Pia miaka hiyo hiyo ya 2000 waliteka mabus katika milima ya Sekenke katika kampuni ya NBS Express ya Tabora kwenda Arusha watu walivuliwa nguo wakaimba mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.
Pia nakumbuka dereva alimwagia tikindali alikuwa anaitwa mzee wa rungu miaka ya 2000 kulikuwa ushindani mabus ya Zakaria na Bunda Bus kutoka Mwanza kwenda Musoma na Tarime. Mzee anaongea facts sana
Watu wazaman walio sacrife maisha yaoo , wakiwaa wanasimuliaa wanaona kila kitu ni kawaida yaaan huyu amekutana na kila jaribu ndoo maan haogopiii na anaona kawaida tu
Kuhusu kutekwa anasema ukweli miaka ya 2000 kulikuwa na mabus ya Twafik, Takrim, Akamba na Scandinavia haya yametekwa sana njia ya Arusha kwenda Nairobi.
Asilimia kubwa huyu dereva mkongwe anaongea ukweli. Nakumbuka miaka ya 2000 pale Mkoa wa Simiyu Bus la Nchambiz, Allystar na Mohammed Trans walikuwa na ushindani sasa Mohamed Trans akaleta Scania 95hp Marcopollo Andare wakumuwekea chumvi rejeter jamaa walikamatwa wakafungwa miaka 60 kila mmoja
huyu mzee anasema ana miaka 48..50 na anasema alianza kuendesha magari 1984, anatudanganya sasa, ukipiga hesabu ya umri wake ni kama kazaliwa 1973-1975. Huyu mzee anatupanga.
SNS muko vizuri mno katika mahojiano Tz hii hamna mpizan. Kwanz hamueki sauti yyte ya Music hivyo hata sisi watu dini nafsi ziko na Amani sana kusikiliza bila ya kupata Maudhi yyte. Pili mnahoji vizuri mno
Likes za deveva mkongwe toka 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dereva mkongwe anakumbusha mambo ya zamani sana na mazuri na history nzr sana na mafunzo
Dogo uko vizuri sana kwenye interview, unamfanya guest ateme madini zaidi
Umeona sio kama hawa wapuuzi wa online media mbk seba akataka kumbutua yule d wa bengo TV yaan hawapo creative
Ukweli kabisa
Mzee ni bonge la STORY TELLER anaweza kutangaza vizuri sana radio kipindi kama jahazi au jana na leo 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Naunga hoja🙌 kwasabab anavingi sana kapitia aise
Thts true ana weng sana ya kutueleza km funzo🙌
😅😅😅😅😅
Huyu mzee naomba wangekutanishwa na mchungaji anacha watengeneze kitu fulani cha kupiga pesa maana wana power sana
Brother umeona mbalii sanaaaa✍️
Yaani umewaza kama mimi
Hatimae leo dereva mkongwe amehojiwa mlichelewa sns ... namkubali sana mwamba huyu ... huyu ni noma huboreki
Hahaha dereva mkongwe alitakiwa afike hapa siku nyingi. Big up sns, jamaa mcheshi sana
Duuh dereva mkongwe kwelii,yaan yupo sahihi na yale anayoeleza.hlf born town😂🤸♀️
Noma 😂
Nakubari Sana Dereva mkongwe mzee wa Mr and Mrs dismas benze tela bachu hatari sana
Ila huyu Chris Feva yuko vizuri mno kwenye kuhoji❤❤❤
Sana
kuna huyu dogo anaiitwa ivan gala kipindi cha table talk magic industry pro naye anakuja juu sana
Huyu mzeee ajegewe sanamu lake , wamemtoa yule askari muwekeni huyo badala yake 😂😂😂 kazi nzuri sana mkongwe 🔥🔥🔥👏👏
My dereva you’re amazing brother, yaan wewe ni historian mkali kinoma big respect from 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸🫶🫶.
Sema mzee anamuonekano wa kinyamwezi sana
Jamaa hata aongee masaa 10 achoshi! Huyu inatakiwa part 1 hadi6
😂😂😂😂😂aisee iwe na part 2 dereva mkongwe comedy san😂😂😂
AnaSound kama Mchungaji HANANJA
Kweli kabisa
This is talking the truth of loosing feelings on the lower body parts I experienced the same thing when I long driver .
