Jinsi ya kupangilia mwaka Wako - sehemu ya kwanza (Designing your Year Part 1)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 450

  • @fadhilisedoyeka4919
    @fadhilisedoyeka4919 4 ปีที่แล้ว +32

    Kaka hakika nitakukumbuka sana katika maisha yangu Maana nilikufahamu Mwaka 2018 nikiwa nimefugwa Gerezani niliomba ndugu zangu waninunulie kitabu chako cha Timiza malengo yako kweli nilipata kitabu chako nikasoma vizuri baada ya kutoka nilifanyia kazi leo napoongea nashidwa niseme nini Maana sikuwahi kuwaza nitajenga lini lakini leo ninanyumba nzuri ninamiliki magari manne pia account ipo vzr leo nawaza kufuata bidhaa china hakika wewe ni mwanga💪

    • @jameskabalega7245
      @jameskabalega7245 ปีที่แล้ว

      Mambo vipi bro, habari za kazi! Huyu mwamba katufungua macho wengi

    • @merrymwangaytu2545
      @merrymwangaytu2545 ปีที่แล้ว

      Hongera Sana fathili

    • @fatmasaaed144
      @fatmasaaed144 9 หลายเดือนก่อน

      Hongeraa sana

    • @bukuruphilibert2968
      @bukuruphilibert2968 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna somo umetufundisha kaka tusikate tamaaa

    • @AredFered
      @AredFered 8 หลายเดือนก่อน

      Hongera brother

  • @awamkhalid5361
    @awamkhalid5361 4 ปีที่แล้ว +18

    Tunasema kufanikiw co kufanya k2 kwa nguv au mda mref ispokua n kufanya ki2 unachoweza kwa wakat sahih Jim rohn aliwah kusema “reasonable time is enough time”

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 4 ปีที่แล้ว +8

    Nimepata mwanga mzuri kabisa katika kuanza huu mwaka 2020 shukran sana mwalimu Joel Nanauka mwaka 2019 nilipoanza kukuskiliza nilojitambua sana na kuanza kupangilia vitu na hatimae nilitimiza zaidi ya 70%ya malengo yangu shukran sana na MUNGU AONAE MOYO akuinue viwango vya juu zaidi kuwabadili wengine kimtazamo

  • @eliasbufula6290
    @eliasbufula6290 4 ปีที่แล้ว +3

    Sijawahi kujuta kwa kukusikiliza wewe, bali huwa ninajutatu pale ninapokosa muda wa kutokukusikiliza, be blessed forever man of GOD Joel.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว +1

      Elias Bufula nashukuru sana,tuendelee kujifunza 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @eliasbufula6290
      @eliasbufula6290 4 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka Asante sana kaka. 2020 juzi nimeanza na wewe, nimedhamilia kufanikiwa kupitia mafundisho yako, nitakuambiatu siku moja, maana kwa elimu unayotoa kufanikiwa ni lazima.

  • @shifamakame4622
    @shifamakame4622 4 ปีที่แล้ว +2

    Nilicho zingatia na kukielewa kwa mara moja fanya kile kilochomo ndani yk ndio kino maendeleo yk
    Kitu ukiwa na huru nacho ,furaha nacho ,amani kukifanya ndio kinofaa
    Umenifuza sana km naangalia TH-cam maisha yote ile ndio nimejifuza kitu kwenye maisha asante sn km mungu awe mwema kwk

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Shifa Makame safi kabisa ,tuendelee kujifunza pamoja

  • @charlesoputi7101
    @charlesoputi7101 ปีที่แล้ว +2

    Still here in 2023 this video will never get old. Be blessed brother joel

  • @enmselm
    @enmselm 4 ปีที่แล้ว +6

    ubarikiwe saana kiongozi weew n mtu sahihi sana kwetu na mm ntajtaid kufikia kulifahamu kusudi langu Aaameen

  • @khalifalutonja6952
    @khalifalutonja6952 4 ปีที่แล้ว +6

    Brother Ahsante sana kwa somo zuri sana.
    Brother Joel tangu nianze kukufuatilia 2017 hadi leo 2020 Dah! Kiufupi brother wewe ni mwalimu wangu hasa ktk suala la Maisha (personal development knowledge).
    Kwakukufuatilia wewe nimeweza kufikia level ya supervisor, thank you very much my Best friend may God bless you and your family.
    Natamani japo siku moja tuonane, japo nitoe shukurani zangu za dhati live, nina vitabu vyako vi5 vyote vimenikaa kichwani sometimes ninapo lose Attitude huwa naji-motivat kwa kusoma vitabu vyako hasa Timiza malengo mbinu zote ni madini.
    Ahsante sana brother kwa hamasa yako.
    Nina namba ya officen lakini pia ningependa sana pia kuwa na namba yako private kwa mawasiliano zaidi, sababu kuna mengi sana ya ku-share hasa katika 2020 hii.
    Niko Zanzibar ki-kazi.

