Mwega umeishi maisha ya ndoto zako bro!! nikija bongo naweza kukutafuta bro !! maisha hakuna kuogopa tunaishi mara moja tu!! mimi traveler pia nipo States maisha yanasogea bro.
Nmewacheki mabaharia wengi ila mwega na kaliope nahis ndo matop kwangu ... wanaongea fact na wanajua kuwasihi vijana na masela wote .. very appreciated 🙏
Esko Unatisha Sana # ila mwega daaaaahh nakukubal mwamba story yako ni spectacular Kwa mabaharia wote na ujumbe mzito Sana kuwa don't give up ... By any means yaan...!
Huyu jamaa very smart kwanza anafundisha ufuate ndoto zako.Pili haogopi kujaribu anaamini matatizo au kifo hupangwa na Tatu anawapa moyo wenye nia ya kusafiri watembee wasiogope
UONGO WAKE NINI?...MAZABE ZIMEJENGEWA BINADAMU...WE MTOTO WA KIUME UNAOGOPA JELA!!?...JELA WANAKAA HATA MARAISI...MAWAZIRI MA SHEIKH NA WACHUNGAJI..WANGAPI WAMEKUFA KISA JELA? NI MARA CHACHE SANA....KUTOKEA... HAKUNA SEHEMU SALAMA KM JELA...ASIKWAMBIE MTU...MUULIZE MTU YEYOTE ALIEKAA JELA...JELA ZOTE ZINA SHERIA KALI SANA..UKIJIPINDUA UTAJUA WHICH IS WHICH..
WEWE NAE MTOTO WA KIUME KUMBE BOYA TU NILIJUA SHABABU KUMBE KINA JUMA LOKOLE 😅 KAMA UWEZ KUSIKLIZA STORI ZA MABARIA TUACHIE SISI MWAMBA NA NDIO MAANA TUNAWEKA MB KUJIFUNZA VITU ANZIA PART 1 MBK SASA IVI PART 4 UTAJIFUNZA VITU SIO UNAKURUPUKA KUKUCOMMENT FYOOOOKO
Esko Unatisha Sana # ila mwega daaaaahh nakukubal mwamba story yako ni spectacular Kwa mabaharia wote na ujumbe mzito Sana kuwa don't give up ... By any means yaan...!
Seaman lifes na challenges zake big up mazee one love from States TZ tukutuku vichaa
Mwega umeishi maisha ya ndoto zako bro!! nikija bongo naweza kukutafuta bro !! maisha hakuna kuogopa tunaishi mara moja tu!! mimi traveler pia nipo States maisha yanasogea bro.
Sana tu popote unafight, bongo mifumo imesetiwa Ili iwe ngumu kutoboa. Nilikuwa mbishi kubakia bongo naona nataka nitembee tu
Oya uyu mwamba nikiona story zake ata kama sina bando ntakopa 😂 anajua sana kujielezea
Esco kazi nzuri bro!! pongezi sana Mike traveller. toka Unyamwezini.
Mwega boy ww ni noma na umeongea ukweli wote cc masaila ndio tunajua izo harakati
Asee huyu noma
Sichoki kumsikiliza jamaa
Mtangazaji kaenjoi sanaa alivyo muhoji baharia MWEGAAA.
Cmen Mwega, big up! Huge respect and Salute kwako bro. Mi pia baharia ila yako ni bonge la movie kka. History yako ni movie braza,
Huyu msela ni mtemi kuligana na mazungumzo yake kaka salute Ile Ile mzee
Nyie huyu anasema kweli india chapat maisha ya jera wanafanya kuni ndo wanapikia maforena
Yeah noma One love 🔥🔥
Much love homie mwega karibu Cape Town homie
Kila mtu superstar ktk maisha yake usikate tamaa tu
Nmewacheki mabaharia wengi ila mwega na kaliope nahis ndo matop kwangu ... wanaongea fact na wanajua kuwasihi vijana na masela wote .. very appreciated 🙏
Ila mwandishi alitunyima vitu vingi kwa Kaliope … ana madini mengi sana yule mzee
Yah sure mwamba mbishi
Esko Unatisha Sana # ila mwega daaaaahh nakukubal mwamba story yako ni spectacular Kwa mabaharia wote na ujumbe mzito Sana kuwa don't give up ... By any means yaan...!