Hapo Tarakea ndo ma home ise kweli mzee umetembeaa, Dereva mkongwe karibu sana TARAKEA
Pl
Daah hyu mzee namkubali kinoma ❤❤🇶🇦
Dah!mkongwe master,master
Namkubal sana uyu mzee
Hii interview irudiwe make part 2😅
Watu wa Pangani Tanga..... tujuane hapa..kupitia boza, bushiri, mivumoni, masaika , kilulu hadi Muheza kwa mwana F A tujuane hapa
Aki Chris nmependa hii interview tafuta zingine kama hizi 😅😅😅 from lamu kenya 🇰🇪
mkongwe mkongwe hamia kwako mkongweeee sns big up
Mkongwe tumekutana saruji kiwanda cha cement
Anastor xana mzee lazma ucheke 😂😂😂
Dah nakubali sana mastori yahoo bloo
Igawisenga Wino Lukumbulu Mtalikidonga mzeee wa Asali ni balaaa dereva mkongwee anachokisema ni ukweli mtupu maeneo yetu kabisaa
Asante sana kwa historia nzuli dereva mkongwe
Nimependa ukweli aliosema hakubali mwanae kuwa dereva. Sincere narrator.
Mbona hii interview fupi jameni. Mngeifanya ndefu au mtukete part 2
Dereva mkongwe inatakiwa aandike kitabu cha historia yake yupo vizur sana
Good story teller man❤
Mzee anafurahisha sana kumsikiliza maisha ni mapambano
Saaana
mkongwe una madini makali..Mungu akupe afya njema na maisha umepambana
Inavutia sana hii interview binafsi nilitamani iendelee.
But big up kaka zangu
Tanzania Ina vitu vingi sana MUNGU ametupa tusipate stress
Hii nimefurahia. Dereva Mkongwe Oyee!
DEREVA NI MWAMBA SANA
Dereva mkongwe mchenzi kbs 🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu kudadeki 🤣🤣🤣 leo mumetupa Rahaaaaa aise 👌 from 🇧🇪
Nmepata somo pia kupitia huyu Mzee dereva mkongwe Elimu ya udereva ni Elimu mtambuka
Daah nimecheka sanaaa leoo
Kanikumbusha sna mzee home t.a... mambo yetu hayo
Eti nasikia kama wakina mama wananisuka😂😂😂huyu mzee nyoko aisee
😅Ndiooo_🤦🏿♀️ 😅
Eti unafunga leso kichwan
Mbuzi na mchungaji wote wanaingia rod na chuma iko spidi
Dawa unatafuniwa majani safari inaendelea😅😅😅
Sns bonge la channel safi sana
Tulio pitia Cuba ubavuni.fisi maji team.wapo bado wazamani tujuane.
Asee dagaa wanapoteza kumbukumbu na wanaleta mbaa kichwan
Nlikula Dagaa miez 3 congo asee mpk dagaa akikuangalia unamuacha unachovya mchuzi2
Saci sana Mzee you are sucj a very good story teller!
Mtangazaji uko smart sana kumhoji mkongwe
Huyu jamaa ana stori tam kichiz😂😂 kuna episodes zake dereva mkongwe
Pia miaka hiyo hiyo ya 2000 waliteka mabus katika milima ya Sekenke katika kampuni ya NBS Express ya Tabora kwenda Arusha watu walivuliwa nguo wakaimba mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.