  • @edwardmsongelwa5455
    @edwardmsongelwa5455 4 ปีที่แล้ว +16

    It's very true my brother and you're too unique believe me you have done something to me of which you don't know my brother thanks very much

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว +2

      Edward Msongelwa nashukuru,karibu sanaa

    • @edwardmsongelwa5455
      @edwardmsongelwa5455 4 ปีที่แล้ว +2

      @@joelnanauka I so wish you were' there ten years a go I promise you I would have been someone else by now you really have lightened my brain thanks again you're wonderful don't get tired the country needs you my brother may God bless ypu

    • @happyfesto6360
      @happyfesto6360 4 ปีที่แล้ว

      Naomba namba yako kaka @Joel

    • @sumiodilo1180
      @sumiodilo1180 4 ปีที่แล้ว

      HALOW RAFIKI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 HABARI NJEMA
      .
      Kupitia kampuni ya Avance Media yenye makao yake makuu nchini Ghana imetoa orodha ya VIJANA 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2019.Ndugu yetu Joel Nanauka ametajwa kama mmoja wa vijana hao katika eneo la PERSONAL DEVELOPMENT&ACADEMIA.
      .
      Kwa sasa hatua inayofuata ni kuweka orodha kuanzia wa kwanza hadi wa hamsini itakayotokana na kura yako ambayo hautumii gharama yoyote ile kuipiga.
      .
      Unachotakiwa kufanya:
      .
      1) Tembelea hapa (Bonyeza hapa) tz.avancemedia.org
      2)Nenda palipoandikwa Personal Development&Academia
      3)Chagua jina la Joel Nanauka
      4)Jaza jina lako, Email yako na namba yako ya simu kisha bonyesha kitufe cha VOTE.
      .
      Zoezi hili litakuchukua dakika 3 ukipiga kura tutaarifu hapa kwenye comment.
      .
      AHSANTE SANA KWA KUMPIGIA KURA JOEL NANAUKA.Hakikisha namba yako ya simu unajaza kwa kuanza na +255 badala ya sifuri. Mfano: +255786245234
      .
      See You At The Top
      .
      Bonyeza tz.avancemedia.org upige kura sasahivi usighairishe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 USISAHAU KUSHARE NA WENGINE TAFADHALI.Ukimaliza kupiga kura unaweza kupendekeza jina lake tena pale chini kwa ajili ya mwaka 2020 tena🙏🏻🙏🏻.KUMBUKA UNAWEZA KUPIGA KURA ZAIDI YA MARA MOJA.

  • @JamesJoseph-bm8ix
    @JamesJoseph-bm8ix 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika mungu anakusudi kwa Kila mwanadamu ubarikiwe sana ndg.joel nanauka🙏🙏

  • @LornaDadi
    @LornaDadi 4 ปีที่แล้ว +1

    Heri ya mwaka mpya kaka. Nimefurahi sana kuanza mwaka na madini haya, hujawahi kukosea. MUNGU azidi kukutunza na akutumie kwa viwango vya juu zaidi kwa ajili ya watu kama sisi. Ubarikwe. -- (tutafutane kaka, japo mwaka huu.)

  • @estherfredrick3198
    @estherfredrick3198 4 ปีที่แล้ว +2

    Unatufundisha maisha na kumjua MUNGU pia....BARIKIWA Sana kaka JOEL

  • @shijamorris8280
    @shijamorris8280 4 ปีที่แล้ว +2

    Tambua kusudi lako na uliishi na kusudi lako sio kwa ajili yako ila ni kwa ajili ya wengi. Barikiwa sana hakika mwaka huu ni kwa ajili yangu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Amen ni kweli kabisaa

  • @charlesfaida1515
    @charlesfaida1515 4 ปีที่แล้ว +6

    Brother 👏👏👏 nakukubali sana asante Kwa somo zuri saan, barikiwa saan Kaka. # MWONGOZA NJIA YANGU

  • @elizabethmabula101
    @elizabethmabula101 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni mtu muhimu sana. Na unajitolea kwetu sisi watanzania tuliokata tamaa. Tangu nianze kufatilia vipind vyako. Nimejifunza mengi sana

  • @mkwizoxsafarisadventures9750
    @mkwizoxsafarisadventures9750 4 ปีที่แล้ว

    Nimerudia zaidi ya mara tatu na kila nikirudia napata kitu kipya...
    Nitarudia mara kumi ili nijue kusudi la hili somo kwangu... Somo hili sio lipo tu ila lina kusudi ndani yake na hilo kusudi halibadiliki mpaka nitalijua kwann limekuja kwangu. Asante sana Coach JNanauka
    See You At the Top

  • @deokimena5168
    @deokimena5168 4 ปีที่แล้ว +4

    Maisha yanayoongozwa na malengo!!! Safi sana!!

