahmad3585
    @mustafaahmad3585 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu hakuwa na Seamen book

  • @spinoespanolxiang8204
    @spinoespanolxiang8204 4 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @nahishakieathumani5041
    @nahishakieathumani5041 4 ปีที่แล้ว

    Pole broken

  • @yusufumbwene6845
    @yusufumbwene6845 4 ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅 RENAMO hata ukisoma historia ya harakat za kupambana na ukoloni hawakuwa wazuri . Wamekata watu midomo sana

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 4 ปีที่แล้ว +2

    Maswali mazuli Sana dogo

  • @abduryabdallah8671
    @abduryabdallah8671 4 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @bueno1818
    @bueno1818 4 ปีที่แล้ว

    Mnyama Esko!!!

  • @anahna6788
    @anahna6788 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu yuko fiti kuliko wale mamento wa bagamoyo

    • @hafidhissa4405
      @hafidhissa4405 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahaa wale wa Bagamoyo story zao za kichawi. Nadhan wana future za kua waganga😂😂😁

    • @captendunga1392
      @captendunga1392 4 ปีที่แล้ว

      Umeonaeee hata kama alikula unga hakuula kwa mda mrefu.

    • @expert5898
      @expert5898 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha... Umenifurahisha sana

    • @expert5898
      @expert5898 4 ปีที่แล้ว

      Huyu anajua kusimulia

  • @salimmohamedsalim4448
    @salimmohamedsalim4448 4 ปีที่แล้ว

    Unachelewa saana kurusha vipindi vyako mzee escom

  • @wanderenyeura9011
    @wanderenyeura9011 4 ปีที่แล้ว

    Balaa sana

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว

    Ukitaka Habar Fupi Fupi Tumia Airtel Na Ukitaka Habari Ndefu Tigo Voda Na Jibu Airtel Plesha Tupu Apa Nimeganda Habar Inazunguluka Tobo Tupu

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว

    Yani Mtandao Wa Airtel Uko Vipi Intaneti Ugolo Tupu

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnala Autulii Kama Kicheche Wa Uwanja Wa Fisi

  • @jamesyusuph336
    @jamesyusuph336 3 ปีที่แล้ว

    Duhu

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli wewe baharia hata kofia ulivyovaa hiyo

  • @directorkabalo3206
    @directorkabalo3206 4 ปีที่แล้ว +1

    hawa ndio mabaharia sasa🙂🙂

  • @darlinmamawatatu6411
    @darlinmamawatatu6411 4 ปีที่แล้ว

    Bora zamani walikuwa wanazamia wanarudi na marinda yao sasa hivi zamia washenzy wazungu wanakufunua malinda kwanza wakikupata na kukutupa baharini ...vijana bora mtumie njia halali kusafiri na kutafuta maisha tu

  • @expert5898
    @expert5898 4 ปีที่แล้ว

    Mimi na wenzangu wawili tulizamia meli ilikuwa inaenda ugiriki, ilikuwa 1995 kipindi hicho nikiwa na miaka 20 kipindi Mlema kashika mno kwenye siasa. Ilikuwa taabu sana! wale wenzangu wawili walipoteza maisha japo kwa vifo tofauti, mmoja alipigwa risasi na wale mabaharia... Hiyo safari ilinivuruga sana akili yangu Hadi leo. Kila nikikumbuka huwa nalia.

    • @eskodonald3087
      @eskodonald3087 4 ปีที่แล้ว

      Uko wapi kwa Sasa?

    • @expert5898
      @expert5898 4 ปีที่แล้ว

      Mimi naishi Dar japo nimekuja Tanga one-time.

    • @eskodonald3087
      @eskodonald3087 4 ปีที่แล้ว +1

      Unarudi lini?

    • @expert5898
      @expert5898 4 ปีที่แล้ว

      Wiki ijayo ntapata picha halisi, kwan vipi?

    • @eskodonald3087
      @eskodonald3087 4 ปีที่แล้ว +1

      Nichek Instagram @esko_donald

  • @maigajohn702
    @maigajohn702 3 ปีที่แล้ว

    Simulizi iko pw

  • @hamisikalulumbe6857
    @hamisikalulumbe6857 4 ปีที่แล้ว +4

    Baharria gani alishawahi kutoboa life hil hamna show time tuuu

  • @MITOBO
    @MITOBO 3 ปีที่แล้ว

    Kwanin mabaharia wengi wamechoka..?