Huyu jamaa angepata nafasi CHEKA TU ingekuwa poa sana
Pia nakumbuka dereva alimwagia tikindali alikuwa anaitwa mzee wa rungu miaka ya 2000 kulikuwa ushindani mabus ya Zakaria na Bunda Bus kutoka Mwanza kwenda Musoma na Tarime. Mzee anaongea facts sana
DAH 😮
Aaah muzeh nimemupenda konoma amenishekesha kweri kwer
Dere ana mastery very interesting
Yan nimesikia stroy nyingi lakin hii ni matukio ya hatar lakin msimuliaji anachekesha sana hhhhhh❤
Watu wazaman walio sacrife maisha yaoo , wakiwaa wanasimuliaa wanaona kila kitu ni kawaida yaaan huyu amekutana na kila jaribu ndoo maan haogopiii na anaona kawaida tu
nikweli kiongozi miaka hy ilikuwa noma kwa utekaji
Duh Escor una sema unakumbuka wakati umetoka kusema huo wakati ulikuwa hujazaliwa sasa unacho kumbuka ni kipi?
Kuhusu kutekwa anasema ukweli miaka ya 2000 kulikuwa na mabus ya Twafik, Takrim, Akamba na Scandinavia haya yametekwa sana njia ya Arusha kwenda Nairobi.
Mzee up smart xan😅😅😅
Mkongwe Master....Kushoto ameka kuliya ameka kati kati pia....maoni nimengi
Safi Sana mkongwe
Menikumbusha mbali sana mkongwe,team mtoto yule,Patrick culvert,black mamba,samma,adventure,zakaria kiboko ya sirari mwanza,
Bunda buss na bunda express 😊😊
Caros, mtu mbadi sana kipindi hiyo. Maisha bhana.
Nakukubali mzee mkongwe
Bwana dereva mkongwe yule bwana Haiti mchawi kidole bali mtali kidonga
Aise ingekuw part two 🕑🕝
Huyu jamaa anajua San .. kila nikimchek namwona Sky mtupu ..
Kwa interview hiz ngap tu ap akipewa ata kipind redion hio radio itapamba moto si mchezo
Nimecheka dereva mkongwe kiboko
Asilimia kubwa huyu dereva mkongwe anaongea ukweli. Nakumbuka miaka ya 2000 pale Mkoa wa Simiyu Bus la Nchambiz, Allystar na Mohammed Trans walikuwa na ushindani sasa Mohamed Trans akaleta Scania 95hp Marcopollo Andare wakumuwekea chumvi rejeter jamaa walikamatwa wakafungwa miaka 60 kila mmoja
Anachekesha 😂😂😂😂😂nimempenda sana huyu dereva 🎉
huyu mzee anasema ana miaka 48..50 na anasema alianza kuendesha magari 1984, anatudanganya sasa, ukipiga hesabu ya umri wake ni kama kazaliwa 1973-1975. Huyu mzee anatupanga.
Mkongwe nakukubali sana mpambanaji unanifanya nami niwe jasiri
Dah kaka angu mungu akulinde hii Kaz so ya kawaida mungu mwema ufanikiwe my brother mm nakupenda kaka angu💪💪💪❤🙏🙏🙏✍️
Dereva mkongwe huyo wa Lukumburu anaitwa MTALIKIDONGA😂😂😂😂
Dah mzee anaongea Kama masihala lakn ni mateso ya udereva 😂
Huyu jamaaa ni Story teller mzuri
😂😂😂😂dah huwa mafurahi na kicheko sanaaaaaa napomsikiiza huyu mzee
Nakubal
Story teller!
Uyo nìkuchekà sana mpaka mwisho
Ongera sana mkpngwe
Mzee napenda stori zake sana mwamba kabisa
Kweli nimependa story ya huyu dereva
Mzee anafurahisha sana huyu
lala nayo mm nani
Tumemisi neno dereva mkongwe ulitaji kaka
uyu Mzee anaweza kufanya standard comedy azingatiwe 😂😂😂
Huyu mzee tunamkubali sana
Jamaa angeandika kitabu ingekuwa vizuri sana
Mzee yupo visuri
Part 2 sky
Good 👍
Nilikuwa nabishana naye,akiwa mtaani. Kumbe yuko huku
Hii intaviuuu tumekubali sana rudieni
Mkongwe haunaga baya na m2 halafu wewe ni mchesh sana tulikutana Arusha majengo ya chini 2kapiga picha za kutosha karibu Tena chief mkongwe.
Nilipoona tu nilitekwa na m23 nimezima simu fikx sn huyu mzee
Mungu amuweke huyu mzee amfungulie rizk