FAHAMU VIASHIRIA VYA KUWEPO KWA HESHIMA KATIKA MAHUSIANO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
- Katika mahusiano ya ndoa , Heshima ni jambo muhimu sana.
Wakati mwingine wahusika / mhusika anaweza asiwe na ufahamu wa namna ya kufanya ili heshima iwepo.
Mafundisho haya yanalenga kutoa baadhi ya viashiria au dalili zinazoonyesha ipo heshima ili kusaidia mahusiano kuboreka na kuwa sehemu salama ya kuishi
Ninawaombea Amani ya Kristo iwafunike nyote mnapoendelea kujifunza
SHALOM SHALOM
Hii shule ni kali na iko vizuri
DAH BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU NIMEPATA CHANGU HAPO
Amen and Amen
Amina Mungu akubariki
❤