  • @cecilialucas7655
    @cecilialucas7655 4 ปีที่แล้ว +7

    Ubarikiwe sana kwa somo zuri nakuelewa sana nalitambua kusudi LA Mimi kuwepo duniani

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว +1

      Cecilia Lucas hongera snaaaa,usiache kuwashirikisha na wengine

    • @cecilialucas7655
      @cecilialucas7655 4 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka Amina kaka ninatambua uwepo wangu kuwa duniani ukivuna mema kuwapa na wengine Mungu akutunze siku zote Kaka Joel'.

  • @timemcharazomcharazo110
    @timemcharazomcharazo110 4 ปีที่แล้ว +4

    Ahsant kaka joel,nataka kuhudhulia mafundisho yako,,najuaje tar

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Huwa naweka kwenye mitandao yangu ya kijamii

    • @rehemakawamda629
      @rehemakawamda629 4 ปีที่แล้ว

      Ahsant kaka joel napenda sana mafundisho yako

  • @subilafrancis470
    @subilafrancis470 4 ปีที่แล้ว +4

    Thank u brother ,mafundisho yako ni mazuri sana na yana inspire watu wengi

  • @selemanramadhan3279
    @selemanramadhan3279 ปีที่แล้ว

    Ni kweli Kaka Joel, Mimi nimeshatuma coach zako, zimenipa matokeo mazuri Sana, wanafunzi wamenisifia pamoja na wadhamini wa wanafunzi pia wamenisifia, Mimi Ni mwalimu wa ufundi nilipogundua kusudi langu imenisaidia Sana. Kwenye taasisi yangu pia wamenipenda hawataki niondoke!!

  • @modestaruta9383
    @modestaruta9383 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika kusudi lako kwetu ni kutufundisha na kutuelimisha. Mungu akubariki zaidi ili tunufaike zaidi.

  • @molaizer992
    @molaizer992 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka #joel_nanauka kweli nabarikwa sanaa na masomo yako napenda sanaa kuwa #speaker je naweza tumia masomo yako kutengeneza ujasiri wangu na pia niendelee kujifunza kwako zaid

  • @rukiasalim2512
    @rukiasalim2512 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni wamuhimu sana kwangu na kwa watoto wangu najifunza napia unafundisha watoto wangu kujua kusudi lao la kwenda shule kila moja anasoma akiamini yeye atakuwa nani kesho Mungu akutunze kakangu❤

  • @nemymtango4074
    @nemymtango4074 4 ปีที่แล้ว +3

    💪💪💪💪Ahsante sana Mungu azidi kukupa hekima uzidi kutusaidia

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว +1

      NEMY MTANGO Ameeen

  • @esternzumbi1888
    @esternzumbi1888 4 ปีที่แล้ว +4

    Mambo ni 🔥 🔥 🔥 Mungu akutunze

  • @josephatngua7914
    @josephatngua7914 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki nimelipenda somo hili

  • @fatmajumapili8918
    @fatmajumapili8918 4 ปีที่แล้ว +3

    Thank you Joel, haya madini nimeyapata uzuri kabisa

  • @fitcyprian9784
    @fitcyprian9784 4 ปีที่แล้ว +2

    May God bless work of your hands....thank you so much for good lesson

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 ปีที่แล้ว +4

    JOEL you're the best Motivation Speaker n Really Life Coach of all the time since av started to follow your Videos My life have totally Change hopefully 2020 I'm going to be a best WINNER,MAY God Bless You Bro. HAPPY NEW YEAR JOEL2020

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว +1

      Hassanova junior Thanks so much,tuendelee kujifunza.

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 4 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka More Blessings my Mentor 🙏🙏🙏

    • @joycebudotto9831
      @joycebudotto9831 ปีที่แล้ว

      Nitapataje kitabu cha timiza malengo yako Mr Joel?