  • @mussakiumbo5990
    @mussakiumbo5990 4 ปีที่แล้ว

    Never lose hope baharia wewe vp chakaruru

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 ปีที่แล้ว +1

    bwana jabiri iko makini namtangazaji umeanda vyema.

  • @vianyfrancis2789
    @vianyfrancis2789 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu muongo anahadithi ya kusimuliwa

  • @williambasiga5285
    @williambasiga5285 4 ปีที่แล้ว

    stowaway is not a Seafarer bandugu

  • @landlord440illuminate8
    @landlord440illuminate8 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndumilakuwili alizamiaga wakamtosa kaogelea mpaka ufukweni.

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 3 ปีที่แล้ว

    Store all the way ( stolowey)
    Are we? We are ,( wiii, waa)
    As you were ( az wea)
    Support ( sapota)

  • @yusufhassanfu4012
    @yusufhassanfu4012 4 ปีที่แล้ว +2

    Kipindi poa lakini advertising zako nyingi mno,zinatoa husuda yakuendelea kutizama.

  • @fatmakiraga4016
    @fatmakiraga4016 2 ปีที่แล้ว

    Vijana wa skuizi hawajui kuchukua meli kazi Yao ni kuibia watu ndio waona uhuni

  • @Danny-px1bh
    @Danny-px1bh 4 ปีที่แล้ว

    Kuna mdad kapita huko nyum..duh anamnyeo huyoo

  • @kimwelshebuge8772
    @kimwelshebuge8772 4 ปีที่แล้ว

    Mwaka gani

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji haulizi jamaa alizaliwa mwaka gani,alipokwea meli ya kwanza ilikua mwaka gani,alienda Msumbiji mwaka gani. Stori nzuri ila mwandisha ameshindwa kuhoji ili kuleta mtiririko mzuri.

    • @nurabdiyare8025
      @nurabdiyare8025 ปีที่แล้ว

      Sijajua kama amesomea, kujua mwaka ni kitu muhimu yeye anahoji kama mbulula

  • @alihaji7201
    @alihaji7201 4 ปีที่แล้ว +2

    Baharia nataka kiwanja maeneo ya buyuni kw ujenz wa nyumba

  • @smktv9659
    @smktv9659 4 ปีที่แล้ว +3

    ads nyngi sana

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 4 ปีที่แล้ว +3

    Watoto wa kariakoo usafiri wameuanza zamani,kariakoo hamna fala

  • @AnwarShivji-vq1nd
    @AnwarShivji-vq1nd ปีที่แล้ว

    Nipe namba yako ya whattsap

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 4 ปีที่แล้ว +2

    Escooo 💪💪💪

  • @stevengolan9729
    @stevengolan9729 4 ปีที่แล้ว

    Midomo ya jamaa anayehoji mikubwa yote wa juu na chini

  • @msowanelson5452
    @msowanelson5452 4 ปีที่แล้ว +1

    Amekata center bolt

  • @zamzam5001
    @zamzam5001 4 ปีที่แล้ว +1

    Baharia

  • @bwanap2003
    @bwanap2003 4 ปีที่แล้ว +3

    Do 14:09
    Nikitoka Mtwara kuja huku Tanzania 🤣🤣🤣

    • @abdullmahbeshi2903
      @abdullmahbeshi2903 4 ปีที่แล้ว

      Pallahani Masumba kakusudia dar c unajua tenaa😃😃

    • @bwanap2003
      @bwanap2003 4 ปีที่แล้ว

      @@abdullmahbeshi2903 🤣🤣🤣

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 3 ปีที่แล้ว

    Ukamhoji Sinbad baharia huyo ndie bahari tajiri kuliko wote duniani,, ila alikutana na hatari kubwa ktk safari zake hata ilifika kipindi alizikwa kaburini akiwa mzima na akatoka baada ya miezi mingi angali hai na utajiri mkubwa sana

    • @herikaniugu
      @herikaniugu 2 ปีที่แล้ว +1

      Sinbad movies 🔥🔥

    • @sulaymanwaziri4455
      @sulaymanwaziri4455 2 ปีที่แล้ว

      @@herikaniugu kumbe mhenga mwenzangu😂😂😂

  • @hassanimapanga7024
    @hassanimapanga7024 4 ปีที่แล้ว

    Huyo kwa muonekano tu nikweli baharia chakaruru