baariya mwega i respect u bro mm pia nna historiya nimesafa manchi kibao majela but i respet u bro one love
Kaka salute mwegga
Tufike na Mwega mpaka sehem ya 10 ana mengi sana huyu jamaa
MWANZO NILIPATA TABU SANA KUKUELEWA MWEGA ILA HADI HAPA NIMEJIKUTA NAKUKUBALI SANA BRO.SALUTE....HE IS A FIGHTER🤜🏽
Huyu jamaa very smart kwanza anafundisha ufuate ndoto zako.Pili haogopi kujaribu anaamini matatizo au kifo hupangwa na Tatu anawapa moyo wenye nia ya kusafiri watembee wasiogope
Nikweli wahindi wanapenda Sana wadudu wanawapa sukari sisimizi hata kilo tatu wana wamwagia true
😂😂😂😂😂😂
Duuuh
Nilionana na Mwega..mtu poa sana, kaniongoza vitu vingi na ninazingatia sana...ila Lazima nitembee mbele...!!
Bro naomba conection ya mwega
Vip boy tueke mambo sawa basi
Safi saana tu.
Mwega the great
Sijawahi kusafiri nje ya nchi bt jamaa story yake ya ukweli sio kama wengine wanachomekea na uongo
NAKUBALI MZEE MWENZANGU MWEGA🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷
Huyu mshikaji namkubali sana
Big up nic story
🏆 💪 💯 ♥️ ! #Ljaystunner #LuckyHavana #LjayKitchens #NyamaChoma
Huyu alipaswa kuboreshwa kidogo apate kazi hapa Tanzania
Hao magpsy wengi wao ni Ma Romania Kwa Europe ukiwaona km wadosi
Mm nishamuona mbuzi anakula makaratasi kweli kabisa
Alafu mbona sikuoni fecebok mzee mwenzangu mwega kilongola baharia✊🇹🇿🇬🇷🤜🤛
Baharia vip tunaomba mwongozo wazee
Mwega namkubali sana hana choyo kabisa
katembe ni hapa Maputo town...unavuka na bantoni,
ROHO NGUMU SANAA
duuh
Huyu jamaa Sugu aswaaa
Imanixa kijinga kijianga nimeipenda hyo
oya kamkubwa naomba namba za mwega mimi natak niondok south afric
Easy tu passport yako na pesa yako
@@heritier5119 oyh mwamba
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
Rasta meegamio napata madini mengi sana kutoka kwako
Mwega kweli umipitia mengi
Atari Atari
Oya naomba nicheki kaka
Nitumie namba ya mwenga
Naomba namba ya baharia mwega.
Jamaa ana kumbukumbu kinoma maelezo ya mwanzo anarudia vilevile solute
Jama mkwel kilakituu amesema mzungu Kazi sio mamboo yao
Any way kela is not a nice place
Muongo uyu....jela kawaida?
UONGO WAKE NINI?...MAZABE ZIMEJENGEWA BINADAMU...WE MTOTO WA KIUME UNAOGOPA JELA!!?...JELA WANAKAA HATA MARAISI...MAWAZIRI MA SHEIKH NA WACHUNGAJI..WANGAPI WAMEKUFA KISA JELA? NI MARA CHACHE SANA....KUTOKEA...
HAKUNA SEHEMU SALAMA KM JELA...ASIKWAMBIE MTU...MUULIZE MTU YEYOTE ALIEKAA JELA...JELA ZOTE ZINA SHERIA KALI SANA..UKIJIPINDUA UTAJUA WHICH IS WHICH..
WEWE NAE MTOTO WA KIUME KUMBE BOYA TU NILIJUA SHABABU KUMBE KINA JUMA LOKOLE 😅
KAMA UWEZ KUSIKLIZA STORI ZA MABARIA TUACHIE SISI MWAMBA NA NDIO MAANA TUNAWEKA MB KUJIFUNZA VITU ANZIA PART 1 MBK SASA IVI PART 4 UTAJIFUNZA VITU SIO UNAKURUPUKA KUKUCOMMENT FYOOOOKO
USIKUTE MBK LEO UNAGOMBEA CHAI YA KENGERE HAPO KWENU TOKA MAGETONI MTOTO WA KIUME
Choko wewe