  • @marympemba8843
    @marympemba8843 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kaka kwa somo hili umenisaidia

  • @marianachristophory4916
    @marianachristophory4916 4 ปีที่แล้ว

    Joel wewe ni mioongoni wa mentor ninaowakubali sana, endeleeea kaka kudufundisha ipo cku nitakuja nitoe ushuhuda hapa. Mungu tu anitie nguvu na afya yangu iwe imara cku zote, maana mtaji wangu wa kwanza ni huo.

  • @mwanaharusialifakifaki8716
    @mwanaharusialifakifaki8716 4 ปีที่แล้ว

    Tokea nianze kumsikiliza docta nanauka nahisi maisha yangu yamebadilika,furaha imeanza kuchanua ,kusudi langu nimeligundua na nafurahia kusudi langu sambamba na kuamua kuliishi kusudi langu .ahsante docta

  • @the_white_43.
    @the_white_43. 4 ปีที่แล้ว +12

    Safi Sana.... Hizi ndio elimu tunazozitaka mitaani... We learn.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว +1

      Godfrey Kristo sawa sawa tuwashirikishe na wengine

    • @the_white_43.
      @the_white_43. 4 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka Yap .

    • @sumiodilo1180
      @sumiodilo1180 4 ปีที่แล้ว

      HALOW RAFIKI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 HABARI NJEMA
      .
      Kupitia kampuni ya Avance Media yenye makao yake makuu nchini Ghana imetoa orodha ya VIJANA 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2019.Ndugu yetu Joel Nanauka ametajwa kama mmoja wa vijana hao katika eneo la PERSONAL DEVELOPMENT&ACADEMIA.
      .
      Kwa sasa hatua inayofuata ni kuweka orodha kuanzia wa kwanza hadi wa hamsini itakayotokana na kura yako ambayo hautumii gharama yoyote ile kuipiga.
      .
      Unachotakiwa kufanya:
      .
      1) Tembelea hapa (Bonyeza hapa) tz.avancemedia.org
      2)Nenda palipoandikwa Personal Development&Academia
      3)Chagua jina la Joel Nanauka
      4)Jaza jina lako, Email yako na namba yako ya simu kisha bonyesha kitufe cha VOTE.
      .
      Zoezi hili litakuchukua dakika 3 ukipiga kura tutaarifu hapa kwenye comment.
      .
      AHSANTE SANA KWA KUMPIGIA KURA JOEL NANAUKA.Hakikisha namba yako ya simu unajaza kwa kuanza na +255 badala ya sifuri. Mfano: +255786245234
      .
      See You At The Top
      .
      Bonyeza tz.avancemedia.org upige kura sasahivi usighairishe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 USISAHAU KUSHARE NA WENGINE TAFADHALI.Ukimaliza kupiga kura unaweza kupendekeza jina lake tena pale chini kwa ajili ya mwaka 2020 tena🙏🏻🙏🏻.KUMBUKA UNAWEZA KUPIGA KURA ZAIDI YA MARA MOJA.

    • @the_white_43.
      @the_white_43. 4 ปีที่แล้ว

      @@sumiodilo1180 thanks

    • @gimongegoryo2413
      @gimongegoryo2413 4 ปีที่แล้ว

      @@the_white_43. yap

  • @sylviankenza4951
    @sylviankenza4951 4 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante sana Mwl. Mungu azidi kukujalia yakutufundisha zaidi na zaidi

  • @joseefaidabutu7294
    @joseefaidabutu7294 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Sana kwa Somo nzuri

  • @adsonfungo8186
    @adsonfungo8186 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana, Nimeanza mwaka 2020 nikiwa mtu mpya kuhusu kusudi na mipango.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Adson Fungo wow,hongera sanaaa

  • @bestcakes7098
    @bestcakes7098 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa ujumbe mzuri binafsi jumbe zako zimenisaidia naamini 2020 nitafika mbali zaidi

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว +1

      Best Cakes nafurahi sana kusikia hivyo..2020 tupate matokeo makubwa zaidi

    • @judithfungo9152
      @judithfungo9152 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akubark sana kaka ndio nimekufaham 2022, mungu anisaidie niweze kuyaishi mafunzo yako naona nimechelewa kukufaham

  • @madamtunu2191
    @madamtunu2191 4 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana masomo yako kaka joel nanauka lakn video hii niliipokea kwa furaha nikijua unafundisha jinsi ya kupanga malengo ya mwaka yan kwasiku wiki adi mweZ Ila sijakuta Ivo nimeuzunika mini😭😭😭😭

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      madam Tunu subiria part two ndio tulijifunza hiyo

    • @madamtunu2191
      @madamtunu2191 4 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka inatoka lini hiyo na hamu nayo sana yaaaani acha tu brother natamani mwaka huu uwe wa ushuhuda kupitia ww mwanga wetu

  • @ombeningaya122
    @ombeningaya122 4 ปีที่แล้ว +6

    thanks mentor it's time to walk this talk...

