Muhtasari: Yakobo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Yakobo, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Yakobo anachanganya hekima ya kaka yake Yesu na kitabu cha Mithali katika wito wake unaotoa changamoto ya kuishi maisha ya kujitoa kikamilifu kwa Mungu.
    #BibleProject #Biblia #Yakobo
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus na Eternal Entertainment
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 2

  • @annejane1638
    @annejane1638 3 ปีที่แล้ว +4

    Sifa simrudie Bwana Mungu wetu alie Mbinguni 🙌🙌🙌🙏🙏 Amen

  • @shahidmuhmmad6048
    @shahidmuhmmad6048 ปีที่แล้ว

    Nafarijika na Mafundisho ya Kitabu cha Yakobo