BAHARIA ALIYEJITOSA PAKISTAN!/ AFICHUA MASHAMBA YA UNGA/ MAISHA/ MILION 200/ WATU WANAUAWA..PART 08

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.พ. 2024
  • MAISHA NI SAFARI ISIYO NA MWISHO, UNAWEZA UKALALA MASIKINI NA UKAAMKA UKIWA TAJIRI. KAMA HUIJUI KESHO YAKO UNAPASWA KUMUOMBA SANA MUNGU ANAYEFAHAMU NINI UTAKACHOKIPATA KWA NAMNA ALIVYOKUPANGIA.
    DAR24 MEDIA TUMEPIGA STORI NA BAHARIA CHAD AMBAYE AMETUMIA MKASA WAKE KAMA FUNDISHO KWA VIJANA WANAOTAMANI KUPITIA NJIA FUPI ILI KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAO YA KILA SIKU.
    INAFURAHISHA KWA UPANDE MMOJA LAKINI KWA UPANDE MWINGINE INAHUZUNISHA SANA KWA SABABU HUENDA LEO ANGEKUWA ANA KAMPUNI KUBWA AMBAYO INGEWEZA KUWAAJIRI VIJANA WENGI, LAKINI HUENDA NJIA HARAMU ALIZOTUMIA NI KAMA MUNGU AMEMUADHIBU NA KUAMUA KUMRUDISHA KATIKA HATUA YA SAHIHI ILI APATE RIZKI YAKE KIHALALI.
    KARIBU UFUATILIE KISA HIKI CHA KUSISIMUA.
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #baharia #mbanga #dupamdupange

ความคิดเห็น • 14

  • @dar24media
    @dar24media  4 หลายเดือนก่อน +3

    Kama una simulizi/mkasa ungependa kusimulia kwa jamii kwa lengo la kuelimisha na kufundisha, karibu wasiliana nasi kwa namba..#0653127761.
    kwa mahitaji ya nguo nzuri zenye chapa ya KABUNYAU wasiliana nasi kwa mawasiliano ya,...0764368113/0717066207/ 0653127761...Asante

  • @abdulazizmohammed2420
    @abdulazizmohammed2420 4 หลายเดือนก่อน

    On on dupa
    big up man chad

  • @user-du5ny9xn4g
    @user-du5ny9xn4g 4 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah 😂Kaka huyo wa home kabisa mm naishi Ushongo mtoni nampata sana hapa

  • @eddywayne1755
    @eddywayne1755 4 หลายเดือนก่อน

    Nakubal mbanga unajua kuchimba siku hizi bro bab kubwa

  • @FazoPhone
    @FazoPhone 4 หลายเดือนก่อน +1

    Umetsha bro

  • @ibrahimhassanibrahim8314
    @ibrahimhassanibrahim8314 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wa kwanza mm leo

  • @venancerogers6277
    @venancerogers6277 4 หลายเดือนก่อน

    Like wa kwanza Team kabunyau

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana brother

  • @yohanakashinje1548
    @yohanakashinje1548 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wakwanza

  • @user-qf2mg1bu4u
    @user-qf2mg1bu4u 4 หลายเดือนก่อน

    Tunataka beat ya zaman hii hatuielewi

  • @MrishoMohamed-ey5zf
    @MrishoMohamed-ey5zf 4 หลายเดือนก่อน

    Nakubali dupa

  • @mohammedmussa6740
    @mohammedmussa6740 4 หลายเดือนก่อน

    Man chad

  • @user-wu3ld2ti1k
    @user-wu3ld2ti1k 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 4 หลายเดือนก่อน

    Respect dupa