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani sana kwa mafunzo haya.

  • @mkakampole7802
    @mkakampole7802 4 ปีที่แล้ว +1

    Nazidi kujivunia kuwa Mtanzania kwaajili yako kaka. Mungu akuweke miaka mingi sana, taifa linakuhitaji sana kuzidi kuwa inspire wengine.
    Kupitia mafundisho yako tunapata nguvu kubwa mno

  • @tungaraza7794
    @tungaraza7794 4 ปีที่แล้ว

    Duu kwenye hii video umeongea mambo mazito sana ambayo mtu yeyote yule akiyafuatisha lazima atapiga hatua maishani mwake be blessed nothin more to say

  • @ibrahimgerion2952
    @ibrahimgerion2952 4 ปีที่แล้ว +2

    A get d concept.......... Purpose vs ambition 🤔, thanks bro

  • @edwardmrosso4827
    @edwardmrosso4827 4 ปีที่แล้ว +16

    Wew ni jasiri muongoza njia

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana Edward

    • @eliamulika7319
      @eliamulika7319 4 ปีที่แล้ว

      Well done Nanauka

    • @sumiodilo1180
      @sumiodilo1180 4 ปีที่แล้ว

      HALOW RAFIKI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 HABARI NJEMA
      .
      Kupitia kampuni ya Avance Media yenye makao yake makuu nchini Ghana imetoa orodha ya VIJANA 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2019.Ndugu yetu Joel Nanauka ametajwa kama mmoja wa vijana hao katika eneo la PERSONAL DEVELOPMENT&ACADEMIA.
      .
      Kwa sasa hatua inayofuata ni kuweka orodha kuanzia wa kwanza hadi wa hamsini itakayotokana na kura yako ambayo hautumii gharama yoyote ile kuipiga.
      .
      Unachotakiwa kufanya:
      .
      1) Tembelea hapa (Bonyeza hapa) tz.avancemedia.org
      2)Nenda palipoandikwa Personal Development&Academia
      3)Chagua jina la Joel Nanauka
      4)Jaza jina lako, Email yako na namba yako ya simu kisha bonyesha kitufe cha VOTE.
      .
      Zoezi hili litakuchukua dakika 3 ukipiga kura tutaarifu hapa kwenye comment.
      .
      AHSANTE SANA KWA KUMPIGIA KURA JOEL NANAUKA.Hakikisha namba yako ya simu unajaza kwa kuanza na +255 badala ya sifuri. Mfano: +255786245234
      .
      See You At The Top
      .
      Bonyeza tz.avancemedia.org upige kura sasahivi usighairishe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 USISAHAU KUSHARE NA WENGINE TAFADHALI.Ukimaliza kupiga kura unaweza kupendekeza jina lake tena pale chini kwa ajili ya mwaka 2020 tena🙏🏻🙏🏻.KUMBUKA UNAWEZA KUPIGA KURA ZAIDI YA MARA MOJA.

  • @albertlucaskoisha7353
    @albertlucaskoisha7353 4 ปีที่แล้ว

    speech hii imenigusa alimia 100% mimi nimengundua asante sana ime niimarisha nimeimarika zaidi.

  • @upendofrank4917
    @upendofrank4917 4 ปีที่แล้ว +8

    Asante broo kwa somo zuri

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Ahsante sana upendo,tuendelee kushare na wengine

  • @OnaTimestv
    @OnaTimestv 4 ปีที่แล้ว +1

    joel nanauka napenda sana video zako ila nadhani video zako ni ndefu zako sana..... ningekushari uzivunjevunje kwenye vipande vidogo vidogo itatusaidia sana.... asante

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Karibu Sana,fupi zipo pia.Hizi ndefu Ni za semina ambazo Zina masomo.kamili

  • @rabsonndisa8510
    @rabsonndisa8510 4 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana kwa somo kaka. Umeniweka katika mstari wakati sahihi. Barikiwa sana

  • @andrewwoiso5559
    @andrewwoiso5559 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kaka Mungu akuongezee ulichonacho! Nakubali broo

  • @mathiasvicent9955
    @mathiasvicent9955 4 ปีที่แล้ว +2

    Joel kaka nashukuru sana kwa kazi unayoifanya Mungu akutangulie Kwa kila hatua yako.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      mathias vicent Ahsante sanaaa

  • @leonardbugomba8548
    @leonardbugomba8548 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Tunashukuru Mungu KWA kutupatia mtu Kama wewe, Hakika Mungu aliweke kusudi kubwa juu ya Maisha yako ili uwe msaada Zaidi kwa wengine.....,

  • @marrycianakarume2608
    @marrycianakarume2608 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa seminer nzuri kaka mungu akubariki uzidi kutufundisha

  • @samweliyangson1278
    @samweliyangson1278 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante kwa somo hili ndugu Joel

  • @amanbuzwagala1025
    @amanbuzwagala1025 8 หลายเดือนก่อน

    Ndy nilichelewa kuwa sereouse na mafundisho yako kaka but now nafatilia MDA ote kunamabadiliko katika hakiri yangu Kwa sasa mungu akuweke Sana kaka naamin siku moja ntakuwa tajir

  • @feedomcharles4722
    @feedomcharles4722 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakuelewa sana kaka ubarikiwe zaidi na zaidi ili uzird kutuelimisha kadili mungu atakavyo yeye

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว +1

      Amen nashukuru sanaa

    • @feedomcharles4722
      @feedomcharles4722 4 ปีที่แล้ว

      Amina wakushukuriwa zaidi ni mwenyezi mungu atupae uhai

  • @joshuakaminyoge4954
    @joshuakaminyoge4954 4 ปีที่แล้ว +8

    🔥✔ Much respect to you

  • @rashidimussa3294
    @rashidimussa3294 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa knowledge hii...nasubir sehemu ya pili

  • @afritototv1369
    @afritototv1369 4 ปีที่แล้ว +7

    Bro naiman watanzania wakiwa na utamaduni wa kufuatilia mafundish yako na kuyazingatia nchi lazma ibadilike ..sana.san

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว +1

      AfyaTech Tv Ahsante sanaaa🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @sumiodilo1180
      @sumiodilo1180 4 ปีที่แล้ว

      HALOW RAFIKI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 HABARI NJEMA
      .
      Kupitia kampuni ya Avance Media yenye makao yake makuu nchini Ghana imetoa orodha ya VIJANA 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2019.Ndugu yetu Joel Nanauka ametajwa kama mmoja wa vijana hao katika eneo la PERSONAL DEVELOPMENT&ACADEMIA.
      .
      Kwa sasa hatua inayofuata ni kuweka orodha kuanzia wa kwanza hadi wa hamsini itakayotokana na kura yako ambayo hautumii gharama yoyote ile kuipiga.
      .
      Unachotakiwa kufanya:
      .
      1) Tembelea hapa (Bonyeza hapa) tz.avancemedia.org
      2)Nenda palipoandikwa Personal Development&Academia
      3)Chagua jina la Joel Nanauka
      4)Jaza jina lako, Email yako na namba yako ya simu kisha bonyesha kitufe cha VOTE.
      .
      Zoezi hili litakuchukua dakika 3 ukipiga kura tutaarifu hapa kwenye comment.
      .
      AHSANTE SANA KWA KUMPIGIA KURA JOEL NANAUKA.Hakikisha namba yako ya simu unajaza kwa kuanza na +255 badala ya sifuri. Mfano: +255786245234
      .
      See You At The Top
      .
      Bonyeza tz.avancemedia.org upige kura sasahivi usighairishe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 USISAHAU KUSHARE NA WENGINE TAFADHALI.Ukimaliza kupiga kura unaweza kupendekeza jina lake tena pale chini kwa ajili ya mwaka 2020 tena🙏🏻🙏🏻.KUMBUKA UNAWEZA KUPIGA KURA ZAIDI YA MARA MOJA.

    • @elizabethmabula101
      @elizabethmabula101 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @citymaxbookshoptanzania2924
    @citymaxbookshoptanzania2924 4 ปีที่แล้ว

    asante sana JOEL, semina hii hatutakuja kujutia kamwe ilikuwa yenye nguvu sana kwetu ambao tulihudhuria

  • @aishamaulidi4679
    @aishamaulidi4679 4 ปีที่แล้ว +2

    Joel mungu akuzidishie maarifa kwa hicho unachofanya.mana unatugusa sana

    • @moseskahamba4231
      @moseskahamba4231 4 ปีที่แล้ว +1

      Somo zuri sana coach Joel

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Aisha Maulidi nashukuru sana Aisha

  • @veronikaagustino874
    @veronikaagustino874 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka mungu akupe umri mrefu ili tuzid kujifunza zaid tusiyoyajua

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Veronika Agustino Amen nashukuru sana kwa kuniombea

  • @lucyloy1610
    @lucyloy1610 4 ปีที่แล้ว +4

    Thank you for a powerful message

  • @hyahasisimsigala4346
    @hyahasisimsigala4346 4 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana JN Mungu akuzidishie........

  • @user-ne4ks4yy8n
    @user-ne4ks4yy8n 7 หลายเดือนก่อน

    Nanauka ubarikiwe sana ndugu yangu hakika humpatii mtu samaki bali unampatia ndoano

  • @jacksonkinange4605
    @jacksonkinange4605 4 ปีที่แล้ว +7

    Hakika Joel wewe ni mtu mwenye upendo wa hali ya juu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Jackson Kinange Nashukuru sana,Tuko pamoja

    • @sumiodilo1180
      @sumiodilo1180 4 ปีที่แล้ว

      HALOW RAFIKI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 HABARI NJEMA
      .
      Kupitia kampuni ya Avance Media yenye makao yake makuu nchini Ghana imetoa orodha ya VIJANA 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2019.Ndugu yetu Joel Nanauka ametajwa kama mmoja wa vijana hao katika eneo la PERSONAL DEVELOPMENT&ACADEMIA.
      .
      Kwa sasa hatua inayofuata ni kuweka orodha kuanzia wa kwanza hadi wa hamsini itakayotokana na kura yako ambayo hautumii gharama yoyote ile kuipiga.
      .
      Unachotakiwa kufanya:
      .
      1) Tembelea hapa (Bonyeza hapa) tz.avancemedia.org
      2)Nenda palipoandikwa Personal Development&Academia
      3)Chagua jina la Joel Nanauka
      4)Jaza jina lako, Email yako na namba yako ya simu kisha bonyesha kitufe cha VOTE.
      .
      Zoezi hili litakuchukua dakika 3 ukipiga kura tutaarifu hapa kwenye comment.
      .
      AHSANTE SANA KWA KUMPIGIA KURA JOEL NANAUKA.Hakikisha namba yako ya simu unajaza kwa kuanza na +255 badala ya sifuri. Mfano: +255786245234
      .
      See You At The Top
      .
      Bonyeza tz.avancemedia.org upige kura sasahivi usighairishe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 USISAHAU KUSHARE NA WENGINE TAFADHALI.Ukimaliza kupiga kura unaweza kupendekeza jina lake tena pale chini kwa ajili ya mwaka 2020 tena🙏🏻🙏🏻.KUMBUKA UNAWEZA KUPIGA KURA ZAIDI YA MARA MOJA.

  • @jumasaid4191
    @jumasaid4191 4 ปีที่แล้ว

    Shukran kaka mungu akulinde ,akuzidishie ufahamu, na akupe afya njema ili ufanikiwe katika kufikisha elimu yenye manufaa kwa watanzania na walimwengu wote wanaokufatilia.

  • @getrudeelibarik1739
    @getrudeelibarik1739 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante mnooo kwa kunikumbusha kua nami nimeumbwa na application...ninamnagan tu niweze ku download👐...barikiwa mnooo kaka..

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Getrude Elibarik kabisaa

  • @user-qw1yx9pp7i
    @user-qw1yx9pp7i 8 หลายเดือนก่อน

    Shukrani tunaendelea kujifunza zaidi

  • @felixngwasi9469
    @felixngwasi9469 4 ปีที่แล้ว +2

    Thanks bro Joel...ubarikiwe sana

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Felix Ngwasi Amen Felix

  • @marybee6124
    @marybee6124 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kaka Joel kwa darasa nzuri sana lenye kuelimisha jamii..ila swali langu inawezekana kuwa nimeshidwa kugundua kusudi langu je kuna namna gani naweza kugundua kusudi langu

  • @Shukrannsemwa88
    @Shukrannsemwa88 4 หลายเดือนก่อน

    Ipo vizuri sana mkuu tatizo nimekosa Sana ubunifu sijielewi

  • @rchrismbarikiwa
    @rchrismbarikiwa 4 ปีที่แล้ว +2

    I have got you Sir Ubarikiwe

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      R Chris Mbarikiwa Ameen

  • @husnahassan3344
    @husnahassan3344 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante kaka inshlh tunagemea matokeo mazuri ya mafaanikio mazuri ktk 2020

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Kabisa Husna,naamini tutafanikiwa sanaa

    • @husnahassan3344
      @husnahassan3344 4 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka nipo Oman nilimiss sn seminer ya mwisho wa mwaka

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Joel thanks much naheshimu sana kazi yako ilinitoa kwenye hali mbaya sana about relationship. Thank u so much naamini nikirudi Tz nitafuta no yako pia vitabu. I'm proud of my brother . Mungu aendelee kukuinua zaidi.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Anisia ludelemla Ameen,Ahsante sana,natiwa nguvu sana kusikia hivyo.Mungu akubariki na tuwasiliane ukirudi

    • @salomeswai4420
      @salomeswai4420 4 ปีที่แล้ว

      Asantee kaka

    • @daniellaizer2260
      @daniellaizer2260 ปีที่แล้ว

      Mambo

  • @maryndito7553
    @maryndito7553 4 ปีที่แล้ว +1

    Ur genius brother Nanauka.I am blessed

  • @ramadhanhaji2993
    @ramadhanhaji2993 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahsate sana . Nimefahamu vizuri

  • @lucianambalamwezi1864
    @lucianambalamwezi1864 2 ปีที่แล้ว

    Asante kaka kati ya malengo yangu makuu mwaka huu ni kujifunza kutokana na masomo yako. MUNGU ANISAIDIE

  • @abelmwilapwa1111
    @abelmwilapwa1111 4 ปีที่แล้ว +3

    Thnx bro ....kwa mafunz

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Abel mwilapwa karibu sana

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 4 ปีที่แล้ว +5

    God bless u🙏 na mimi kusundi langu open parents eyes who from Africa God help me

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 4 ปีที่แล้ว +2

    BE BLESSED COACH,

  • @kondelaeliasmtotowasimba2769
    @kondelaeliasmtotowasimba2769 4 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukubariki kwa kazi yako ya kuendelea kuelemisha jamii

  • @msengisimon1609
    @msengisimon1609 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakuelewa vizuri mwalimu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Msengi Simon karibu sanaa

  • @frankgabriel5036
    @frankgabriel5036 3 ปีที่แล้ว

    Kaka formula ya mwisho nimekuelewa pamoja nakuchelewa kukujua nimekuelewa mno asante! Kuanzia sasa naenda kuiishi kusudi na nitarudi kukushukuru

  • @sonti2821
    @sonti2821 4 ปีที่แล้ว +5

    Ahsant sana Dr Ningejua inafanyikia wapi ningejumuika na mm daaaah

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว +1

      Wakati mwingine tutakuwa wote

    • @sonti2821
      @sonti2821 4 ปีที่แล้ว

      Pamoja Dr Mungu akipendaa

  • @emmanuelmputa1473
    @emmanuelmputa1473 4 ปีที่แล้ว +1

    You are the best.

  • @DennisKinyua-md7nu
    @DennisKinyua-md7nu 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana bro kwa mafudisho Yako mazuri Kila video Yako najifunza kitu🙏

  • @ignassimbengale3972
    @ignassimbengale3972 3 ปีที่แล้ว +1

    Best💪💪

  • @greatestdaniel7865
    @greatestdaniel7865 4 ปีที่แล้ว +2

    daaah brother nanauka ... swala sio kukimbia swala unaelekea wap

  • @aishakhasim1440
    @aishakhasim1440 4 ปีที่แล้ว

    Natamani ningekujuwa zamani lkn bado sijachelewa Allah akupe maisha malefu lnshaAllah🙏

  • @mosesmanguzu2674
    @mosesmanguzu2674 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Joel kwa somo zuri unatufundisha mambo muhm sana ktk maisha yetu

  • @emmanuelmosha3107
    @emmanuelmosha3107 4 ปีที่แล้ว +1

    Have a blessed time uendelee kutufungua akili

  • @magerebudodi8471
    @magerebudodi8471 4 ปีที่แล้ว

    Mwalimu Mr Joel tunaomba ututembelee musoma tunayapenda masomo yako tunahitaji.

  • @francismsangi3244
    @francismsangi3244 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa sana ndugu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Francis Msangi nafurahi kusikia hivyo

  • @fundievergreenengineering3923
    @fundievergreenengineering3923 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe kwa uwezo uliopewa

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      green chung Ameen nashukuru sana

  • @celebrityquoteinswahili8894
    @celebrityquoteinswahili8894 4 ปีที่แล้ว +8

    2020 at the top

  • @ayubulanda711
    @ayubulanda711 ปีที่แล้ว

    Nice bro Hakka umpata neema yalkua mwarmu Mungu aenderee kukutumia

  • @finaedward7484
    @finaedward7484 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for ur lesson

  • @leonardsilago4221
    @leonardsilago4221 4 ปีที่แล้ว +3

    Happy new year kaka joel. Ntapata wap kitabu chako cha timiza malengo mimi nipo dodoma

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว +1

      Karibu tuwasiliane 0745252670

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana Mheshimiwa Nanauka hakika nime elimika sana natamani siku moja nikuone live unifundishe me nipo Mwanza